KABATI LA MAAJABU: MIAKA 100 HALIJAWAHI KUFUNGULIWA WALA KUSOGEZWA | MSWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • KABATI LA MAAJABU, LINA MIAKA 100 HALIJAWAI FUNGULIWA | MSWAHILI...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #MswahiliWasafi

КОМЕНТАРІ • 80

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 роки тому +4

    VIVA TANZANIA 🇹🇿💚🇹🇿💚 KEEP GOING UNCLE ZEMBWELA 👍🇹🇿

  • @trio9911
    @trio9911 2 роки тому +12

    Ntanunua kabat kama ilo niwe nawekea simu yangu nikitoka kazin maana mke wangu 😔

  • @shadrackdamiani1418
    @shadrackdamiani1418 2 роки тому +3

    Mswahili ✨🇹🇿
    Plz like

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 роки тому +4

    kwa ujinga wa mtu mweusi utakuta wameshindwa adi waje wenyewe wanabeba mali kirahis kabisa, mim nakuja na gesi apo nalikata ilo

    • @nurudaud3993
      @nurudaud3993 2 роки тому

      🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asante mawazo yako kama mimk

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 роки тому

    Cha kusikitisha sana katika maelezo yote wasimuliaji wametaja Wajerumani na waingereza ila hawaja taja hata kwa bahati mbaya dhulma nzito,manyanyaso,uburuzaji,utumwa,uzalilishaji n.k dhidi ya waafrika na makundi haya mawili kwa karne na miongo ya kutosha....😭😭😭😭😪😪😪🙊

  • @jessalaisaac.a2599
    @jessalaisaac.a2599 2 роки тому +2

    Kuna Baadhi Huwa yanakuwa na thamani kama madini
    Na Kuna Baadhi ya maeneo wenyewe mbao ni wazungu wamewahi kuja na Kuchukua Mali zao Huwa unakuta liliachwa na mababu zao huko...
    Na huwezi kufungua wenyewe wakija wanafungua kizembe Sana tu

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 роки тому +2

    Tanzania Ina historia Kubwa Sanaaa

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 2 роки тому

    Napenda sana mistari yako big up zembwela

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 роки тому +3

    Hilo wahuni tunalifungua kilahisi wepesi wepesi tena ki softi softi

  • @evajohnsun7672
    @evajohnsun7672 2 роки тому

    Salute Zembwela big up.

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 2 роки тому +1

    Aah safi

  • @Shariff143
    @Shariff143 2 роки тому

    Huyu jamaa aongea point 👍👌

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Рік тому

    Hapo nakumbuka niliendaga #2004 nikiwa darasa la nne shule ya msingi #Kiungani Kule mitaa ya #Kurasini

  • @tommydeejones254official8
    @tommydeejones254official8 Рік тому

    Kuna video ya BARAKA The Princes kashoot apa

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 2 роки тому

    Hela hiyo wakiuza mahela KIBAO Hilo kabati

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 2 роки тому +1

    Naikumbuka HOTEL YA BADEKO duuu mtihani kwa kweli nyumbani kwetu tukitamba enzi hizo ni kweli brother usemayo sehemu nzuri sana.

  • @unyobwatz7304
    @unyobwatz7304 2 роки тому

    TUNAISHI BAGAMOYO ATA UTAMADUNI PIA AKUNA AKUNA NGOMA ZA ASILI AKUNA SANAAA

  • @dj26number2
    @dj26number2 2 роки тому +4

    Utajiri wao au utajiri wetu acheni kutupotosha!umo walikuwa wana weka madini yetu kuna mali humo

  • @chatajr3496
    @chatajr3496 2 роки тому

    Nimeogelea hapo badeco beach 2015 sikuku yaiddi pili,, daah ulitokea mtiti tulikimbizwa wageni Kama movie vile,, siwezi isahau cku hyo

  • @thebestmusic1603
    @thebestmusic1603 2 роки тому +1

    💥💥💥💥

  • @edwardongori7734
    @edwardongori7734 2 роки тому

    Mswahili analiangalia kabati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anaona dhahabu zembwela😂😂😂😂😂😂

  • @Shariff143
    @Shariff143 2 роки тому +1

    Badeko mwambie diamond 💎 aweke investment

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 роки тому

    Dah watu wanaopewa madaraka hawazingatii hapo tulikua tukijaga wkt tunasoma tulikua tunakutama watu wengi sana tafauti ila Leo hakuna kitu

  • @khalidyasinkhalid5944
    @khalidyasinkhalid5944 2 роки тому

    Nakuja winch napaki huo mkabati nitashughulika nao mbele

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 роки тому +1

    Mkuu wa wilaya hapo bure kabisa Brother Zembela

  • @nathaliashayo3289
    @nathaliashayo3289 2 роки тому +1

    Mbona kama kabati hilo ukilinganisha mchoro unapata uso wa mtu, napia unapata moyo?

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому +1

    Hamna kitu humo wazee wa michongo washachukua kila kitu una cheza na Mbongo , hapo wana wachezesha na akili za watu

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 2 роки тому

    Du hatari ni sehemu niliyokuwa timu yetu ABC Leopard hapo Bagamoyo

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 2 роки тому

    Unakuta huko Kuna Mali,mi ningefungua Tena kwa baruti

  • @hamzahamza7565
    @hamzahamza7565 2 роки тому +1

    jamaa ni mtangazaji,anajua

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому +1

    Hilo linafunguka wapo watalam Wajapan wanafunguwa loki za zaman

    • @hallin9561
      @hallin9561 2 роки тому

      uko mbali sana. unakata kwa gesi tu

  • @nathaliashayo3289
    @nathaliashayo3289 2 роки тому

    Au bomu hilo liliwauwa wahusika,maana kama walibakia hata kama walienda kwao naukute ni vito vya thamani wangerudi kwa kuwa walikuwa wamewekeza kihalali

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 роки тому

    Watu hawajaamua tu.
    Nothing impossible under the SUN.

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 роки тому

    Zembweraaaaaa

  • @nassorosad17
    @nassorosad17 2 роки тому

    Yani wew ungekua rais wa tanznia bax tungekua na rais boraa maan mashawliyako sopoa

  • @mperamperatv2001
    @mperamperatv2001 2 роки тому +1

    Vunja kabati hilo.kama mmeshindwa nipeni Mimi .mna madini humo mengi vsanaa

  • @lungusii
    @lungusii 2 роки тому

    Sasa si ilikuwa mkienda mkirudi mje na chochote tujenge wewe ndo wa kwanza ndo unalaumu

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 2 роки тому

    humo hatuwezi kuiba hata kimazingara?

  • @allymaketajr4582
    @allymaketajr4582 2 роки тому

    Nakumbuka sana mm ni wa mlandiz

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 роки тому

    KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA 👣💥💥💥

    • @mecksonjoseph2522
      @mecksonjoseph2522 2 роки тому

      Nyoo wazo lako hilo.... Kaenda mataifa mangapi... Mond ndio habali ya dunia..... Mpka urusi wajua

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      Uyu mtu anatoa maerezo hayo kayatoa wapi🤣🤣🤣tunaongeapeana tu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 роки тому

    HIYO HOTELI BADECO NILIFIKA HAPO MIAKA 23 NYUMA MAPOKEZI KULIKUWA NA MGUU WA TEMBO UMEWEKWA NA NJE YA HIYO HOTELI NIKAONNYESHWA MTI AMBAO HAUKUWA MKUBWA SANA NIKA AMBIWA WAJERUMANI WALIWANYONGA SANA NDUGU ZETU KUPITIA MTI HUWO NILIFADHAIKA SANA NADHANI BADO UPO.

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 роки тому

    Hapo kuna vitofali vya dhahabu na rupia za bei ghali sana ila tatizo ni uchaw wa mjerumani . Unakuta hizo mali wakati zinafichwa walifanya zindiko na kuuwa mababu zetu kama 20 ivi. Hivyo ukivamia bila ridhaa yao lazima mfe . Au litoke bonge la nyoka liwagonge wote mfe

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 Рік тому

    Hamuja taka kulufungua

  • @Gemen.
    @Gemen. 2 роки тому

    Napakumbuka hapo

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому +1

    Hayupo unaemuomba

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 2 роки тому

    Yaani Mwafrika jinga sana yaani mtu aliyekufanya mtumwa eti kabati la mgerumani, vunja tupa kule, vitu

  • @mabrukinalhumaimi331
    @mabrukinalhumaimi331 2 роки тому

    Hili jego Wajerumani sijui

  • @marionntomola1686
    @marionntomola1686 2 роки тому

    Chuma chakavu

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 2 роки тому

    Zembela hili karibuni mimi cast madude naisi Lina dhahabu

  • @mwanawetuamiri6747
    @mwanawetuamiri6747 2 роки тому +3

    Zembwela waambie waache uoga humo Kuna madini wavunje tu kama wameshindwa masela wapo fasta tu ,uoga wetu ndio umaskini wetu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому

    Acheni woga vunjeni kabat hilo Muna marupia na mashani

  • @monicahnguta135
    @monicahnguta135 2 роки тому

    Lingekua kenya hili kitambo

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому +1

    Zembwela bomoa hilo

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 роки тому +1

    DAWA ZA KUMUACHSHA MTU POMBE NA UZINZI
    m.ua-cam.com/video/VSKtv-Xh3Lg/v-deo.html

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому

    Heeee Badeco imefungwa???

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 2 роки тому

    ACHENI KUPOTOSHA

  • @kasiniapotatoes9804
    @kasiniapotatoes9804 2 роки тому

    Mimi dogo Rama mchomeleaji niiteni happo nifungue ,chapu tuu

  • @tamashanyerere1448
    @tamashanyerere1448 2 роки тому

    Mpaka waje kutoka kwso watoe vitu vya thamani

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 2 роки тому

    Waafrika ndio maana tunakufa maskini wallahi sisi ni wajinga

  • @chidymedia7051
    @chidymedia7051 2 роки тому +1

    VIDEO KUMI (10) ZA SINGELI ZENYE WATAZAMAJI/VIEWS WENGI YOU TUBE👇🏼👇🏼👇🏼
    ua-cam.com/video/AhuQ66eLYHY/v-deo.html
    #SHARE NA WENGNE 👏🏼

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 2 роки тому

    Humo kuna madini! Hiyo ni Mali, ukilifungua tu! wewe ni bilionea. Hilo jengo limejaa utajiri .

    • @thabitiykitwana1271
      @thabitiykitwana1271 2 роки тому +1

      Hamna chochote humo

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 2 роки тому +1

      @@thabitiykitwana1271 vita kuu ya dunia wajerumani walishindwa kuondoka na baadhi ya hazina za madini hivyo wakaziacha kwenye majengo na masanduku mengine yalifukiwa chini,kwenye milima,mapango,kwenye makanisa ya kale na sehemu mbalimbali nchini.

    • @joramkimario9321
      @joramkimario9321 2 роки тому

      Hata hilo sanduku lenyewe unakuta ni shaba tupu.ningekuwa huko ningelipiga mazima

    • @thabitiykitwana1271
      @thabitiykitwana1271 2 роки тому

      Ndugu yangu ramadhani Kwa akili za kuzaliwa wewe Bado unaamini kwamba ndani Kuna mali zikaa tu miaka yote. Serikali yetu kama unavyoijua mali zikae tu ivi ivi?.

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 2 роки тому

      @@thabitiykitwana1271 ndugu yangu kuishi kwingi ni kuona mengi,tembea ujifunze.kuna sehemu nyingi sana kuna madini yaliachwa na wajerumani.namna ya kuyafikia na kuyachukua kuna siri zake

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 роки тому

    Hehehehehehehe milango na madirisha yake hayapo

  • @gwizalandkingaru6732
    @gwizalandkingaru6732 2 роки тому

    Vitu vya kale haviangalii ipasavyo na wa havisaniwi kutokana na kutoelewa nini naama ya hivyo vitu