HEKAHEKA: Mume asababisha mke kuwekwa mahabusu kisa hati ya nyumba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 бер 2017
  • Leo Tena ya Clouds FM kupitia mtangazaji Geah Habibu ametuletea HekaHeka leo March 29 2017 inayomhusu mwanaume aliyemshtaki mke wake na kusababishwa kuwekwa mahabusu akiwa na mtoto wake mchanga wa miezi miwili.

КОМЕНТАРІ • 80

  • @ayshamahadhi1566
    @ayshamahadhi1566 4 роки тому +2

    Pole dada huyo mwanaume kwanza hana uwezo wakuowa wake wa2 kajitia kichwa kichwa tu ila bora muende mahakamani usikubali kuzalilishwa nahuyo anae kupigia sm kukukejeli Allah yupo atamuonyesha inshaallah

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому +1

    Maaskari walitakiwa wakubali mama apewe dhamana siku ile ile, ila inaonekana walipewa kitu ili akikaa ndani zaidi atakubali kutoa hati na kumuacha mume na hawala yake, hivyo ndugu wamke kuamua kutomchukua mtoto wana haki inawezekana wakimchukua mtoto mke atabadilishiwa kesi hivyo mtoto aachwe uko uko litakalompata baba ndiye ameamua wala si ndugu wa mke

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 роки тому +3

    Mwanaume uwezo wake mdogo, uwezo ungekuwa mkubwa angeweka umeme nyumbani kwake, na bi mdogo angenunuliwa kila kitu kipya siyo anachukua vitu kwa mkeo ana peleka kwa bi mdogo.

  • @tamtam2589
    @tamtam2589 7 років тому +3

    mwanamme unazuzuka nawanamke mwingine mmpuzi sana huyo na huyo mwanamke dunia duara mungu atamlipa

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 4 роки тому +2

    Haya mambo ya kutafuta pa1 na mwanaume haya daaah yananipa mashaka na was wasi kila siku

  • @husnatawete7071
    @husnatawete7071 4 роки тому +1

    Duh jamani alafu kesho unaambiwa patana na mkee mwenzio ki ukwelii duh yataka moyo jamani ubaya uwo

  • @jeffmauzo5483
    @jeffmauzo5483 4 роки тому +2

    Mtihani

  • @marthamessu7709
    @marthamessu7709 3 роки тому +1

    ata police wamekosea wangesikiliza pande mbili na sio kimuingiza mtu ndani wakati Ni mumewake wandoa na anamtt mchanga kweri kwann wasisikilizwe Kwanza wote alafu mdo akaingizwa ndani mwanaume hakili Hana nawapa pole Sana

  • @nassirmasoud6097
    @nassirmasoud6097 5 років тому +2

    Pili kituo cha polisi kinahucka na rushwa badala ya kua na huruma ya wtto wachanga

  • @sarahligama8744
    @sarahligama8744 4 роки тому +2

    Geah mm naungana na Dada bora waende mahakaman mke ana haki na hiyo hati yule ni mke sio awala kwann abebe vtu vya ndan? Alafu da Geah secta ya jishi la polic inakera sana wana majibu mabovu sana

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому +1

    Mtoto wangu wakiume akimfanyia hivi mke wake aki kitu nitamfanya atajua kwanini mwanamke anabeba mimba.

  • @magrethelias1961
    @magrethelias1961 5 років тому +1

    Nawachukia wana ume sana maana ata mm ishaingia kwenye ndowa wanaume wakisha pata mchepuko wanabadilika ajuwi kama nimkewe wana ume mbwana dah nimeumia sana pole dada mungu yupo atakusaidia eti kisa ati jamani wanaume muwe na uluma jamani

  • @jennifermakoye4413
    @jennifermakoye4413 5 років тому +4

    Yani tutafute wote mwenzangu apewe kwa raha naapa nitaolewa na mganga tukose wote

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 років тому +1

    Baba ashibae dini yetu nisawa kuwana wake wawili nisawa lakini anjiweza msituletee ujinga bwana baba ashibae

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 Рік тому

    Dada nimependa sana bola waende makamani

  • @florahmikael748
    @florahmikael748 4 роки тому +1

    mimi hata nisge hagaika nahat ya nyumba ila cha moto agekipa

  • @dulla6ali639
    @dulla6ali639 7 років тому +4

    huyo baba hana uchungu wa mwanae

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 років тому +4

    Kuna wanaume wapumbavu sana

  • @marthamessu7709
    @marthamessu7709 3 роки тому +1

    akili Hana uyo mwanaume kashakula nyama ya chini nj'e wamsamehe tu🤣

  • @fatumaomari8115
    @fatumaomari8115 6 років тому +1

    Jamani mnasema wanawake atutakii kuolewa wake wenza ila wanaume hamtakii kufanya hakii ila mungu anakuona wee baba

    • @rukaiass9147
      @rukaiass9147 4 роки тому

      pole dada mm nawachukia sana wanaume bola niwe msela awana shukulani wanaume utaangaaika nae kimaisha akipata kidogo ana zuzuka sana mungu anawaona

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 4 роки тому +1

    Wana wake ndio tujitambue kuwa mwanaume sio ndungu yako

  • @halimahydari9222
    @halimahydari9222 6 років тому +2

    Uyobwana kalogwa asomewe dua

  • @ashakichinda7704
    @ashakichinda7704 6 років тому +1

    Hanauwezo babuuuuu ...tamaaa tuuu..

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 років тому +1

    hata mmi dd angu aliwekwa lokapu wiki mbili na mumewe na wakakataa kutoa dhamana. maana baba mkwe wake katoa pesa na kesi haikwenda mahakamani

  • @zhuraab7223
    @zhuraab7223 4 роки тому +1

    Duuh kweli mume kichwa maji jamani

  • @fettymkiny5680
    @fettymkiny5680 3 роки тому +1

    Tujifunze kutafuta vya kwetu

  • @mauarajab9293
    @mauarajab9293 6 років тому +1

    hapo ndipo anapoacha kunyonya mtoto,wabaya kweli wanawake wenyewe hatupendani

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 Рік тому

    Uyo sio mwanaume tena ni hadui kam mie mapenzi basi hauwezi kutoa vitu kwa mke mkubwa upeleke kwa mke mdgo mnunurie uyo mkeo mdgo pumbafu sana uyo dume hapo mapenzi hakuna

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 років тому +1

    kituo cha police kizuiani ni wala rushwa sana mtu akitoa pesa hata kama hana haki anasikilizwa na kingine wanakawaida ya kukataa mtu asichukuliwe dhamana wala rushwa wakubwa sana

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 років тому +3

    mimi naona wagome tuuu mpaka

  • @najma3268
    @najma3268 6 років тому +1

    Uwezo wake mdogo mpaka anachukua vtu huyo haijui sheriaya ndoa ya kuoa wake wawili hapo mmoja kamuweka mfanyakaz wa kuchumia

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 років тому +1

    pia ndio wanasababisha wanawake kukataa kuongeza mke zaidi ya mmoja kwasababu wanaume wengi awana uwadilifu

  • @zuhurahamisi3225
    @zuhurahamisi3225 7 років тому +1

    wana ume wenyi sna wanaowa kwa tamaa t awana uwezo wakutimiza vit ngezo kamili

  • @nassirmasoud6097
    @nassirmasoud6097 5 років тому +1

    Angemnulia yake.na vtu vpya km vle mke mpya.

  • @vevo3130
    @vevo3130 4 роки тому +1

    Hivi kwanini mtu unaamua kuolewa na mtu mpumbavu kiasi hiki??

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 років тому +1

    sijui kalogwa nahuyo kimada

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 років тому +1

    uyu mwanaume alaniwè na uyo dem wake

  • @ayshamahadhi1566
    @ayshamahadhi1566 4 роки тому

    Sisi tupo wa 3 mbona wala hatujafikia huko tukikutana tunasalimiana basi ila huyo wako nilimbukeni na inaonesha alichelewa kuolewa alipo mpata ndio kaona kapata wambie baada ya kukuweka ww ndani wasubi kukàa yy namumewe mahabus

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 років тому

    Dada anamshauri shemeji yke aoe bila kumwambia mkewe.... mwanaume mwenzangu pia kachapia sio haki ... Itakuwa mke mpya atoi tunda mpk hati apewe yeye.

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 років тому +1

    hee mtihan huu libwata limemkolea huyo boy akafie mbali huko

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 років тому +3

    ndio maana siku izi wanawake wengi atutaki wanaume wasio kua na pesa

    • @hawaally5869
      @hawaally5869 4 роки тому +1

      Umesema kweli mijitu isiyo na hela ni misumbufu kiukweli huwa haitumii akili

    • @mariamsaidi7625
      @mariamsaidi7625 4 роки тому

      Kweli ndugu maana janaume lenyewe lina upeo mdogo sijui midawa kafanyiwa

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

      @@hawaally5869 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 Рік тому

    Hakuna wanaume sasaiv kuna magume gume...yan manyanyaso tu haki za wanawake hakuna kbsaaa tz

  • @fatumaomari8115
    @fatumaomari8115 6 років тому +1

    Ata hao polisi hawana huruma mtu mnamfunga ikiwa haki aijatendeka nyie nyumba ndogo mungu anawaona usimfanyie mwanamke mwenzako ivyo kaangaika mpaka kajenga kufika apo unawezaje mume amishe vyombo used kwa nini asikununulie vipya muone mungu kweli sisi wanawake tuna uwezi wakuwashika wanaume na kusahau ata mama ake mzazi ila sio haki kabisa me tu sijaolewa ila is toomuch

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 Рік тому

      Polisi wana makosa inawezekana wamepewa kitu kwanini hawakukubali kutoa dhamana siku aliyekamatwa na waliona ana mtoto mdogo mume atakuwa aliwaambia mke na ndugu zake hawatakubali mtoto alale maabusu hivyo atatoa hati ili asilale na atarudi kwao hapo mume na hawara watakuwa wamewin mimi nakubaliana na ndugu wa mke ingawa mtoto anateseka nyumba wamejenga wote kwahiyo ni haki yake kuchukua hati kukaa nayo na kwanini mume atake kukaa na hati tena ikakae kwa hawala ambaye hajahusika kujenga nyumba.

  • @ashakichinda7704
    @ashakichinda7704 6 років тому +1

    Kwanini mwanzo walikataaa kumpa dhamana?hata mimi nawashauri waende mahakani

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 Рік тому

    Sheria masaha kumi na mbiri mtu hapewe zamana...na hapo polis washapewa rushwa

  • @florahmikael748
    @florahmikael748 4 роки тому

    yani nihagaike nile dagaa hafu mume tu alate ujiga mimi hata hat nisige hagaika nayo ila chamoto agekipata tena wanaagalia na watu wakuchezee

  • @naimamushi4819
    @naimamushi4819 5 років тому

    Asikubal kes iende mahakaman akikubal kutoka police bila yeye kuchukuliwa maelezo ndo kes inaisha juu kwa juu

  • @selungwieryka449
    @selungwieryka449 5 років тому

    Mwanamke adui yake mwanamke mwenzie .jaman unamfanyia mwenzio kaolewa hivyo huyo kimada malipo dunianj

  • @dianamkuna2898
    @dianamkuna2898 5 років тому +5

    Ndoa ya kislam si ndoa majanga matupu

  • @famffamf40
    @famffamf40 7 років тому

    Hahaha siku zote roho mbaya haijengi mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote

  • @ashakichinda7704
    @ashakichinda7704 6 років тому +2

    Uwezo wa kukaa na wake wawili hawana tamaa tuuu

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому

    Ilo jamaa halina uchungu na mtoto.

  • @kaladskel9098
    @kaladskel9098 5 років тому

    Mume mjinga

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 4 роки тому +1

    Mwenzenu keshazama huyo ukiona ivyo Nyumba ndogo kamwambie bila Hati sikupi nae a naogopa kunyimwa🤣🤣🤣😂😂😂

  • @amerphone9527
    @amerphone9527 3 роки тому

    Hiro ribaba rimchukue mwanae

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 років тому

    angeenda baraza la ardhi sio polisi mume anamakosa

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 років тому

    Hao polisi nao vipi? Mnamwekaje vipi mke wa mtu ndani kwa sababu ya hati. Huyu dada naye si muelewa angemtoa mdogo wake. Lugola kasema mtu anatoka siku yoyote hata jmosi na jpili.

  • @nassirmasoud6097
    @nassirmasoud6097 5 років тому

    Hpa shida ni kumetembea hongo.hyo mazungumzo yangeishia kwa wazee.hra Dini ya kiislamu hairuhusu cha nyumba hi kupeleka kungine.sio wivu wa mapenzi.

  • @dulla6ali639
    @dulla6ali639 7 років тому

    huyo mmeu ndiye anaetakiwa kumtoa mkeo na mwanae

    • @lightnessmnyanga6453
      @lightnessmnyanga6453 6 років тому

      huyo bwana yeye ndiye anayetakiwa amtoe mkewe alafu na kama anataka Dada wa mke ndo amtoe bas nibora waache tu kesi iende mahakamani nampa pole huyo Dada avumilie tu mungu ndiye muamuzi wa haki na huyo bi mdogo atalipwa tu mbona naye mwanamke IPO siku nae TV itaenda kwa mwingine malipo hapa hapa duniani

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 7 років тому +2

    uyo mwanaume hana akili

  • @zuhurahamisi3225
    @zuhurahamisi3225 7 років тому

    ila nampa san pol uyo dda mmi pia yamenikut ayo adi sasa naish msela na talak ajatoa mtot kani pokony na mmi pia nipo oman sasa ukula maish t

    • @rahmar4728
      @rahmar4728 7 років тому

      Zuhura Hamisi
      piga kaz dadayang zuu wazowee waarab ili ujikwamue kimaisha maan Omani napo waarab wanachosha ile mbaya

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 років тому +1

    dini inasema kama mke na mume wakikubaliana kuwa aoe tena basi mke ndo huwa huridhia. na mpaka aridhie ni kwamba mwanamke aridie maadili ya mume weee.

    • @hamidambuziasantamakondamm983
      @hamidambuziasantamakondamm983 7 років тому

      mm nawauga mkono awamtesi wawo baba ndio anayemtesa mwanawe baba hanahuruma na mtoto ndio mana mugu kawapa dalaja moja t

  • @azbitamhonja2708
    @azbitamhonja2708 7 років тому +1

    huyo mme shetani mweusi

    • @rahmar4728
      @rahmar4728 7 років тому

      Azbita Mhonja
      haaaa so shetan mwekundu

  • @mariamkombo5325
    @mariamkombo5325 7 років тому +2

    huyo kaka hovyo wangempa huyo mtoto akalee huyo shetani wake!!akitoka huyo dada akamfungulie mashtaka huyo mume we ili na yeye ajionee tamu ya maabusu!!haki itatendeka na huyo kaka atapata mshahara wa zambi alio I fanya!!huyo si islam huyo ni kafiri kama yeye kidume angemjengea.

    • @mariachales5444
      @mariachales5444 6 років тому

      Mariam kombo y

    • @zawadielias8744
      @zawadielias8744 5 років тому

      hyo mwanaume hajielew......naingekuwa amri yang .ningemwambia hyo mme apewe hyo mtoto wake ili aone kulea kama ni kaz nyepesi.fuala kweli