DR. MOHAMED ALIPUKA KWA NHASIRA BAADA YA KUIKOSA NAFASI YA PILI | SIMBA IMEFELI TUWEWAWAZI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 38

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 2 місяці тому +3

    Chawa akubali yaishe

  • @SaraJinalangu
    @SaraJinalangu 2 місяці тому +2

    Ndo mnapokosea etyi mnamuachia Mungu
    Reeeeeeeesh yaani
    Ndo maana naipenda Yanga tuna maamuzi magumu sio viongozi wala wanachama
    Yaani kiongozi haeleweki
    Khalaaaaaaaaaaas Ruuuuuh

  • @user-qu1dz2ed1b
    @user-qu1dz2ed1b 2 місяці тому

    Nyie simba mashabiki mje yanga mpate rahaa 🎉🎉🎉🎉

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 2 місяці тому +1

    Mungu ibariki simba😢😢😢😢😢😢

  • @wilbard-vv9nx
    @wilbard-vv9nx 2 місяці тому

    inauma sana

  • @omushaijaentare9351
    @omushaijaentare9351 2 місяці тому +4

    GB 64 mlimuona hamna kitu leo mnaongea naye lugha moja

  • @richardchenga4983
    @richardchenga4983 2 місяці тому +2

    Mbona sisi tunavyo raramika urisema viongozi wazuri reo kinacho kuumiza nini?

  • @user-mj3lt1ef7j
    @user-mj3lt1ef7j 2 місяці тому +1

    Ata ahmedi pia aondoke

  • @harrychuwa3180
    @harrychuwa3180 2 місяці тому +1

    Hakuna cha football!!! Viongozi wote !! Mangungu, Try Again, na Kajula Waondoke haraka Simba!!! Wakiendelea kukaa tutawaponda kwa mawe kila mahali mpaka Waondoke Simba!!!! Watoke kwa ustalana wao mbwa hawa!!! Wężi wakubwa hata aibu hawana!!! Takataka ambazo hazina chochote. Aibu kubwa sana.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 2 місяці тому +2

    Wewe ndiye kocha?

  • @suleimanzimbwe373
    @suleimanzimbwe373 2 місяці тому

    Kweli madunduka wanahahhaaa

  • @JosephNdunguru-lw7st
    @JosephNdunguru-lw7st 2 місяці тому +1

    Jamaaa ameongea ukwer kabisa

  • @AbbasiMdabwa
    @AbbasiMdabwa 2 місяці тому

    Tatizo ni mo hapo Simba mnapeleka mashambulizi sehemu siyo

  • @AllyNangomwa
    @AllyNangomwa 2 місяці тому

    Tuliwaambia mtajifunza mengi kwa Yanga ya Hersi,leo hii kila mfano wenu ni Yanga😂

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому +2

    Kumbe moo hua hatoi pesa

  • @bauchahamad5333
    @bauchahamad5333 2 місяці тому

    Ww dokta ihefu na simba ipi ilofeli

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Ata mimi jobe huwa Anakera sana Akwereeeee

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 місяці тому

    Mama samia Raisi wetu tunaomba uchukue hii timu jamani mimi leo na presha kwa Ajili ya hi timu

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 2 місяці тому +1

    Tajiri anashida hao viongozi wanamfichia siri.

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 2 місяці тому +1

    Mo aondoke anapata hasara

  • @ip_header
    @ip_header 2 місяці тому

    Chama hakuwepo msimu huu?

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому +1

    Kwavo zile bilioni 24 ni zauongo

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 2 місяці тому +1

    Ilo taira wew si ulikuwa ujitumika kueneza propaganda thidi ya yanga Leo VIP? Mmevuna mlichokapanda

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 2 місяці тому

    Dr Mohamed na GB64 jitahidini kupamana na hawa viongozi wabove au wanyewe agenda ya kuiangusha Simba Sc.
    Waondoke tu.
    Washakula vya kutosha.
    Ila wanaogopa kuondoka wanaogopa ya akina Kaburu.

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 2 місяці тому +1

    Posho imekata unawakana viongozi

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 місяці тому

    'waandishi' ka uyoga nowadays Jesus🤣🤣

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 2 місяці тому

    seen the decline of simba r I p

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 місяці тому

    Sisi tuliwambia nyie presure fc,leo mnacheka kesho presure

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g 2 місяці тому

    Badara wana chama muungane munapiga makerere hayana msaada

  • @HamiduMussa-ck2nb
    @HamiduMussa-ck2nb 2 місяці тому +1

    Kama zamalek kacheza shirikisho Simba sports ni nani? yeye asicheze?badirika wewe mbu mbu mbu

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 місяці тому

    Kweli makolokwinyo ni MADUNDUKA NI MBU MBU MBU kama alivyosema Rage. Kosa si mangungu, wala try again kosa wachezaji wazee, kosa la pili KATIBA MBOVU unaongea hujui unachoongea Mangungu yupo upande wa asilimia 51 lakini kwenye uongozi anaingia kama mjumbe badala kuwa mwenyekiti wa Bodi mmeshakosea ati wale wa asilimia 49 ndo wameshika madaraka yote ambayo try again ndo mwenyekiti mwenye sauti mwenyekiti wenu mangungu ni wa kufungua na kufunga mkutano tu hata kwenye hafla kubwa anakwenda jaribu tena na MO mangungu kama kibaraka ila kwa kuwa wengi wa wanachama na mashabiki ni MBULULA. rudini kwenye katiba kama Yanga.

  • @SAIDSALUM1981
    @SAIDSALUM1981 2 місяці тому

    Viongozi waondoke

  • @user-pv3rj5yk5n
    @user-pv3rj5yk5n 2 місяці тому

    MANGUNGU KIBARAKA TU TUSIUMIZE VICHWA

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 місяці тому

    MMMM Mdomo huo.

  • @aloyceibiga-tx1ji
    @aloyceibiga-tx1ji 2 місяці тому

    Huyu msikilizee anaongea haya baada ya posho kukata msenge kweli huyu, akae asikilizie, dawa imuingie vizuri,sisi wakati tunapiga kelele na kulalamika huyu ndiye alikuwa anadimololorais kelele zetu, mwabieni aache, kelele huyu ni miongoni mwa mashabiki waliochangia kuikwamisha timu, hana lolote mpuuzi,

  • @abdallahmesso7732
    @abdallahmesso7732 2 місяці тому +1

    Acha ukuda wewe una timu yako kama una hasira toa pesa ya usajili kama timu nimali yako

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 місяці тому

    Mchezaji wenu wa mdomoni Ahmed Ally aondoke😂😂😂😂