DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 254

  • @Bintluckas3918
    @Bintluckas3918 Рік тому +18

    Mungu awabariki sana kwa movie nzur ya kutukumbusha kuwa na iman❤nakupenda Yesu

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Рік тому +10

    Mbarikiwe Kwa kazi nzuri
    Yesu Kristo anaokoa
    #JesusForLife

  • @onedibonufeli1538
    @onedibonufeli1538 Рік тому +34

    Jamani! Igizo nimetazama,msisimuko tosha,hata sina la kusema,ila tu kuwaombeeni msiishie katika kuigiza nguvu za Mungu,ila nguvu zake zidhihirike maishani mwenu na zaidi ya yote,murithi ufalme wa mbinguni. Kutoka Burundi,nawaenzi sana.

  • @WilsonDamian-y4r
    @WilsonDamian-y4r Рік тому +12

    ❤❤ , Mungu baba ndiye mweza wa yote daima tukiwa upande wake akuna lakutokea lililo baya ju yetu ,kazi nzuri.

  • @Zulpher-d1x
    @Zulpher-d1x Рік тому +4

    Aky kazi yko n nzuri sana baba joan.more ❤❤❤ guys

  • @kondebouy1308
    @kondebouy1308 Рік тому +21

    Amen hakuna mtu ako na nguvu zaidi ya mwenyezi mungu 🙏🙏🙏

    • @tangamwalimu514
      @tangamwalimu514 6 місяців тому

      Nauliza Yesu ndie Mungu ama Mwenyezi Mungu ni mwengine.

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu 8 місяців тому +4

    Hakuna linaloweza kuwa ngumu mbele za Mungu🙏🙏🙏pongezi sana kwa kazi nzuri❤❤❤

  • @Kingjoashwelding
    @Kingjoashwelding Рік тому +5

    Yaaan hii ninzuli mno Mungu awabarikie kwakuafanya kazi hiii najua thawabu yenu ipo Mbingu kwakuwaelimisha watu
    Mbarikiwe sna

  • @estherwanjiku3305
    @estherwanjiku3305 Рік тому +14

    I like that faith indeed nothing impossible before our Lord and savior Jesus Christ 🙏

  • @jollymunezero4629
    @jollymunezero4629 Рік тому +9

    Wawoooo very nic from Burundi i like so muche ❤❤❤❤ nipe like zangu please

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 7 місяців тому +3

    Yesu ni wangu leo kesho hata jana ntamkimbilia yeye tu katika maisha yang nashukur pia kwa movie nzur iliyo ambata na imani ya mungu

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri sana baba karobo😂

  • @LightnessFred
    @LightnessFred Рік тому +5

    Congratulations ❤❤❤ more god is greater

  • @fredkiptoo-rq4tj
    @fredkiptoo-rq4tj Рік тому +2

    Asante sana baba Joan kwa movie ii ya imani

  • @BashiriMsoma-ly2su
    @BashiriMsoma-ly2su Рік тому +3

    ❤❤❤❤❤kizuri Kila na mwenzako me fine matokeo

  • @RachaelMwende-e4r
    @RachaelMwende-e4r 2 місяці тому +1

    ❤❤mungu ni muweza yote ,Bora uwe imani.

  • @Jenniferjuma-dj7ew
    @Jenniferjuma-dj7ew 10 місяців тому +3

    Safi sana 👏👏 baba joan

  • @EsterUlanga
    @EsterUlanga 2 місяці тому +1

    Kwakweli mungu ndo Kila kitu mungu awabariki kwa kazi nzur

  • @queennyarieh3973
    @queennyarieh3973 Рік тому +17

    Jamani 😢nauzunika sana nikimuona jinsi huyu mkaka anavomkumbuka mkewe na kuwa na kilio cha uzuni sana. 😢ila mungu kweli ni mwanaume 🥺 Tena mola hamuachi mja wake ❤. ASANTE 😫

  • @HaikaMlay-lt9nd
    @HaikaMlay-lt9nd Рік тому +5

    Maombi ni silaha kubwa sana asante mungu

  • @gracesidika6912
    @gracesidika6912 3 місяці тому +1

    Wow glory to God hakuna linaloshindikana kwa Mungu

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض Рік тому +8

    Pepo wameshidwa kwa jina l mungu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @juliusmshenga7718
    @juliusmshenga7718 Рік тому +4

    🎉congratulation baba joan

  • @Franciskalume-fy4ox
    @Franciskalume-fy4ox 10 місяців тому +1

    Glory be to GOD. Endeleeni kumtukuza MUNGU

  • @HalimaAbdull-q1e
    @HalimaAbdull-q1e Рік тому +3

    Mungu was mbinguni Ni mwaminifu hajawahi mwacha mja wake shetani ha mamraka kwa maisha ya mtuamtumainiaye bwana

  • @joyfullykilewa8992
    @joyfullykilewa8992 Рік тому +1

    Ety unajua wakorintho sanaa aisee😂😂😂. Et nitajie miaka ya Yesu🙌🙌🙌

  • @MukriniMkauma
    @MukriniMkauma 2 місяці тому +1

    Ii series wamecheza vizuri sana aisee tuwape sifa zao

  • @Valentne-p8n
    @Valentne-p8n 6 місяців тому +1

    😮wow so Good like amen amen 🙏 ❤❤❤❤

  • @YoungsHilary-xd2ml
    @YoungsHilary-xd2ml Рік тому +4

    Hongereni jaman kwa kumushirikisha Mungu

  • @OliveKavugho
    @OliveKavugho 7 місяців тому +1

    Aksante kwamchezo tumefurayi me tu mungu Ndiaye muweza wayote

  • @jajakajaniri5813
    @jajakajaniri5813 Рік тому +6

    Mungu Ni Mukubwa🙏🙏🙏🙏 Amen. Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @elizajackson7979
      @elizajackson7979 11 місяців тому

      Watu wanao jifanya wapole ni hatari but yesu ni kila kitu!

  • @ZaharaAlly-b1r
    @ZaharaAlly-b1r 3 місяці тому +1

    Hongera sanakaka movie zako ninzuri

  • @Jacklinemwikali773
    @Jacklinemwikali773 Рік тому +4

    🙏 🙏 amen 🙏 hakuna silaha yeyote itakayotumwa kinyume chetu itakayofaulu

  • @SalmaMashanga
    @SalmaMashanga Місяць тому +1

    I like that movie so much

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 місяці тому +1

    Tamaa mbaya San nyumba gani hyoo njoo Omni Kwa warabu 🇴🇲 Kuna magorofaa yakwenda sio yakurudi utakufaa ww n tamaa yako

  • @carolkiptoo8703
    @carolkiptoo8703 11 місяців тому +1

    Keep it up i love your work it teaches

  • @lucasmachibya6551
    @lucasmachibya6551 Рік тому +1

    Nimesimamisha kazi zote kuitazam mov hii hakika nimeipenda

  • @LumiereJoshua
    @LumiereJoshua Місяць тому +1

    Movie nzuri Ila hamukuinesha vizuri namna Mtumishi alikuwa anataabika Kwa kuomba pia namna Mungu alivyo muongoza kuona mahali mke alipo Tena kuwe sehemu ya pili yake

  • @DietHaven
    @DietHaven 9 місяців тому +2

    Aki mungu ndiyo mweza wa yote waaaah very painful movie

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is Рік тому +5

    Lisa ujue mungu uko natamuokoa bibi ya boss😢😢

  • @MaryOlokitari
    @MaryOlokitari Рік тому +3

    Yes mungu nimushindi

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 7 місяців тому +1

    😂😂😂baba Joan kuigiza uhalisia uwezi. Hv kweli mfanyakazi anatoa mcheko huo nawewe upo karibu nae ndo kusema hujamsikia jmn

  • @ElisanteMmbise-dx9ss
    @ElisanteMmbise-dx9ss Рік тому +1

    Aisee ni nzuri sana hii sana sana

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 Рік тому +4

    Mungu ni mwaminifu

  • @estaphone
    @estaphone Рік тому +11

    Amen 🙏🙏🙏🙌

  • @Judithkadzo-t6q
    @Judithkadzo-t6q 6 місяців тому +1

    Congratulations 🎊 baba joeli🎉🎉

  • @HajiKitego
    @HajiKitego Рік тому +4

    Kazi nzuri sana

  • @hanibaishak2342
    @hanibaishak2342 Рік тому +2

    Umejia kazi au kuchukuw mume wa watu

  • @amjedsalam2856
    @amjedsalam2856 Рік тому +6

    God is the final say amen

  • @EverlynKenneth
    @EverlynKenneth Рік тому +5

    Haleluya hatuna Kama mungu Daima, mbarikiwe sana

  • @christinearegai8092
    @christinearegai8092 Рік тому +2

    Mwalimu mgeni iendelee please 🥺 from kenya sehemu ya kumi na tatu

  • @charleslyimo8372
    @charleslyimo8372 Рік тому +4

    Lsilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana Mwamini MUNGU leo

  • @monicahnjoroge5075
    @monicahnjoroge5075 Рік тому +3

    Hiyo moving iko namadundizo zuri sana, I like it's ❤❤❤❤

  • @jumakibomola
    @jumakibomola 3 місяці тому +1

    Aise mungu akuponye na akutangulie

  • @ShariahajiOmar
    @ShariahajiOmar Рік тому +5

    Nia safi hairongwi lisaa achana na mume wa watu tamaa mbaya unamtesa mwenzio kwa tamaa na hautafanikiwa utakavyo.

  • @Debola-y7f
    @Debola-y7f 3 дні тому

    Jaman mung atusaidie tuvuke mwaka salam ❤❤❤❤😂

  • @SonierShindo
    @SonierShindo 6 місяців тому +1

    Wamwaminio mungu nizaidi yawashindi ktka christo yesu

  • @rosekendi-xd5wx
    @rosekendi-xd5wx Рік тому +4

    Mungu lazima aibize madui zetu

  • @LaurentDalmond
    @LaurentDalmond Рік тому +1

    Yaani baba joan wewe ni hatari sana kwa mambo ya sanaa

  • @fatumaphylian
    @fatumaphylian Рік тому +5

    Shetani hana mamlaka yoyot 🙏🙏🙏

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 5 місяців тому

    Glory be to God 🙏🙏🙏🙏❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @mariamudaudi-s5v
    @mariamudaudi-s5v Рік тому +6

    God is everything

  • @MercySilvester
    @MercySilvester Рік тому +2

    Mungu mwema Kila wakat❤❤❤❤

  • @RespichMrema
    @RespichMrema Місяць тому

    Kaz nzr big up❤

  • @jasminisharifu7446
    @jasminisharifu7446 Рік тому +3

    Kaing'ang'ania hy wakorinto!!!😁

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Рік тому +2

    Niatari ukimpenda boss wako kikubwa nimkutesa mkewe niatari kwakweli 😢

  • @Masengesho267
    @Masengesho267 7 місяців тому +2

    Baba Joan ni Mwalimu Wa maisha kwli

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj Рік тому +2

    Mungu nimwema

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 4 місяці тому +1

    Mmmmh jmn..hii dunia Kwakweli inamambo 😢😢😢

  • @Benardobey
    @Benardobey 7 місяців тому +2

    Kweli mungu anaokoa ukimwamini na hata kuomba.

  • @ALFONSINAKIFYASI
    @ALFONSINAKIFYASI 3 місяці тому +1

    MUNGU ni mweza wa yote.yeremia 33:3

  • @Kim-o9s
    @Kim-o9s Рік тому +2

    Amen shetani umeshindwa

  • @ReallyBoy-dx4uv
    @ReallyBoy-dx4uv 6 місяців тому

    Movie nzuri ❤❤

  • @SalomeMwadongo
    @SalomeMwadongo Рік тому +2

    Mungu yupo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 Рік тому +1

    AMEEEEN 🙏 hakuna linalomshinda MUNGU

  • @victorngombo9934
    @victorngombo9934 Рік тому +2

    well acted part2 plse

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 Рік тому +4

    Mungu ni mwema sana Hakuna wakumzidi Mungu

  • @IsaacCharifu
    @IsaacCharifu 17 днів тому +1

    Unalilia mali ya mwenzio,ukapoteza yile ulikua nayo dada.alakini cunga sana

  • @IsackaKiyalo-lv4jl
    @IsackaKiyalo-lv4jl Рік тому +5

    Ee bwana wape watu Hawa kipwa zaidi kwa damu ya yesu kupitia movie hii

  • @josemaxwelltheeactor2726
    @josemaxwelltheeactor2726 Рік тому +1

    A nice of actually ❤❤❤from kenyaaaa

  • @KingDavidKingDavid-oy4vq
    @KingDavidKingDavid-oy4vq 4 місяці тому +1

    analo azisha Mungu mwanadamu hawezi kutenganisha. Kamwe

  • @Ismaëlbiringaninejeje
    @Ismaëlbiringaninejeje Рік тому

    ❤❤❤❤ from Drcongo goma

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 місяці тому +1

    Cm 😂😂😂nitaisha vocha lkn utafanikiwa hata kidogo Lisa ww mbay San b karobo nakuja Hila mwisho wa ubaya aibu lkn Lisa

  • @EmiliyNekesa
    @EmiliyNekesa Рік тому +3

    😂😂 mungu ninani haaa

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 місяці тому

    Mikc yakutosha chumvi y dukan n chumvi chini utamu Kam wote 😂😂😂 b kaobo

  • @ombenurio211
    @ombenurio211 Рік тому +2

    Nimeipenda San hii

  • @LilianJulius-px9qh
    @LilianJulius-px9qh Рік тому +4

    Mabinti wa kaz shkamoo ila Mungu anaweza yote

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 10 місяців тому

    Keep it up ❤❤❤❤❤🙏🙏

  • @glaxwelbuyali7652
    @glaxwelbuyali7652 Рік тому +2

    Glory be to God always. Nice movie baba Joan

  • @Moseskutuku-69579
    @Moseskutuku-69579 Рік тому +2

    Nimeipenda sana😢😢😢

  • @MashakaRamadhan
    @MashakaRamadhan Рік тому

    Kaz nzur❤❤

  • @MDHKAGERA
    @MDHKAGERA Рік тому +3

    Duh, utukufu kwa Mungu

  • @FRANKTIBYANGE
    @FRANKTIBYANGE Рік тому +1

    Nimeipenda sana

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 Рік тому +1

    Attendant tu❤

  • @EsterGodson-dw8io
    @EsterGodson-dw8io Рік тому +1

    Jamani hongereniiiii

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому +3

    nice movie ❤❤❤

  • @WanjjalaMwachinga
    @WanjjalaMwachinga 5 місяців тому +1

    Nguvu za Gizazitashindwa kwajina LA yesu.

  • @naomihamisi1502
    @naomihamisi1502 Рік тому +1

    Movie nzuri ya fundisha

  • @mamamunira7075
    @mamamunira7075 3 місяці тому

    Mchawi na muhuni wanashirikiana😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 Рік тому +1

    Nimependa hii movie🎉