DOCTOR MO WATANIKAMATA NIKIONGEA UKWELI|MO NI TATIZO KUBWA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 44

  • @user-qu1dz2ed1b
    @user-qu1dz2ed1b Місяць тому +1

    Nyie cmba mchawi nani tuambiane 😊😊😊😊 madunduka🎉🎉🎉🎉

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 Місяць тому

    Safi sana DR MO,well said💪💪💪#SIMBA nguvu moja

  • @Stevmwamba2090
    @Stevmwamba2090 Місяць тому +1

    Wachezaji wetu wako vizuri tuwape muda msimu mwingne wachezaji wetu wajuane

  • @LameckAntontupa-zy1rw
    @LameckAntontupa-zy1rw Місяць тому

    Kumbe tuna pesa mo anatoa bilion na nusu, kuna bilion 4 za sandalend na bilion 5 za mbet na kuna pesa za matangazo ya biashara za mo hapa hana kosa shida ipo kwa watumiaji wa pesa

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 Місяць тому +4

    Huyu MO ni utoto kabisaa anateseka sana kwani aliiibeza Yanga ikicheza shirikisho leo Mungu amewaonya waache Dharau na ndomo nakuikejeli Yanga.... Yanga ni wajukuu wa mtume😅😅😅😅

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 Місяць тому

    Dr. Mohamed sasa unasoma Al fatah kusudio lako nini ?

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh Місяць тому

    Hakuna haja ya kufiria viongozi.ndio sababu kubwa.simba.kufanya.vibaya.waondoke.wasenge wakubwa hao hawaendi.kwenye.mechi.yoyote.kenge hao

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому +1

    Mangungu na tiageni watoke hatuwa taki

  • @jacksonmofulu9336
    @jacksonmofulu9336 Місяць тому

    Mo m8 niko na wewe hawa viongoz takata ondoa matako hawa nyumbu hawa serengeti na huyu muhindi anacheza na akili zetu aondoke mpuuzi huyu

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 Місяць тому

    MANGUNGU na TRY AGAIN OUT💪💪💪#SIMBA nguvu moja

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 Місяць тому

    Mo sio chawa anaongea ukweli nilisema mo dewji pia ni ttz

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 Місяць тому

    Chawa katika ubora wake leo amefunguka Sasa mwenda, nyami, meja, walisema mapema kuwa viongozi hawafai hamukuelewa

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 Місяць тому +3

    Mangungu ni Yanga damu

  • @user-tu8tl2lg4b
    @user-tu8tl2lg4b Місяць тому

    Hili limangungu Hanna kitu achie timu tena aondoke

  • @ephesongailo8564
    @ephesongailo8564 Місяць тому

    Boss Champions league sio Champions reague 😅😅😅

  • @SulemaniNassor
    @SulemaniNassor Місяць тому

    Wacha ujinga mpira haupo hivyo wewe jinga mpira ni mchezo wa makosa huwez kuwa Bora Kila siku

  • @user-ri2xq6fu6w
    @user-ri2xq6fu6w Місяць тому

    👍💪

  • @bazilifaustini2491
    @bazilifaustini2491 Місяць тому

    Mo dewji Kama vipi aachie timu yetu haraka wapo matajiri wanatafuta klabu kubwa

  • @user-lq1fm4dj2n
    @user-lq1fm4dj2n Місяць тому +1

    Jamani mangungu amekosa nini mwe tuache uongozi wetu

    • @GeophreyShipela
      @GeophreyShipela Місяць тому

      Ameongeza kitu Gani simba?

    • @harrychuwa3180
      @harrychuwa3180 Місяць тому +2

      We stupid ignorant!!! Shut up!! Hizo takataka Mangungu, Try Again na Kajula Waondoke haraka kabla hatujawavalisha tairi shingoni!!! Ni vibaka kama vibaka wengine. Kama wanatafuta mwisho wao waendelee kubakia Simba mbwa hawa . Wezi wakubwa na wenye uwezo mdogo!!! Aibu ya karne hii!!!! Wakaombe msamaha kwa mama yao aliowazaa. Taka taka!!!!

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 Місяць тому

      Jamani wana simba wenzangu tutulie mbñ timu ni Bora kuliko Yanga na Mangunga mbñ hana uwezo wa kununua wachezaji wa kulaumu ni moo..hatoi fedha kuogopa hasara yeye kama yeye Mangunga angefanya je...au tuweke bakuli kubwa sana kamahutaki Yanga
      ...na tunaumizwa sanaa kwani kitendo cha Feisal kwenda Azam kumeipa Azam nguvu na mbinu za mpira Yanga inafaulu vipi.....😅😅😅😅

  • @hajially4527
    @hajially4527 Місяць тому

    Mwatatu fc 😂

  • @user-pf6yw7vh1p
    @user-pf6yw7vh1p Місяць тому

    DR MO KUWA MTULIVU HASIRA ZIPO JUU PUNGUZA MUNKAR HII NI FOOTBALL

  • @yasminmohamed604
    @yasminmohamed604 Місяць тому

    Na km moo hatowi hela ajitowe matajili wengi wapo wanaitaka

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 Місяць тому

    Timu inaongozwa na waliofeli walikotoka wote

  • @bauchahamad5333
    @bauchahamad5333 Місяць тому

    Wee dokta watu walipokuwa wanachukua fomu za uongizi ulikuwa wapi au ulikuwa unalaza wagonjwa

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 Місяць тому

    Kww hiyo ushindi WA miaka ya nyuma ulikuwa ni janja jamaja tu??

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 Місяць тому

    Wakimbilia camera ndio wametufokisha kimsingi tulieni jobe ndio chanzo???? Non sense

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 Місяць тому

    waliofeli maisha ndio viongozi wa simba fuatilieni historia walikotoka

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe Місяць тому

    Sasa kama ela ni ndogo pri sizoni ya nje ya nn

  • @FaustineTango
    @FaustineTango Місяць тому

    Kaka sasahiv ndo nakuelewa ila ulikuwa chawa

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h Місяць тому

    Makuzi hawa viongozi wangese

  • @husseinmillinga
    @husseinmillinga Місяць тому

    Chawa akili imemjia bhana

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Місяць тому

    Hivi mangungu mpaka mtu afe

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 Місяць тому

    TUONGEE ARAKA WATU WATAKUJA

  • @isaackaitira7654
    @isaackaitira7654 Місяць тому

    Wewe nyamaza wewe mm nilisema kuhusu Baleke na Phiri ukasema kwamba hawana kiwango ukasema Baleke atupishe nilikwambia ukawatetea viongozi ukafurahi usajili wa Jobe na Fred sasa kula ulichopanda

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Місяць тому

      Posho ndoilisema vile sio yeye😂

  • @eliudmfumbilwa3675
    @eliudmfumbilwa3675 Місяць тому

    Acha upumbavu we utatatoa hela,?

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Місяць тому

      Huna akili matako wewe, huyu ameongea ukweli waachie Simba Kuna wawekezaji wengine watakuja kuwekeza

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba Місяць тому

    Toa na wewe si unaipenda simba.