AHMED ALLY AUMIZWA SANA LEO, YAANI SISI WA KUPATA NAFASI YA TATU KWA JASHO “WANAKUVUA TAULO”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 404

  • @EvaJuakaliTV
    @EvaJuakaliTV 2 місяці тому +9

    Leo Ahmed kaongea Ukweli wake moyoni. Yaani katoa ushabiki safi sana

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 2 місяці тому +48

    Natuma salamu zangu kwa akina Tatu wote popote walipo 🖐️

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 2 місяці тому +7

      Kwa kweli kina tatu mzuka poleni sana. Unajua mdomo umemponza kichwa leo mpoleeeee😂😂😂😂

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 2 місяці тому +1

      I😃🤣🤣🤣🤣🤣😅ila wewe nimecheka Kwa sauti bila kutaka jamani nisamehewe buleee!

    • @user-cv4yi5hz9b
      @user-cv4yi5hz9b 2 місяці тому +1

      😂😂😂🤣😂🤣🤣🤣 🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @diwanikatayankonko2671
      @diwanikatayankonko2671 2 місяці тому +3

      Tatu mwakarobo

  • @Zapata88
    @Zapata88 2 місяці тому +8

    Duuh.... first time to see you giving interview bila shabiki hata mmoja wa Simba aiseee.

  • @amoscharles1985
    @amoscharles1985 2 місяці тому +8

    Mashabiki wa timu zote haitakiw kumtukana huyu bro achen kisiran ,sis ni mashabiki wala hatulipwi ila nimapenz tu ya team kuwen timamu bhana one day yes ndugu zangu

    • @shomytaleem2349
      @shomytaleem2349 2 місяці тому

      Mashabiki wa kibongo mpira kwao ni uadui Wala sio utani. Huyu mwamba aishi sana Mimi ni yanga lkn huyu jamaa yuko poa sana Hana hasira Wala Nini yuko simple sana

    • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
      @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 2 місяці тому

      😁😁😁

    • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
      @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 2 місяці тому

      @@shomytaleem2349 😈😈😈

  • @msafirimhagama6445
    @msafirimhagama6445 2 місяці тому +11

    Nimevutiwa na Hilo shati limefanana na pazia langu nililoanzia maisha ya geto mwa 1996 matogoro songea umetisha Ahmed ally

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому +1

      UNALIWA NDOGO WEWE

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 2 місяці тому

      ​@@salimmalaka256msamee uyo hajui vitu 😄😄guchi ilivoghali afananishe napanzia,😂😂anaupngf pesa y kununulia shat ilo n kid yk y nyumba miez 3

    • @user-tq9xo4nf5m
      @user-tq9xo4nf5m 2 місяці тому

      Una geto wewe kile chumba cha baba ako ndo geto au

    • @user-tq9xo4nf5m
      @user-tq9xo4nf5m 2 місяці тому

      Chumba cha baba ake ndo anasema geto

  • @enalamlenga8419
    @enalamlenga8419 2 місяці тому +1

    On point semaji. Ietu pendwa

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 2 місяці тому +22

    Allah hapendi kibrii na majivuno

    • @duaelly2206
      @duaelly2206 2 місяці тому

      Kwahiyo Allah anapenda kauli za Ally kamwe za mgunda na andazi anachagua andazi

    • @user-sw9tp2rf7f
      @user-sw9tp2rf7f 2 місяці тому

      Kweli kabisa tatizo makolo wanamajivuno Sana wameona laana ilivyowatafuna

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 2 місяці тому

      Umenena👈🙏

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 2 місяці тому

      Mpira siyo ngonjera ahamed kuwa na adabu ya maneno.

    • @joycemmassi5046
      @joycemmassi5046 2 місяці тому

      🎉Na bado mtasubiri sana ubingwa kwenu ni baada ya miaka 10

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 2 місяці тому +25

    Kumbe mna heshima hadi mmeanza kuheshimu kombe la shirikisho!?!! Safi ma giant Yanga walishachukua kombe ila hawakupewa kombe🤣😂...na huko mtapigwa tuu🤣😂

    • @braystuskibassa3842
      @braystuskibassa3842 2 місяці тому

      Kombe la Manara loser

    • @godfreyelibarikilaizer6178
      @godfreyelibarikilaizer6178 2 місяці тому +1

      Hawajajua Bado kua ni wabovu lazima wajipange wawekeze kwa miaka mitano na wasiweke malengo ya mwakani maana wao ni timu kubwa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому +1

      KOMBE GANI WALINYIMWA?? MAMA NTILIYE WEWE 😂😂😂😂

  • @nelsonkolukwi
    @nelsonkolukwi 2 місяці тому +5

    Kumbe mnaweza kuongea kwa heshima...kama sio nyie wale wa "kombe la luza"🤣🤣

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 місяці тому +10

    Mwenyezi mungu hapendi mtu mwenye kibri mkome

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 2 місяці тому

      Sio kibri, ni biashara ya mpira inahitaji ivo, uon hata kwenye ngumi wanatumia maneno ya vitisho na kujimwambafai?

  • @swalehe555
    @swalehe555 2 місяці тому +10

    Mimi naongea kama mwanasimba, tunapaswa kutimua wote hadi wapishi wanaowapikia chakula. F.....uck😢😢😢😢

  • @Naju645
    @Naju645 2 місяці тому +3

    Kumbe kuongea huku umetulia unaweza😅

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 2 місяці тому

    Pole sana semaji umejitahidi kauri ya uwezo wake daah leo uko peke yako pole sana

  • @FaridahKisalu
    @FaridahKisalu 2 місяці тому +17

    Umeongea vizuli!
    Mimi mwana Yanga lakn kwa speach ya leo nimekuunga mkono; pamoja sana mwamba, umeonyesha kugushwa na matokeo ya Simba.

    • @justinekamala9703
      @justinekamala9703 2 місяці тому

      Acha umangu meza wewe sisi yanga hatuna mamluki kama nyie wewe ni simba msifie wewe

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 2 місяці тому

      ​@@justinekamala9703sio kweli Mbona Mimi ni yanga pure na kadi ya uwana chama wa yanga nnayo na ila hapo Ahmed Ali kaongea ukweli kaka kwani wewe huoni. Au kwasabab Mimi ni yanga nipinge Kila kitu? Ok poa tuendelee kufurai ubingwa wetu. Kiatu kwetu. CRDB confederation cup ya kwetu inshallah tutampiga azam za kutosha

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 місяці тому +2

    NILIWAAMBIA TUGOMEE KWENDA UWANJANI NA KUNUNUWA JEZI HUYO KUMBARU MO NA WASHENZI WENZAKE WANGENYOOKA TU 😂😂😂😂 HAYA NDIO MALIPO YAKE SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ui1yo4kz3t
    @user-ui1yo4kz3t 2 місяці тому +2

    MIMI ni simba damu Kama viongozi wataleta wachezaji wa maana Innshaallah simba bingwa kombe la shirikisho 📿🙏🏽

  • @user-cq1tf5sd3l
    @user-cq1tf5sd3l 2 місяці тому +2

    ❤Ukweli ndy huo

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 2 місяці тому

    Mmetuangusha sana hatakama mnasema tujilaum wenyewe Sisi mashabiki mnatuonea ninyi mnao ishi nawachezaji ndo mjitadhimini nawewe Ahmerd unapenda sanakutufariji sana wakati wausajir kumbe mnatuletea mauzauza olewenu

  • @user-cv7fu1tx9s
    @user-cv7fu1tx9s 2 місяці тому +2

    Sawa umesema lakn uctukane mamba Kabla haujavuka mto ww kipindi yanga anashiriki shirikisho ulitoa maneno ya kejeri sana leo huko wapi

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 2 місяці тому +6

    Leo kamekua kapole kama kamefumaniwa😂

    • @matiankomola2391
      @matiankomola2391 2 місяці тому

      😅😅😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому

      KAMA ULIVO FUMANIWA WEWE 😂😂😂😂

    • @joycemmassi5046
      @joycemmassi5046 2 місяці тому

      😢😅😅 Aibu kubwa kwenu TATU MWAKAROBO

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому

      @@joycemmassi5046 MIAKA 26 EDA SIO AIBU???? MACHOGO FC NYIE

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 2 місяці тому +12

    Leo mpoooole kenge weee

  • @JohnLissu
    @JohnLissu 2 місяці тому

    namkuBali sana Ahmed

  • @user-yq4qh9ix6m
    @user-yq4qh9ix6m 2 місяці тому

    Pole sana utashiriki kombe la walio shidwa

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 2 місяці тому +5

    Acha mambo mengi nyie mnakula mishahara,sisi mashabiki tunaumia sana kwa timu kutokujituma sawax2. Hivyo tunawaombea Mungu awape kujitambua mapema ni kipi mnahitaji kupambania

  • @user-oe7ut8es4n
    @user-oe7ut8es4n 2 місяці тому

    Mashabiki.wasimba.nawapapole

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 2 місяці тому +2

    Wewe ndo mpuuzi wa kwanza uliyekuwa una liponda hilo kombe eti ni dogo na sio hadhi yenu

  • @EdwardTaus-tc8st
    @EdwardTaus-tc8st 2 місяці тому +1

    Nyie mnalazimisha kibogoyo kula Mua acheni ujanja wa kilofa mnapenda wachezaji wa Bei ndogo ENDELEENI kula pesa na mtahukumiwa na mungu

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 2 місяці тому

    Duh mpaka umekonda Ahmed Ally

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 місяці тому +2

    Mnalichukia lakwenu kwani.leo kumbe umejua nawewe ni mpuuzi ulisha sema kombe dogo la walishindwa.duhhh kweli we msemaje kiboko

    • @OctavinahElisa
      @OctavinahElisa 2 місяці тому

      Huwa anaropoka huyo nakumbuka msimu unaanza aliojiwa kuhusu simba kufunga magori mengi alisema msimu huu simba atafunga magoli 100 sasa sijui kama amefikisha hata nusu ya hayo😂😂😂😂

  • @user-gb2qr9bp2p
    @user-gb2qr9bp2p 2 місяці тому

    Natafuta wake wawili mmoja aitwe pili Azam na mwengine aitwe Tatu Simba popote pale Tanzania Inshallah...!!!

  • @mmewaswida
    @mmewaswida Місяць тому

    Ahmed Ally mie siumii simba kumaliza nafasi ya 3. Nilitamani mmalize nafasi ya 6

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 2 місяці тому +1

    Muwe na akiba ya Maneno sifa sifa na Vijembe
    Kombe la Shirikisho la Africa mlikuwa mnalidharau Sasa
    Wewe ni Mmoja wapo wakulidharau maneno mengi sana Muda wako ulijikita kuikashifu YANGA sio kuisaidia Timu Yenu acha kelele nyingi na Sifa na Vijembe

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 2 місяці тому +1

    Sawa mwimba taarabu. Naona unaimba na kucheza mdomo umemponza Ahmed Ally

  • @azizrashid6173
    @azizrashid6173 2 місяці тому

    Tunaangukiaaaa tu😁

  • @masanjamelkiory7062
    @masanjamelkiory7062 2 місяці тому +8

    Kwanza Tungeshuka daraja kabisa Ili tuanze upyaa☹️

  • @JosephMwangiluke
    @JosephMwangiluke 2 місяці тому

    MUHINDI NA MPIRA WAPI NA WAPI😒😒 TUNAUMIA SANA SISI MASHABIKI. TULISHINDWA KUMNUNUA AZIZI K, MANZOKI, ADEBAYO HATIMAYE TUMEANGUKIA KWA JOBE 😭😭😭

  • @daudiniyonsaba1113
    @daudiniyonsaba1113 2 місяці тому +1

    Nimeandika:" hali inatoka kuwa mbaya kwenda mbaya zaidi ". Mwisho wa ni ndani ya nyumba.

  • @Generosembaule-zb5en
    @Generosembaule-zb5en 2 місяці тому +1

    Ahmed Ally tumekufunga mdomo kAa kimya mwachie Ally Kamwe aonge.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 місяці тому +6

    So Ulisema mmesajili usajili wa kugawa bahari😅😅😅

  • @mamaiftahiftah8928
    @mamaiftahiftah8928 2 місяці тому +2

    HAJI MANARA TUMEKOMAAAAA.,😭😭😭

  • @yussufomar4093
    @yussufomar4093 2 місяці тому +1

    😭

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 2 місяці тому +2

    Wareeeee wanaokupigiagaaa makofiii nyumaaa yakooo wamekukimbiaa reooo urumaaa maskini jamani

  • @benjaminsumuni3802
    @benjaminsumuni3802 2 місяці тому +1

    TANZANIA SIHAMI 😂😂YANI SEMAJI LA SIMBA NYUMA WAPO YANGA HAHAHA🎉

    • @laranmod5147
      @laranmod5147 2 місяці тому

      Hahaha hao wana thimba wanaojificha ndani ya jezi ya wananchiiii jezi yao imekuwa na mibaa😆😆 imefika mahali team yao imegeuka aibu😅😆😆🙌

  • @devothamsemwa5254
    @devothamsemwa5254 2 місяці тому +1

    Tulikwambia kuwa na akiba ya maneno hukusikia leo kiko wapi Mungu bhana wa ajabu sana maana hamtupi Mja wake ulikuwa na maneno Machafu sana hata kama nimsemaji unatakiwa kuwa na kipimo cha maneno lakin wewe unalopoka tu kama mlevi leo umekuwa mpole kama sio wewe Jifunze kwa wenzio wewe,leo hii wakuongea hivo ama kweli duuu

  • @MussaKulamakwene
    @MussaKulamakwene 2 місяці тому +1

    Hata Mic ni chache Maskini ya Mungu😂😂😂😂

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 2 місяці тому

    Shat la semaj nmelipentaaa,akivaa mume wangu atapenza mno,,Simba tupo pamoja mno mpka mwsho 🦁

  • @donaldmpagaze9803
    @donaldmpagaze9803 2 місяці тому

    Mimi nasema mpaka mtakapotambua umuhimu wa Mungu ktk kazi yenu ya mchezo wa mpira elewa hicho nikipawa toka kwake hivyo ushauri bire mtegemee Mungu zaidi mumeaminisha saana nguvu mbadala amba yo ni kuwatumainia wanadamu yaani waganga acheni hizo ni laana ikitaka kuiona hii nakupa andiko moja tu ktk kitabu cha Neno la Mungu Biblia Yeremia 17:5-8 soma utaelewa kubari kushauliwaaaa

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 2 місяці тому +5

    USITUKAE MAMBA HUJAVUKA MTO, USITUKANE MKUNGA UNGALI UZAZI BADO. Mungu analipa hapahapa duniani. Na bado hujasema. Mtateseka Sana.

  • @user-np4om6hz4m
    @user-np4om6hz4m 2 місяці тому +3

    Huyu mropokaji leo hajavaa jezi😂😂😂😂bwege huyu😂😂😂😂

    • @elizabethmgassa7243
      @elizabethmgassa7243 2 місяці тому

      Usitukane mamba hujavuka mto,,huyu mlopo mwaka jana alikuwa anajigamba sana...kimemlamba😅😅😅😅😅

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 місяці тому

    Napataga shida sana na baadhi ya wasemaji wa timu! Hivi hapa anachozungunza kaelekezwa na Management ya Simba au ni ya kwake? Mbona kama anazungumza utadhani yeye ni CEO?

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 2 місяці тому +2

    Na uko shirikisho mfike finally kama Yanga msipofika sasa😂😂

  • @JosephMwangiluke
    @JosephMwangiluke 2 місяці тому

    MO ATUACHIE TIMU YETU😢😢 NI BAHIRI, HANA UCHUNGU NA TIMU, HANA USHIRIKIANO NA TIMU, NA ANAKULA MA BILIONI YA SIMBA BILA HURUMA. Ahmed Ali HUNA BAYA.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 місяці тому +1

    Mwakani Nafasi ya 3 ni Coastal Union simba munakwenda nafasi ya 18

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 2 місяці тому

    Mbona hata jezi huvai?

  • @matungwadjkazikaziwananchi
    @matungwadjkazikaziwananchi 2 місяці тому +2

    Utakonda babaaa tatu.

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😅baba tatu Tena 👈🤔jamani nimecheka mpaka mbavu zinauma daa!

  • @MasaligaMaduhu-wl8sr
    @MasaligaMaduhu-wl8sr 2 місяці тому

    Naomba namba zako hamedi aly

  • @Alama_Tv_online
    @Alama_Tv_online 2 місяці тому +2

    Nimevutiwa na hilo shati😅

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 2 місяці тому

    Dada ahmed tatu

  • @user-tq9xo4nf5m
    @user-tq9xo4nf5m 2 місяці тому

    Jamaa anajua sana uyu

  • @user-su3wk7vv9v
    @user-su3wk7vv9v 2 місяці тому

    Wao ndo walikuwa tunacheza ligi ya kombe la malooser sasa leo kiko wapi husitukane mamba kabla hujavuka mto 😂😂

  • @DeeSwaggz
    @DeeSwaggz 2 місяці тому

    Huwa anajizima data vby 😂😂 leo mpoleee amelowaaa😂😂😂😂

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 2 місяці тому

    Daaah!!!!!
    Wanasimba wenzangu hadithi hii inatufundisha nn.....

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 2 місяці тому +1

    Semaji baada ya kuona mic zimeongezeka naye kachangamka

  • @user-di1fn5oc3h
    @user-di1fn5oc3h 2 місяці тому +8

    Ahaaa semaji la shirikisho nakuelewa sana

    • @mcgabby
      @mcgabby 2 місяці тому +1

      Daaaah we Jamaaa haki umeweza😂😂😂🙌🙌🙌

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 2 місяці тому +2

    Nikombe dogo ni kombe yeyeeeeyeeee😂😂😂

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 2 місяці тому

    Man United yetuuuuuu

  • @kungwabaruani4559
    @kungwabaruani4559 2 місяці тому

    Mdomoo wakoo nomaaa

  • @salumumatengasi5113
    @salumumatengasi5113 2 місяці тому

    washabiki wa simba leo wamevaa jezi za njano ammedi allyi weeeeee tim sio ukoo baba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 2 місяці тому

    Hili kombe Ahmed a lisema halieleweki ni kombe walioshindwa,je! Simba wamejisndaa kucheza kombe LA waliosjindwa?

  • @khamidujumanne
    @khamidujumanne 2 місяці тому +2

    😊😊😊hapo hawapo wanasimba umezungukwa na yanga

  • @sospeterlaurent4428
    @sospeterlaurent4428 2 місяці тому +1

    Hahahaha!!! Ahamad umepigaje apo Leo kama umeongea kwa staili gani??

  • @dadimagoma5779
    @dadimagoma5779 2 місяці тому

    Jamaa ana Gundu kali

  • @user-qd7pn2bt7i
    @user-qd7pn2bt7i 2 місяці тому

    Mmetuangusha sana, nyie mmeingia kazini kwaajili ya maslai zaidi viongozi mmezingua sanaaaa

  • @kungwabaruani4559
    @kungwabaruani4559 2 місяці тому

    Lieshimuuuuu kombee la shirikishooooo leooo unajikutaaaa umedondokeaaa hukoooooooooo

  • @user-wr1iu5re2c
    @user-wr1iu5re2c 2 місяці тому

    Haya mahojiano ya kimyakimya wapi matopeni

  • @ngoshakulwa8348
    @ngoshakulwa8348 2 місяці тому +1

    Daah, semaji linaongea kinyonge sana, hadi huruma.

  • @Mgema001
    @Mgema001 2 місяці тому +1

    Semaji mbona leo hujavaa jezi ya mnyama😆😆😆

  • @Zaka-hv9ui
    @Zaka-hv9ui 2 місяці тому

    Wewe unaongea sana leo kombe hilo mnaliheshimu si kombe la walioshindwa unasemaga,mdomo umeponza kichwa malipo hapahapa duniani.

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому

    Shida mna maneno machafu sana mlijifanya pre season kwenda Uturuki mkajinadi eti mmeiba wachezaji airport kumbe mmejibebea laana kibao hakika ni Aibu kubwa Kwan hata yanga ile ya tia maji tia maji haijawai kungombea nafasi ya pili jamani pole mtani mmmmh ni kombe la LUZA tuu

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 2 місяці тому

    Naomba clips zote za mashabiki wa Simba za kusema kuwa kombe la shirikisho ni la losers, ziwekwe mtandaoni, ili wasianze kubadili gia angani

  • @thomasdimme7899
    @thomasdimme7899 2 місяці тому +1

    Pole sana

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 2 місяці тому

    huyu jamaa joti na mkojani na eliudi na ndaro wanasubiri, ni mchekeshaji mzuri sana akigundua kipaji chake atapiga hela sana

  • @alhajshabani5595
    @alhajshabani5595 2 місяці тому +3

    kwanza mdeal na uongozi kabla ya kufika kwa wachezaji bn

  • @benjaminsumuni3802
    @benjaminsumuni3802 2 місяці тому +1

    hili semaji la simba au yangaa

  • @fubuumsb8860
    @fubuumsb8860 2 місяці тому

    Mnaa wasingizia wachezajiii mkuu.. maana wachezaji walioo dumu simbaa Apo niwachache Sanaa...ilaa viongoziii ndioo wamedumu mda mlefuu Sanaa apo

  • @MoajGraphics
    @MoajGraphics 2 місяці тому

    Huyu ni afisa habari wa Yanga au Simba? Maana hapo kazungukwa na mashabiki wenye jezi za njano hahaaaaaa

  • @madibasunshine8718
    @madibasunshine8718 2 місяці тому +10

    Mr Porojo huyooo!!😅

  • @user-yq4qh9ix6m
    @user-yq4qh9ix6m 2 місяці тому

    Mbona leo sisikii yeyeyeyeyeye

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 2 місяці тому

    Tariq Aziz wa Iraq

  • @kungwabaruani4559
    @kungwabaruani4559 2 місяці тому

    Natuma rambirambi kwa simbaaa mnyamaa hakae kwa mnyamaaaa

  • @user-zm4mm4eb5j
    @user-zm4mm4eb5j 2 місяці тому

    Ili mpira uzidi kupanda kiwango lazima yatokee haya hakuna mkubwa kwenye michuano msimu ujao tuone na kina azam namungo na wengineo sio simba na yanga kila siku

  • @olivernkana5746
    @olivernkana5746 2 місяці тому

    Mbona leo hajavaa Jezi😢

  • @user-rj3cd2lh8w
    @user-rj3cd2lh8w 2 місяці тому

    Nendeni shirikisho mkashirikishwe ushirika kwa kushirikiana na ushirikina

  • @user-ix3tl2xj7t
    @user-ix3tl2xj7t 2 місяці тому

    Akalale

  • @user-eg9jq5ny3n
    @user-eg9jq5ny3n 2 місяці тому +1

    Kawampooole kama panado!!😂😂😂

  • @mcgabby
    @mcgabby 2 місяці тому +1

    Katika sajili kubwa Simba ni ya huyu jamaa tuuuu😂😂😂😂

  • @jumaayubu4296
    @jumaayubu4296 2 місяці тому

    Saidoo aongeza mkataba wa miaka miwili 😂😂

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 місяці тому

    Bro ucjali wala usifadhaike ila tujipange tena ila tusifanye makosa tena

  • @georgelyimo2138
    @georgelyimo2138 2 місяці тому

    Tatu binti Mwakarobo mpoo?

  • @deniskaguo4698
    @deniskaguo4698 2 місяці тому +1

    😅😅😅😅😅😅 comed kazini