Zai utaniwa mbavu mm jmn mwee we mzaramo kiboko🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂nakupenda kipenz changu mana ata Nikiwa na mawazo nikija kwako yanaisha yote 🥰🥰🥰🥰tarumbeta linavo noga aki tutaachika wengi🤣🤣🤣😝😝😝😝
Zai ni vizuri kuuliza kweli ukitaka kuoa su kuolewa na wala sio umbea hicho kitu kipo hata kwenye dini ila kuna binaadamu wenggine wachoyo tu wakiona mume ana maslahi kidogo atafanya akimbiye na km mume hana mpango atamleta , haya yamo mpaka ndani ya familia zenyewe na sio majirani tu .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jifunzeni kukaa vile mlisema ama mnyamaze sio kusema hiki na uko kile heri unyamaze🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani zai mmmmh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zai nakupenda bure
Zai ww komedi tuu 😂😂😂 stori zk zinaenda na matukio 😂😂😂 unatunga
Story za Zai huwa hata sijutii mb zangu,
🤣🤣🤣🤣Sina mbavu mmi pale alipovua kiwigi chake akawa anakizungusha Zai jmn Nakupenda mno unatufurahisha na kutujuza ya uko uswahilini
Borabuwe mkweli kama mwenzio mkojo wa nhedere anaemsema mtaa uliopowa yy hauwezi kukaa bila ya kuona watu wanapigana hawezi🤣🤣🤣🤣🤣
Nakupenda htreeee❤️❤️❤️❤️😂😂😂
😂😂😂😂😂😂I love you zaii
Kuesma kweli ni ibada sema kweli daima uongo mwiko
Zai utaniwa mbavu mm jmn mwee we mzaramo kiboko🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂nakupenda kipenz changu mana ata Nikiwa na mawazo nikija kwako yanaisha yote 🥰🥰🥰🥰tarumbeta linavo noga aki tutaachika wengi🤣🤣🤣😝😝😝😝
Zai unanifurahishaga Wallah khaaah sijui mzaramo huyu jamani
Msambaa huyo wa Lushoto😅
Da zai me leo sicheki kabisaaaa 😊😀😁😄😆😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakupenda zai🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ila zai kiboko nimecheka sana kha
Eti nicheze tiiriiiii🤩🤩😂😂😂😂
Mwajina unavituko wee doo AISSEH 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanamke tabiaee mwanaume anapenda mwanamke mstraabu anaye jiheshimu sio mke wakwenda kupeta makalio
Zai wee Asante Sana
Kweli kabisa mm mwenyewe sipendi kuchunguzwa
Mie huyo wa kucheza tarumbeta na kuvua wigi lol
🤣🤣🤣Hakua nania ya kuowa 😂😂😂pole
Kweny kucheza km mwanahawa Ali akiiii zai 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda zai
Hapo mwisho tu umenivunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣
Kucheza kama Mwanahawa Ali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ahaa, hatari
🙄🤷😂😂😂😂😂😂😂😂Zai weeee kujipamba muhimu ukitaka kitu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haki zai huna Akili wew
😂😂😂😂alikua sio muowaji huyo achana nae
Mwajina wangu umenizidi 😂😂😂😂😂😂
Pole da zai utapata mwingine
😀😀😀 Hakuna siku uliomifuraisha Kama Leo
Pole da zai
Akia Mungu zai umejua kunichekekesha 🤣🤣🤣🤣🤣 ila nakupenda sn unavyotuelimisha radio clauds
😂😂😂yaaani we zai
Zai nakupenda bure hahhahahaah
💕💕💕
Wajina wewe noma 😃😃😃😃😃
Zai ni vizuri kuuliza kweli ukitaka kuoa su kuolewa na wala sio umbea hicho kitu kipo hata kwenye dini ila kuna binaadamu wenggine wachoyo tu wakiona mume ana maslahi kidogo atafanya akimbiye na km mume hana mpango atamleta , haya yamo mpaka ndani ya familia zenyewe na sio majirani tu .
Haikua rizki yako bana aende zake
😃😃😃zai bwana eti kanimaliza utu wangu wote
😆😆😆😆haaa apo kwe wigi tu Mie hoi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zai wewe jamani si uache hayo mambo ya vigoma??
Muwe wa kweli kama Tabu mtingita Hahahahahaaaaa tabu anajisemea mm nataka uswahilini napenda mikelele napennda ugomvi yaani uwe mkweli msiwe waongo.
Ila zai shikamoo
Hahahahhahahahahaha..yan ww
Zaiiiiii😘😘😘😘😘
😂😂😂😂😂ucheze kma mwanahawa Ally jmn
Hivi Zai ana wachumba na ndoa ngapi maana series zake zina remix balaa.
Anatunga tuu stori hy ili afurahishe 😂😂
😂😂😂😂😂 ila dah eti anataka ucheze km mwana mwali, na ww huwezi voo
Ule si mchezo wabongo ujinga tu kiuni juu kana nngee😅😅😅😅
Uswailini shida 😄😄🤭
Haki wewe hupenda ukweli😁😁
Zai sio Siri, mpaka huyo mwanaume amekimbia aneona mziki wako ni mkubwa
😂🤣🤣jamn ataniua huyu
🤣😂🤣😂zaiiiiii penda weweeeeee lete rahaaaaaa.
😂🤣😂🤣🤣🤣🥁🥁🥁😂🤣😂😂🤣
Mbona mwanahawa ali 😂
et basi baba naomba niache 😂😂😂
😄😃😄😄zai
🤣🤣🤣🤣🤣jaman zai mbav zang jaman
😂😂😂😂😂😂😂na umeliachia wowo
Zai mrembo jmn
Zai we ninoma
😂😂😂😂wigii
Zaiiiii weeeeh
Mtu na shogaake
POLE mpenzi wangu kwakweli akipenda boga apende na uwa lake
🤣🤣🤣et baby naumwa
Zai mtu wa Tanga jamani
Namba 6
Pole Zai, utapata mwengine asiyejali
ZAI 😂😂😂😂😂😂UNANITOA STREES ZA WARABU AKIAMUNGU
Uko OMAN nini?
Hahaaaa Zai
🤣🤣😀🤣😀🤣🤣😃😃🤣😃🤣🤣Ndoa Basi
Kwa hali ile nani atakubari 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣kabisaaa
weeeh zai😅😅😅😅
Zai jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Napeda sana tazania
Kwa.hiyo Zai unakusudia kutwambia kuwa sasa uko mjane ? Huyo kaka halaumiki , mtu ulokuwa unachezesha bukta vile karibu fundo lifunguke 😂😂😂
Hahaaa
Zai anachekesha sana 😃😃😃
😂😂😂😂😂😂😂😂
😃😃😃😃
Hahahahaah 🤣🤣🤣
Hahaaaaa
😂😂😂🤣
😂😂😂
Harusi ya Zai sijuwi itakuwajee kwa wana kijiwe nongwa c itakuwa pambe😂😂😂
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😀😀
😄😄
Ha ha ha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jifunzeni kukaa vile mlisema ama mnyamaze sio kusema hiki na uko kile heri unyamaze🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤔🤔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Zai
🤣🤣🤣🤣🤭
😆😆😆😆😆😆😅
😆😆😆😆😆