ZEMBWELA ATINGA BWAWA LA KUZALISHA UMEME KIDATU KUONA TATIZO "NILIKUWA NAWAONA TANESCO KAMA NUKSI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 100

  • @jeremiahmagau8623
    @jeremiahmagau8623 7 місяців тому +2

    Mbona mazingira yanaonesha hayo mazingira yanapata mvua, angalia majani na hiyo miti, kingine ungeenda maeneo ya vyanzo vya maji uone kama kweli hakukuwa na mvua.

    • @BabuGga-td3mg
      @BabuGga-td3mg 7 місяців тому

      Amedanganywa huyo,huko maji mengi yanatoka mto kilombero na kwakiasi kikubwa mto huo unalindwa sana na tanapa ili kulinda vyanzo vya maji

  • @user-jb3zp9uo7o
    @user-jb3zp9uo7o 7 місяців тому +8

    Umeshapikwa kuitetea TANESCO😂😂 humdanganyi mtu.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 7 місяців тому +8

    magufuli alisema maji wanayafungulia yaende acheni kutudanganya tunajua

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      ULISHA AMBIWA SIKU ZAKE MVUWA ZILIKUWA NYINGI SANA LAZIMA YAFUNGULIWE.

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 7 місяців тому +1

    Mtera na kidatu ni mabwawa ambayo yanahitajika kujengwa upya. Ukuta uje juu, ili uweze kuhifadh maji méngi

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 7 місяців тому

    Zembwele kuma sana ww umenunuliwa kwa kipande cha gedha msenge ww

  • @user-nc6jc1zc7g
    @user-nc6jc1zc7g 7 місяців тому +1

    Nipo uwarabuni miaka mingi tu na hakunaga mvua za mara Kwa mara ni mara Moja moja sana mvua kunyesha lakini Umeme upo vizuri tu jifunzeni Kwa wengine

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 7 місяців тому

      Waarabu ni matajiri wa mafuta kwahiyo hawategemei mabwawa ya maji kuzalisha umeme. Ndio maan huwezi kuta sheli imekosa umeme.

  • @tariquexplore
    @tariquexplore 7 місяців тому

    Pesa bwana inaweza kumnunua yoyote 😂😂😂😂😂 acha ujinga unadanganya watanzania wapumbavu labda

  • @m.l.b2066
    @m.l.b2066 7 місяців тому +5

    Majibu yametolewa ya kihuni tu hayo! Uwongo wa hali ya juu kusingizia mvua hao! Wanalinda kibarua kwasababu wana familia ila ukweli wanafahamu sio walichosema!

    • @ntupwadevoice
      @ntupwadevoice 7 місяців тому

      Umemee haunaa uhunii ulizaa wasomii

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      SEMA WEWE HUO UKWELI AU NA WEWE UNALINDA KIBARUWA???

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j 7 місяців тому +1

    Zembwela huu ndio uandishi kwa kutufuatilia mikwamo ya miradi ya kimaendeleo na kutuhabarisha kwa kina, usichoke kutuletea habari zingine zenye mfanano kama hizi, kongole.sana..

    • @CharlesMapua
      @CharlesMapua 7 місяців тому

      Ww tumia akili sasa zembela kafanya nn angekua ana oji wanainchi jinsi ali ilivyoo mbaya vitu vinapanda bei kila siku sasa kwsnda kwenye ilo bwawa lina faida gani wananchiii wananunua unga bei juuu una fikili ume na chakula bola nn usipende kusifia upumbavuu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      ​@@CharlesMapuaHICHO FUATILIA WEWE CHA VITU KUPANDA BEI.

  • @sultandihomba4359
    @sultandihomba4359 6 місяців тому

    Yaaan zembela umekuwa punguani kiasi hicho nenda kawandanganye na vichekesho vyako Wasafi kule ndo maana wamekuita ww apo ili uwaongopee mapunguani wenzako ivi ninyi mtuchukiliaje cc

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 7 місяців тому

    Acha ujinga zembwel. Wewe ni chawa wao. Tuonane kwenye election

  • @Estozanzibar
    @Estozanzibar 7 місяців тому

    ZEMBWELA MUONGO SANA, KAFIKA BWAWA LIMEJAA. ETI BWAWA LIMEJAA
    MGAO UKO PALE PALE HADI SASA
    ZEMBWELA UNAFIKI UTAKUUWA MZEE

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 5 місяців тому

    Hawa wandishi wa habari wanatia shake sana

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 4 місяці тому

    Basi pandeni miti kwenye huo mpito wa mto. Maneno meengi

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 7 місяців тому

    Haki hii shida ya umeme iliyopo huku mtaani saiz ni hatari.. kama hiyo tren ya umeme nso inamaliza umeme muinunulie jenereta yake itembee nalo

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 7 місяців тому +2

    Huko nyuma ilikuwaje tuache stori hizo Kuna shida Tena kubwa

  • @chrispinkalipesa19
    @chrispinkalipesa19 5 місяців тому

    Tushapigwaaa mbwa sisi👩‍🦲👩‍🦲

  • @johncharles323
    @johncharles323 7 місяців тому

    Zembwela hapo umetupiga la changa la masikio umelishwa mlungula kutetea maovu tanesco tuna chojua maji bwawa yanachepushwa nawakukima na hao wakulima ni viongozi wakubwa wa hii nchi ,

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 7 місяців тому

    Nawewe Zebwela unakuwa unakuwa kama Zembwela bwana, juzi juzi walisema maji yalikuwa Mengi ndio ikawa tatizo la uzalishaji umeme kupungua Leo hii mnatuambia maji ndio yanaanza kuingia, sasa tushike lipi? Hizo siasa tu yaani Zembwela nilikuwa nakuona mjanja kumbe umekubali kupangika na hao maboya lirahisi hivyo!.

  • @user-ph8jm6yh2t
    @user-ph8jm6yh2t 7 місяців тому

    Inchi inategemea umeme wa chemchemu😂😂 miaka 60 ya uhuru tunategemea chemchem itoke tuzarishe umeme kweri!!! Dunia imebadirika, mabadiriko ya Hali hewa duniani yameleta balaa, wezenu wanaweka nguvu za umeme wa gesi ,upepo n.k, kuweni siliasi viongozi wetu ,

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 7 місяців тому

    Wamechepusha maji yanayoingia kidato.wamekata mito kupeleka maji kwenye mashamba yao kutoka bonde la usangu.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 місяців тому

    Mshi mengi lakini wanadai hakuna ujazo wa maji blabla tu lazima wachunguzwe vizuri kuna wahuni

  • @ibrahkimesu2402
    @ibrahkimesu2402 7 місяців тому

    mpuzi huyu ananunuliwa kwa bei rahisi sana siku hizi. Alishapoteza u halali wake huyu.

  • @EricDudu-mt1xc
    @EricDudu-mt1xc 7 місяців тому +1

    Kweli Tanzania tunahitaji umeme 🙏

  • @chrissamani7921
    @chrissamani7921 7 місяців тому

    Na wewe Zembwela sio mwandishi mdadisi mzuri, hapo hujawauliza kuhusu taarifa ya ya awali, tunafanya sevc mitambo haikufanyiwa sevc miaka mitano, la mvua miaka miwili linakujaje tena? Na huku kwetu ihefu maji yalizidi kwenye mipunga!

  • @jacobjb4515
    @jacobjb4515 7 місяців тому

    Kwani inchi za wenzetu unadhani wanawezaje kuwa na umeme wa uhakika kama Dubai mitambo ipo baharini na umeme ni wa uhakika kwa joto lile ingekuwa ndio tanesco si balaa

  • @FettyRajab
    @FettyRajab 7 місяців тому

    Punguzeni kutuongopea sisi sio mabungo nchi yetu sio Masikini ila wanaifaanya iwe masikini.wambie wakate mwaka mzima

  • @richardngoilalei2185
    @richardngoilalei2185 7 місяців тому

    Hapo kuna shida kwa sababu, mabadiliko ya tabia ya nchi ipo na kutegemea umeme wa maji pekee hatuwezi kuondokana na tatizo la mgao wa umeme, vip umeme wa gesi, mtwara gesi ipo

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 4 місяці тому

    Umepigwa

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 7 місяців тому

    HUU USHAMBA WA KUSEMA MBONA WAKATI WA MAGU MSITULETEE HAPA

  • @emmanuelmhagama2378
    @emmanuelmhagama2378 7 місяців тому

    Kazi ya waandishi wa habari ni kusambaza propaganda tu

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 7 місяців тому

    Walijenfaje huko hawakufanya utafiti hadi wakajenga uko

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 7 місяців тому +2

    Bro maji mengi sana tz find another reason bro

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 7 місяців тому

    Mvua ikinyesha nyingi..ooh meji meng mitambo inaishiwa nguvu... hamna kitu hapo mizinguo tu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 7 місяців тому

    Acheni upumbavu. Hizo style ni za awamu ya nne za kuonyesha upumgufu wa maji. Mbona enzi za Magufuli hatukuwahi kuonyweshwa hayo mabwawa hayo....

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      MIAKA 5 NYUMA UNAITA ENZI WACHA UFALA WEWE.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      KWA HIYO YEYE KAFA TUSIONYESHWE MAMBO SASA HIVI 😂😂😂😂

  • @user-tr7oy6sw2v
    @user-tr7oy6sw2v 7 місяців тому

    Pumbavu zenu sema mmeamua kupeleka maji kwenye umwagiliaji mwenda zake alitufungua macho ko amtudanganyi kwa lolote yani ata iweje tunajua kinacho enderea

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      KABLA YAKE ULIKUWA KIPOFU?? 😂😂😂😂

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 7 місяців тому

    Umekuwa chawa wa Tanesco wewr kumbe?

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 7 місяців тому +1

    Kwaiyo ulitegemea wasiwe na majibu et zembwela?

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 7 місяців тому

    Sisi kwetu hakuna mgao wa umeme

  • @deusdeditknkunga6047
    @deusdeditknkunga6047 7 місяців тому

    Hata hivyo, vyanzo vingine vya umeme vinahitaji! Ubunifu unahitajika Tanesco!

  • @Solace577
    @Solace577 7 місяців тому

    Peleka ujinga huko shenzi

  • @nairobitv6161
    @nairobitv6161 6 місяців тому

    Hawa jamaa wanaona nyio wa Tz wajinganga sana .......Amkeni acheni ujinga

  • @samsonmpashe3337
    @samsonmpashe3337 7 місяців тому

    Wasikudanganye, mvua hazijawahi acha kunyesha mikoa ya nyanda za juu. Kwa nn ss ni wepesi wa kudanganyika?

  • @isakamaganigani1587
    @isakamaganigani1587 7 місяців тому

    maji yalikuwa meng sana isipo kuwa washenz tu hao

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 7 місяців тому

    Mvua kutokunyesha miaka mitano ya mwendazake mikoa io co kweli, ata ww haujaliafik ila ndo ivo huez kataa kwa sauti.. lakn tatzo kubwa tuliambiwa na hitilafu na uchakavu wa mitambo ndo ulisababisha ukatikaj wa umeme ila la maji lilikua asilimia chache sana.. sasa izo takwimu ulizopewa Zembwela n zip.. Nchi isipoacha siasa kwenye mambo sensitive kamaa haya kuvuka ila daraja la umasikin itakua historia.

  • @saidpazi531
    @saidpazi531 7 місяців тому

    Zembwela hawo ni WAUNI kama WAUNI wengine.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      ALIE KWAMBIA HAO NI MASHEKHE NANI???

  • @lifatimwashalula703
    @lifatimwashalula703 7 місяців тому

    Pumbavu kabsa nyie wahun wakubwa tunajua kinacho endelea uko

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      MJANJA MKUBWA TUAMBIE KUNAENDEKA NINI 😂😂😂

  • @ishmaelpdaddy2862
    @ishmaelpdaddy2862 5 місяців тому

    Fedha fedhea

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 7 місяців тому

    Najua watu watalaum sana serikali haitimizi wajibu wake,,sisi tunajisahaulisha tunavyokata mitii kuchoma mikaa na mbao.

    • @wizy_liker9035
      @wizy_liker9035 7 місяців тому

      marekan kuna mapori ?? elimika boss

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 7 місяців тому

      Hiyo miti imeanza kukatwa Leo acha kudanganya watu hili ni tatizo lipo wazi haitakiwi kuficha magonjwa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      ​@@wizy_liker9035KWANI WAO WANATEGEMEA MVUWA KUZALISHA UMEME??

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      ​@@michaelthobias9967KAMA TATIZO LIKO WAZI TUAMBIE TUJUWE.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 7 місяців тому

    Paka leo mmeshindwa kuzalisha umeme wa upepo.....??
    Miaka 60 bado tupo kwenye mgawa wa umeme

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      ZALISHA WEWE KWANI MTAANI KWAKO HAKUNA UPEPO 😂😂😂😂

  • @wizy_liker9035
    @wizy_liker9035 7 місяців тому +1

    amna kitu chochote apo alafu uyu mzee anajizalilisha tu usiwe unatumwa ovyo ovyo shaulyako

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      UNA DHALILIKA WEWE USIETAKA KUFANYA KAZI

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 7 місяців тому

    stori za kijinga ,kwanini tunaendelea kutumia maji pekee wakati tayari tumeshakwisha kujua ni kichomi

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 7 місяців тому

    ushakula vya kijani.

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 7 місяців тому

    Tanesco wawe wabunifu wasitegeeme maji kwani umeme ni mpaka maji think out of box
    Nchi zingine mbona haukatiki mwaka mzma ila tanzania tu shida tuna majibu mengi ya kujitetea

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      USHASEMA NCHI ZINGINE HUKO WATU WAPO BIZE NA KUFANYA KAZI SIO KULA KUNYA KUNYA NA KULALA.

  • @user-ph8jm6yh2t
    @user-ph8jm6yh2t 7 місяців тому

    Huwa najiuliza kuwa, hivi maji ya bahari yanaweza zalisha umeme? Hili swali siku nikiwapata wataalamu wa tanesco nitawauliza aisee

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 7 місяців тому

      Maji ya bahari yamelala hawezi kuzalisha umeme kam mabwawa, maan mabwawa yote yako juu kutoka usawa wa bahari hivo maji bado yananguvu ya kusukuma chochote au mtambo wa umeme.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      YANA ZALISHA GHARAMA YAKE NI KUBWA KWA MITAMBO YAKE.

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 7 місяців тому

    Ule umwagiliaji alioupiga marufuku JPM umerudi? Maana alipoingia serikalini tatizo lilikuwepo. Ikagundulika kwamba maji yalikuwa yanafunguliwa ovyo ovyo! Mandhari haionyeshi ukame!

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 7 місяців тому

    Ukiwa na raisi anayekibalika na mambo mengine kama mvua inakuwa baraka isiyokatika(Mwenda zake)

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      MBONA MLIKUWA MKISEMA VYUMA VIMEBANA ACHENI UNAFIKI.

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 7 місяців тому

      ​@@salimmalaka256kwani sasaivi vyuma vimeachia?

  • @stevetoocool2880
    @stevetoocool2880 7 місяців тому

    Chawa sisi tunaamini kuna upigaji ipo wazi jibu unalo

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 6 місяців тому

    Sasa mpaka Leo,tanesco wanasubiria mvua ili kuzalisha umeme....... hopeless kabisa.

  • @ZainabuIsmail-fm2ey
    @ZainabuIsmail-fm2ey 7 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 7 місяців тому

    Mbona walisema shida ni uchakavu wa mitambo?

  • @wizy_liker9035
    @wizy_liker9035 7 місяців тому

    kwan marekan kuna ma bwawa 😅😅😅😅😅

  • @JosephSimba-fr4lv
    @JosephSimba-fr4lv 7 місяців тому

    Yan mnazan sisi mazuzu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 7 місяців тому

    Betrie nini

  • @FaustineTz
    @FaustineTz 7 місяців тому

    😂😂

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m 7 місяців тому

    Zinaitajika Lita ngapi zamaji nianzishe kampeni kila mtanzania aje nandoo yalita 20 tujaze mtera nakidatu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 7 місяців тому

      LITA 100 😂😂😂😂 NENDA KAJAZE.