Bodi ya Wakurugenzi TANESCO imefurahishwa na maendeleo ya mradi wa Bwawa la Julius Nyerere.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024
  • Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO imefurahishwa na maendeleo ya mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere.
  • Наука та технологія

КОМЕНТАРІ • 7

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 25 днів тому +1

    Asante kwa taarifa lakini punguzeni bei ya umeme tafadhali ndio lilikuwa ndoto ya jamaa.

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 23 дні тому

    Ashukuriwe hayati Magufuli r.i.p jpm

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 9 днів тому

    Mgao upo sisi kwetu kila asubuhi umeme una katika na una rudi saa 12 au saa 1

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 23 дні тому

    Sisi huku kwetu umeme una katika mtu ana simama anasema hakuna mgao

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson 24 дні тому +1

    Kumbe bado haujakamilika awa watu bwana upigaji mwingi sana atutaki kelele sisibtunataka umeme JPM alisema utakamilika lini na nyie mnaleta stori

  • @farajakababa6519
    @farajakababa6519 25 днів тому

    Umeme mbona haupungui bei sasa, kwan Afrika tumelogwa na nan?