KIPINDI HIKI CHA JOTO WADUDU WAKALI WANASUMBUA KIJIWENOGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2021
  • #Kijiwenongwa #geahhabibu #GeahTv

КОМЕНТАРІ • 194

  • @tiktoktanzania2832
    @tiktoktanzania2832 2 роки тому +5

    Huyu dada anadeserve kuwa cloudz fm,,mkimuwek huyu mbona mtatupata wadau wengi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 2 роки тому +12

    Ila uyu dada anafurahisha jamaniiii😂😂😂

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +15

    🤣🤣🤣🤣 Yani Zai. Mwenyewe mkavu hacheki.kazi kututoa machozi tuu

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 роки тому +2

    Huyu dada anafaa kufanya comedian, 😁🤣 anafurahisha sana.25.11.21.

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 2 роки тому +7

    😆😆😆😆😆😆Zai anajua hadi mida ya wadudu wanavyo kuja eti hao wana kuja saa moja kuna wa saa 2 na saa 3 🤣🤣🤣🤣

  • @shancepeter4422
    @shancepeter4422 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂🙌nampenda sana huyu dada uwiiiiii nikiwa na stress mwenyewe namuangalia 😂😂😂😂😂

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 2 роки тому +3

    Zai jman🤣🤣🤣🤣 ivi apo mtaan kwenu si wanaumia matumbo 💃

  • @mariagodfrey2028
    @mariagodfrey2028 2 роки тому +2

    Kweli da ghea nyoka anamlio kiingereza wanaita hissing kiswahili sijui.

  • @totmohammed6430
    @totmohammed6430 2 роки тому +5

    Dazai umeshindikana wallh 🤣🤣🤣🤣alafu mwenyewe mkavu 😂😂😂😂😂

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 2 роки тому +3

    Ila Zai jamani unanifurahisha kweli Nacheka tu kama mwehu

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 роки тому +1

    Kenge chemsheni mayai muwaekee wakila wanakufa sababu koo la kenge ni laini sana na akila yai bichi analikamulia kooni sasa lililochemshwa alipasuki hapo lazima afe.

  • @aishajuma6216
    @aishajuma6216 2 роки тому +5

    😂😂😂😂Halafu ye Zai acheki hata kidogo

  • @babymanka6466
    @babymanka6466 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣 yani watu wa nauliza mbona nacheka peke yanguu leo yani nimecheka kama tuko kumi kumbe nipomwrnyewe

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 роки тому +4

    Hahahahahahahaaaa Zai bwana unatuuwa kwa kucheka yaani kuweka mawazo kichwani kutaka eti wee sio mwanamke Hahahahahahaaaa

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji49 2 роки тому +2

    Hahahahah hivi huyu zai hizi story za kweli au anatunga tu😂

  • @kagyamasoto2311
    @kagyamasoto2311 2 роки тому +2

    Zai tunakupenda sana.

  • @waleedalrashdi6416
    @waleedalrashdi6416 2 роки тому +3

    Yani iwe zai utachekesha sana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +2

    Eti mjomba minya sagaaaaaa😃😄😄😁😁😁🤩

  • @sophiamwailonda
    @sophiamwailonda 2 роки тому +1

    Mm nakuangalia zai saiz usiku huu wa manane nacheka km mwehu😀😀😀😀😀😀😀

  • @asmasalum675
    @asmasalum675 2 роки тому +1

    Da. Zai. Unatmaliza. Mbavu. Zetuu.ukiingia.apa.lazima.ufulai.akuishiiwi.vichekesho.🤣😁Mungu. Awabaliki sana

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 2 роки тому +1

    Jamani zai nakupenda njoo tabora

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 2 роки тому +6

    Zai maziwa ya mbwa khaaa😂😂😂😂😂😂

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 2 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣Zai Mungu ana kuona 😂😂😂

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 2 роки тому +2

    Chezeyaaaa gong'oleee weyeee, aiiiiiiii paaaaa, aiiiiiiii kumbe ng'e

  • @amandasaloon1652
    @amandasaloon1652 2 роки тому

    Poleni dada

  • @yasintamichel7249
    @yasintamichel7249 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 jamani zai hukosagi cha kuongea kheeeeeeee solute kwako

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому

    Kha mm mende vidogo kha vanisinya na nyimba nafuta mpaka na detol nyumba

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 2 роки тому +2

    Jusiiii Gon'golee ndio jusiii gani ilo da zai😂😂😂😂😂

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +1

    Ati nyau utapambana mie mbio

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 2 роки тому +1

    Dada zai walah kunitoa stress walah unaniwezea mno

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому +2

    Zai kweli umeshindana tabia 😄😄

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zainabu wewe❤️🥰

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +1

    Tunaishi kwa 🎬 Tukisia action 🎬 aya

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому

    Zai tuko kimoja,,mimi na jongoo nazikwenda hadi mtaa wa pili

  • @carolynekanaiza
    @carolynekanaiza 2 роки тому

    Aki poleni sana dada

  • @rahulsolanki2523
    @rahulsolanki2523 2 роки тому

    Dah zai me ctaki bhna unanichekesha mm alafu nakupenda naomba namba jmn nije kwako unipikie ugali nile uku nacheka au uje nyumbani k/koo

  • @yakaramayaka1456
    @yakaramayaka1456 2 роки тому +3

    Zai, Zai mbavu zetu 🤣🤣

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 2 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣Zai ana msema hadi mume wake eti kaza makalio

    • @nellyrehani593
      @nellyrehani593 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bernadetamodest6170
    @bernadetamodest6170 2 роки тому +1

    Zai umenishinda tabia,si kwa kucheka huku.

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 2 роки тому

    Wekeni dawa vidudu vita isha 🤣🤣🐛🕷🕸🦟🦠🤣🤣

  • @digna__voice8848
    @digna__voice8848 2 роки тому +3

    Nampenda sana huyu dada sijawahi Acha kucheka nikiangalia Video zake🤣🤣🤣🤣

  • @mimahfabolasawa9304
    @mimahfabolasawa9304 2 роки тому +1

    Zai🤣🤣🤣🤣🤣iyo sauti km somu yngu🥰🤩

  • @jenifadon6022
    @jenifadon6022 2 роки тому

    Leo nimechoka sana mpaka tumbo linaniuma

  • @leilahhassanomary7189
    @leilahhassanomary7189 2 роки тому

    Noma sana 😝😝

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 Рік тому

    Natoa stress kwa kumuangalia Zai na stori 😂😂nipo Lebanon 🇱🇧

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 роки тому

    Kwenye Nyoka Uko Sahihi Wenye Kufoka Kobla Au Kigao

  • @stellanyambo2859
    @stellanyambo2859 2 роки тому

    Leo zai umejua kunichekesha hadi umenitoa machozi😂😂😂😂😂😂😂😂cjui sanamu lako lijengwe wapi👌😂😂😂😂😂

  • @angeljohn8605
    @angeljohn8605 2 роки тому

    Nimecheka jamn dah..😀😀

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +2

    Minyaa saagaaaaa.mjombaa😂😂😂😂😂😂😃

  • @neemamzabibu2532
    @neemamzabibu2532 2 роки тому

    😂🤣zai kweli nacheka paka machozi yananitoka na kupenda zai

  • @mauamrope7768
    @mauamrope7768 2 роки тому +1

    Nyie zai 😂😂😂😂😂eti kaza makalio hayo

  • @rahmasalum2130
    @rahmasalum2130 2 роки тому

    Ny0ka analia ndi0

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 2 роки тому

    Ni maeneo gani hayo?

  • @mutalibdahirabdi8305
    @mutalibdahirabdi8305 2 роки тому

    👍👍🙏🙏

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣Minyama sana 🤣🤣🤣

  • @digna__voice8848
    @digna__voice8848 2 роки тому

    Mjomba minya saga 😅😅😅😅😅😅 Jamani zai

  • @bellabakera
    @bellabakera 2 роки тому

    Aende cheka tu. Akatengeneze pesa

  • @babymanka6466
    @babymanka6466 2 роки тому

    Zai una chekeshaaa

  • @jemanassoro3819
    @jemanassoro3819 2 роки тому +1

    Hahahaha zai jamani

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Zaiiiiiiiiiiiiii Unatuuwa bwana ww kwa vicheko

  • @claraelibrother6714
    @claraelibrother6714 2 роки тому +1

    Yaani jamani nacheka mwenyewe hadi nahis majiran wanasema mie nimekua chiz🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 2 роки тому

    Bora kikao kikaisha mapema

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому

    Music Jafili huyooo

  • @aminaabdalla7429
    @aminaabdalla7429 2 роки тому

    😁😁😁😁 aaah zai kiumbe kingine nyieee 😄😁😁

  • @hidodomagarasha5804
    @hidodomagarasha5804 2 роки тому

    Hahahaha 😂😂😂😂...haki ya Mungu ❤️❤️

    • @lisahhans295
      @lisahhans295 2 роки тому +1

      Jamani gea.zai na ujanja wote huo anakaa machokorani hivyo??adi aibu haki.alivyo na anakoishi ni mbingu na Ardhi.henu tufanye mpangotu.pangishie nyumba inayo eleweka.aache kukaa ussahilini kioga bafu nusu mwili ukiwa wazi na wakiingia chooni hakuna mlango ni kuweka kanga mlangoni.hebu apewa msaada jamani nyumba kama choo.mchekeshaji wetu huyu no stress.

  • @marlynhangali9463
    @marlynhangali9463 2 роки тому

    Sas huyo nyoka mweusi sio black mamba kwel nyoka hatar uyo

  • @shabani6433
    @shabani6433 Рік тому

    serekali isaidie kupulizia madawa makali mtaa kwamtaa ao wawape madawa wajumbe wasaidiane nawanainchi kumwagilia dawa

  • @aisharamadan3620
    @aisharamadan3620 2 роки тому

    Nge ukishamuua mchome halafu sehemu aliyokuuma pachanje chukua unga wayule nge uliomchoma paka basi sumu yake inaisha

  • @alimohamedali9824
    @alimohamedali9824 2 роки тому

    Dazai machozi yananitoka kwa kucheka

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 2 роки тому +2

    Zai mungu anakuona ujue
    😂😂😂😂

  • @fatmahrashidi1533
    @fatmahrashidi1533 2 роки тому

    Hahahahhahahaha.....eti mwanaume kanitenda unaona ngoja nimuache ndo hatima yake jmn hahahahahhahaha..Yan zai ww utafika mbingun umechoka

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 2 роки тому

    😂😂😂😂zai muongo

  • @chivuma7171
    @chivuma7171 Рік тому

    Yani uyu dada anavituko

  • @jescaizengo9722
    @jescaizengo9722 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jomon nimecheka Kama mazuri

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому

    Hao ni watuu, Maana WATANZANIA KWA ULOZI NA UCHAWII, TUMEZIDI. JAMAANI, HIVI TUTABADILIKA KWELI?.

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 роки тому

    Nimecheka jaman

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому

    Kuna wa saa moja na wa saa mbili🤣🤣🤣

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому

    Ftom tz 😭😭😭matatizo ingawa 😂😂

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 роки тому

    😅😅😅zai kiboko

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣jusiiii

  • @aminakassim7486
    @aminakassim7486 Рік тому

    😀😀

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому

    Zai una nn mmy na mbavu zangu🤣🤣🤣

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 2 роки тому

    Nmecheka had machozi😂

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 2 роки тому +2

    🤣 Zai muongo jmn😆😆😆😂

  • @mathareraj6231
    @mathareraj6231 2 роки тому

    😃😃😃😃

  • @aishahassan4142
    @aishahassan4142 2 роки тому

    😀😀😀😀Zai wewe

  • @siwemampulule3180
    @siwemampulule3180 Рік тому

    Mbavu zangu

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 2 роки тому

    Hahahahahahaha zai banaaaaaa

  • @laiskivuyo5246
    @laiskivuyo5246 2 роки тому

    Mh kazi kweli

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 роки тому

    Ukiumwanange pakajik namafutayataa uchungu unaisha

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому

    Eti mbuga za wanyama jmn😂😂😂😂

  • @angeljoseph922
    @angeljoseph922 Рік тому

    Hivi ww dada lkn😂😂😂😂

  • @mundhiraly3368
    @mundhiraly3368 2 роки тому

    Kaza makalioo🤣🤣🤣

  • @dayanafelly1488
    @dayanafelly1488 2 роки тому

    Il zai jaman😂😂😂😂

  • @zuumsangi1631
    @zuumsangi1631 Рік тому

    Nacheka had nalia

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂zai wew

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani utaniua Zaiiii

  • @qrrrqtqt9976
    @qrrrqtqt9976 2 роки тому +1

    Zai ww😂😂😂

  • @winnieminase5820
    @winnieminase5820 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 zai mim staki bhna

  • @azizahmkindi393
    @azizahmkindi393 2 роки тому

    Km