MSWAHILI:JENGO LA NGOME KONGWE BAGAMOYO LAMTISHA ZEMBWELA,ATAKA KUPOTEA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 32

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 роки тому +1

    Nimeghadhika sana na historia potofu,ya unafiki na uwongo mtupu !!! Nendeni shule mukasome vyema kuhusu maswala ya utumwa Afrika na ulimwengu mzima kwa jumla! Historia ya kuigiza ya kizungu bado munairudia bila kueleza chimbuko!! Inakera sana Muafrika hadi waleo amekabwa na taasubi za kimagharibi !!!

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 роки тому +3

    Asante,Kwa makala. Inayovutia,lkn Pia inahuzunisha.
    Ombi kufanyike ukarabati,ili historia hiyo isipotee. 🙏🏾

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 роки тому +1

    Duh leo nimejua vitu vingi hibgera sana Swahili

  • @abuibra
    @abuibra 2 роки тому +1

    Nani aliye kua akiuza watumwa?!wale Maalafu wa kiafrica walioko India na sehemu za ulaya na Marekani vipi ilikua,mbona wengi sana.

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 7 місяців тому

    Hongera bwana zembwela

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 роки тому +1

    noma sana

  • @blazemt9487
    @blazemt9487 2 роки тому +4

    Tell the children the truth..history ya mzungu ndio mnatudanganya hadi leo dunia imeamka biashara ya utumwa anajulikana nani mfanyaji ...

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 2 роки тому +2

    Hiyo Kweli hata ulaya Indian women lazima watowe maali Kwa mwanaume

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 роки тому

    nomependa sana

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 2 роки тому +1

    Ivyo nyie Wabongo mnajuaje ukweli wa history halisi ya Zanzibar??

  • @kifaruartsentertainmentgro9163
    @kifaruartsentertainmentgro9163 2 роки тому

    Huyo gaid ni muongo haijui history ya bagamoyo zembwera rudia utafuti wako utajua kama alikuongopea

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 Рік тому

    Duhhhh dada anakwambia sehem nyngine usichukuwe umemjibu vipi ?

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 роки тому

    Kaka Zembelwa,uliogopa kwenda vyumba vingine kwanini.. 🤣🤣🤣

  • @kifaruartsentertainmentgro9163
    @kifaruartsentertainmentgro9163 2 роки тому

    Huyo gaid wa kiume ni muongo sana bagamoyo hakuna sehemu ya kunyongea zembwera

    • @chefr3020
      @chefr3020 2 роки тому

      Ipo kaka kama unakujua badeko hotel baada ya geti tu upo mnara wa kunyongea

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 Рік тому

    Wsalabu mnawasema vibaya wajelumani na waleno na wakoloni nawaingeleza mnawa SEMA vizuli japokua waliuwa Sana tunajua mmekalilishwa kumchafua mwalabu kwakigezo Cha utalii uliona wapi makabuli namisikiti ya waisilamu yanasimamiwa na wakristo eti utalii kwanini wasitoe historia wazee wakiisilamu siwapo nakwanini makabuli ya wakristo hawayafanyi utalii

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 Рік тому

    Kuhusu mlango umeongopea

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 27 днів тому

    Km historia hamuijui mna Chuki zenu za Kibinafsi na Warabu kwa mnakua na Confidence na mnaloliongea wakati sio Ukweli??
    Wakati juzi tu Muingereza katoa Ushahidi na akaomba Samahani kwa Biashara ya Utumwa aliyoifanya Africa na ikiwemo Tanzania??
    Kwa taarifa yenu mwarabu anakataa yakua hajawahi kufanya Biashara ya Utumwa Duniani sio Tanzania bali Ulimwenguni kote!!!
    Huo ndio Ukweli Mtupu without doubt!

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 Рік тому

    Dah huyu jamaa muongo

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 роки тому +1

    Uyo msimulizi wa kiume hana analolijua ktk historia , eti wahindi walipendelea kulima mitende eheeee!!!!!!!

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 2 роки тому

    Nyie mnajua yaliofanyika tokea lini??

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin3563 2 роки тому +1

    History itajirudia hii sehemu kama hii iko nchini. Senegal inaitwa the door no return its me ukifika hapo akuna kuludi

  • @clevisaboytz544
    @clevisaboytz544 2 роки тому

    Bagamoyo

    • @selemani.matendo4091
      @selemani.matendo4091 2 роки тому

      Mkoloni. Ni. Mkoloni..tu.si.mwarabu..au.mzungu..wote.ni.wachenzi.tu..waliuwa.babu.. Zetu. Hapo. Anaonekana.mkoloni.mzungu..halikuwa..mzuri

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 2 роки тому

      @@selemani.matendo4091 Hata mtu mweusi alikua mshenzi zaidi kwa kukamata na kuuza ndugu zake, huenda babu yako ndio alikua mtekaji na mkamataji wa watumwa na kuwauza ndio maana bado umejikuta umebakia TZ

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 2 роки тому

    Alafu utakuta mzanzibar eti anajivunia kuwa mwarabu Pumbavu

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 27 днів тому

    Nyie mnaojiita Mswahili Mweusi Roho zenu ni Mbaya na Usaliti
    Mnasahau fadhila that's all i can see from people like you 😜
    Shame on you!