UMEME WA HAJA NDOGO (MKOJO) / UNAWASHA TAA NA KUCHAJI SIMU | MSWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лют 2023
  • UMEME WA HAJA NDOGO (MKOJO) / UNAWASHA TAA NA KUCHAJI SIMU | MSWAHILI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 37

  • @afterx3172
    @afterx3172 Рік тому +2

    Safi sana kipaji kiendelezwe nakuombea mafanikio mwanangu big up

  • @mkutamajuto1549
    @mkutamajuto1549 Рік тому +2

    Geneous

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo Рік тому +5

    Tunashukuru kwakipindiki hiki nimpongeze kijana mwenzangu kwaubunifu wake Ila tupo vijana wengi tunafanya ubunifu wenye tija kwa Taifa lakini hatuonekani

  • @ilungasalle
    @ilungasalle Рік тому +1

    Ila maneno mengi mno dogo

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 Рік тому +2

    Nlijua AC kumbe DC kazi rahis kwa mafundi wenzio

    • @barakamwamasage-hy2jo
      @barakamwamasage-hy2jo Рік тому

      Anaitaji kujifunza amejitaidi Sana kuficha ukweli ok acha tusimwalibie ni time yake

  • @fedrickaloyce9660
    @fedrickaloyce9660 Рік тому +1

    Jamaa muongeaji sana

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 Рік тому +1

    Noumaaa saàna 💯🔥 umetisha saàna

  • @bravokingtz9073
    @bravokingtz9073 Рік тому +1

    ubunifu sio siasa kijana maneno mengii uhalisia ziro

  • @bravokingtz9073
    @bravokingtz9073 Рік тому +1

    uongo mwingi ktk ubunifu wko tokalini kisakiti kizalishe umeme kwenye hilo bomba umeweka betrindogo za redio kama tulivo wekaga zamani chooni tukapata umeme

    • @RashidRiziki
      @RashidRiziki 6 днів тому

      Tushushe tumefika uongo mwingii

  • @ericksonmuhulo1570
    @ericksonmuhulo1570 Рік тому +1

    Jamaaa, mkweli sana Kasema kasoro refrigerator tu

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 Рік тому

    Waafrika wana taaluma lakini hawapati ufadhilii kutoka kwa serikali zetu. Laiti serikali zetu zingeweka maanani kutunza taaluma hizi ili kuinua uchumi na kuendeleza hali za maisha ya wenyeji. Lakini serikali zetu zinakosa nia za kuendeleza nchi ila tu kujifaidi wenyewe.

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo Рік тому

    Daah

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Рік тому +1

    #MSWAHILI Hii angekuwepo mswahili halisi Zembwela hapo kwenye MIC

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому

    Unatumia misumari migumu sana kupitiaha umeme

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 2 місяці тому

    Anahitajika kusoma ili ajue kanuni ili ielewele.

  • @josephbabirandeda7554
    @josephbabirandeda7554 Рік тому +1

    Wow hii nzuri

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому

    Nmh mbona mbona

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Рік тому

    PONGEZI....SANA .NA ANGALIA SANA ,WALE WENYE WIVU ,WASIKUKATISHE NDOTO YAKO....

  • @rashidkachaa3666
    @rashidkachaa3666 Рік тому

    Cha Abu utacjia amekamatwa na kuhojiwa bdara ya kuendelezwa na kupewa nguvu na selikali

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Рік тому

    Electrolysis hiyo, mkojo ni electrolyte .....ila ameenda beyond, gud job 🤝

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji Рік тому +1

    Hongera kijana usiwajali wanaokubeza

  • @BongoPlatformTv
    @BongoPlatformTv Рік тому

    Aise naona ingemua mm ntaanzisha huduma ya haja ndogo Tena barabarani ili nupaye lita kwa wingi afuu aanzishe kugawa umeme. 😀😀😀😀

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Рік тому

    Nchi zingine huyu Mara moja hupelekwa veta na kifaa chake kuboreshwa Kwa jina lake na kuuzwa Kwa bei nafuu

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому +3

    Harafu anaongea sana huyu jamaa na maneno mengi pointless anaboa wasikilizaji

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 Рік тому

      Huna unachojua zaidi ya lawama, hebu tuonyeshe haraka hicho unachojua au ukichobuni wewe., Kwani huyu kijana kaja na kitu adimu na wenye mahitaji huko kusiko umeme wanahitaji maelezo fasaha.

    • @shamsayahaya3888
      @shamsayahaya3888 Рік тому

      Haaaaaa ni zaidi ya mswaili misifa😛😛😣

    • @masseyally3151
      @masseyally3151 Рік тому

      Hanaongea sana haereweki

    • @masseyally3151
      @masseyally3151 Рік тому

      Dipent volt,ndio nini

  • @Luundu
    @Luundu Рік тому

    Nahisha kumwanga mikojo yangu tena😂😂😂😂

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 Рік тому

    Viongoz tunaomba mumuengezè nguvu huyu dogo maana ni lulu kwetu

  • @zeddybaby7269
    @zeddybaby7269 Рік тому

    Mkojo huo haunuki jamani

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 Рік тому +2

      So what kama unanuka? Kwani wewe ukikojoa huwa unahisije! Yaani akili kubwa inawaza mambo makubwa, ndogo inawaza harufu ya mkojo.

  • @travelwithme14
    @travelwithme14 Рік тому

    🎉

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Рік тому

    Duh jama anakipaji lakini mimi najiuliza kama mkojo unatowa umeme wakuchaji sim kama angekuwa anatumia mavi sindio angewashia mtaa mzima😄