MSWAHILI:DIWANI AWAJIBU WANANCHI WAKE WAWE NA SHUKRANI,UGOMVI WAIBUKA,KISA 30,000

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 28

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому +3

    Shukran kwako zembwela babu na wasafi kwa juhudi za kubuni vipindi vizuri

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 2 роки тому +4

    Ongera mzee zembwela mswahili kwa kazi nzuri sana

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 2 роки тому +3

    Ongera zembwela 👏👏👏👏

  • @ramasonkalujefa4620
    @ramasonkalujefa4620 2 роки тому +1

    Kazi nzuri bro zibwela

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 роки тому +3

    Daaah Serikali inaiba hela hiii, hakuna usimamizi wowote

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 2 роки тому +1

    💪💪💪ndo mambo yaswaili rahas

  • @deospackle2158
    @deospackle2158 2 роки тому

    naomba uende kwa mud biriani hope unamjua anafanya kitu poa sana kaka hope utafanya kitu...

  • @gulflifetv8696
    @gulflifetv8696 Рік тому

    Great work bro

  • @basickasote538
    @basickasote538 2 роки тому

    Asant diwan maelezo mazur big up

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 2 роки тому +2

    Zembwera unajua sana kujumuhika na jamii husika

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    Kuna mmoja hapo mwekundu 😁😁

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому +1

    Wapigeni nachini hao viongozi wenu mbunge diwani chali

  • @mbarakamashuka8246
    @mbarakamashuka8246 Рік тому

    Ukiona Mambo ya kugonga ujiweki nyuma mzee wa mtumbwi hauendi shell

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 роки тому

    Diwani unstuletea siasa bn

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 2 роки тому

    Daah sasa huo uchafu unaotupwa ndani ya huo mfereji ni noma, wananchi staarabikeni basi japo nusu kwani uchafu unatupwa na wananchi,na serikali simamieni usafi nchini kote hilo ndio tatizo la mifereji kuziba, kazi bado mnayo serikali za mitaa mnafanya nini? Ni lazima muwe wakali kupindukia mna kazi kubwa ya kustaarabisha wananchi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому

    Maneno mengi sana fanyeni kazi

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 2 роки тому

    Yani viongozi wa bongo hawaendi adi waendeshe nishida Sanaa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому

    Diwani kanenepa kwa mambo mazuri

  • @mbarakamashuka8246
    @mbarakamashuka8246 Рік тому

    Tandale ndio mjini yenu kitambo utambue

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 2 роки тому +2

    Alafu uchaguzi ukija mnahongwa kanga mnachagua CCM Pumbavu

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 роки тому

    Mmmh pagumu hapo

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 роки тому +1

    Huyo diwani hata ongea yake tu ni mwizi

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 2 роки тому +1

      Wachukue majembe na makoleo harambeee wasafishe wenyewe.... kosa ni hiloo kufanyiwa wanyonge

  • @salimkibwana4699
    @salimkibwana4699 2 роки тому

    Nani ameona miguu imechubuka kama zero zero hahaha mutachibua mushinda na wazungu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому

    Hawana wafanyalo.tafteni watu wa mtaani kwenu wanojuwa uchungu

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 2 роки тому

    Babu zembeela njoo utusaidie kutangaza huku Lumumba pwan mbunge Koka hatuudumii jaman tumechoka tunataka barabara na madaraja ya mto mpiji