PAPO KWA PAPO HIYO MAZINGE NA MCH NDACHA . KINYOGOLI NA MCH WA KIYAHUDI. HOVYOHOVYO TU KWA WAKRISTO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @jamilajafali724
    @jamilajafali724 2 роки тому +27

    Mashallha!,Allha awafanyie wepesi katika Mambo yenu Amin!!🤲🤲

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 10 місяців тому +14

    Allah bless you all teacher of Islam to spread the right path to Allah and all Muslim to spread Islam

  • @laodikiajafarikisinda
    @laodikiajafarikisinda 6 місяців тому +8

    Barikiwa sana ndacha yesu kristo azidi kukutumia roho mtakatifu maana yesu kristo ni ngome imara isiyoweza kuvamiwa na jeshi lolote, mungu ni mkubwa ndacha kusimama na hao waislaam ukiwa wewe peke yako

  • @didamsellem2679
    @didamsellem2679 3 роки тому +16

    Kinyogoli Allah akupe umri mrefu wenye kheri

  • @ambeleikenda5054
    @ambeleikenda5054 11 місяців тому +9

    Uko vizuri sana mtumishi Ndacha, may God bless you!

  • @SophiaMsigwa-lc3km
    @SophiaMsigwa-lc3km 9 місяців тому +13

    Yesu kristo ndie njia ya kweri na uzima❤ 🎉

  • @najmayukosawagosi9354
    @najmayukosawagosi9354 2 роки тому +14

    Mashallah mashek wetu mungu awabarik na awape umri mrefu AMiin

  • @ZainabuSudi
    @ZainabuSudi 4 місяці тому +3

    mashaalllh mashekh zetu niraha sana kuzaliwa katik uislam

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 2 роки тому +23

    Assalam aleykum.big up muslim brother's keep it up.mashallah.

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Рік тому +1

      Walaikm Salam warahmatullah wabarakat

    • @SydneyOnsembe
      @SydneyOnsembe 6 місяців тому

      Hypocrisy at its best. Kuanzia masomo ya kulinganisha hivi vitabu, kikashifu na kulaani na hatari zaidi ni juu ya pesa. Pesa,pesa pesa. Nawaonya Kwa Hilo. Maswali mengine yanadhuhirisha kwamba hawa watu nyinyi mnatumia akili zenu kuchanganua mambo mambo yaliyofichika ya mungu na yanayojitokeza Tu kiroho. Mfano; mbona yesu sijui hakurudisha punda? Ni wapi yesu akasema biblia ni kitabu cha mungu. Kwanza yesu na mungu ni mungu mmoja. Hakuna yesu tofauti na mungu akiwa kivyake maana this super natural beings , part of the spirit of the super natural being ndiyo ilikua Kwa yesu. Hilo hamlitambui ni kurushiano maneno ya akili ndogo Sana za binadamu. Na kudhibitisha hili, mungu Hadi, ndiyo maana yesu Halifax kifo cha binadamu, Mohamed alikufa akaoza vile binadamu huoza, yesu not that he wasn't able to defend himself from people crucifying him no. He came down for the purpose of teaching human beings the right way, not how powerful he was, if the old testament prophets were able to perform extra ordinary miracles by powers of God, don't you think he was able of doing anything to that mutitude ndipo wengine husema yesu atakuja sijui akufe hivo mohammed ndiye njia. Jamani mbona mnadanganywa jinsi Eve alidanganywa na the wickedly wise devil 👿. Tafakari mambo mengine si kuziba masikio na nta

  • @rev.maduhukamata7133
    @rev.maduhukamata7133 2 роки тому +10

    Ndacha MUNGU na akupiganie na akubariki Sana tuwabatize hao🔨⛏️⛏️⛏️🔨🔨🔨🔨

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +5

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hsutojli

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy 11 місяців тому +1

      Mim ustadh natak wallah lakin ni mefiny sikuon mahal na enda

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674 11 місяців тому

      @@AAA-zu1vy Ingia katika UA-cam halafau nisachi kwa Jina hili Muhammad kipanga tv utayapata masomo yetu ya Quran
      Allah akubaarik

  • @geoffreynyabigo7565
    @geoffreynyabigo7565 Рік тому +12

    Yesu ni mwamba milele daima

    • @WeddyBwayTz
      @WeddyBwayTz 7 місяців тому

      Kwani kunamuisiramu arie kataa kama isa sio mtume

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack 5 місяців тому +3

    Mwl NDACHA UKO safi Sana MUNGU Yuko upande wako

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 роки тому +11

    Ndacha uko vizuri saaana!

  • @alitalib1310
    @alitalib1310 3 роки тому +17

    Hahaha ALHAMDULILLAH nimezaliwa muisilamu

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 3 роки тому +3

      ALHAMDULILLAH

    • @shabanikuziwa4713
      @shabanikuziwa4713 2 роки тому +2

      Namshukuru mungu kuzaliwa muisirau

    • @massiasinkala3478
      @massiasinkala3478 2 роки тому

      Ww unafurahia kuzaliwa uislam,mbingu utaiskia tu,siku atakapokuja YESU katika utukufu wake,na wa MUNGU wa mbinguni mtalia na kusaga meno,nakuhakikishia usipokiri YESU,na kumwamini mbinguni hutaingia kamwe

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      @@kawtharalbarwani1337 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      @@massiasinkala3478 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

  • @wizzahgfalme3874
    @wizzahgfalme3874 3 роки тому +12

    Mazinge hatawahi kuuliza swali la upanga tena, hahahaaaa. Ameshangaaaaa

  • @tivahalima
    @tivahalima 2 роки тому +8

    Mashallah,,mwenyezi Mungu awazidishie

  • @agapepalangyo4316
    @agapepalangyo4316 2 роки тому +2

    Mwenyekiti umefanya vizuri kuzuia lugha ya maudhi

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 роки тому +45

    mashaallah sheikh wetu muko vizuri mungu awape umri mrefu

  • @selemanihamisi-yu5uw
    @selemanihamisi-yu5uw Місяць тому +2

    Masha-allah mungu awajaalie umri mrefu wenye manufaa mashekhe wetu

  • @noelyantony1488
    @noelyantony1488 3 роки тому +5

    Nimekuskiliza vzr amazinge ila nilicho gundua kwko ujui kufafanua maandiko vzr una kurupuka tu cha msingi rudi kwa Yesu bdo ana kupenda coz yye ndye njia na uzima iendayo mbinginu.

    • @allyhamad9665
      @allyhamad9665 Рік тому

      Wewe mwenyewe kuandika hujui

    • @IssaJuma-hi3kf
      @IssaJuma-hi3kf Рік тому

      Nbi o
      Y hTouch and hold a clip to pin it. Unpinned clips will be deleted after 1 hour.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +18

    Maa Shaa Allah, Allah Awabariki Ma Sheikh Awape Umri Muzidi Kuelimisha.

    • @alidingongo443
      @alidingongo443 2 роки тому +1

      Allahummah Aaamin 🤲
      Swahiba kumbe huku pia hua wapatikana
      Unakula vitu tu huku 😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 2 роки тому +2

      @@alidingongo443 🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani Wewe.

  • @ZaitunOmar-w3t
    @ZaitunOmar-w3t 8 місяців тому +4

    Mashallah mashekhe wetu Allah Yu pamoja nanyi

  • @NashatIssa
    @NashatIssa Рік тому +7

    Mashaallah Islam is the best

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 роки тому +10

    Allah akuifadhini nyote mko sahihi mashekhe zetu nawapendeni ajili ya Allah

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 2 роки тому +1

    Hakika huyu Mtu anaitwa Ndacha ni mpotoshaji dhahir. anasoma aya nusu na kutoa tafsiri zakwake za uongo kabisa. Asipo badilika anachomwa vibaya sana jahanam. hio aya ya 63;1 anajua fika anaisema kiuongo

  • @jaredonyancha40200
    @jaredonyancha40200 2 роки тому +7

    Hapo ni roho mtakatifu lazima utibiwe wakristo utumia roho mtakatifu ndio kiongozi wao thanks pastor Ndacha

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +4

    Mazinge akishindwa mada anajigeuza kichekesho

  • @rakansalam4046
    @rakansalam4046 3 роки тому +5

    Mazinge umepoteza wengi lakini malipo yakungoja

    • @aminland876
      @aminland876 2 роки тому +1

      SOMA VIZURI BIBLIA YAKO VIZURI ACHA KUJIBABAISHIA

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      @@aminland876 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

    • @malkiamrembo
      @malkiamrembo Рік тому

      Mohamed alikua muuaji

    • @malkiamrembo
      @malkiamrembo Рік тому

      Mohamed mjomba ako huyo ndoalikua muuaji ila mtume wetu ni Muhammad (s. a. w)sio muuaji ww unahiari yako kumfuata yesu au Allah

    • @awesonurein121
      @awesonurein121 Рік тому

      ww mazinge anatoa ushahidi kutoka kwa bibilia yenu hiyo ni nini??

  • @IssaSalum-k4f
    @IssaSalum-k4f 7 місяців тому +2

    Mashallah kinyogoli na mazinge Allah awahifadhi ameen inshallah

  • @marryemily8321
    @marryemily8321 2 роки тому +6

    Nzuri sana hi video, mungu awasaidie kufundishini watu si kwa ubaya, wala msigombane. elimishane jamii wamjue mungu

  • @ThierryKambale-d8n
    @ThierryKambale-d8n 7 місяців тому +1

    Wa Cristo heri ni kwenu...wa Islam okokeni muwe wa Cristo Jameni ,sababu waalimu wenu wiko nawa danganya n'a mwisho ni moto....jina la yesu li barikiwe.
    From Rdcongo. Mambasa

  • @giftngwalo6360
    @giftngwalo6360 2 роки тому +7

    Nakukubar sana ndacha buruza hao mashekh mpaka waseme Bwana YESU asifuwe

  • @kayeesbelewa4819
    @kayeesbelewa4819 2 роки тому +2

    Ndacha ni mwanaume amemunyoosha Mazinge,alitaka kutumia ujanja kashindwa.

  • @sdapathfindersdaily3224
    @sdapathfindersdaily3224 2 роки тому +11

    Neno La Mungu haliitaji uwe proffesor ...
    Ubarikiwe Ndacha🔥

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 2 роки тому +9

    Maashallah nakupenda mazinge kwa ajil ya Allah

    • @mohamed6500
      @mohamed6500 Рік тому

      Manshaallah sheikh mazinge nakupenda Sana kwa ajili ya mungu

    • @jumakazungu1640
      @jumakazungu1640 8 місяців тому

      Mashaallah Sheikh Mazinge Mungu akujaalie Rahma

  • @jaredonyancha40200
    @jaredonyancha40200 2 роки тому +4

    Kifo cha yesu Mazinge ilikuwa n mpango wa mungu na msije mkapoteze watu kama ukipoteza watu jua mto wa jeanum uko

  • @tlbarakaministriesintl
    @tlbarakaministriesintl 3 роки тому +1

    Punda wa kuazima 🤣🤣🤣🤣... Hakuazima, alisema Bwana anamtaka punda

  • @kiragufrankjoram4060
    @kiragufrankjoram4060 2 роки тому +17

    NDASHA JAMANI HE IS ON FIRE

  • @rosenyawata5314
    @rosenyawata5314 2 роки тому +1

    Ndacha kazi unayo roho wa MUNGU akutunze popote pale unyayo wako utakapokanyaga maana si kazi ndogo

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 3 роки тому +13

    Sheikh wetu Allah akulipe kwa kulingania dini ya Allah

  • @kakakakabeka624
    @kakakakabeka624 2 роки тому +5

    Pastor uko vizuri

  • @SalimMukaraj
    @SalimMukaraj Рік тому +4

    Mungu akupe nguvu na afya shekh mazinge.

  • @shamsiyahaya764
    @shamsiyahaya764 2 роки тому +1

    Kwel inafunsh cn mbarikiwe

  • @elizabethrichard4780
    @elizabethrichard4780 2 роки тому +5

    Jamani tusomeni maandiko sana. tutadanganywa sana na mpaka tutachanganyikiwe lakini ukweli uko palepale tu Yesu kaja kwa ukombozi wa mwanadam

    • @masterplan9203
      @masterplan9203 Рік тому +1

      Kabla hajaja au kuzaliwa tarehe 25 mwezi wa 12 je waliokuepo mwanzo terehe 24 mwezi wa 12 au siku za nyuma yake walikombolewa na nani???, kueni na akili wakiriato mucwe mazumbukuku

    • @khadijaali1656
      @khadijaali1656 9 місяців тому

      Eti kaja kukomboa amkomboe nan, acha kudanganya hapa hamuwez kuwadanganya wenye akili zao hapa,yy mwenyew anatka kukombolewa na aliye muumba naye ni Allah . Nyiny semeni mtakavyo sema yesu ni mtume huo ndo ukwel,anaefuatwa ni Allah ndie aliyeumba dunia huwez kufuatwa ww na huo uongo unatueleza

  • @ndewariopeter1370
    @ndewariopeter1370 2 роки тому +1

    Serikali kama serikali,ipige marufuku mijadala kama hii,,kila mwenye imani yake,aifuate sehemu husika,,,kama msikitini,au kanisani kwa imani yake,,,kwa nchi yetu yenye
    Kama Tanzania, tuheshimiane kwenye sana sana kwenye maeneo ya ibada,,Leo serikali ianaruhusu mabishano kama haya ya kudhalikisha manabii was MUNGU,,"na wkt huo lugha za maudhi zinatumika,kwa nini serikali inayaruhusu haya?
    Hakuna dini inayoweza kufuta nyingine isiwepo,"wote tumezaliwa,tumezikuta dini,"hatuna budi kuziheshimu,"ukweli anaujua MUNGU,,,hawa wenye mijadala hii,waende kwenye maeneo,kwa imani zao,"binafsi,sidhani kama amani ni ya kutosha sana
    Serikali,hili liko kwenu
    Ndugu zangu,
    Muogopeni MUNGU

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 роки тому +5

    Wewe baba usifikiri quruani inazungunza kama wewe lugha ya ALLAH neno moja ina maana nyingi

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +2

    Muhammad ni uchawi na alipanda huyo mnyama alipanda kichawi

    • @mohadabaso8654
      @mohadabaso8654 10 місяців тому

      Ww ndio mchawi Muhammad wetu msafi sana hana dhambi.msenge ww mtoto wa plastic.

  • @didamsellem2679
    @didamsellem2679 3 роки тому +7

    Mazinge ni professor.ndacha huna hoja

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 2 роки тому +1

    Jesus himself prophecised the coming of Muhammad (saw)

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 2 роки тому +4

    Kwa Mara ya pili nashuhudia Mazinge AKIBURUZWA NA HUYU MUHUBIRI NDASHA
    *YESU JUUUUUUUU*

  • @PeterEkutan-h7t
    @PeterEkutan-h7t 6 місяців тому +1

    Yesu ndio njia ya kweenda mbinguni

  • @rashidypandu3360
    @rashidypandu3360 2 роки тому +3

    Mwenyezimungu wasamehe ao wakristo hawajui wanalo litenda amin

  • @AbushirJr
    @AbushirJr 27 днів тому +1

    Waislam ni wasema kwel na watabak kuwa. wasem kweli tu

  • @زهرغنيه
    @زهرغنيه 3 роки тому +7

    Kama kuna watu nawapenda nimahadhil mashaallah Allah awajaliy

  • @festojoseph25
    @festojoseph25 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂mchungaji nomaaaaaaa kawapiga panapouma

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 роки тому +11

    😃😄na penda group ya mazinge mashaallah mngu awazidishiye

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Рік тому

      Umeon kis wa kristo wa liangalia ustadh manzing aki changish elif kum😂😂😂😂

  • @mjubachuga7560
    @mjubachuga7560 2 роки тому +2

    Mazinge' hana hoja'' mambo ya kirohoo'unajibu kimwil'''

  • @jayequalizer_ke1
    @jayequalizer_ke1 3 роки тому +4

    Mhadhara wautaratibu ndacha haiwezi,matusi na kejeli pamoja na istihizai

  • @basharry40
    @basharry40 21 день тому

    Allah anasem ومن يبتغ غير إسلام الدين فلن يكبل منه وهو في الآخرة من الخاسرين maan yk yoyote atakae fuat dini asio kua uislam mto huyo ataingia motoni wallah uislam Raha San ❤

  • @josephbenedictprince5422
    @josephbenedictprince5422 2 роки тому +5

    Mazinge mnasoma vifungu nusunusu lakini pia biblia sio kitabu cha hadithi ili kuelewa inahitaji kufunuliwa na Roho mtakatifu ....

    • @swabirkhamisnasoro6246
      @swabirkhamisnasoro6246 Рік тому

      Joseph hata ndacha ana ufahamu mhache wa Quran na pia quran sio Kama gazeti, tatizo anatafsiri Kwa kichwa chake

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 2 роки тому +1

    Kiswahili ngumu sana kwa wakristo..we need an English muhadhara please.

  • @gracestefan-w8v
    @gracestefan-w8v 11 місяців тому +4

    God of wonders🙏🙏🙏pasta ndacha blessed

  • @bernardchesoli4322
    @bernardchesoli4322 2 роки тому +1

    Dacha umetosha. Wafunze waislamu kwamba wamepotea kabisa.

  • @mams1892
    @mams1892 3 роки тому +7

    Jazzakallahu khairan

  • @josephmanase3176
    @josephmanase3176 Рік тому +1

    Waisilamu wote wamepotea

  • @bernardchesoli4322
    @bernardchesoli4322 2 роки тому +3

    Bibilia Ina pumzi ya uhai wa Mungu. Twende binguni turudi duniani yesu ni mwana wa Mungu.

    • @salimuwaya7600
      @salimuwaya7600 2 роки тому +1

      Nani kakudanganya yesu ni mwana wa mungu...Mungu hajazaa wala hajazaliwa

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому

      @@salimuwaya7600 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

  • @Aloysjacob
    @Aloysjacob 3 роки тому +2

    Waislam ni makafili kweli mumpigwaaaaaaa kbx

  • @selemanemomadeformassane3441
    @selemanemomadeformassane3441 2 роки тому +30

    Islam is a true religion!

  • @sinevictor8966
    @sinevictor8966 2 роки тому +2

    Mwenyekiti yuko fare sana nmempenda

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 Рік тому +4

    YESU NI MWAMBA ❤

  • @millitonicmteule98
    @millitonicmteule98 10 місяців тому +2

    All Muslims and most Christians acknowledge that they believe in the same god even though their understandings differ. Arabic-speaking Christians call God Allah, and Gideon bibles, quoting John 3:16 in different languages, assert that Allah sent his son into the world.

  • @aminaabu4482
    @aminaabu4482 3 роки тому +3

    Ndacha alishindwa Kenya na Anuari kakimbilia tz😂😂😂

  • @graceshayo1347
    @graceshayo1347 2 роки тому +1

    Swali la kijinga kbx

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 3 роки тому +4

    Haha mazinge amejibiwa hadi katamani ardhi ipasuke imzikee.. Ukristo ni haki

  • @pascmedia1713
    @pascmedia1713 2 роки тому +2

    Pingeni tu ila mkifa ukweli mtaukuta huko mbinguni ni heri Mungemwanimi Bwana Yesu awaokoe Biblia imiesheheni kila idara ina pumzi ya Mungu hata ukiipnga unajisumbua bure

    • @mathewgmrosso8558
      @mathewgmrosso8558 2 роки тому

      Kwani kunamaaana ganii mana Mimi kuelewa nimeelewa ilaa waisikamu niwabishi sana kwaiyoo wasitupotezee mudaa

  • @josengahwelatv2047
    @josengahwelatv2047 2 роки тому +7

    yesu ni jibu la ulimwengu

  • @warugaruga492
    @warugaruga492 2 роки тому +1

    Baba wanyooshee hao waislam

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 роки тому +7

    Halleluya,,ndacha u aeleweka sema wana giza jingi ndio wanatakasika taratibu

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 роки тому +1

    Mazinge hana uprofesa wowote bali ni propaganda tu, ndacha anaeleweka sana tu...wajinga pekeyao ndio hawataki kukubali ukweli, wanazidi kupotea

    • @sarahkudoyi4371
      @sarahkudoyi4371 2 роки тому

      Huezi mlinganisha ndacha na hao mashekhe sijui mavitu gani,,ndacha amesoma hadi quran na anaielewa na ndio maana anaipinga koz sio kitabu cha kweli bali mazinge ni porojo tu na ubishi wa msikitini tena hawaelewi ata hio quran yao

  • @samxx411
    @samxx411 3 роки тому +9

    Wallahi haya mambwembwe ya Mazinge nayapenda sana, hivi ndo inavyotakiwa Muislam katika Mashindano, vita au Midahalo ya dini baina ya uislam na dini yoyote lazima uoneshe mbwembwe/ujidai kuisimamia dini usiwe laini laini au mwepesi

    • @geraldtarimo2550
      @geraldtarimo2550 3 роки тому +1

      Huyu mchungaji anatisha

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 2 роки тому +1

      Ila aseme ukweli wa maandiko akisema uongo, haina maana ya midahalo

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 2 роки тому +1

      Huyo mazinge wenu anawapotosha ni mnafiki hatari mtaingia motoni woote.

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 2 місяці тому

      Mkund kweli ww

  • @jumamasasi4424
    @jumamasasi4424 6 місяців тому +1

    Asante mazinge

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. Рік тому +4

    Courage NDACHA♥️

  • @josephmabibi6379
    @josephmabibi6379 2 роки тому +1

    MAZINGE ACHA NAHAU TUPE NENO LA KWENYE VITABU!!

  • @rakansalam4046
    @rakansalam4046 3 роки тому +19

    Mwalimu ndacha wape elimu ya mungu tanzania kweli kimeeleweka waislamu mfuate yesu

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 3 роки тому +2

      Ww hujielewi na huelewi kua unakoelekea siko kabisaa

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 роки тому +1

      @@nassorhaji2637 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 10 місяців тому

      ​@@noahwamalwa4385taja watu alioua heheheheheh ama kwly machizi wako wengi hata bible hamsomi😂😂😂

  • @Presentersam254
    @Presentersam254 6 місяців тому

    Mwenzangu Yesu hakusema atarudisha punda, Alisema Atakaye wauliza mwambieni BWANA ANA HAJA NAYE.

  • @jacksonmusyoka8837
    @jacksonmusyoka8837 3 роки тому +3

    Ndacha kazi nzuri

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 роки тому +2

    Ndacha ww ni mwl kweli kweli

  • @giftngwalo6360
    @giftngwalo6360 2 роки тому +8

    Hahahaha gonga hao Islamic maan YESU ni mwamba

    • @yassinm69
      @yassinm69 Рік тому

      Baki na yesu wako

    • @beautysleep2
      @beautysleep2 Рік тому

      @@yassinm69 na Tutabaki na yeye milele na milele

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 роки тому

    ua-cam.com/channels/W6v0MWHzBggd2npKtwOgOQ.html. Msikilizeni bishop ngonyani mtajifunza kitu amenyooka kama rula hapindishi vitu

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 3 роки тому +7

    Ndacha hana lolote ni mda tu anapoteza. Hongera sana kwa ma sheikh wetu ,sheikh mazinge na sheikh kinyongoli ALLAH azidi kuwahifadhi wahadhiri wetu

    • @fredymahinda4024
      @fredymahinda4024 2 роки тому

      Hawana hata nauli Iman dhaifu ombeni Kila kitu mtapewa

  • @dicksonjkamage4571
    @dicksonjkamage4571 2 роки тому +1

    Mhh mkubalini yesu

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 3 роки тому +3

    Kutoka USA hakumufanyi ajue we mfundishe tu maneno ya Allah

  • @ednamsovela9366
    @ednamsovela9366 2 роки тому +1

    MUNGU awafungue ufahamu mumjue YESU

  • @amisibilly5084
    @amisibilly5084 3 роки тому +19

    Sheikh mazinge upo sahai sana.ila napenda Tanzania saana muko na hamani ya dini mwenyezi mungu awazidishie amani.

  • @DaudiIbraha
    @DaudiIbraha Рік тому +1

    Wape wembe baba

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 роки тому +11

    Jazzak Allahu khairan tunakupenda saana ma Shekh wetu Allah awazidishiye umwri wazidi kuwapa vidonge

    • @RehemaMbwingo
      @RehemaMbwingo 8 місяців тому

      Mungu awalipe hery mashehe zetu dunian na ahera,by rehema mohamed

  • @apostlekingreigns3893
    @apostlekingreigns3893 3 роки тому +2

    ndacha profecer nakupenda waislamu kubalini

  • @jacksonshilingi1374
    @jacksonshilingi1374 2 роки тому +3

    Mazinge yupo kidunia zaidi hajui kutafakari

  • @mongelamisoza7894
    @mongelamisoza7894 2 роки тому +1

    Mtume alipanda mnyama gani? Hili jibu halijatoka