КОМЕНТАРІ •

  • @chrisantusnditi8670
    @chrisantusnditi8670 2 місяці тому

    😂😂We mzee Mochachu unakuwaga wa kwanza kuwa na presha mnapokutana na Yanga.😊

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 2 місяці тому +2

    Wakwanza Leoooo

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 місяці тому

    Mzee muchacho eti msondo ngoma 🤣.. Bakurutu fc 😹

  • @randobrown
    @randobrown 2 місяці тому

    Sema siwez Sema lolote kwa mzee acha ncheke😂😂

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 місяці тому

    Vijana Jazzband na Wazee Jazzband 😅😅😅😅

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 2 місяці тому +1

    Mpira unahitaji vjana lakini siyo kwa chenga chenga kama hizo ambazo hazina hata uzoefu na lingi tena mbaya zaidi timu Haina hata wakubwa kidogo kama ma regend kwenye timu hahaha,vikiamua kubishana vinabishana Hadi ngumi,ngoja filimbi ipulizwe tuone kati ya wanao tamba nani atatamba zaidi

  • @SaidChande-g4e
    @SaidChande-g4e 2 місяці тому

    Somo mzee mchacho 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 місяці тому

    Kwa hiyo Ngao ya jamii ni Msondo ngoma na Vijana jazz sio ?

  • @YohanaDeus-ms6kd
    @YohanaDeus-ms6kd 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂