MKE ATELEKEZWA UKWENI| NYUMBA AWEKWA MWANAMKE MWINGINE |VISANGA VIZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2022
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 292

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 Рік тому +19

    Wee mwanamke uliyekaa kwenye nyumba ya mwenzio ujue kwamba ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji lako linakuja pole sana mungu atakufanyia wepesi

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Рік тому +1

      Kbs yy asijione kafika na yatamkuta wanaume wenyewe ndio hao wa kwenda nch za nje kitamkuta kitu

    • @lovvy854
      @lovvy854 Рік тому

      Amenn

  • @faridaf3923
    @faridaf3923 Рік тому +8

    Imeniuma sana kwakweli 😭😭mm ndio mana kwenye nyumba yangu, sitaki hata mia mwanaume, ngoja niende mdogo mdo inshallah 🤲 hiv hiv Mungu atanisaidia

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 Рік тому +6

    Pole sana dadangu hajana naye huyo mjinga sana cha msingi peleka mtoto nyumbani kwenu Kuja tungangane na maisha ya uarabuni na utakua sawa kanisaa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +6

    Utoke hapo usikae kwa wakwe kwa sababu huyo mwanaume Hana mapenzi na ww kwanini ww ukae hapo ukipata pesa toka hapo nendakapange Allah atakufanyia wepesi lnshaallah

  • @mwakaabdallah3185
    @mwakaabdallah3185 Рік тому +9

    Mbona dada mzury huyu mashallah usijali mungu atasaidia

  • @zainab8251
    @zainab8251 Рік тому +7

    Inaumiza sana lakini mhachie mwenyezi MUNGU atakulipa tu zidi kumuomba sana

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 Рік тому +6

    Unamuuliza swali/ unampa ushauri wa mbaya sana. Huyu siyo mwanaume halisi aliyekimbia mtoto!

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Рік тому +8

    Pole sana mdogo angu 😢na huyo mwanamke ipo ck mungu atalipa ndg nenda kwa Joyce kiria fanya kz za ndn jpo kwa mwaka kisha tafuta passport wadau tutakusaidia uje nch za nje kufanya kaz ujenge nyumba yako mradi kiwanja unacho penz kwa huyo mzazi mwenzio lisha kwisha piga moyo konde utapata mwingine

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 Рік тому +6

    Kitendo cha kukataa kurudi nyumbani kwenu, na kusema umeshakuwa mkubwa inaonyesha jinsi gani unajitambua.

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 Рік тому +1

    Pole sana my tafuta kazi falume zakiarabu maisha yako yatakuendea vizur tuu utajenga na utasemesha mwanao tuu na huye mwanaume atakutaman sana zayzi ya san hap sas itakuwa zamu yako nawew yakumuvimbia

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Рік тому +12

    Lakini kama amekupa kiwanja inatosha Sana hapo pambana ujenge dada sikuizi wanawake tunaweza

  • @raybby9291
    @raybby9291 Рік тому +5

    Pole dada wanawake wa nje sikuhizi wanaloga sana

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому

      Mh nicheke kwanza hajalogwa hakuna chochote wanaume wa kwetu tu tabia zao hzo wanapenda mambo ya wanawake kupindukia na yote sababu wanawake tunajishusha kwao mwanamke jipandishe cheo chako mwanaume ajue ww ni wasamani sio kujiachia akakuona wa hovyo.

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 Рік тому +1

    Pole dd Mungu atakusaidia tutasaau tu na maisha yakaenda wacha mm nipambane na warabu alhamdullha nashukuru niko na jenga nyumba na nina viwanja vitatu sijajenga bado namshukuru allha ata nikirudi bongo ss basi nataka kukaa nyumba nina kwangu na mwanaume atonisumbua niko na bint yangu ss anamiaka kumi alhamdullha namshukuru allha kwa kira jambo

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +2

    Dai Haki yako dah ...Wanaume wanaume. .ivi mnafeli wapi kupambana kote uko kisha um'bwage mwenza wako...laana itamla dada zidisha Ibada kwa muumba wako jibu atalipata hapa hapa duniani☝️

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 Рік тому +1

    Am tz 🇹🇿💋mh pole my dada ndio safar jikaze allah atakufungulia shukur pia amekula kiwanja

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому +2

    WE RUDI NYUMBANI MUNGU NI MWEMA UTAKUWA NA MAISHA MAZURI.MTOE KABISA MOYONI UKIENDELEA KUWAZA MOYO UTAPANUKA UTAKUFA UTAMWACHA MTOTO. MWOMBE SANA MUNGU ATAKUJALIA. NA NYIE NDUGU WA MWANAUME WACHONGANISHI MNABOMOA NYUMBA BADALA YA KUJENGA

  • @kisalaTV
    @kisalaTV Рік тому +1

    Wewe kweli mpole sana angekutana na akina asha gedere angekima . Ila mungu atakuripia na wala hacherewi pole sana mwanamke mwenze2

  • @mariamsanga1781
    @mariamsanga1781 Рік тому

    Pole Sana wanaume pasua kichwa ww mwachie Mungu

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 Рік тому

    Pole dada muachie mungu atakulipia hapa hapa duniani na hawezi jua hivyo vitu kavipata kupitia nyota yako mwache aende zake pambana na maisha yako utashinda mtihani

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 Рік тому

    pole dada wa kwetu ndg yangu mme mwache nahilo jumba lake usije uliw bule mtt peleka nyumbani kwa bibi yake upambane unawatumia matumizi na mtt ataeda shule mayu mlekekage shemeji hafai wanawake tunaweza mwache

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +2

    Kimbia dada tena ruka kama digidigi rudi nyumbani kwenu achana nao kabisa usije ukauliwa bure, kam kiwanja una hati zake uza kà mbali na hizo changamoto🙌🙌😭😭

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 Рік тому

      kabisaaa kwani visa havisikiiii aruke kama swala

  • @cherylcheryl7694
    @cherylcheryl7694 Рік тому +1

    Natamani hata kuria pole sana dada Mungu atakulipia hutataabika ila wao watakuja kukupigia magoti haki ya Mwenye haki huwa haipotei

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому

    Pole sana dada Mungu atakufanyia wepesi upate kazi

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 Рік тому +1

    🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🤭Acha nipite tu mie aiseee

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому +1

    Pole ndugu kwakweli inauma sana aisee my mungu atakulipa

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Рік тому +2

    Pole sana dada pambana utajenga tuu inshaallah

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Рік тому

    Mungu atakulipia wako wanaume kama hao baadae wakafirisika Kwa hiyo mungu analipa hapa hapa

  • @shanishani7690
    @shanishani7690 Рік тому +2

    Wale wanawake tunao jenga kwa nguvu zetu tujuane jaman Khaaa wanaume shikamoo

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Рік тому +1

    Pole Sana.

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 Рік тому +5

    Wanawake tuwe makini sana tukiwa na wanaume hii habari ya kuchangia maendeleo tuwe makini

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni Рік тому +1

    Pole sana dada yangu,

  • @halimasul6018
    @halimasul6018 Рік тому +2

    Daaah aiseh inauma snah Allah atakulipa dada ang wwh tafta pesaa IPO siku atakutafta

  • @saay4273
    @saay4273 Рік тому +1

    Pole sana

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 Рік тому +2

    Mwanaume hakutaki we endelea na maisha yako wanaume zetu hawa mungu anawaona,,mshukuru mungu t kipenzi

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 Рік тому

    Mh wanawake wa ndoa tunateseka San jmn,nilijua ni mm tu inaumiza sana unaanza masikin alaf mbafanikiwa anakufukuza anakula Malaya,wanaume mungu awakumbuke kwa mnayotufanyia

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +5

    Dada tafuta kazi, Mungu atakujaalia utajenga yk usikubali tn kushea na mtu

  • @yusrasalum
    @yusrasalum Рік тому +2

    Dada pole ulitakiwa ukae hapohapo angeondoka yeye alovamia dadeq zake dada nenda kakae kwenye nyumba yako uyo mbona atatoka hapo

  • @tatotato506
    @tatotato506 Рік тому +2

    Mungu atakusaidia dada uyo shetani achananae mungu atakulipia

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +3

    Pole Sana Allah akufanyie wepesi Upate Mume mwema mwingine lnshaallah

  • @ammartimayare
    @ammartimayare Рік тому

    Mwenye kazi jamani ampe huyu dada .wanawake wa shunyanga wastaarabu saaaana sio waswahili kabisaaaa

  • @irenejosephkurimba8613
    @irenejosephkurimba8613 Рік тому

    Pole sana dada

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 Рік тому +7

    Wenzangu wanawake wenye bidii! Chungeni kufanya miradi na mwanaume wasio waume zenu! Mwanaume akuoe kwanza alipie na mahari, aketi na wazazi wako wajuane. Nenda kwao ujue ni mtu wapi? Olewa kwanza! Usi fungulie bidii yako yote kwa mtu asiye wako!

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 Рік тому

    Shukuru MUNGU umepewa hata kiwanja kimoja pambana peke yako ujenge na siku nyingine utakuwa umejifunza.

  • @mwajumahamisi2006
    @mwajumahamisi2006 Рік тому +2

    Ngoja nipambane uwarabun wanaume hapana namlea mtoto wangu mwenyewe na najenga mungu atakusaidia dada angu

  • @saidalhabsi9257
    @saidalhabsi9257 Рік тому

    Imeniuma pole sana dada

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 Рік тому

    Pole sana malipo duniani mungu atakulipia hapa hapa duniani

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 Рік тому +1

    Fabi vipi baba mbona vipindi vimepungua siku hizi maxmam tv inapita siku nzima hakuna chochote sio kama zamani tunaangalia mahabari mpaka tunaziacha uporo ukitaka sad moment sweet night mara homeless jenga nas daah siku izi tuko doro kabisa sisi watu wa maxmam tv kwa nini au mumechoka jamani😂na nauliza yule mama mapacha aliepasuka tumbo bado yuko hospital au keshatoka naomba jibu jamani ila kama nimewakwaza naomba mnisamehe sana 😊

  • @bridgetedominic52
    @bridgetedominic52 Рік тому

    Polesana dada

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Рік тому +1

    Pole sana hao ndo wanaume tunatakiwa tuishi nao kwa akili

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Рік тому +2

    Mm ningeenda sumbawanga tu kwakweli Nile dagaa tujenge halafu akae mwanamke mwingine hapana jamani

  • @zw.d7929
    @zw.d7929 Рік тому

    Pore sana dada mungu atakuripia

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 Рік тому +2

    Nimefurahi ulivyosema umemwachia mungu

  • @salmamkwenda2988
    @salmamkwenda2988 Рік тому

    Hawa ndiyo wanaume bwana pole sana my

  • @mammam4701
    @mammam4701 Рік тому

    Mungu mwema sana

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Рік тому

    Mwanaume ukizaa nae tu basi wao Wa naona huna thaman Tena kumbe hajui km ww jeshi. Dada mshukru mungu tu Dunia tunapita tu

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 Рік тому

    Mtihani

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 Рік тому +1

    Mungu atakuongoza tu na kama kuna mwanamme anaangaika na mausiano tafuta mke uyo kaka yangu ndio waovyoovyo ila mke ndio uyo

  • @fathmaoman1186
    @fathmaoman1186 Рік тому +1

    Mwanamke mwenzangu unajisikiaje kuishi sehemu ambayo mwanamke mwenzako amehenyeka . Ila ujue na yy alipendwa kama ww mwanzó. Kama tudin tudan.
    ACHA NIPAMBANE UARABUNI NIPATE CHANGU

  • @victoriasanga4910
    @victoriasanga4910 Рік тому

    Mpendwa wangu , usipeleke mtoto, Ikiwa unamtegemea Mungu hata kuacha

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 Рік тому +14

    Tatizo wanawake sisi wa tz tumezid kujiachia na kujiraisisha mtu unakaa miaka yote bila ya ndoa wara mahari ukiwa mwanamke wa bule ndio shida hii na asirimia 9 wanaume wa tz hawana shukulan yan mtu unahaso nae kisha unamtelekeza ndioman wengi wao wanafrisika ujui nyota ya mkeo urio haza nae ndio amekusababishia na mungu amewabariki we dda usikubari dai haki yako kuishi miaka yote ukimvumiria reo hii anakuacha kiraisi

    • @alhamudyalhamudy2015
      @alhamudyalhamudy2015 Рік тому +1

      Sio wote sema baadhi hasa wabara sisi wazenji hatunaiyo tabia

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 Рік тому +1

      Tatizo lipo kwenye kuchagua hao Wanaume. Mnachagua wanaume wa hovyo halafu mnalaumu kila Mwanamume.
      Ndio maana ndoa zima masharti ndani ya uislamu.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому

      @@alhamudyalhamudy2015 N wotee

    • @alhamudyalhamudy2015
      @alhamudyalhamudy2015 Рік тому

      @@hamidudongo1879 huyo hajaolewa ni wanaishitu ila wenzetu wakikatu pamoja basi wanaitana mke mume hawajuwwikama wanakosea

    • @alhamudyalhamudy2015
      @alhamudyalhamudy2015 Рік тому

      @@ayshamahariq6665 rabda we we dada ila mm najitowa sina ujingauwo mumewangu wandowa sijamshirikisha kwenye nyumba yangu nikamsirikishe hawara loooooo

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Рік тому +1

    Wanaume htr sn. Dada Dai hk yk akupe ht kiwanja

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 Рік тому +2

    Pole dada,fata wanasheria utapata hakizako zote unazostahili

    • @Godneverfailed
      @Godneverfailed Рік тому

      Haina haja Mungu atampigania

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Рік тому

      Aachane naye asijepoteza maisha bure,siku hizi watu hawana huruma

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 Рік тому +1

    Also show video of your relatives with marriage issues.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Pole sana mwanamme ukiishi nae miaka mingi bilandoa atakua anakutumia tu halafu atachukua mwanamke mwengine.

    • @zahrababygarl1568
      @zahrababygarl1568 Рік тому

      Kweli dada mie niko kwenye hii hali mwanaume anataka tuishi pamoja bila ndoa

  • @alicedavido1330
    @alicedavido1330 Рік тому +2

    Dada pambana hata ustawi wa jamii,hata kwa mkuu wamkoa nenda

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Рік тому +3

    Zahir tumekumiss uko wapi kaka?

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Рік тому +3

    Dada pole Saana jitahidi tafuta kazi uondoke hata hapo kwa wakwe tafuta sehemu chumba wala asijuwe unapoishi usipoteze mudu nyanyukaa jikumute... pole pole utajenga na wewee
    Heee eti bado nampenda saana kiruuu khee unajisaaulisha km huna ndoa are you seriously 😳😳😳

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому

    Jamani pole dad wanaume wa Sasa ivi nishida Yani dada achana nae Fanya kazi atakutafuta tu mshezi sana

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 Рік тому +1

    Kweri tz unaetafuta nae kula anakula mwengine warai mie skubar nawatia uchizi siwezi kuka kinyonge

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 Рік тому

      Hunishindi mm haki ningewaroga mbwa wote hao dada piga moyo konde njoo huku dubai tupambane mm ndio maana hii mijanamme hapana siipendi wala haiko moyoni mwangu

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 Рік тому

    Kumbe tukowegi tunaomuachia mungu pole sana mpenzi mungu atakulipa

  • @annasilaa6578
    @annasilaa6578 Рік тому +2

    Dada usimpe mtu mtoto wako kumbuka mtoto wa Arusha aliuwawa na mama wa kambo.

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 Рік тому

    Pole mwaya😭😭

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 Рік тому +1

    Aya mambo yakuwashika mikono wanaume kwenyemaish mung ninusur walla sio poa kbs. Kwenye ugum anakuwa nawe kwenye raha anakuona takataka. Tujifunze wanawake tuishinao kimaleng awa wanaume

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +2

    Hii mwanamke hatari

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 Рік тому +1

    Tatizo ni hiyo nyumba waliyojenga pamoja matatizo hayo yanatokea pia kwenye ndoa mume na mke wanajenga nyumba pamoja ukiisha mume anamfukuza mke anaingiza mwanamke mwingine ndani

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Рік тому +1

    Magdalena Mungu yupo omba mlilie sana Mungu.Yesu Kristo ni jibu

  • @fatmahamad6177
    @fatmahamad6177 Рік тому +9

    Tatizo mnaishi bila ndoa mnakosea Sana ss utajitetea vp

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Рік тому +1

      hapo ndoo wanakwama wanawake

    • @fatumamwantumu4081
      @fatumamwantumu4081 Рік тому +1

      Ata ukiwa na ndoa kwa wanaume wa Tanzanian pasuwa kichwaaa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Рік тому

      @@fatumamwantumu4081 kweli kabisa utaondoka bila kitu tena kwa matusi na dharau kma zote

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 Рік тому

      @@fatumamwantumu4081 kabisa

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 Рік тому

      @@heyumi2340 tena mkipata maendeleo anakwambia unanitia nuksi dah awa viumbe

  • @hamoodalbusaidi4671
    @hamoodalbusaidi4671 Рік тому +1

    Mungu atakulipia mdogo wangu.achana huyo mwanaume.

  • @juliethajames3043
    @juliethajames3043 Рік тому +2

    Pambana Dada kitaeleweka Kaa na Mwanao

  • @nasrahassan5435
    @nasrahassan5435 Рік тому +1

    Kuwa nasubra allah atakufanyia wepesi ,

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb Рік тому +4

    Njoo huku uarabuni dada utajenga hata nyumba 3😥

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 Рік тому

    Mwanamke hujafunga ndoa unadai unandoa mwisho wa siku unashindwa pakuanzia, wanaume wanapenda nyumba mkishajenga upo hatiani umakini unatakiwa

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 Рік тому

    Kumbe huwajui wanaume mdogo wangu mwanaume mkishafanikiwa anamtafuka mwanamke mwengine

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +2

    Yaani nimeumia Sana😭😭

  • @salmamkwenda2988
    @salmamkwenda2988 Рік тому

    Hawa ndiyo mwanaume Wa mjin Kusema kwei watu tunaoga Sana Kusema kwel

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d Рік тому

    Anataka akufe huyo mwanaume hatutaki ushenzi kama huo pole sanaaa 🙆🏼‍♀😥😥😥😥

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому

    Pole sana aise ila huyo mwanamke awe makin na yeye

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 Рік тому +2

    Wewe mwanamke huna akili huyo mumeo hukupendi ndiyo maana amekuacha wewe mabaki na mchepuko hao ndugu zake unaowachukia unawaonea bure cha msingi wewe nenda polis uende mahakamani udai haki yako

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +1

    Mmmmm!!! Leo Fabe?

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 Рік тому +1

    Kaiwashe moto hiyo nyumba shenzii

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Рік тому

    Jamani bora tufe Omani tuu maana wanaume siyo watu kabisa

  • @user-hm4rr3ln1q
    @user-hm4rr3ln1q 10 місяців тому

    Njoo oman dada

  • @imeldangoda554
    @imeldangoda554 Рік тому

    Sametimes wanaume wanatulia na mke mmoja wakiwa hawana kitu.. Punde wanapokuwa na vijisenti Zarau kejeli wananza kutafuta wanawake wengine. Na kumsahau ni jinsi gani walivyohangaika na mke wa kwanza

  • @rhodamwakaje778
    @rhodamwakaje778 Рік тому

    Nenda dawati la watoto na jinsia polisi

  • @victoriasanga4910
    @victoriasanga4910 Рік тому

    Nimekuoenda vile ulivyo na imani juu ya Mungu wako

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому +2

    HUYO MWANAUME MPUMBAVU SANA AMEONA MMEJENGA NDIO ANAOA HUYO ANALANA SANA NA ATAFILISIKA. HUYO MPELEKE MAHAKAMANI NA HUYO MWANAMKE MJINGA ANARAHA GANI? WOTE WATAFILISIKA TUU NA HIYO NYUMBA ATAIUZA TUU

  • @deborahassan1774
    @deborahassan1774 Рік тому

    Nakushauri tatta Kaz Hama hapo panga Fanya kaz

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 Рік тому +1

    Pengine kazidiwa na mke mwenzie

  • @mariahwayesu7312
    @mariahwayesu7312 Рік тому

    SEMA MDADA MSTAARABU SANA, MUNGU ATAKUSAIDIA MY

  • @azizaal-amri3577
    @azizaal-amri3577 Рік тому

    Kweli kabisa nyuta ya mwanamke utafilisika wee kaka rudisha moyo wako rudi kwa mkeo na mto