UTACHEKA MBOTO AWALIPUA AZAM "FEITOTO AJUE MAKOMBE HAKUNA AZAM"

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 25

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 Місяць тому +1

    Haji mboto nakuomba mlete fei tumpe kombo hapa himo kwa garama yake kombe tunalo

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Місяць тому

    Azam mchanga azam mkojo azam viazi azam udongo azam kachorii

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi Місяць тому

    Yani. Bongo. Kunawachezaji. Wameshacheza. Hadi. Ulaya. Lakni. Wazanzibar. Wakicheza. Ligi. Ya. Baratu. Bas. Wanaumia. Mmezoea. Uchawi. Kuwaroga. Wachezaji

  • @tiffahsulei
    @tiffahsulei Місяць тому

    Koro yanakuhusu

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Місяць тому

    Uko sahihi uzawa nini kila mtu apiganie team yake.

  • @Grtudajunior-cw5zp
    @Grtudajunior-cw5zp Місяць тому

    🤣😂😂😂😂😂😂😂 ila uyu mmmh

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Місяць тому

    Vikoba😁😁😁😁

  • @ericbrunokalonndwa8590
    @ericbrunokalonndwa8590 Місяць тому +1

    Hata hivyo sidhani why fei ajadiliwe mla ugali na sukari hana impact nabi nanmayele waliondoka wala hakuna anayejadili ila ni maneno yake yabkitoto ndio yanafanya wajadili kuwa yy ili abaki eng hersi na gsm waondoke yanga wakati kujihudumia alishindwa akawa anakula ugali na sukari

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo Місяць тому

      FEI anataka kujadiliwa umeangalia alichofanya baada ya kufunga goli la penalty Jana au huangalii mpira?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Місяць тому +3

    Bado mpaka leo mnajadili Fei Toto na wala bado kiwango chake kiko juu sana kuliko alivyokuwa kwenu utoporoooo

    • @davestan4562
      @davestan4562 Місяць тому +3

      Jana akuonekana kipindi cha pili chote💀

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 Місяць тому +3

      Hata makombe kabeba mengi kuliko alipokuwa yanga 😂😂😂

    • @Kuminamoja1995
      @Kuminamoja1995 Місяць тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @NunuKupela
      @NunuKupela Місяць тому

      Kwa kuwa Wanambrand lakin hamna kitu mchawi bule alimloga Aziz k alivyomwachia shughuli anayo kumbe bila vitanzi angekuwa Bora mwaka Jana but wakati wa Mungu ni wakati sahihi ki anaenjoy adi fei mwenyewe anataman yanga

    • @NunuKupela
      @NunuKupela Місяць тому +1

      Kufanya nn Wana kombe gan Bora hata madunduka fc Wana vikombe hajafikia ukubwa huo Yan nataman nomzomeeeeeeeeeeeee mmyyyyyyffffffyyyyyy

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 Місяць тому +1

    🤣🤣🤣
    Usajili wa fei umelipa kwa Azam.
    Ni kweli maana wanamechukua ubingwa wa NBC na kombe la CRDB Jana
    🙈🙈🙈🙈