MZEE JAFARI ALIA NA WACHAMBUZI WANAO PINGA USAJILI WA SIMBA| TAJIRI AMEMWAGA HELA KUSAJILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 12

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 18 днів тому +1

    Unafikiri wachambuzi tu, hata sasa hivi tuna mashabiki uchwarwa kama wewe unavyozungumza, ujue hapo mna wachezaji wawili kutoka Zambia mmewasajiri, hao nao wanywa pombe za kienyeji (ulaka).?.

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 20 днів тому

    Mchezaji Bora mbona hajawai kupata tuzo ya uchezaji bora

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 20 днів тому

    Tatizo la bongo Kila mtu ni mchambuz ndio mana soka letu halifiki mbali

  • @djumahakizimana
    @djumahakizimana 19 днів тому

    usiandukie na bado wino upo tusubiri tuone

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 20 днів тому

    Chama atajilazimisha kucheza hata kama atakuwa amechoka ili asidharauliwe na mashabiki wa yanga

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 20 днів тому

    Atutaki malalamiko badae cjui wanajivunja

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 18 днів тому

    Ule ukuta wa eliko ulivunjika?. Kwa hiyo sasa ukuta wa belin, haya bhana.

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 20 днів тому

    Kashindwa demands za Chama kumbuka

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 20 днів тому

    Wachambuzi nchii wanajizalilisha sana Kwa kupenda bahasha

  • @SalmaChamy-tg4bo
    @SalmaChamy-tg4bo 20 днів тому +1

    Wewe kakaangu usilie na wachambuzi wa bongo wanatumwa hao.
    Sisi hata hatuwasikilizi tena tumeshaziba masikio yetu na wala hawatushughulishi tena haswaaa kwa sababu ni wajinga