HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Ni kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 7, 2018 kwenye Chuo cha Ualimu Tarime ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Mara.
Katika kuhitimisha ziara yake mkoa wa Mara, Rais Magufuli amehutubia mkutano wa hadhara Mjini Tarime na kuwahakikishia wananchi wa mji huo kuwa Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kuwahudumia wananchi bila kuwabagua.
Katika hotuba hii Rais Maguli ameeleza sababu ya kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino Mlowola, amekemea vitendo vya rushwa na ubadhirifu ndani ya CCM, pia amemkaribisha CCM mbunge wa CHADEMA Ester Matiko.
Amesema kwamba kwa Tarime serikali imetenga shilingi Bilioni 14 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji, imeanza ujenzi wa barabara ya Tarime - Mugumu kwa kiwango cha lami, imetoa shilingi milioni 400 za ujenzi wa kituo cha afya, inatoa fedha za elimu bila malipo kila mwezi na inaendelea kusambaza umeme kwa vijiji vyote visivyo na umeme.
Rais Magufuli amezungumzia uwekezaji wa shamba la miwa na kiwanda cha sukari katika wilaya ya Tarime, na kueleza kuwa Serikali itafanya uchambuzi wa kina kabla ya kuridhia mradi huo huku akiwataka viongozi wa Mkoa na Wilaya kuondoa tofauti zao.
Kwa wilaya jirani ya Rorya Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo kutafuta fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kujenga hospitali.
Loooo! Ni hasara na pengo sana kumpoteza kiongozi wetu mkubwa kama huyu. Maskini watanzania. Tutampata wapi tena. Mungu twakuomba iweke roho ya baba yetu Rais wa Tanzania. J.M. Amina.
Tulikupenda sana mh JPM mungu akulaze pema
Kiongozi Bora 👍
Mwenyezi mungu akupumuzishe mahali pema peponi amen
Mungu akukumbuke akumbuke sadaka yako uliotoa wakati wa uhai wako.akusamehe makosa yako.akupe Raha ya Milele.
Lot's of love from Kenya 💕
Mungu akutangulie,kweli wewe ni chuma.tangulia BABA.Mungu atakulipia.
Yumekumis sana baba jpm pumzika kwa amani mwanga wa milele ukuangazie
naendelea kumwombea huyo Rais JPM Usiku na mchana, Mungu amjalie katika uongozi wake! Anafaa kuitwa Rais wa Afrika nzima!
Vp bado unaendelea kumuombea??
@@kassimrajabu7805 Inamaanisha kuwa wewe pia umo miongoni mwa walio shiriki Katika kifo chake! Kila mwenye mwili, atakufa tu!
@@nendemakyambe5624 unatafunwa nn?? Mimi Mungu??
Amen. Hatutapata mwingine kama yeye. Mungu alitupatia dume kweli; Jembe kutoka Chato.
@@kassimrajabu7805 😂😂
Aisee m/mungu akusamehe makosayako uliweza kwa kiasichako sizani kama tutapata atakae kulivu
Duu! Alaaniwe kama kuna alie husika na kifo chako rais wetu. Nakuelewa sana
Alaaniwe pia aliyehusika na kifo cha Beni Sanane, Alphonce Mawazo, Azory Gwanda na wengine wengi, alaaniwe pia
Nita kuku mbhuka sana rais wangu mwenye upendo wadhati uliyo tuonesha sisi watanzania tunakujua vizuri sana mungu akutangulie uko uliko tuta endelea kuku penda auta futika katka moyoni mwetu utabaki daima rais wangu mwenye upendo wadhati na bara la Africa mwenyezi Mungu na ombha utulinde na kila shari
Yaani ni hasara. Tulipoteza kiongozi wa ajabu sana. Alikuwa ni kiongozi mwenye hekima, busara, maarifa, akili zuri za kuwaongoza Watanzania. Loooo! Ni pengo sana lisilozibika. Mungu iweke roho ya Tas wetu Marehemi
😭🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿😭Hakika hayati Dr John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima kipenzi chetu
😭😭😭😭😭😭😭tutayaishi mema yako huruma zako na upendo wako kitabu chako nikizurii sana pumzika baba tunakuombea
The only hero of our time....baada ya mwalimu nyerere kiongozi pekee anayefuata ni huyu...hakuna mwingine. Mpaka leo Mungu ametupa viongozi hawa tu
vizuri saana Rais Magufuli kwa hotuba nzuri
Keep shinning wherever you are! Missing you Big Man ..
Daah Rest in peace My President John,now mzee Tz ni nchi ya tozo, na kusifiana tuu pasi utelekezaji ,wale wote uliowateua washapigwa chini,nchi ishabiki chungu #Samia mwenyewe kila day Safari zisizoeleweka My President Rest in peace Baba Magufuli🕊
Mungu anatupenda
I never get enough of him. He went too soon🙏
L
Kk
Good vision in a simple mind
Rest in peace MY ❤ lovely president
Mzee wangu me sisemi ninavyo umia moyo sema mungu ndio mjuaji sema dah mda mwengine watu wanausika na kumkimbilia mungu
Mungu wangu uishie mbinguni, hufai kuulinzwa maswali kwa ulichokifanya,ila kwa uyu Raisi wetu JPM,ungezuita iyo kifo asife araka jinsi walivyo muuwa huyu baba wetu kipenzi cha watanzania wanyonge 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭,naomba umsamehe makisa yake,ili umpokee kwa upendo,jinsi alivyo tupenda sisi wanawako, waafrica
Kweli my brother tunajua kitabu chako hakikua na muhuri wa nnje ya afrika.
Baba umefanya kazikubwa sana mwezimungu akupe pumziko lamilele
Tutakukumbuka king wetu JPM
Huyu ndo raisi wangu mwenye maamuzi na msimamo thabiti.
Muheshimiwa alivyosema "Pendaneni, Shirikianeni Msibaguane" jozi limetaka kunitoka". Kila Muheshimiwa Rais akimtaja mkuu wa wilaya msaidizi wa Rais anamwangalia kwa jicho kali mkuu wa wilaya 💪👊, ila anaonekana mtu wa huruma kwa sababu ana tabasamu mara kwa mara.
😭😭😭 mungu amlazemahali pema peponi 💔💔💔💔
Safi sana.
Jamani sisi watanzania tumemkosea nini mungu akatuondoshea huyu mtu mapena namna hiii, acha tulie tuuuu😭😭😭
Tangu ufariki matajiri wanacheza fauro# ile stendi yamabasi ya Mkoani ulioijenga mbezi Luis wameifanya kama check point wanapakilia abiria mjini nakushushia mjini# kituo kinapoteza mapato mengi...# tutakukumbuka baba# RIP J.P.M
Nampenda Sana tanzania magufuli
Hongera
Alitembea sana Chato akaiba na pesa. Watu wa Ulaya hawakuhitaji. Ni kwamba ulikuwa na shida na hukuweza kusafiri.
😂😂😂 daaah unajua mtu ukiwa humpens utafta sana weakness zake hata za kumpakazia
Rest in peace Dr. JPM. Daima tutakukumbuka
May Allah rest his soul in eternal peace.. miss him.
Lllllllllllllllllllllll
@@zubeirmuhammad3024 l
Rais wangu mangufu nitakukumbuka Sana
Hivi niwaulize wezangu je JPM angekuwa hai mpaka leo hii inchii ingekuaje sasahivi?RLP mungu akupe mahala pema peponi nitakumbuka siku zote za maisha yangu ila siyo kwa mabaya bali kwa mazuri ulio tutendea sisi watanzania wote bila ubaguzi wa vyama rangi n.k 🙏🙏🙏 🙏
my best president
Tutazidi kukuombea make ulituweka Katika usawa lkn ulikufa kupitia wabaya wako Mungu atajbu
Rais anastahili kueshimiwa muno John pombe Magofuli kwa Moyo wake wa uzalalendo wa kulitetea Taifa Hili letu la Tanzania, Mimi binafisi Nakuwombea wewe na Prfs paramagamba Kabudi Waziri wako wa sheria munayo yanena, yapate kibali mbele ya Mwenyezi Mungu., Ukirudi nyuma uwe jiwe la chuvi nathubutu kusema Mwenyezi Mungu asiwasame
ehe ninyi nyote Kama mtawadanganya Watanzania
Hi mr president for real we’re in multi party in Tanzania but the opposition party ni mafisadi
Pumuzika kwa amani baba sisi watanzania tutaederea kukumbuka popote uripo baba
Mama ujumbe umfikie kwenda ulaya sana sio kufanikiwa kwa nchi
Tuna madini
Chuma
Milima
Na park
Hotuba inanikumbusha sana
💔💔🙏🙏rip Magufuli atakumbukwa daima
All the best our president forever
Eti leo hayupo na sion wakuziba pengo lake na wale wanataka kupambana kama yeye wanazimwa kwa hoja kuwa hawaipend demokrsia Mungu tusaidie tumpate mwngne anaefanana na huyu Uncle John..inauma ila hakuna namna pumzika kwa aman mkuu
JOMBAAA GOOD SANA
Napenda kuchua fursa hii kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuri kwa utendaji wake thabiti ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine wa kitaifa na kimataifa, Mungu akujalie maisha marefu yenye afya njema.
Kazi kazi MAGU
Mniache tu nilie😭😭
Rais wetu mama Samia tembelea Tarime tarafa ya ingwe kata ya nyamwaga Kijiji Cha komarera ujionee wanyonge hao wanavyo dhurumiwa ardhi yao mgodi wa Mara kasikazini ukiegemea serikali yako,hakika Kuna dhuruma kwa Wana nchi hao waokoe rais,pata taarifa kutoka kwa wananchi wenyewe sio kwa viongozi mikoa/wilaya/talafa/kata/Wala Kijiji uliza walengwa,
Hata mm sipendi ccm lkn kura zangu umepata kura zangu . rest in peace
I real remember my best president
Ata hotele yasugu ina sahili kuvunjwa kwa nini ?
Sawa
We Miss you papaa
Daaah ankoo
Uliongea lakini matokeoyaka nimabaya kamwashetani m
Mh!😭😭😭😭
Dady r.i.p u' was direction of the nation loveeer
Hiki kichwa ni baraaa ila kuna vichwa vingine puuuu fikangafu kweli
Rip Magufuli
Tulikua na father k zenji kila basi muombeni 2
RIP JPM
rest in peace JPM
Pumzika salama baba JPM
Pumzika baba
Huyu ndio raisi tunaye mwitaji kwa sasa. Maana hatujui kwa sasa tunaongozwa kwa kuelekea wapi kimaendeleo
Maskin yamungu rais wangu jaman! Daah kiukweli tanzania imepoteza rasrimali ya taifa,huyu jamaa kama angeendelea kuish sijui tanzania ingefika wapi, kwa miaka mitano tu tanzania ikabadilika yote. Aiseeee basi bwana.
😢😢❤
😢😢
rip
R. I .P .YOU DID ALOT TO
YOUR COUNTRY
Mzee noma anakazia mpaka mtuanashindwa kuongea
Hakika tulimpoteza Rais Mzalendo
Mala Mia nikamsikiliza hayati magufuri hata Kama hayupo Ila maneno yake yananipa faraja
Daah hakuna jembe kama hili wengine ovyo😂
President president president real president
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Aiseeeee lilikuwa jembe
Urusi
Tundulisu
Edwin ochieng
Da mgugu msamehe babayetu pale alipokoseya lilaze lohoyake mahala pema
Ash many
BULIANI BABA YETU MUNGU AKULUNDE
Sizani Kama tutapata mwingine
Rais naowajua tz ni wawili tuu. Jk.Nyerere na JPM tuu. Wengine wote siwafaham sijui kwanin??!
Jpm bado anaishi kifikira ama kweli ni jembe
M
L
Urzik
Zuchu
Pumzika baba
😢