Mimi nahisi kama timu imetelekezwa hivi, kwani hakuna anayeongea kuhusu kuhitimisha msimu. Basi bora ajitokeze mwaminifu mmoja tumchangie ili aweze kusajili wachezaji wetu.😂
GB ww SEMA ukweli.mpira unaujua mwanangu unasema kweli tupu mpambanaji. Co Hawa MBWA chawa kina KISUGU njaa tupu na wajinga wenzake sura ya Kisugu mbya km boss wke Mangungu wte.watuachie timu aka jipendekeze huko washikane matako MBWA hawa pambavu.
hakuna timu isiyoshuka hasa hizi za ukanda wa magharibi na mashariki, halafu kuna muda tusiwe ni kulalamika tu, km tumesema tushasema na tutoe muda wa watu kutoa majibu, na majibu yenyewe ni vitendo tukiwa tunalalamika tu halafu hatutoi nafasi ya maamuzi kwa viongozi, tyr tushapotea tupo nafasi ya 3 na tunashiriki shirikisho ndio ukweli, ila lazima wanasimba tutoe nafasi basi watu wafanye ht maamuzi kila tukikaa media ni kucheza ngoma tu.
Simba viongozi watoke
Wezi Simba wapo wengi watoke haraka sana
We jamaa ataliii sana unajua mpila unaongea ukweliii
kaka unaongea ukweli kabisa kama watakaa na kusikiliza maoni yako tungekua na wachezaji wamana sana sio hoyo mangongot big up kk
Nakubali GB 64 hao wanao kutukana achana nao sio mashabiki wa simba hao
Gb 64 namkubali anasema ukweli wàchezaji wore wa Simba walostaafu wabaki benchi wasaidie timu
GB64 anaongea ukweli matola hamna kitu uongozi wa simba ndiyo unaua timu
Matola aondoke
Hivi jema lipi kwetu sisi mashabiki? Nikimsikiliza huyu nashindwa kujua nn kinatakiwa nanikipi hakitakiwi?.Matola mchezaji wadhamani wa simba haondoke,ila Nyoni, Kaseja, Bawasa anauliza kwahnini hawapo sasa anataka nn?
Mimi nahisi kama timu imetelekezwa hivi, kwani hakuna anayeongea kuhusu kuhitimisha msimu. Basi bora ajitokeze mwaminifu mmoja tumchangie ili aweze kusajili wachezaji wetu.😂
g b 64 nakuelewa Sana kaka
Mie namulewa sana jamaa
GB 64 Mimi Nakwelewa
GB ww SEMA ukweli.mpira unaujua mwanangu unasema kweli tupu mpambanaji. Co Hawa MBWA chawa kina KISUGU njaa tupu na wajinga wenzake sura ya Kisugu mbya km boss wke Mangungu wte.watuachie timu aka jipendekeze huko washikane matako MBWA hawa pambavu.
wewe ni GB 120 sio 64 ,,kwanza unafaa kukaa kwenye benchi la simba
sema ukweli GB 64 unaujua wewe ni sawa na Rais magufuri,
mawazo mazuri sana
Sahihi kaka
GB64 unajua kweli mpira
SEMA GB SEMA VIONGOZI HATUNA HAPO
👏👏👏
Kweli kaka❤❤
Kaka upo sahih kabc😢😢😢
🤣🤣🎉🎉gari limeingia mtaroni
Dah kaka naptata uchungu na timu yangu 😢😢😢
Matola aondoka tafahali
Sie sie hawa mashabiki tunasema
Waondoke wamezeeka kina bocco na erasto
hakuna timu isiyoshuka hasa hizi za ukanda wa magharibi na mashariki, halafu kuna muda tusiwe ni kulalamika tu, km tumesema tushasema na tutoe muda wa watu kutoa majibu, na majibu yenyewe ni vitendo tukiwa tunalalamika tu halafu hatutoi nafasi ya maamuzi kwa viongozi, tyr tushapotea tupo nafasi ya 3 na tunashiriki shirikisho ndio ukweli, ila lazima wanasimba tutoe nafasi basi watu wafanye ht maamuzi kila tukikaa media ni kucheza ngoma tu.
Sema baba
7:15
Kaka acha chuki matola kosa lake nini ,alafu wewe hujui kafanyia nini Simba?
Gb pasua
Bila matola kutoka hatutasogea popote
Mwachie mwenzio afanye kazi sasa yeye anausika vipi wew kenge
Kenge mwenyewe gb64 yuko sahihi
Oya kenge mwenyew nguluwe kbsa ww
KWANZIA LEO WEWE NIJIBII 240 SIYO 64
Na ww acha ujinga muache aongee ukweli ww ndo mshamba
Matola aondoke tena haraka ndie msababishaji wa yote, amempoteza hadi benchika. Matola aondoke tena haraka
Tuachane na Matola. Tukazanie Viongozi wa Simba waondoke kwani ndiyo walioididimiza Simba yetu
MO kama hataki kuwaondoa tutajua ni yeye anayetuhujumu.
There is truth in this place" why every time coaches are fired Matola stays ?
Kumbe washamba wengine tunaohumhum acha usenge cjui wedem au matako Yako meus ka mkaa
wewe ndo mshamba
Kama vipi anzisha timu yako ili cheze club bingwa kila siku Mshamba sana wewe
Umefika mbali mkuu
Unadinywa ww msengerema mkubwa
Wewe unaetukana wewe mwenyewe mamluki ujui hata mpira mwacheni kaka gb64 anaongea ukweri mtupu tuacheni na gb wetu utakuwa yanga wewe
Nakubali GB 64 hao wanao kutukana achana nao sio mashabiki wa simba hao