BREAKING: JPM Awasweka Wenyeviti Ndani Hadharani!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • BREAKING: JPM Akizungumza Serengeti Muda Huu
    Rais Dkt John Magufuli anaendelea na ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
    Leo Septemba 06, 2018 , Rais Magufuli ametembelea wilaya ya Serengeti na kusimama barabarani na kuzungumza na wananchi wa eneo hilo na kusikiliza kero zao.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.youtube.com/... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1
    / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

КОМЕНТАРІ • 144

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 років тому +21

    Yaan kama unamkubali rais magufuri acha ubishi acha majungu gonga like yako hapa

  • @abrahamamos944
    @abrahamamos944 6 років тому +15

    mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nakupongeza sana kwa kazi yako nzuri, inatusisimua mno mkuu!
    katika maisha yangu niliyoishi Duniani hapa sijapata kuona mfano wako. mwenyezi Mungu akupe ulinzi na akuzidishie maisha marefu Amina

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 6 років тому +17

    Ndo maana nasema hili jembe lilikuwa wapi? Tz kama tangu awali viongozi wangekuwa wazalendo kama huyu basi ulaya wangekuja kuomba hapa na kwao wasingeona mtz anaomba lakini ndo hivo tena hatukuwa na viongozi wazalendo! yaani Tanzania kwanza.

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 6 років тому +7

    Kiukweli mm sipendi ccm lkn mzee Magu namkubali sana

  • @alexkisiri1286
    @alexkisiri1286 6 років тому +7

    Hongera sana Rais wetu, haki za watanzania zilipotea kwa viongozi wasio na upendo na nchi yao, Hongera sana JPM

    • @yakobomaro5765
      @yakobomaro5765 6 років тому

      Si vema kuna ofisi na serikali si hipo kazini kumhoji mtu kwenye kadamnasi si haki. Tupe katiba kama unapenda nchi hii .

  • @allykazoa7065
    @allykazoa7065 6 років тому +8

    weka ndani wezi hao wa mali za umma safi sana waziri wa mambo ya ndani piga kazi msaidieni Rais

  • @shekilashekilaabudulha5038
    @shekilashekilaabudulha5038 6 років тому +28

    Rais wetu oyeeeeeeeee nasema tena oyeeeeeeeeeeee na tena oyeeeeeeeeeee

    • @hamzabingwe4178
      @hamzabingwe4178 6 років тому

      Shekila Shekila Abudulha 😀😀😀😀😀😀

  • @yohanamwakalonge1555
    @yohanamwakalonge1555 6 років тому +14

    Kweli nimekubali raisi sasa tunae anae bisha abishe tu

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 6 років тому +25

    Yan furaha mpaka choz linanitoka walipoitwa wanafunzi

  • @jacksonrabo5825
    @jacksonrabo5825 6 років тому +5

    Mimi sijakuunga mkono bure uwezo wangu wa kuangalia mbali nilikuona mapema na nikaamua kujiunga na ccm kitu ambacho sikuwai kufikiria kwani nilikuona ndio suluhisho la matatizo ya Watanzania. Sijutii kujiuzulu udiwani wangu na ninaamini kwasababu wananchi wangu Ndumet wananiamini wata nirirudisha niendelee kuwatumikia

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 6 років тому +36

    Mh. Rais anafanya majukumu ambayo wateuzi wake wangepaswa kufanya mapema. Mnamchosha sana MZEE

    • @maligisajames4370
      @maligisajames4370 6 років тому +1

      Yaani mpaka namhurumia Mhe. Rais wetu. Yaani kama vile hana wasaidizi jamani.

  • @josephmagenzi1738
    @josephmagenzi1738 6 років тому +3

    Duuuu watapata tabu sana hongera Uncle magu kwa kazi nzuri

  • @abbyrichiejr6750
    @abbyrichiejr6750 6 років тому

    Pamoja sanaaa

  • @habilicharles4410
    @habilicharles4410 6 років тому +3

    Hongera mhe, Rais tulisema haya unayoyafanya kuwa utafanya sasa unazidi kudhihirisha tuyokuwa tunatarajia utayafanya wakati wa kampeni Mungu akulinde sisi watanzania tunakuombe sana tunaipenda Tanzania yetu iendelee zaid. Ahsante mkuu wa nchi napia hongera kwa mawaziri pia wanajitahid sana

    • @pauloabdala6516
      @pauloabdala6516 6 років тому +1

      mungu atakulipa kw yote mema unayo fanya katka nchi hii iliyo porwa Mali zake na mafisadi kwmuda mrfu.

  • @theodoremilenzo9420
    @theodoremilenzo9420 6 років тому +12

    Hizi shida zooooteeee zingeweza kabisa kumalizwa wakati wa utawala wa Mkapa na Kikwete. Hivi hizo tawala ziliifanyia nini Tanzaniaaa???? Achilia mbali zile ziara mbalimbali walizokuwa wanazifanya huko Ulaya na Marekani.
    Sasa hizo safari zao za Ulaya na Marekani ni kweli walikuwa wanawawakilisha WaTanzania na hasa WaTanzania wanyongee!?????

  • @gerrymainmunisi6677
    @gerrymainmunisi6677 6 років тому

    Pesa zote hzo mshua kununua miwani tu. Safi sana Rais wangu

  • @peninaongara2021
    @peninaongara2021 6 років тому +11

    Mzeee magu piga kazi na ccm wanamrto tupo nyuma yako tunakupenda na tunakukaribisha mrto wilayan tarme kemambo PGA kaz mzee magu

  • @firdausabdullah6315
    @firdausabdullah6315 6 років тому +8

    Allah sw akulipe hata sisi wakenya twakusifu

  • @emmanuelamsi6169
    @emmanuelamsi6169 6 років тому

    kazi nzuri sana rais wetu magufuli. mwenye Mungu akutangulie katika kutekeleza majukumu yako ili watanzania wanyonge wapate nafuu dhidi ya wazembe na wahujumu uchumi.

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 6 років тому +7

    Magu nomaaaaaaaaaa

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 6 років тому

    HATARI SANA YAAN NINA PATA,RAHA SANA MZEE BABA ANAVYOWAKOKOTA

  • @isayadanson12
    @isayadanson12 6 років тому +1

    Kitu nachokupa sauti hautaki kucheka na mtu anaekula hela za watanzania mungu akulindi na familia yako raisi wetu

  • @paulfaustin8382
    @paulfaustin8382 6 років тому +15

    Anko magu nilikuwa siripend lakn ss hv nimelipenda bure

    • @gabrielchija5956
      @gabrielchija5956 6 років тому

      Paul Faustin
      .

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 6 років тому

      Paul Faustin ulikuwa chizi sasa umepona.JPM kama ukimchukia ujue unahitaji kumuona daktari wa akili sio bure

  • @cleverp36
    @cleverp36 6 років тому +1

    Piga kazi Mr president wa wanyonge

  • @abdallahrashid8883
    @abdallahrashid8883 6 років тому

    nakubali kazi zako magu

  • @bensonmaselle2372
    @bensonmaselle2372 6 років тому

    Chapa kazi Baba

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 6 років тому +10

    Niliwahi kuiombea Tz tupate rais bora Co bora rais naona dua yangu ilifika'Sasa mambo yameiva ona sasa ona.. 😁😁😁😁

    • @habilicharles4410
      @habilicharles4410 6 років тому +1

      Yes

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 6 років тому +1

      RAIS TUNAE JAMANI MUNGU ASANTE SANA BABA WA MBINGUNI KWA KUTUPA MTEULE TOKA KWAKO. HUYU NO RAIS WA WATANZANIA . HAKUNA MAZOEA HAPA NI KAZI TUUUU.BARIKIWA SANA RAIS MAGUFULI.

  • @abdulshaban6343
    @abdulshaban6343 6 років тому +8

    hahahhahahaha huuiiii aiseee mm ninacho kijua ukiajiriwa kwenye serekal ya maguful jarib kuuza na karanga au nyanya ili usiegee sana kwenye pesa zinazo tokana na serekali ya maguful utapata tabu saana

    • @memmeme503
      @memmeme503 6 років тому

      unawez kusikia rais anakuja ukasepa mk hii htli 😃😃😂😂

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 років тому +4

    Mhhmhmhmhmh pesa nyingi sana pesa izo

  • @chongemarwa1543
    @chongemarwa1543 6 років тому

    safi sana mshimiwa raisi mungu akupe.nguvu pamoja na mheshimiwa kangi wahukumiwe

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 років тому

    Kazikazii.

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 6 років тому

    Big brother forever

  • @clt9914
    @clt9914 6 років тому +3

    NI vibaya kutoa pesa barabarani lakini kwa shida hizi za nchi unalazimika kuwa hivyo. Viongozi walio mashinani ni tatizo. Binti anaonyesha wazi furaha yake.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 років тому +4

    Hi nchi wiz haush jaman

  • @fadhilikifutu6540
    @fadhilikifutu6540 6 років тому

    Ongera Rais wetu mungu hakutie nguvu katika majukumu yako

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 6 років тому

    Hapa kazi tu.

  • @johnmwijavire2134
    @johnmwijavire2134 6 років тому +4

    Magufuli hoyeeeee

  • @halfanrashid4977
    @halfanrashid4977 6 років тому

    pongezi sana kwako mh Rais

  • @sixtusndagire6234
    @sixtusndagire6234 6 років тому

    Kaz nzur

  • @laizerndooki6561
    @laizerndooki6561 6 років тому

    Safi Sana rais wetu Mungu akusaidie

  • @josephpaulo5642
    @josephpaulo5642 6 років тому

    Kwel jpm ni shida hongera sana tens sanaaaaaa mungu akutangulie urudi salama.

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 6 років тому

    Kazi kazi Muheshiwa nakupendaga sometimes

  • @paskoshavu4062
    @paskoshavu4062 6 років тому

    Hongela sana rais wa nyonge kalibu na sisi kigoma

  • @mgosiphilemon7111
    @mgosiphilemon7111 6 років тому

    CCM oyeeeeee

  • @raymondshilatu2495
    @raymondshilatu2495 6 років тому

    Good management Mr President

  • @richardrobert684
    @richardrobert684 6 років тому

    Duh n noma

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 6 років тому +7

    Mzee baba mafisadi wakikuona tu kwenye media sikuhizi nasikia wanajikolea😁😁

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 6 років тому

    Kazi nzuri ,hila waruhusu na upinzani kuanza kampeni kama wao walivyoanza

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 років тому +2

    Hapa mimi nafurahi mpaka mumutima wanje. Urakoze mutama ibyo ngivyo tubhigomba twebwe. Imana ikuhezagire. Noneee Abhibhupinzani bhalimo mukashifa? Ntabhalimo ,none tugirante!! Yebhahali ibhyo nibhihendumwana ngo sokokuru numugabho!!

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 6 років тому +1

    C.C.M oyeeee!!Simba wa Tanzania JPM oyeeee

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 років тому

    Urakoze kushima mwananje.

  • @emmanuelamsi6169
    @emmanuelamsi6169 6 років тому

    karibu mh. rais JPM huku kwetu KILIMANJAROOOO.

  • @mikelmasanja2522
    @mikelmasanja2522 6 років тому +1

    Unapiga kazi Mh. Rais

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 6 років тому +1

    Aibu

  • @gracemarco4875
    @gracemarco4875 6 років тому

    Asante sana rais wangu.Nakupenda mpaka machozi.saidia wanyonge kama Yesu Kristo alivyofanya

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 6 років тому

    YAAN UKITAWALA MIAKA HATA 50 mbele hakika hii nchi tutakua mbali sana

  • @chongemarwa1543
    @chongemarwa1543 6 років тому

    mtapata taabu sana

  • @husseinkulumbiza8894
    @husseinkulumbiza8894 6 років тому

    Kula yangu Aijapotea Wanyooshe,watanyooka tu vyabure Akuna.

  • @mathiasdenas685
    @mathiasdenas685 6 років тому

    yani lais we nijembe

  • @paulgodfreymashimba2576
    @paulgodfreymashimba2576 6 років тому

    KURA YANGU YA NDIYO 2020 NTAKUPA JPM

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA 6 років тому

    kazi serikalin ni lawama bora kushika jembe

  • @omaryjuma7847
    @omaryjuma7847 6 років тому

    gd

  • @theodoremilenzo9420
    @theodoremilenzo9420 6 років тому +11

    Tunaomba leo hiii Mkapa na Kikwete waliifanyia nini Tanzania ya wanyonge.
    Mbona inavyoonekana walalahoi katika hizo Tawala walitaaabika sana????

  • @March-ps1he
    @March-ps1he 6 років тому +1

    Daaa!!!!huyo police huyo
    Atadumu, kwa vile siyo kwa bidii na wepesi kama huo

  • @yebetejoseph6611
    @yebetejoseph6611 6 років тому

    Piga kazi babaaaa

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 років тому +2

    Njoo bukoba mh

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 6 років тому

    Watz tungekuwa tunafatilia haya tungekuwa na akili asante magu

    • @chichivanny2663
      @chichivanny2663 6 років тому

      Tena tungekuwa tunajua mengi zaidi ya haya..... Mungu amuweke raisi wetu

  • @alexkapaya8909
    @alexkapaya8909 6 років тому

    hv hawa wakuu wa mikoa na wilaya wana kazi gan jaman!!

  • @user-wn3zb5xv6v
    @user-wn3zb5xv6v 5 місяців тому

    Askari wameanza kumsogelea mwwnyekiti da

  • @mgosiphilemon7111
    @mgosiphilemon7111 6 років тому

    Ni kwl kbisa wenyeviti wamekuwa mungu watu hapo kijijini hata ajira mpaka utoe pesa ndo upate ajira kwenye kampuni.

  • @braysonmwakatage2950
    @braysonmwakatage2950 6 років тому

    huyu ndiyo rais kweli!!!! karibu mbeya

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 6 років тому

    Baba hata uku kwetu wapo

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 6 років тому

    majuha wengi kuliko...
    Yaaani unaaminisha Watu wongo sh**t

  • @mwanneamani7307
    @mwanneamani7307 6 років тому

    laisi anaakili uyu ameisha anza kufanya kampeni ya 2020 kijanja bila watu kujuwa ssiv ni mzee wa keshi anatembea na hela ttz liktokea anatowa kesh anapotowa ktk eneo hilo anakuwa ameisha hamasisha watu anakili sana mpaka zikianza kampeni yy amemaliza anasubili majibu yake

  • @jumahussein3715
    @jumahussein3715 6 років тому

    Hahaaaaaaaa jamani magu

  • @abedgat5121
    @abedgat5121 6 років тому

    raisi uko vizuri kula yangu 2020 nakupa

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 6 років тому

    Hili tatizo la kutoajiri wenyeji hata kwetu nyamongo mgodi umetoa ajira kwa wageni na kuwatosa waliompisha mwekezaji

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 6 років тому

    Wengine wanyonge wanatumbuliwa haraka,lakini wengine hawatumbuliwi haraka.Ubaguzi wa kuangalia sura huo.

  • @frabomdemwa8880
    @frabomdemwa8880 6 років тому

    aaa siasa za kinanja tu hizo ila raisi yupo vizuri kasoro demokrasia tuu umemaliza

  • @jolitejolite1497
    @jolitejolite1497 6 років тому

    Na wakome ndiyo hiyohiyo mijizi halafu utaisikia mwanangu awezi kusoma shule za kata kumbe mijizi asante rais JPM tutakukumbuka milele daima na na kitungwe kitabu chako cha uzalendo wa nchi hii ya tanzania na Afrika

  • @stivenkihombo3675
    @stivenkihombo3675 6 років тому

    Daaaaaa,,, haijawahi kutokea mahali popote Duniani, Mungu akulinde uendelee hivyo hivyo mpaka kieleweke, maaana hii nchi ilikua ya Watu mafisadi sana nakuomba uwanyooshe hao.

  • @hellenmgungus1979
    @hellenmgungus1979 6 років тому

    Watapata tabu sana

  • @jazimsaid6862
    @jazimsaid6862 6 років тому

    jmn pga kazi tutkula akitoka

  • @maryoswald6192
    @maryoswald6192 6 років тому

    Magu oyeeeeeeeeeeeeeee nasema tena Raisi oyeeeeee

  • @chichivanny2663
    @chichivanny2663 6 років тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥oyeeeee

  • @michaelphilemon2374
    @michaelphilemon2374 6 років тому

    dadadeq uncle balaaa wakikusemelea umekwisha nyavu hadhari.

  • @happylightlyimo252
    @happylightlyimo252 6 років тому +2

    Mbona mikoa mingine haufiki?

  • @filemonisarwatt6815
    @filemonisarwatt6815 6 років тому

    Vzr sana mheshimiwa Rais washughulikiwe kwa kadiri ya matendo yao

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 6 років тому

    Wanyoooooshe jpm ichi ilikua haina raisi

  • @ketchouch4339
    @ketchouch4339 6 років тому

    Rais bana eti umeonga mwanamke aaaaah ,piga kazi baba

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 6 років тому

    Huyu ndo rais wangu pili Tanzania baada ya jk nyerere wengine walikuwa viongozi wa nchi tu

  • @manofreality3656
    @manofreality3656 6 років тому

    c mtuazime magufuli aje atusafishie kenya....kwani inanuka kwa ufisadi

  • @chrismbut5277
    @chrismbut5277 6 років тому

    Mwendo wa Kuchomekea tu da,sasa hapa kilichbakia ni kuragana mwingine akaroge Mombasa mwingine sumbawanga hehehe

  • @charlesiminzi2147
    @charlesiminzi2147 6 років тому

    mbona mkotena ya mkonda Husein?

  • @salimmauly3035
    @salimmauly3035 6 років тому

    jamani kampeni zimeanza ata mwaka 2020 bado mjihadhari!

  • @shukuruantipas8712
    @shukuruantipas8712 6 років тому

    Anaingilia mamlaka ya wananchi mno sasa wao wamechaguliwa na nani?

  • @beatricevalerian255
    @beatricevalerian255 6 років тому

    hv wasaidizi wa rais mbn mnamchosha rais wetu jmn kz yenu hasa ni nn? maana kila jambo rais ndio aje achukue hatua

  • @josephmolle
    @josephmolle 6 років тому

    😂 😂 😂 😂 kweli mnyekiti amelamba

  • @iddirashid8038
    @iddirashid8038 6 років тому

    et umehonga mwanamke😃😃😃😃😃

  • @stephenmassawe218
    @stephenmassawe218 6 років тому +1

    Mbona mmevaa kivyama lakini?

    • @stephenmassawe218
      @stephenmassawe218 6 років тому

      Hela za zirudishwe kwa salama yenu ila serikali iwe makini siasa isiingizwe kwenye mambo haya.

    • @denniskiango6901
      @denniskiango6901 6 років тому +1

      Vaa na ww kichama chako hukatazwi ila mkutano ni wa serikali ya Tanzania rais ni wa CCM na serikali anyoongoza inaongozwa na CCM kwa ilani yake unatakaje tuvaaje

    • @respichiusraphael3811
      @respichiusraphael3811 6 років тому

      Stephen Massawe kuwa muelewa huyu ni mwenyekiti wa chama ndo ajira yake hiyo,ndo maana hata police kavaa sare yake

    • @respichiusraphael3811
      @respichiusraphael3811 6 років тому

      Stephen Massawe ndgu huyo ni m/kiti was ccm ni lazima avae sare yake ya kazi,maana hata police uvaa sare zao