Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Live: Kutokea Nyumbani Kwa Mke Wa Dkt. Mwaka { Queen }

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2023

КОМЕНТАРІ • 345

  • @maimunaabdallah1294
    @maimunaabdallah1294 Рік тому +8

    Bora uolewe na masikini mwenye huruma kuliko kuolewa na tajiri jeuri

  • @rahmaarrington9019
    @rahmaarrington9019 Рік тому +40

    Nyumba alimuandikia na hati kampa! Ila Kama ni Mimi nabeba watoto natoka humo cz hiyo nyumba isigeuke kaburi ukafia na kuzikiwa ndani ! Muachie mungu cz hakuna atae kwenda kiyama na Mali Bali tutakwenda na Amali! Mungu atakupa mwenye rizki yako na utapata vingi zaidi ni furaha!

    • @mickyjohn806
      @mickyjohn806 Рік тому +3

      Kabisa Bora aondoke hlf aone sasa nini kingine chakumsumbua dada wa watu mzuri atapata wakufanana nae

    • @abdourazakndeze4157
      @abdourazakndeze4157 Рік тому

      @Rahma Arrington vile ni vitisho via waganga dadangu ...lazima Mama abaki kwenye nyumba yake ...kwani mbataka aende wapi?!? Lile jinga Mwaka mganga wa kienyeji hana lolote ameshakwisha anachobaki nacho ni maneno mengiii na kutmtishia dada wa watu... hawa jamaa wapiga ramuri huwaga wana roho mbaya kweli...huyu Mwaka si roho mbayatu bali katili namba moja.. hapa ndipo huwa namkumbuka marehemu Magufuri angekuwepo Mzee Naguu huyo mpiga ramuri angekipata cha moto.

    • @abdourazakndeze4157
      @abdourazakndeze4157 Рік тому

      Huu Rohombaya Mwaka mpiga eamuri kwa nini anajitia kuowa wake wengi na hana uwezo wa kuwamiliki ? Kinachobaki tu ni vitisho dhidi ya dada wa watu...wala huyo mwaka hana lolote maneno mengi na roho mbaya ...katili jinga hana lolote hivio vote vitisho tu ...namuomba dada Queen akomae ndani ta nyumba yake hio ni haki yake.

    • @ladyt1471
      @ladyt1471 Рік тому

      Kweli kabisa hata ningekuwa mimi naondoka vizuri tu

    • @pendo8082
      @pendo8082 Рік тому +1

      Yan kuna muda mtu unatakiwa ukubali kuanza upya

  • @faisamansul1735
    @faisamansul1735 Рік тому +35

    This lady is so brave. Am so proud of her for standing up for herself. Keep fighting Queen👏

    • @kamlkaml4509
      @kamlkaml4509 Рік тому

      Chakwanza wahisillamu unajijuwa unatakiwa kujuwa uyu ni ndugu yetu asa walaba apewe pesa apate ny
      Umba

    • @kamlkaml4509
      @kamlkaml4509 Рік тому +1

      Asaidiwa taraka mama samia msaidie mwana uyo

    • @naomijonathan4384
      @naomijonathan4384 Рік тому

      Mh jamani walivyokua wanapendana kulikoni

  • @sheylamunah4670
    @sheylamunah4670 Рік тому +12

    Pole Sana queen!! Umeniliza Sana leo😭😭😭Allah akulinde akuepushe na chochote chenye kukuletea madhara kwa kipindi hiki kigumu kwako

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 Рік тому +4

    Mungu atamlipa nae mwaka anamtia dhiki mwanammke aliekuwa mkewe na kuzaa nae watoto wawili duuhh ondoka muachie nyumba mungu atakupa rizki yako ishaallah

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 Рік тому +16

    SubhanaAllah yarabb huyu dada queen ameniliza sanaa najiona kama mimi kabisa Kwenye huu mtihani Allah atusimamie Ma Single moms,Queen kua Allah atakupa malipo yalio bora hapa hapa duniani biidhniAllah be strong my sister na Mungu akutie nguvu ulee watoto wako yarabbal alameen 🤲🤲🤲

    • @yahayagimbu4216
      @yahayagimbu4216 Рік тому

      watanzania bhana sasa unawakika gani

    • @salumumatimbwa9653
      @salumumatimbwa9653 Рік тому

      Uyu mwaka colombia anapigwa lisasi

    • @tatotato506
      @tatotato506 Рік тому

      @@yahayagimbu4216 wewe ndio unauwakika au

    • @sitihassan4309
      @sitihassan4309 Рік тому

      @@yahayagimbu4216 acha ufala

    • @sashoright8213
      @sashoright8213 Рік тому

      @@tatotato506 apana huyu atakua ndo wale wanafanana Mana haoni UCHUNGU na Iman ya uyu dada

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 Рік тому +6

    Yaani nimekupenda sana queen.Mungu hatakutupa wewe na familiya yako hata siku.moja..wewe n8 mshindiiiii

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji49 Рік тому +6

    Pole sana Queen umeniliza sana kwa kweli wanawake tunapitia mengi katika ndoa Mwenyezi Mungu atakusimamia Inshaa Allah na utakaa uzuri na watoto wako na familiar yako

  • @MchagaUk
    @MchagaUk Рік тому +6

    Muachie asome hiyo Dua kama huna makosa itamrudia ye mwenyewe we enjoy siku zako 8 dear

  • @passionatequeenofhrt5252
    @passionatequeenofhrt5252 Рік тому +2

    Pole dada,mwachie kibanda chake,nenda uanze upya Mungu,Mungu ni mwema na mwaminifu atakufuta machozi utapata vingi dadangu..pole tunajua maumivu yako Mungu akupe nguvu ya kusonga mbele...dua zake au uchawi wake anaoukusudia juu yako ukamwangukie na kumpiga mwenyewe Kwa jina la Yesu,mipango yote ya uharibifu juu yako ikashindwe,roho za mauti ikafe kwa jina la Yesu..Mungu akutunze wewe na wanao na akulinde 🙏

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 Рік тому +6

    Queen pole sana Mungu anawasubiri waru wenye kiburi, usikste tamaa kwa Allah katika huo mtihani wako.

  • @al.mansoor_baluch6647
    @al.mansoor_baluch6647 Рік тому +8

    Angekuwepo Magufuri uyo dada angepata hakizake zotee 😢 na mwaka angefyekwa ndani kitendo cha kumtishia maisha uyo dada na watoto wake ni kesi Tosha 😢

  • @judithawadhi3510
    @judithawadhi3510 Рік тому +12

    Mungu akusimamie Queen.Una moyo wa tofauti mno!nimesikitishwa sana na hii storry. Mama anatakiwa kuheshimiwa jamani.

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Рік тому +8

    Huyo Dr. Mwaka mshenzi Sana na mungu akupe adhabu hapa

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 Рік тому +1

      Roho zao mbaya na yule mkewe alokuwa nae sahivi domo kana zipu la begi huyu ndio mzuri wako Mungu atawalani mbwa wale

    • @silverman6930
      @silverman6930 Рік тому

      I agree Mwaka an idiot … stupid moron

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 Рік тому +7

    Ana maumivu sana mwenyezi mungu amuondolee uchungu

  • @fatmaalkhuleidy1728
    @fatmaalkhuleidy1728 Рік тому +6

    Usiogope my dear sister hakuna dua litatakupata wala kukudhuru kama wewe ndio ulodhulumiwa be strong ungelikua Kenya hili lingetatuliwa kitambo mwanamke wa kiislamu ana haki ya kudai talaka na mume akikataa kutoa hio talaka basi kadhi anaruhusiwa kuivunja hio ndoa

  • @badaral6167
    @badaral6167 Рік тому +6

    Umeniliza sana dada moyo wangu umekamua sana pole sana in shaallah allah atakulinda

  • @rahmaarrington9019
    @rahmaarrington9019 Рік тому +18

    Daah Leo machozi yamenitoka kwa kweli. Haki itendeke!!!

  • @sheylamunah4670
    @sheylamunah4670 Рік тому +7

    Subhanallah.....queen Anza upya nyumba isikutoe uhai...Allah atakupa Tena kuzidi hicho kinachokuletea shida

    • @mwaty314
      @mwaty314 Рік тому +2

      Ilo mwaka analijua na ndoo maana anamtesa hivi

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 Рік тому +4

    Daah nmeumia Sana hii sio poa mwenyezi mungu amsaidie uyo dada jaman 😢

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Рік тому +3

    Huyo dr Mwaka Mungu anamuona anamuumiza moyo wa huyu dada, hayo machozi uliyomliza ujue kwa Allah utayalipa...

  • @tatuhassan609
    @tatuhassan609 Рік тому +4

    Mungu atakufanyia wepesi ktk jambo lako inshallah na Mungu si mwanadamu atalipa Kwa yote anayo kutendea

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 Рік тому +3

    Yani nimelia Kisa mwanamke mwenzangu Allah atakulipia hapa duniani uone malipo yko

  • @asyaissa9244
    @asyaissa9244 Рік тому +7

    Allah Atakusimamia Mwanamke Mwenzetuu,Naamin Allah Ni Hakim Wala Usitetereke,Wanaume Wa Aina Hii Nawachukia Sannaaa

  • @fauziaomar4661
    @fauziaomar4661 Рік тому +2

    Allah akufanyie wepesi queen mwenyezi mungu yupo pamoja nawenye kusubiri

  • @davidjoackim2216
    @davidjoackim2216 Рік тому +7

    Sema queen ni mzuri jamani

  • @meddyally4416
    @meddyally4416 Рік тому +5

    Yan mwaka angejua huyu ndo mwanamke sasa. Ila mungu atamlipia dada wa watu. Anajifany mtu mzuri machon mwa watu ona anav mliza uyo dada nimeumia sana

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 Рік тому +11

    Watanzania wote tupo na wewe tunakuombea inshaAllah utashinda Allah yupo na wewe

  • @fumbukashangwe3173
    @fumbukashangwe3173 Рік тому +7

    Mwandishi maaadili na kazi vinaenda pamoja mavazi

  • @kubulizuberikubulizuberihu5896

    Dada simama na mungu wako ana nguvu kuliko kitu chochote

  • @muznastwaha5828
    @muznastwaha5828 Рік тому +2

    Mashallah Dada ana imanii sana Allah akufanyie wepesi kila kwenye uzito na wepesi upo

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Рік тому

    Mungu akusimamie mamy! Pole sana tunayajuwa na tuna yapitia hayo. Na usirudishe mama una wtt serikali ipo itakusimamamia na mungu yupo pia. Mwanaume mpumbavuu saana masikiini wa roho mshenzi

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 Рік тому +1

    hv mama yetu kipenzi mama samia haoni naomba mungu aone kadhia hii amsaidie mwanamke mwenzie tunakulilia mama yetu msaidie dada yetu huyu vaa kiatu chake mama yetu ni ombi mama yetu hii ni dhulma ya wazi anapitia huyu dada namuomba Allah amuone dada yetu kwa jicho la huruma na Rehma haki ipatikane na amkinge na kila shari ya wanadamu na majini na kila aina ya balaa na uchawi Thuma Ammyn🤲🤲🤲

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 Рік тому +11

    Huyu dada Ana akili mnooo kuliko hata huyo aliyezaliwa kwenye huo uislamu.Queen huyo mwanaume ni shetani mungu aendelee kukuepusha nae

  • @najuf8021
    @najuf8021 Рік тому +10

    Allah atamrudishia ubaya wote atakao ufanya juu yako

  • @sulimanm6525
    @sulimanm6525 Рік тому +1

    Mimi namtaka uyu dada awe mke wangu wa ndoa nampeda sana uyu bint na nataka nimuongoze vizuri kwenye dini yetu ya kiislam uyo mwaka muacheni acheze na shilingi chooni uyu mwaka ukimuona kwasura na alivyo ni vitu viwili tofauti kua naamani dada tunakubiria sisi yaaa shabab

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому +1

    Pole sana Queen ondoka hapo sio sehemu nzuri kwako mwenyewe zimungu atakulipia Insha Allha🙏huyu dr mwaka sio mtunzuri kabisa 😭

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +3

    Pole sana Dada 😭 ,Mwaka mungu anakuona kokote uliko wewe ukumbuke ni kiumbe tu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Рік тому +3

    Pole sana sana mwanamke mwenzangu Mungu akukinge na mabaya yote jaman wahusika kutoka Serikalin tunaomba msaidien huyu mama sio mpk mtu adhulike jaman

  • @leahwambui5608
    @leahwambui5608 Рік тому +21

    Huyu mama ako na stress mpaka nimemuhurumia

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Рік тому +17

    Allah nakuomba ufanyie wepesi🤲 this is so sad😭😭

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 Рік тому +9

    Mrudie yesu wako

  • @aishamsellem7753
    @aishamsellem7753 Рік тому +1

    Pole qeen jamani nimejikuta naliya kwa uchungu mwenyezi mungu akupe subra lnshallah unapitiya wakati mgumu pole sana ndugu yangu

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 Рік тому +3

    Wale Mnaachaga imani zenu kwa ajili ya wanaume..mna la kujifunza hapo

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Рік тому +12

    Nimelia sana leo hivi kwanini wanaume hawana huruma jamani😭😭😭😭

    • @khalifaalmugheiry9232
      @khalifaalmugheiry9232 Рік тому +1

      Samahani tenguwa kauli yako sema DK mwaka sio jumla ya wanaume au sema kati ya wanaume wenye tabia kama izo za Dk Mwaka

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣
      KWANI NYIE MNAHURUMA..,!!??

  • @rukiamasayanyika2284
    @rukiamasayanyika2284 Рік тому

    Yatapitavqueen simsms na mwenyezi Mungu, hata ipindishwe haki vipi Hakimu mkuu ni Allah, utabaki salama InshaAllah

  • @neemamalakilevi2661
    @neemamalakilevi2661 Рік тому

    Usiogope Dua za ajabu ajabu Mungu atakutetea

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Рік тому +5

    Njooni kwangu enyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami ntawapumzisha

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 Рік тому +2

    Km kuna alipita hapa hajadondocha chozi basi lazima kasikia uchubgu....jmn dada umeniliza wew dada mpk basi Mungu akunusuru inshallah...ikiwezekana muachie tyu kila kitu maana maisha ni zawadi na tunaishi mara moja tu amani nduo kila kitu....simama na mola wako hatokuacha km ulivyo😭😭😭🙏

  • @kanobayirelambert8400
    @kanobayirelambert8400 Рік тому

    Dr mwaka wewe ni mshenzi kbs

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 Рік тому

    Poke sana dada mungu akupe subra utavuka huu mtihan na atakuepusha na kila mtihan na haki yako na wanao utaipata kwa uwezo wa Àllah jaman me niliachwa na nimenunua na mtu pikpik 2 na nimesepa na mwanangu tu bila chochote nilimwachia Allah allihamdulillah now nimejenga nyumaba yangu na mwanangu namsomesha napambana huku kwa mwarabu Allihamdulillah si haba napambana kwa nguvu zangu wanaume muache kutuonea 😭😭😭😭🤲🤲🤲

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 Рік тому

    This is so sad😭😭😭 I don’t know what will happen to me tomorrow in my life😭 god is with you sister and he will always stay with you don’t worry just have faith on him 😭😭ooh Allah have mercy on her 🤲🏻Have mercy on all innocent women 😭😭😭

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 Рік тому +1

    Uyu ni mke na nusu angekua mwana mke mwingine jambo lipo hvyo angemwagika yote leo lakin yeye kaangalia kesho watt watakuja kuona interview safi sana DADA

  • @cathymathias3738
    @cathymathias3738 Рік тому

    mungu akusaidie mwanamke mungu aliyemtetezi wa haki atakuwa upande wako na kuhukumu ipasavyo.

  • @khadijaoman5474
    @khadijaoman5474 Рік тому +2

    Dahaa yani nimejikuta na mm nalia Pole dada yangu ila ucjali kila kitu kinamwisho na hili lako pia nitafikia mwisho Allah akupe subra

  • @sarahjerry11
    @sarahjerry11 Рік тому

    Pole sana dada mungu atakutetea katika hilinalo litapita, umejua kuniliza leo jaman.kama ni mm

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +1

    Polesana dada kwamitihani hakika kilamwenye kusubiri yuko pamoja na Allah ikiwa kama amezamiria ubaya ili akuangamize pamoja na watoto basi Allah anzane nayeye insha Allah 😭😭😭😭😭😭😭

  • @witnessromward6875
    @witnessromward6875 Рік тому

    Pole sana dada nimeangalia mpaka nimejikuta nalia ulivyo piga magoti nikutie moyo mungu hata yasau machozi yko pia hata kama ni mali zinatafutwa utapata nyingine kupitia kwenye kizazi chako wapiganie watoto wako wasome wakifanikiwa watakufuta machozi yko pia wataona vitu vyote hivi kwenye mtandao bila wewe kutumia nguvu watajua baba alitumikaje kulinda makuzi yetu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Рік тому +5

    Jaman wanasheria tunaomba msaidien huyu dada sio mpk mtu adhulike jaman Mungu akutetea ktk yote Queen

  • @Amander242
    @Amander242 Рік тому

    Queen, you are too beautiful for this!! You don’t deserve this kabsaa, ondoka kwenye iyo nyumba nyumba kitu gani mwachie pagale lake utapata better than all theses! fight for yourself and things will be better!

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 Рік тому +3

    Dada huu ni mstaarabu sana maana hasemi ya ndani ni siri hapo nimemsifu dada

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому

    Kaa kwa Yesu wewe dada, atakutetea, hiyo dua itapotelea mbali au itamrudia. Acha kulialia.

  • @shufaaabdulatif3086
    @shufaaabdulatif3086 Рік тому +1

    Duhhhh imeniuma mnooh ila kwa kumpigia magoti binaadam mwenzangu big No

  • @reginamwengi987
    @reginamwengi987 Рік тому

    Eh mungu.. simama katika haki

  • @AdoAshu80
    @AdoAshu80 Рік тому +7

    Talaka zetu za kiislam ni rahisi. Mume anaweza kuacha hata mke pia anaweza kuacha. Sasa cha kushangaza kwenye hii ndoa imekuwa ngumu kutalakiana why??? Hapa shida kubwa ni Mwaka ana roho mbaya ya kikatili 😡 Labda atuweke wazi kama Qeen ni hirizi yake 😡
    Huyu Mwaka ana sahau alivyofungaga klinik zake akakimbilia nje ya nchi? Ana bahati JPM hayupo angeisoma namba.

  • @biaishaallybiaishaally4784
    @biaishaallybiaishaally4784 Рік тому +4

    Dada amka usiku swali rakaa 4 mulilie mungu kila siku na funga siku tatu majibu utapata

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +1

    Kwanza pole sana dada . Pia jiifadhi unajiachawazi saana mbeleya midya mbeleya wanaume siyo poa kidini mwili mikono nwele zipo wazi lntakillah. Na pia kuwa na subra simama usiku swari lhkhala .. Lakaambili 2 muelekee Allah ukiwanaiiman takaushaulo kwa Allah juu laholiswalala talaka Allah atakujibu bila shaka ........... Ni ushaulitu nduguyangu kwaaajili ya Allah

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому +2

    Dada kazana kumuomba Mungu atajibu,,,ila haki nime😢😢😢😢

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 Рік тому

    Dear mama president 😭 sister queen is need your support please 😭😭

  • @fatumashabani9122
    @fatumashabani9122 Рік тому

    Pole sn dada mwenyezimungu atakufanyia wepes

  • @akimanaarlene851
    @akimanaarlene851 Рік тому +1

    Mungu atakupigania tutasimama nawew😢😢😢yatapita

  • @joycemwa842
    @joycemwa842 Рік тому +1

    Dada pole sana..lkn Dk mwaka ujue machungu ya Bibi yako itakutesa sana..🇭🇺🇭🇺

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 Рік тому +1

    DR MWAKA WEWE NI MBAYA SANA

  • @swaleheissazaidi4915
    @swaleheissazaidi4915 Рік тому

    Dada pole sana simama kwenye haki yako,wala usiogope hauna duwa yoyote itakayo kudhuru labda ushirikina nao kwa wenye haki hafui dafu, achana na washiriina kwani hao ni wadhalili na mwisho wao ni udhalili tu

  • @yahfeysal4184
    @yahfeysal4184 Рік тому

    Pole shemeji yetu mungu alete mwisho mwema kwenu nyote ,..naomba nimwambie dk J kuwa kwa mimi nliesoma cuba najua unajua sana umuhimu wa huyu mwanamke na naamini huwezi kumuacha kamwe km naongopa mungu anisameh kifupi huyu ni mwanamke ni upande mke kwako upande ni mama wa familia yako unajua unavyomtegemea na unanielewa ninachoongea hapa mimi ni mwanaume mwenzio .hivyo basi ningeweza kusema mengi hapa ila naamini hayo machache yatakupa mengi sana .Kitu ambacho nakuomba sana sana Dr J mgeukie mungu futa alichokukosea huyu mama najua pia kipo msameh japo nusu kwanza ili اللہ atie wepesi wa kuwa nae karibu yeye na watoto wako. Kifupi achana na malumbano yote ya vitisho hiyo ni familia yako usijidhalilishe naamini umeenda jando .... ni maombi na huyu shem ameshakuomba pokea tuu .Narudia kwa mtazamo wangu huwezi mpa talaja huyu hata unapitia tuu ktk barabara isiyo na taa bila tochi .Akhsante

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 Рік тому

    Mwaka acha kumngangania huyu mwanamke mwache aendelee na maisha yake....qeen mungu yupo pamoja na ww utapata haki zako haya ni mapito yatapita inshallah

  • @mohamedaden5881
    @mohamedaden5881 Рік тому +17

    Huyu mwanamke ni mrembo

    • @batilda4920
      @batilda4920 Рік тому +1

      Daaa!ihadi chozi limenitoka😭Huyu mwaka si amwache tu!kwani mapenzi yanalazimishwa jamani Haya Mali kasema anakuachia umwache akae huru cyo vitisho km hivyo.

    • @sabinajosephu4757
      @sabinajosephu4757 Рік тому +1

      Pole Sana nikipidi Cha mapito Dada aisee nimelia Sana 😭😭😭😭😭

  • @azamajid9530
    @azamajid9530 Рік тому

    Pole saana mwanya hata mie nimeyapitia nikasamehe mali nipate AMIN nipo falme za kiarabu najikoshea vyombo kwa waarabu

  • @limoghasia321
    @limoghasia321 Рік тому +2

    Pole sana Queen no situation is permanent Inshallah Mwenyezimungu atafanya wepesi ,Innallah Maaswabirina

    • @allydunga
      @allydunga Рік тому

      Dada yangu Queen,wewe na Dr.Mwaka,kaeni chini na mlaani shetani. Nyie Allah kawachagueni na kazi aliyokusudia kupitia nyinyi imekamilika. MUNGU alipanga kupitia nyie,kumuondoa shetani huyu wa mkoa ktk nafasi aliyokuwa kakalia Naomba muamini nyinyi mnakheri kubwa mno kama mtatambua hilo.Hapa hamtoachana kwa kuwa haya yote yametokea kumuondoa shehe huyo aliyekuwa akidhalilisha UISLAM nchini Tunashukuru kaondolewa.Futa machozi shukuru mungu mmepata bahati Mungu kuwachagueni. Muda sasa kila muja amrudie Mungu mrudi kama Armani.

    • @allydunga
      @allydunga Рік тому

      Naamiini wewe ni jasiri. Muite mumeo najua atakuja. Tumia hata wazee aitwe kazi yenu imekamilika.Rudini kwenye reli. Kumtoa Alhadi siyo jambo dogo mmefanya kazi kubwa.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому

    Ahaa, kumbe ulimuacha Yesu kwasababu ya ndoa? Mrudie Yesu kwa toba, utakuwa na amani.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Рік тому +2

    bakwata mnamsaidiaje huyu muislam mwenzetu

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Рік тому +2

    Dada muamini Mungu...

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 Рік тому +2

    Inshaallah dada mungu atakusaidia mungu yupo nawe najua unapiti wakati mgumu sana usichoke kuomba kuswali swala zausiku inshaallah

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Рік тому

    Dah inauma sana pole sana dada yangu wanawake tunanyanyasika jaman waziri pamoja Rais Samia tunawaomba msaidien huyu mwanamke mwenzetu apate haki yake hiki anachofanyiwa sio haki kabisa kibinadamu nimejikuta natoa machozi Mungu akukinge na mabaya yote hakuna lisilowekana kwa Mungu wetu

  • @fauaulit209
    @fauaulit209 Рік тому

    Allah atakufanyia wepesi hili litapita

  • @Lina4285baby
    @Lina4285baby Рік тому

    Walahi This make me so mad and I’m crying Tanzania pls need too do beter 💔😭😭

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 Рік тому

    Mungu atakulinda dada na atakupa vizur na mume mwema sio huyo aliokutumiq na kukunyasa alitaka uwe anavyotaka yy uende atakavyo umsujudie

  • @tarerich5099
    @tarerich5099 Рік тому +1

    Kweli zile zama za unanijua mimi ni nani zimerudi tena
    Yule mwamba mzee Magu kesi kama hii ingeisha mapema sana.

  • @jerrybasaya5377
    @jerrybasaya5377 Рік тому +21

    Someone has got to Help this woman.

    • @sadaali3207
      @sadaali3207 Рік тому +1

      Yes she really needs help aki

    • @giftgodson5603
      @giftgodson5603 Рік тому

      Only Jesus

    • @donathakimaro5276
      @donathakimaro5276 Рік тому

      Dk mwaka ni shetani asiyestahili kuishi huru, wanasheria wa nchi mko wapi? Nyie watu wa haki za binadamu mko wapi?

  • @alaidertolatine4750
    @alaidertolatine4750 Рік тому

    Yan nmeumia pole hili nalo litapita 🙏

  • @anethjoseph355
    @anethjoseph355 Рік тому

    Dr mwaka alikuwa anajikuta dokta wa mapenzi Leo hii yamekushinda toa talaka iyooo acha roho mbaya

  • @mmll8533
    @mmll8533 Рік тому +1

    Allah akutiye nguvu

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 Рік тому +8

    Aise huyu dada kaniliza leo. Queen mrudie Yesu

    • @salamasefu5494
      @salamasefu5494 Рік тому

      Pole dada.nasema na wanaume km rizki ipo uwezo unao .pindi munaachana na kuna watoto nyumba ni yawatoto. Kiubinadamu anahaki mke na nyumba. Tuacheni uadui kuna maisha baada ya haya kuna watoto .watakuwa. mnawajengea .

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 Рік тому

    Dr Mwaka kuacha nikuzito sana kwa unaempenda ikiwa alikua anakudhamini lkn mpatie talaka na pia kama mama watoto wako muachie nyumba na pia sio vizuri kua na utu umsikize huyu mkeo asante

  • @joshuasandi6267
    @joshuasandi6267 Рік тому

    Dah malipo yatamfika.pole sana dada

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Рік тому +3

    Nilidhani Mwaka ni gentleman, kumbe mpuuzi, anaitakaje nyumba wanayoishi watoto wake?

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 Рік тому

    Hivi huyu mwaka ni nani hasa katika nchi hii dd muwachie kila kitu chake Anza maisha yako tafuta amani ya moyo

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb Рік тому +1

    HUYU MAMA SI AMESHA ACHIKA YA NINI KUSUMBULIWA NA KIUMBE KAMA VIUMBE VINGINE USIJE KUACHA DINI YA KIISLAM UTAKUA UMERITAD VUMILIA NA MAISHA NA ALLAH ATAKUOKOA NA KILA SHARI

  • @prettygirl8325
    @prettygirl8325 Рік тому

    Dah.....M/Mungu msaidie huyu dada apate haki yake

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 Рік тому

    Allah amfanyie wepesi maskin 😢