Tanzania kuuza umeme nje ya nchi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Shirika la Umeme Zambia (ZESCO) limeunda Idara maalumu kwaajili ya kuanza Mkakati wa Ujenzi wa Miundombinu ya kuchukua umeme wa Tanzania wenye kiwango cha megawati 300
    Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika kwake miezi tisa ijayo ambao utasaidia taifa kupunguza tatizo la uhaba wa umeme.
    ✍@official_jennifersumi
    #azamnewsupdates

КОМЕНТАРІ • 3

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 місяці тому

    Jambo zuri sana lakini umeme ushuke kwanza Tanzania.

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 2 місяці тому

    Mimi nadhani nchi ingehamasisha wafanyabiashara, kuja kujenga viwanda vyao hapa kuliko kufikiria tu kuuza umeme.

    • @remmyexusper1178
      @remmyexusper1178 17 днів тому

      Hapama
      Tujenge viwanda sawa pia tuu export power kwa wateja kama Zambia. Mchawi ni kuongeza vyanzo tuu. Tuanze kujenga Luhuji na Rumakali. Tuna GDP ya dola bil 86 plus tupo vzr tuanze pia kujenga Nuclear power plant uwezo tunao