KIJIWENONGWA CHUMBA KIMOJA MKE NA MUME NA NDUGU KUTOKA VIJIJINI/TUNAPEANA ZAMU KULALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 кві 2022
  • #geahhabibu #GeahTv #Kijiwenongwa

КОМЕНТАРІ • 281

  • @naff7552
    @naff7552 2 роки тому +15

    Angefanya comedy huyu mama😂😂😂

  • @user-pu4ej5nv1v
    @user-pu4ej5nv1v Місяць тому +2

    Ni kweli migogo haina adabu aki 😢 wakiingia chooni kwanza waflashi wanakunya Ovyo mpaka baba angu akawafukuza usiku usiku 😂wachafu sanaa na kwakuitana sasa mmmmh

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 роки тому +8

    Zai Nyoka kabisa nimecheka hapo kujaza uso Kamera mm mwenyewe ninarafikiangu anapigia picha karubu bac nivituko

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +13

    Team kijiwe nongwa shikamoo 😁😂😂😂

  • @husnasaidi3970
    @husnasaidi3970 2 роки тому +6

    😂😂😂yani zai anagusa maisha yetu kbs

  • @theresiapastory9637
    @theresiapastory9637 2 роки тому +6

    Kwahy zai unatusema wagogo 🤣🤣🤣eti Inakotoka mizabibu ,miubuyu na mikalanga

  • @BinHaju
    @BinHaju 2 роки тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 WATU WA TANGA WANA HAJA ZAO AMBIWA KHAAAA JAMANI

  • @juliethalphonce3655
    @juliethalphonce3655 2 роки тому +9

    Jamani huyu dada nampenda 🤣🤣🤣

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +23

    😂😂😂😂😂Zay jamani mnachunguza mpk haja za watu unajua hii ya kabila gani khaaa🙌🙌🙌kijiwenongwa mna nini lakini 🤣🤣🤣🤣🤣❤

    • @raniakhan5463
      @raniakhan5463 2 роки тому +1

      Zaramo ppl😆😆

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 2 роки тому +2

      😆😆😆😆😆😆😆Zai kanivunja mbavu zako hapo kwenye kujua haja za watu

    • @juliethndomba639
      @juliethndomba639 2 роки тому +1

      😀😀😀😀

    • @ayshamadege7981
      @ayshamadege7981 2 роки тому

      @@noxlosingida2369 yaani huyu Zay wallah nimecheka hatari 😂😂😂😂🙌

    • @asiacruiz5165
      @asiacruiz5165 2 роки тому

      😀😀😀😀😂😂😂

  • @fatumakambangwa6323
    @fatumakambangwa6323 8 місяців тому +1

    😮We zai unawachana laiv bila chenga na ndo Mana na❤

  • @rehemaabdallah3712
    @rehemaabdallah3712 2 роки тому

    Nawapenda da geya zai ananifurahisha

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому +6

    JAMNI TEAM ZIBARA TUJUANE TUNAO MSIKILIZA ZAI UKU TUNA SEWI BASBUSA SHWARMA NA SAMBUSA🇴🇲

  • @hadijagumbo4769
    @hadijagumbo4769 Рік тому

    Mungu akuweke zai

  • @hadijagumbo4769
    @hadijagumbo4769 Рік тому

    Mungu akuweke zai wetu

  • @gracephilemon4325
    @gracephilemon4325 2 роки тому

    Asante umenikoshaje wa mizabibu we acha

  • @halimarashid2095
    @halimarashid2095 2 роки тому +8

    Hahahahha hadi haja jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai mungu akueke uendelee kutufuraisha

  • @happymwakilasya8425
    @happymwakilasya8425 2 роки тому +10

    Nampenda huyu dada 🥰🥰🥰🥰

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Wanakoga kwa sababu Dar joto vijijini Kuna Hewa nzuri Kuna baridi nzuri kama Bara huko Hewa safi sana miti mingi sio Dar nyumba zimebanana haswa uswahilini miti hakuna kwa hiyo Hewa inawashinda wanakoga hata mara sita wakikuta nyumba Ina maji.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 місяців тому

      Ni kweli, lakini wanawandumaza wenzao kwenda kujijenga kimaendeleo

  • @alfridamapunda6344
    @alfridamapunda6344 2 роки тому +3

    Jamani jamani da zai wewe nakupenda bure

  • @halimamrope5510
    @halimamrope5510 2 роки тому +4

    Hahahaaaà huyu dada anafurahisha

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 роки тому +1

    yuasema ukweli...Kenya

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +2

    Ila we zai ww wanapeana zamu 😂😂😂🙌🏻 kila kabila lina haja yake 🤣🤣🙌🏻

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +6

    😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Eti kwajili Ya ugali ila ww dada ujambo nini🤣😂😂

  • @modestaulambale606
    @modestaulambale606 2 роки тому +2

    Kweri kabisa wala hujadanganya ndiyo, ilivyo

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 роки тому +1

    Mmi yarinikuta hayo tulikuwa tunarara namashemeji zangu chumba kimoja kunashemeji yangu uyoo mhh usiku arinipapasa nikuwana Jakayao wazigua mmh

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 роки тому +1

    mjini pagumu sana hawa wa vijijinni wanajua ela ina patikana kirahisi

  • @mosihassan1615
    @mosihassan1615 2 роки тому +1

    I love 💕💕💕💕 zai

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 Рік тому

    Zai nakupenda sana

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 2 роки тому +2

    Kila kabila na haja zake 🤣🤣🤣🤣🙌

  • @mwatangachuma9069
    @mwatangachuma9069 2 роки тому

    Uwiiiiiii akiamungu zai mungu anakuona

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 роки тому +4

    Jamani jamani wewe gea wewe huyu mtu ni shida sana zai mhhh hata ukiwa na maawazoyako utacheka tuu

  • @rehemasaidi6832
    @rehemasaidi6832 2 роки тому +1

    Zai 🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤

  • @daimaabdallah597
    @daimaabdallah597 Рік тому

    😂😂😂 leo nimejua kuchekaaa nakupenda zai

  • @khadijambuya794
    @khadijambuya794 2 роки тому +1

    Mizabibu na mibuyu na mikaranga mpo 😄😄😄😂😂😂zai tutake radhi bhaana🤣🤣🤣

    • @tinnabenben2328
      @tinnabenben2328 2 роки тому

      Hahahaha Yan zai jamni 😂🤣🤣🤣katuweza

  • @zuhuramussa5171
    @zuhuramussa5171 2 роки тому +2

    Kuyachunguza maisha ya watu hivi si vizuri jmn khaaah

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 місяців тому +1

      Tabia zakukimbilia ndugu mjini si vizuri wengine bado wanajitafuta na fedha yenyewe wanayoipata haina thamani sasa matokeo yake nikumdidimiza mwenzako nakuzidi kuduma katika umasikini, so huyo Dada yupo sawa

  • @fatumakambangwa6323
    @fatumakambangwa6323 2 роки тому +1

    Zai jamani zai daaa

  • @juliethndomba639
    @juliethndomba639 2 роки тому +1

    😀😀😀wagogo mkuje huku tabia zenu zimeanikwa huku😀😀😀

  • @babusobakari7882
    @babusobakari7882 2 роки тому +2

    Huyu dada anaitwa nani ananifurahisha sn nampenda huyu dada

  • @asiabakari2768
    @asiabakari2768 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dada zai Leo nimecheka 😀😀😀 eti mijitu imekomaaaaaa😉😉

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mtihani hawana pesa hao masikini hao nyumba ya kukodi mtihani

  • @iluminathambulwa7054
    @iluminathambulwa7054 2 роки тому +1

    Salute zaiii😂😂🤣🤣

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 10 місяців тому

    We dada nakupenda

  • @user-jn9rc3oj2k
    @user-jn9rc3oj2k 2 роки тому +6

    😂😂😂 Nimecheka

  • @happypius4192
    @happypius4192 2 роки тому

    Wagogo njoo mnaujembe wenu huku

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 2 роки тому +2

    Mizabibu na miubuyu

  • @user-nu3lh5te5h
    @user-nu3lh5te5h 2 місяці тому

    Kwel me walikujaga wifi na mjomba chumba kimoja Tena wa dodoma huko huko yakanishinda😢

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 2 роки тому +1

    Hahaha jamani zay

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому +2

    Teenaa usijirogeee ukawapikia ubwabwa ndio utakomaa hahahahahahha

  • @josephinkaniki1916
    @josephinkaniki1916 2 роки тому

    Mbavu zangu Mimi jamani, eti naogopa katundu😂😂😂🙌🙌

  • @catherinekisasila2196
    @catherinekisasila2196 2 роки тому +1

    Huyu dada jamaniiii 🤣🤣🤣

  • @aishahusseni3352
    @aishahusseni3352 2 роки тому +3

    Hiyo tabia sio wagogo tu Kila makabila wapo sema atutaji

    • @elishaobadia8829
      @elishaobadia8829 Рік тому

      Wagogo wamezidi asee... MI Nimezaliwa na kukulia Dodoma na nnaishi dom

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 місяців тому

      Wagogo na wasamba si kila kabila

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому

    Jmn huyu Dada jmn nampenda LOOOOO zai weeeeeh

  • @Semenikilemile-tj5kx
    @Semenikilemile-tj5kx 11 місяців тому

    Jamani zai

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому

    Zai umeyajuaje hayo jamani 🤣🤣🤣🤣🤣 khaa

  • @sumeyyaothman7608
    @sumeyyaothman7608 2 роки тому +1

    Haha Zai et mijuso misikio

  • @user-ye5ik6mb3n
    @user-ye5ik6mb3n 4 місяці тому

    Da geh Kazi unayo jamani nacheka

  • @jasminemboje1850
    @jasminemboje1850 2 роки тому

    Daaaa zaiiii

  • @rehemasaidi6832
    @rehemasaidi6832 2 роки тому

    Naijua hyoooo😂😂😂😂wagogo

  • @mussabuhe8881
    @mussabuhe8881 3 місяці тому

    wagogo sisi ana was ruguruguru

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому

    Naogopa katundu niokotwe mbele😀😀😀

  • @malkiawakemomba2219
    @malkiawakemomba2219 Рік тому

    Weeee zay jamani

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому

    Zai ulipambana na Wasukuma au wanyamwezi🤣🤣🤣🤣🤣🥤🥤♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @aeshamrange6540
    @aeshamrange6540 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ivi uyu zai ana utimamu kweli🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alfonsiabruno2310
    @alfonsiabruno2310 2 роки тому +1

    Zai🤗🥰🥰

  • @saumurashid972
    @saumurashid972 2 роки тому +1

    Hahahaaa mbavu zangu jamani

  • @madinanoor2505
    @madinanoor2505 2 роки тому

    Zai weye uko comedian 🤣🤣

  • @joshuasabasi3118
    @joshuasabasi3118 2 роки тому +3

    Kwahiyo zai ni wagogo au🤓🤓

  • @sarahnyamayagwa4807
    @sarahnyamayagwa4807 2 роки тому

    Zay 🙌🙌🙌mbavu zangu😁😁

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 роки тому +8

    Zai unawatafuta watu wa Dodoma wewe 😂😂😂😂😂😂

  • @miriamdaudi7568
    @miriamdaudi7568 2 роки тому

    Zai unatusema wagogo eeeh😂😂😂

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 6 місяців тому

    Et tupigane labda wageni waondoke lakni wapi wamo tuuuu😊😂😂😂😂😂

  • @YsnTv
    @YsnTv 2 роки тому

    Wakwanza nimepata VOCHA

  • @bintabou828
    @bintabou828 2 роки тому +1

    Mizabibu ndo wap eti au ndo Kabila gan 🤭🤭🤭😎

  • @franktv2310
    @franktv2310 2 роки тому +1

    We bwana nakuheshimu sana

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 роки тому +3

    😂😂🤣😅😅😃😆😆😆😆😆watu wa zabibu na haja zao

  • @sabrinaalpha2626
    @sabrinaalpha2626 Рік тому

    ,🤣🤣🤣🤣 zai nakupenda kweli

  • @latifaomary1769
    @latifaomary1769 2 роки тому

    Sasa zai mbona unaongea kwa msisitizo 😂😂mm huku hoi bhna

  • @fatumasaid6681
    @fatumasaid6681 2 роки тому

    Weweee hatari

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 2 роки тому

    Et kila kabila linahaja Yake hahahaaaaa uwiiiii

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 2 роки тому

    Zai jamani😀😀😆😆🤣🤣tupe raha

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 2 роки тому +1

    Mijitu iloshiba jembe ugali ukipigwa nao unapasuka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu zai Jaman😆😆😆mnalala wote km mbwa😂😂😂😂

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому

    Zai tupumzishe na Ramadhan hiyi 😀😀

  • @victoriafeston6146
    @victoriafeston6146 2 роки тому

    Zai maneno unatoaga wap jamn unajua kutufurahisha

  • @zulfaissa6557
    @zulfaissa6557 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣Jaman nyie acheni tuu🤣🤣

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 2 роки тому

    zai kama ana kitumbo ndiiiiiii

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 роки тому +1

    🥰🥰🥰💓💯

  • @mamuuyahaya8997
    @mamuuyahaya8997 2 роки тому

    Hahahahahahah mijitu iliyokomaaaa

  • @fatumasaidi2592
    @fatumasaidi2592 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂Mavi ya mgeni na mwenyeji

  • @maggiemaroon1570
    @maggiemaroon1570 2 роки тому

    Naogopa katundu 🤣🤣🤣 mweeehh

  • @sylviakoech2204
    @sylviakoech2204 2 роки тому

    ❤️❤️❤️😍🤣💃💃💃much love

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 2 роки тому +2

    Yaaani zai na ujauzito huo hautaki kupumzika

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 2 роки тому

      Kumbe mjamzito? Mungu azidi kumpatia nguvu mama kijacho aendelee kutufutahisha

  • @rosenaheka7100
    @rosenaheka7100 2 роки тому

    Zay huwendi mbinguni

  • @zainabuhamisi576
    @zainabuhamisi576 2 роки тому

    Yaani zai balaa hadi choo cha mgeni nimecheka kizembe

  • @redtatoo4209
    @redtatoo4209 2 роки тому

    🤣🤣dodoma to singida hyoooo

  • @hajibakari4159
    @hajibakari4159 2 роки тому +1

    Zai samaleekoooo.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      waghalaikum salam 😂😂😂😂😂😂

  • @user-vf5jy3sf1w
    @user-vf5jy3sf1w 10 днів тому

    😂😂😂et mm naogopa katundu

  • @dinahdianah9653
    @dinahdianah9653 2 роки тому

    Zai utakuja niua mie🤣🤣🤣🤣

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 6 місяців тому

    Zai Mungu anakuona 😂😂😂😂😂😂

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 Рік тому

    JAMANI ZAII UNANIFURAHISHA

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 роки тому

    Hahaahahahah nimecheka leo