UZURI WA HISTORIA YA MJI WA BAGAMOYO TANZANIA
Вставка
- Опубліковано 11 жов 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Asante kwa kutugàwia historia muhimu. Kichwa chako kina skull zaidi ya vitabu. Ukiandika kiatabu utasaidia sana.
Asante Kwa history nzuri
Anajua sana history ya bagamoyo
MashallAh Tanzania ina vivutio vingi Sana tuleteeni na history ya kule kilwa
Ila waarabu ndugu zetu walikuwa washenzi Sana kwa ndugu zetu Mie mndengereko Leo najikuta nipo Zanzibar kumbe babu zetu waliletwa kwa utumwa uku Allah awalaani wote wakifanya unyanyasaji huo na awaangamize zaidi na zaidi Aamin ya Rabbil a alamin
Warabu ndio ulowaita washenzi Lakin I wazungu ndio mabwana zenu warabu wawasaidia kwa kila kitu mpumbavu wewe mungu akulani wewe usokuwa na kheri
@@machetebogota4218soma historia na ufahamu pamoja na kujifahamu vizuri, na sio usome kama kasuku kwa kupelekwapelekwa na fikra za mtu, ipe akili yako uhuru wa kufahamu ukisimacho na sio ukisikiacho kaka
Na munavyo tukataa Watanganyika munataka muungano uvunjike. @@machetebogota4218
@@fatmasalim8293Hakuna Mwarabu mwema na wala hakuna mzungu mwema na huyo Mwarabu asi leo biashara ya utumwa bado anafanya.
Is it possible you can put this video in English?
Mbona wazaramo wanasema neno Bagamoyo limetokana na wao?.
Kwa anayetaka kufika,inapatikana wapi ?
Iko Pwani mkuu