UBUNIFU:JIKO LINALOTUMIA MATOFALI NA UMEME WA TANESCO PAMOJA NA CHAJA YA SIMU ''NI ZAIDI YA GESI''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 Рік тому +3

    Hongera sana kaka Mungu akusaidie

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +6

    Kigomaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥Shikamooooo 🤦‍♀️ nakumbuka nyumbani tulikuwa tuna mdada wa kigoma 🤦‍♀️ali kuwa ana juwa kuimba 😪sijui Yukwapi sahivi Masikini

  • @lovebite762
    @lovebite762 Рік тому +5

    Proud of Africa(Tz) what a masterpiece 🤔😎💯💯💯

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 Рік тому +3

    Ila uku kigoma kuangaliwe kuna siku watatengeneza bomu dooh ila mungu wazidishie watu wa kigoma

  • @jumaassomane7775
    @jumaassomane7775 Рік тому

    Asante sana kwa ubunifu na yauzwa bei gani??

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Рік тому

    Kigoma iwachu nimepakumbuka
    Kigoma Kigoma Kigoma..,.....on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gpointBigger-lx7zl
    @gpointBigger-lx7zl Рік тому

    Tunafanyaje biashara kaka

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 Рік тому +1

    Ubunifu huu sawa ila uangaliwe huyo mama hapo anapika huku kachomeka simu chaji hapohapo halafu nyaya kibao

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Wowwow hongera sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Wow💃👌🏽🎉

  • @charlescharles8532
    @charlescharles8532 3 місяці тому

    We jamaa uko mwz sehem Gani???

  • @psara4067
    @psara4067 Рік тому

    Keep up broo

  • @miriamkomba8367
    @miriamkomba8367 Рік тому

    ♥️♥️

  • @mlionea
    @mlionea Рік тому

    Utakuja Kenya?

  • @obadiahnkwale124
    @obadiahnkwale124 Рік тому +1

    Watu kama Hawa ndo wanahtajika Tanzania ya Leo,mfano mkubwa

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 Рік тому +2

    you need support and not criticism

  • @johncharles323
    @johncharles323 3 місяці тому

    Tushasemaga sambaza majiko yako na mikoa mingine kwani wahitaji tupo wengi mno au toa namba za cm tukupigie ,

  • @johncharles323
    @johncharles323 10 місяців тому

    Sambaza na sehem zingine ili upanue soko la bizaa zako nasi tunahitaji ,

  • @b-creative4662
    @b-creative4662 Рік тому

    Jiko liko jikoni!! 😂😂😂

  • @zephaniankungu2145
    @zephaniankungu2145 Рік тому

    Arusha unalipataje na sh ngapi

  • @user-xw4vl6ku7o
    @user-xw4vl6ku7o 6 місяців тому

    Tunaomba mawasiliano

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому

    Mtu akitaka akiwa Kenya 🇰🇪 atapataje?

  • @MarkaziIBNSiriinOnlineTV
    @MarkaziIBNSiriinOnlineTV Рік тому

    Shingap Hilo JIKO

  • @jacktonkai2570
    @jacktonkai2570 Рік тому

    kola kola wachu naomba no yako

  • @wemapaschal2325
    @wemapaschal2325 Рік тому

    Niko mwanza napataje jiko

  • @altaf.ibrahim
    @altaf.ibrahim Рік тому

    Bei gani na dar es sallam una leta lini

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому

    Chenga zitapanda bei sasa

    • @husseinshabani9522
      @husseinshabani9522 Рік тому

      Yani kama Ulikuwa kwenye Akili yangu....Watapandisha chenga za mkaa....Angebuni yatumie mkaa mkubwa mkubwa na chenga ...Wenye chenga Wakizinguwa Anaamia kwenye jiko kubwa.

    • @amelinelyimo8263
      @amelinelyimo8263 Рік тому

      Nipo moshi nitapataje hilo jiko jamani naomba kuwasiliana na mwenye kiwanda

  • @ignacedaniel4204
    @ignacedaniel4204 Рік тому

    This is stupid.....

  • @rebekasabato3000
    @rebekasabato3000 Рік тому

    Mh hongera hongera sana,...👏