MAPYA YA MREMBO GENIUS ALIEONGOZA NCHI NZIMA SAYANSI, YALIYOJIFICHA "KUFELI SHULE SIO MAISHA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 238

  • @jessalaisaac.a2599
    @jessalaisaac.a2599 2 роки тому +23

    "Nawaambia kuwa Kuna Maisha mengine ukiachana na masomo, Kuna biashara wafanye na wapambane na kimaisha" mwisho wa kunukuu
    Nimependa sana huu ushauri Kwa walio feli...
    Congratulations... Dada

  • @Zoe-ow5vf
    @Zoe-ow5vf 2 роки тому +15

    Uko mnyenyekevu jinsi unajibu maswali na unavyo ongea,Mungu akutangulie.mrembo kweli kweli, sasa wewe ndo tafsiri ya beauty with brain.

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 роки тому +37

    Hongera sana mwanangu Mungu akutangulie vyema katika masomo yako

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 2 роки тому

      Mwanao ??? 😳😳😳 Unaumwa eeee 🚶

    • @inongee1141
      @inongee1141 2 роки тому +4

      @@highthemetv7857 mimi mwenyewe ninawatoto tena tena wanangu wanasoma ulaya mimi mwenyewe ndio tunaishi huku mimi na familia yangu so nafurahia mtoto wa mwenzangu akifanya vizuri kunaubaya gani nikimuita mwanangu

    • @inongee1141
      @inongee1141 2 роки тому +3

      @@highthemetv7857 sisi wenye watoto mtoto wa mwenzio ni wako pia mimi pia ni mzazi sasa wewe ulio kurupuka hebu jifunze kuishi na watu vizuri

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 2 роки тому +1

      Ongera sana

    • @johnbidya119
      @johnbidya119 2 роки тому

      Uko sawa achana nalo nae jinga ilo

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 2 роки тому +12

    One day this could be my child🙏🙏 am so proud of u bby gal Mungu akutangulie ktk kutimiza ndoto zako

  • @faridamndeme9322
    @faridamndeme9322 2 роки тому +16

    Mrembo sana kua makini bby girl tumia vzr uhuru wa chuo vishawishi ni vingi mungu akutangulie

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 2 роки тому +15

    Hongera Binti! Mungu azidi kukusimamia uendelee kumtegemea Yeye! Ila nilichojifunza wengi wanaofaulu vizuri Wana mazingira mazuri ya elimu na inachangiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi kifedha wa wazazi au walezi wao na kujiamini kwa Mtoto

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 2 роки тому

      💞💞💞 hongera saaana mtoto mzur

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 2 роки тому +1

      Kabisa kabisa,wanauchumi mzuri pia kwenye familia.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 роки тому +1

      Na wanaofanya vibaya sanaaaa pia wanatoka kwenye familia borax

    • @magejuliani5293
      @magejuliani5293 2 роки тому

      @davis hiyo familia wanakuwa Wana lao jambo🤭🤭

    • @nsajigwamwakyambiki2054
      @nsajigwamwakyambiki2054 2 роки тому

      Absolutely true mazingira na uchumi mzuri kwa wazazi unachangia coz atasoma shule nzuri na bila kusahau malezi Bora ya wazazi coz kuna wazazi kibao wanamapesa kibao lkn wanawalea watoto kimayai sana na uzungu mwingi ndo wanawapoteza so tutafute pesa na tumeombe Mungu atusaidie kwenye malezi ya watoto wetu

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 2 роки тому +32

    Daktari wa magonjwa ya moyo!! Mungu atimize ndoto zako.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 роки тому +1

      Watu bhana hamuezi kuacha kulalamika mmesahau yule aliepata dvn 1 ya 7 amabae alikuwa anasoma kwa kibatali je nae mmnamuongeleaje? Na yupo mwengine alikuwa anajisomesha mwenyewe kwa kufanya kazi ya useremala.

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 2 роки тому +1

      Juhudi tu na malezi bora ndio siri ya mafanikio, nidhamu heshima ni kipaumbele cha mafanikio, sasa mama anarudi nyumbani amelewa baba anauliza umetoka wapi baada ya hapo ni kupigana kutukanana mama anaachwa bila nguo mbele za watoto je unategemea nini baada ya hapo?

    • @yohanamapunda2654
      @yohanamapunda2654 2 роки тому

      @@davidcurtis8556 huyu mm aisee. Chuo nimejisomesha kwa hiyo kazi hasa kupiga msasa

    • @laylapagae6324
      @laylapagae6324 2 роки тому

      Amiin

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +6

    karembo kweli.hongera Binti wa kwa Mwakasege.upako uko ju yako!

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 роки тому +2

    Wanyakyusa hoyeeee hongera sna nkamu gwangu mwe Malafyale Mwikemo aje naugwe amasiku gosaaa mwe nyonywile fijo ngut nine nenga nafikile uko umwee hongera sna my

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 роки тому +2

    Hongera binti Mungu azidi kukutangulia katika masomo yako,na ufikie malengo yako.Barikiwa 🙌

  • @sospeters.c.g3915
    @sospeters.c.g3915 2 роки тому +2

    Hongera sana binti hayo ndio matunda ya bidii ya kusoma. Mungu akujalie kwenye safari yako ya masomo.

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +3

    Hongera hata wewe kukumbuka vyuo vya hapa nyumban wengne ndo kwanza awatak kuvisikia hongera bint 😘

  • @meddyzanzibar
    @meddyzanzibar 2 роки тому +2

    Naona wengi wao waliofaulu kwao maisha mazuri hawana mawazo sana ya kimaisha daaah kweli andalia watoto ata kajumba

  • @stumaihassan5739
    @stumaihassan5739 2 роки тому +3

    Hongera sana mwanangu mungu akufanyie wepesi kwa Kila hatua

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 2 роки тому +3

    Hongera sana! Mungu akulinde na akusimamie ufanikishe ndoto zako. 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @asiakivenule8108
      @asiakivenule8108 2 роки тому

      Hongera Sana binti na Mungu wa mbinguni akutunze uje utimize Ahadi yako 🙏🙏🙏🙏

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 2 роки тому +14

    Hongera Sana mrembo wangu, MUNGU azidi kuwa kiongozi wako.

    • @GMD820
      @GMD820 2 роки тому +1

      Amen.

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +3

    Sis wenye F pia tuhojiwe tutoe ushauri Kwa wadogo zetu wanaofuata nyendo zetu🤣🤣🤣

  • @burtonmwansamale2512
    @burtonmwansamale2512 2 роки тому +2

    Hongera sana Catherine. Mbeya hoyeeee

  • @naomijoel560
    @naomijoel560 2 роки тому +7

    Mrembo sana. Hongera sana

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 2 роки тому

    Hongera sana Catherine!!
    MUNGU akusaidie na akulinde!!!

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 2 роки тому +18

    Kama kuna kitu nimekipenda kweny haya mahojiano basi ni matumiz ya KISWAHILI mwanzo mwisho kwa huyu mwanadada.
    Hakutumia nafasi yake kama mwanafunzi wa elimu ya juu kwamba anajua sana kiingereza huku akitambua kua anaongea na watanzania wanaotumia KISWAHILI na pia kujua kwamba lugha ya KISWAHILI ni muhimu zaidi nchini.
    Sambamba na hilo mahojiano haya yakawe funzo kwa watu wengine hasa wasanii maana wamekua wakitumia kiingereza kweny mahojiano wakiamini kwamba ndio ustaa wenyew au ni kama kujionesha.
    Pia kwa kukusudia au kutokukusudia mwanadada ametufunza kuwa kiingereza sio sehemu kweny taaluma maana watu wengi huku nje wako na hio dhana.
    NB: Tuacheni ulimbukeni wa lugha za kigeni hasa watu mashuhuri kama waigizaji na wanamuziki

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 роки тому +2

      Hekima Anayoo ##Hanamajivuno

    • @yassirabdallah3230
      @yassirabdallah3230 2 роки тому

      It

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 роки тому +2

      Umeona eeeh! Unajua kujikwatua koote na kujionesha, ni ishara ya kiwango duni na kutojiamini.

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 2 роки тому +1

      Umeongea jambo la msingi sana sana, binafsi najuwa vizuri sana kuongea kingereza ,lakini ninapongea kiswahili basi ni kiswahili mwanzo mwisho,tunahitaji watu wengi zaidi kama wewe

    • @fahdihasnuu9034
      @fahdihasnuu9034 2 роки тому

      @@winfordmwangonda5375 Asante 🙏 pia kiukweli wanaojua kiingereza basi huwa hawap3nd kujionesha ila wale wenye maneno yao mawili ndo wanapenda sifa za kujionesha.

  • @eunmacyrheem
    @eunmacyrheem 2 роки тому +1

    hongeraa sanaa

  • @ritanjoki7461
    @ritanjoki7461 Рік тому

    Hongera sana mtoto mzuri Mungu baba ameshatimiza ndoto yako Kwa jina la yesu

  • @ezekielkandonga9238
    @ezekielkandonga9238 2 роки тому

    Hongera mdogo Wangu,Maombi yangu ufike mbali zaidi,na kubwa utimize ndoto zako.All in all God first, Keep it up

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 2 роки тому +3

    Hongera mwanangu pongezi kwa wazazi wako mungu akutangulie

  • @scolasticaadam7403
    @scolasticaadam7403 2 роки тому +5

    Congratulation catherine may god bless you

  • @mwanahawaayoub6647
    @mwanahawaayoub6647 2 роки тому +5

    Hongera sana mungu azidi kukusimamia

  • @jacquelineketegwe4932
    @jacquelineketegwe4932 2 роки тому +2

    I see my daughter in few years to come. Hongera mdogo wangu.

  • @queenpeter9809
    @queenpeter9809 2 роки тому +1

    Hongera sana mdogo wangu, Mungu akutangulie katika safari yako ya taaluma

  • @marykyamba9042
    @marykyamba9042 2 роки тому +18

    So proud of you girl 😍

  • @FRANKTV04
    @FRANKTV04 2 роки тому +7

    Kali sana📥

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 2 роки тому +1

    Hongera sana bint Allah akujarie ufike mbari zaid utimize ndoto zako

  • @IJUE_BIBLIA
    @IJUE_BIBLIA 2 роки тому +3

    SEMA Shule nilikupenda sana hakikunipenda kitabu

  • @jacksonpetro9558
    @jacksonpetro9558 2 роки тому +1

    Hongera sana. Huyo binti amefanana kweli na Pastor Mwakasege. Ndio faida ya mtoto kufanana na Baba yake🇹🇿❤.🤣🤣❤🇹🇿

  • @ezekielkandonga9238
    @ezekielkandonga9238 2 роки тому

    Hongera mdogo Wangu,Maombi yangu ufike mbali zaidi. Keep it up

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 2 роки тому

    Hngera cathe Allah azid kukubaric kiukweli undelee kuwa ivyo ivyo

  • @ustbarry4287
    @ustbarry4287 2 роки тому +5

    Hongera sana

  • @hidayamakuka7876
    @hidayamakuka7876 2 роки тому +5

    Congratulations kwake

  • @ahuriladaniel9849
    @ahuriladaniel9849 2 роки тому +1

    Ni mtaratibu sana👏👏👏

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 роки тому +7

    Wanyakyusa ni warembo😘 na akili tunazo🤸

  • @alitunu3086
    @alitunu3086 2 роки тому +4

    Mashallah mabrouk 😘

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 2 роки тому

    Very smart girl. Keep it up. Mungu akufanyie wepesi Kisha ndoto Yako itimie.

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 2 роки тому +3

    Inshaallah her my mwanangu nae anapenda sana kuwa daktar

    • @tunkuh661
      @tunkuh661 2 роки тому

      Inawezekana kabisaa my dear muhimu msimamie afikie ndoto zake

    • @janifajani8875
      @janifajani8875 2 роки тому

      @@tunkuh661 Inshaallahmwenyenzimungu amuongoze🙏🙏🙏🙏

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому

    Hongera sanaaaa mtoto wa kinyakyusa mungu akubariki sana mama

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 2 роки тому +2

    Wanawake tunaweza jamani Mungu azidi kukuinua

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 2 роки тому +1

    Hongera sana, Mungu azid kukupigania

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Рік тому

    Binti mkali kweli mzuri sana chombo

  • @rahmaabubakarisaanatu1961
    @rahmaabubakarisaanatu1961 2 роки тому +1

    Congratulations cathy madodi anakusalimia.

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 роки тому

    Mashallah hongera cn mungu azidi kukusimamia ktk masomo yako ya mbele

  • @lupamwakabenga1716
    @lupamwakabenga1716 2 роки тому +6

    🙏❤️ congratulations

  • @ndootowilliam5453
    @ndootowilliam5453 2 роки тому

    Mungu akuongoze

  • @Juddy1017
    @Juddy1017 2 роки тому

    Hongera sana,, Catherine 🎉🎉👌🥂👍👏👏👏

  • @lemaedgar1703
    @lemaedgar1703 Рік тому

    Akili nyingi🎓🙏

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 2 роки тому +6

    Hii familia ya mwakasege ni magenious wengi kama dada yao Anna ruban,kaka yao marehem alikuwa nae kichwaaa yule wa bank kuu..Kwakwel familia ikimtumikia MUNGU vizazi vinabarikiwa

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 2 роки тому +2

      Huyu si mtoto wa christopher Mwakasege,hapa Mwakasege ni jina la ukoo tu ila siyo baba yake sikiliza majina yake vizur

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 роки тому +1

      Washakariri bhn mwakasege ni mmoja

    • @alfarsialfarsi2754
      @alfarsialfarsi2754 2 роки тому

      Duh noma sana

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 2 роки тому

      🤣🤣 kwani Mwakasege ni mmoja Tz nzima?

    • @rehemamajaliwa
      @rehemamajaliwa 2 роки тому

      @@bernadetamodest6170 😂😂😂

  • @mudrikmohamed6718
    @mudrikmohamed6718 2 роки тому

    Kwa maongezi yako tu unavojibu maswali ni sahihi kusema u r the genius

  • @priscaprisca2569
    @priscaprisca2569 2 роки тому

    C rahis kwakwel, hongera sana

  • @lighnessmrisho1525
    @lighnessmrisho1525 2 роки тому

    Hongera sana mummy.

  • @gracemwijarubi6439
    @gracemwijarubi6439 2 роки тому +1

    So proud of you my black beuty❤️

  • @paskaliangoto2849
    @paskaliangoto2849 2 роки тому

    Hongera bibie mungu akusimamie

  • @emiliamulaki3600
    @emiliamulaki3600 2 роки тому

    Hongera sana. Utafika mbali.

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 роки тому +2

    Ongera mtt mzuri

  • @mbotwambotwa2186
    @mbotwambotwa2186 2 роки тому

    Barikiwa sana Mungu akulinde

  • @GracieTyno
    @GracieTyno 2 роки тому +1

    so beautiful

  • @gracesilayo7670
    @gracesilayo7670 2 роки тому

    Hongera bint mrembo blackbeauty mwaa

  • @mariasamson7291
    @mariasamson7291 2 роки тому

    Najivunia sana ww keep going

  • @bamizertv1822
    @bamizertv1822 2 роки тому +1

    Hongera yako . Unajiamini Sana daa sawa bwana mi n kafour kwangu Ka 31 . Anyway mungu mkubwa kwenye hela nitakuzidi

  • @marylwinga4738
    @marylwinga4738 2 роки тому

    Hongera Sanaa mdogo wangu

  • @jennifermallya9648
    @jennifermallya9648 2 роки тому +4

    Hongera sana black beauty 😍👏🏽👏🏽

  • @marympango9247
    @marympango9247 2 роки тому

    Hongeraaaaa....gwa kukaja!!!!!!!!...... Jmn....

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 роки тому +2

    MashaaAllah tabaraka Rahman 👏

  • @deboraleonard6407
    @deboraleonard6407 2 роки тому

    Congratulations dear

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 роки тому

    Hongera bint yetu Mungu ni mwema

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 2 роки тому +1

    We welcome you in medicine school. Come in USA

  • @stephanlayzer7196
    @stephanlayzer7196 2 роки тому

    Mungu akupiganie sana barikiwa

  • @ashamshona9321
    @ashamshona9321 2 роки тому

    Hongera sana mdgo wng

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 2 роки тому

    Kama nawaona ndugu zangu wanyaki hongera mwanangu

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 2 роки тому

    Hongera sana mdogo etu

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 роки тому

    Hongera sana binti👏👏👏👏

  • @erickrichard3134
    @erickrichard3134 2 роки тому

    Jamani Mungu mwema sana

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 2 роки тому +1

    Mm sijui mwanangu nae atakuwa Tanzania one au ndo kama kinakajala na Jeshiii

    • @tunkuh661
      @tunkuh661 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣 acha hizo bwana mtengeneze atakuwa tu

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 2 роки тому

      😁😁😁😁😁jamani umenichekesha Sana😁😁😁😁🔥🔥

    • @ashamshona9321
      @ashamshona9321 2 роки тому

      Mbavu cnaaaa mie hoiiii kha umejua kunichekeshaa

  • @mariamgodwin7186
    @mariamgodwin7186 2 роки тому +4

    Hongera mrembo wetu wa kinyakyusa

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 2 роки тому

    Consolata catherine asanteni kwa kutuwakilisha black beauties

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 2 роки тому +1

    Mesikia anavyolitamka hilo neno Daktari.😁😁

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 роки тому

    Hongera sanaaaaa binti yangu mzuri

  • @thereziajoseph6952
    @thereziajoseph6952 2 роки тому

    Very humble.

  • @peacelive3420
    @peacelive3420 Рік тому

    Glory to God

  • @shedrackmwaipopo219
    @shedrackmwaipopo219 2 роки тому

    Hongera kwake

  • @msukuma1
    @msukuma1 2 роки тому +4

    Afu Kuna sisi tuliopata zero 😭😭

  • @mo-jj8im
    @mo-jj8im 2 роки тому +3

    Kila Tanzania one anataka kuwa doctori😅😅

    • @Agatee01
      @Agatee01 2 роки тому +4

      Ndo ujue madokta sio vilaza

    • @claudia1500
      @claudia1500 2 роки тому +4

      Sababu vilaza wengi pia wanapenda tu kuwa wasanii...we kamata alieshika mkia muulize ndoto zake atakwambia anatamani kuact movie and so forth...hahahahhaaa

  • @jomba6514
    @jomba6514 2 роки тому

    Hongera sana sana

  • @neemamollel6972
    @neemamollel6972 2 роки тому

    Hongera totoooo

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 2 роки тому

    Congratulations baby girl

  • @abidunamasheshe7693
    @abidunamasheshe7693 2 роки тому

    Hongera sana beautiful girl

  • @gracemalatwe6064
    @gracemalatwe6064 2 роки тому +1

    BWANA akutendee sawa sawa na hitaji la moyo wako

  • @mao9622
    @mao9622 2 роки тому

    She is beautiful too

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 2 роки тому

    Congratulations Tz 1

  • @hellenpatrick3041
    @hellenpatrick3041 2 роки тому

    Hongera sana dada angu jamanii

  • @halimasuddy9294
    @halimasuddy9294 2 роки тому

    Hongera

  • @fridamgalla6033
    @fridamgalla6033 2 роки тому +1

    Proud of u mamy

  • @manenojuma3203
    @manenojuma3203 2 роки тому +1

    Hongera na uzidi kukaza Safari bado