MUME ALALAMIKA KUKIMBIWA NA MKE/MAMA MKWE ANAJUA MKE WANGU ALIPO/ANAISHI NA MGANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 3 роки тому +16

    Huyo mke hakufai, Allah atakupea aliye na kheri na wewe

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 3 роки тому +23

    Daahhh so sad wallah kupata mume km huyu nibahati bless you bro Allah atampa mwengine inshallah all the best ❤️😭

  • @rahmaawadh1695
    @rahmaawadh1695 Рік тому +2

    Mungu amsaidie huyu kaka ampate mke mwingine,Sababu hakumpenda huyu kaka kidhati

  • @wardamasoud4061
    @wardamasoud4061 3 роки тому +4

    Dah pole sana kk angu..mungu atakupa mke mwema in sha Allah,,mpe2 talaka aende hata akirud atakusumbua huyo

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 3 роки тому +18

    Mashaallah, kumbe Wanaume kama hawa bado wapo. Asiye habati, habahatiki.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +27

    Kheri Hiyo Mpe Talaka Yaishe,Pole Kaka Kwenye Miti Hakuna Wajenzi.Tafuta Mke Mwengine Uoe.Muache Huko Kwa Mganga Atibiwe.

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 3 роки тому +4

      kama.mtu akutaki ni heri uachane nae kaka ata kama.una ndoa iaije ikaleta shida

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +2

      @@maryjonh311 Kabsaaaa Mtu Kesha Sema Hakutaki Basi,Kumng'ang'ania Nikujitafutia Case.

    • @sictimbombo1121
      @sictimbombo1121 3 роки тому +2

      Mama mkwe kicheche

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +3

      @@sictimbombo1121 Mama Mkwe Ndiye Mwalimu Wa Bint Yake,

    • @cecygeorge4443
      @cecygeorge4443 3 роки тому +1

      Kwa nini wadada baazi mnakubali kuolewa ilihali hamna mapenzi ya dhati jamani pole kaka

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 3 роки тому +86

    likuepukalo lina heri na ww machozi yako atakulipa mungu nshallah

  • @bintmaryakabintmaryaka9100
    @bintmaryakabintmaryaka9100 3 роки тому +17

    Salama wavunija ndoa yako kwa mkono wako mwenyewe utakua juta mumeo anakupenda pole sana kakaangu mwenyezi mungu atakupa mke wa khair in shallah

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 3 роки тому +8

    We mwanaume kweli umempenda hyo mwanamke duu janamke lenywe kahaba hilo waling,ang,ania lipe talaka hilo likome na jji

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому

    Pole sana achananae tafuta mke mungine uyosiyo uliyopangiwa na m/mungu jifunze usimpendi mwanamke asilimia 100 uyo hukuzaliwanae

  • @fadhilarajabu903
    @fadhilarajabu903 3 роки тому +3

    Pole sana kaka asietaka stara usimstiri mwache angaike na dunia itamfunza
    We kua na subra Allah atakupa uchostahiri na sio unachokipenda maana kila likuepukalo lina sababu

  • @twahaanyoni6117
    @twahaanyoni6117 3 роки тому

    Dar brother Utakuja kuwekewa sumu bule Achana nae uyoo Akufai muhombe Mungu hakupe mwenye kufa Nana nae uyo Amesha kugaili kbs kaha nae mbali mita 100 Sheitwan uyoo Mama mkwe nae lake moja na mwanae kabisa

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 3 роки тому +5

    e mungu nijaalie nipate mume kama huyu.....amina

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 3 роки тому +1

    Duh pole Sana

  • @fatmamohamed1240
    @fatmamohamed1240 3 роки тому +16

    Mama mtu adabu hana Allah tujaalie tuwe wazazi wema kwa watoto wetu

    • @kasandaomary994
      @kasandaomary994 3 роки тому

      Daah pole njoo uniowe mm jmn 😢😢

    • @reginabeno1904
      @reginabeno1904 2 роки тому

      Huyu mama mkwe angekatwa Kofi takatifu asingekua anamsapoti ujinga mwanae nimeumia sana

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 3 роки тому +1

    Kumbe unajua kupika bro daaah pole sana

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +40

    Mhh' yaani wakati wengine wanakatwa viganja na wengine kuchomwa na mkaa' wengine wanachezea ndoa' Mungu tunusuru na majanga ya ndoa za siku hizi. Mwache aende na balaa lake atakukumbuka

  • @MrTouch-rm4rh
    @MrTouch-rm4rh 3 роки тому

    Brother achana na uyo kima atakuletea matatizo bure dunia yenyewe fupi hii mbona mademu kibao tafuta mke mwingine jiongeze baharia

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 3 роки тому +11

    Huyo mama Malaya mzee kinavyonuna kinanunia nn hd Salam?na angekuwa anakaa nyumba nzur cjui ingekuaje

  • @dianaalfredy3790
    @dianaalfredy3790 2 роки тому +1

    Ninachowapenda wazanzibar wakipenda,wanapenda kweli,ninamdogo wangu mngoni hana mume,naomba umuoe Babu Ally

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 3 роки тому +5

    Nlikua nnaham nmuone uyo mwanamke anauzuri kiasi gani? Mpka bwana kuchanganyikiwa kiasi icho?

  • @babujinga5819
    @babujinga5819 3 роки тому

    Pole sana ndg yangu hayo sio wewe tu wengi yanatukuta zaidi ya hayo wengine wanaingiza wanaingiza bwana chumba cha mtoto amehama chumbani kwake

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 3 роки тому +8

    Duuuh 😂😂😂Kaka Una Moyo Wallay 😢😢The Lady Betrayed You She Cheated On You Un Your Still Concern About Her You Want Her Back Infact You Still Love Her 😁😁😁Bro In This Generation It's Rare To Find Someone Like 👌👌You're One In A Milion 🙏Be Blessed Bloody

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 роки тому

    Kiukweli ciwezi kua mnafiki baharia unatuangusha sana yani umezingua ile mbaya

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 3 роки тому +33

    😁Gea tuombe radhi huyu hawezi kuwa wa zanzibar atakuwa wa #tanga tena mdigo😂au msambaa , mahaba haya kwa sasa zanzibar hakuna 🙌🙌😂zenji watu wanagubu mwanzo mwisho 🙌🙌

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 3 роки тому

      Kilamtu na upendavyo rooho

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 3 роки тому

      😂😂😂

    • @a.856
      @a.856 3 роки тому +3

      Hahah yaani kama ulokuwepo gubu kwenda mbele mtu unakaa nae vizur unampikia na anakuolea au vimada jee leo hupiki na mwanamme mwengine juu.....😅

    • @tatukhalid7074
      @tatukhalid7074 3 роки тому

      Hao wadigo huwajui vizur😄😄😄 tuulize sisi wa tanga

    • @hammerQ954
      @hammerQ954 3 роки тому

      @@salehalbasam41 kweli ndugu yangu

  • @missmannydxb
    @missmannydxb 2 роки тому

    Such a good man, may Allah (swt) bring a good lady who deserves you

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 3 роки тому +7

    Dunia ya sasa ukimpata mwanaume anaekupenda kukujali kukuthamini na kukupa kila unachokitaka mshukuru mungu sana na umpende kwa moyo mmoja mwanaume huyo
    Lkn sio baadhi ya wanawake wa sasa yani sio wapoje
    Kweli penye miti mingi hakuna wajenzi
    Pole sana kakaangu mungu atakupa ataejua thamani ya mume. Na huyo atakuja kujuta

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Bongo sikuizi wanawake wengi pasua kichwa

  • @asyahally5544
    @asyahally5544 3 роки тому +1

    Dagea huyo Mpemba wa wapi mjinga hivyo aende nyumbani kuna watoto wazuri atapata asitutie aibu wapemba wenzake

  • @angelinedanstan6442
    @angelinedanstan6442 3 роки тому +3

    Eeh Mungu nipe mume kama huyu...

  • @ayshaswalekh9197
    @ayshaswalekh9197 3 роки тому

    Shukuru Mungu kuna kitu amekuepusha nacho

  • @siyamunadhir3669
    @siyamunadhir3669 3 роки тому +3

    Subhanallah yatia huruma ndio mana wanawke wengi upo motoni anyway Allah Utakupa mwenye khery na wewe kaka duuh tuna shida sisi watoto wakike mama zetu wafa kutuelekeza kweny khery lakin leo hii hao ndio wana harubu ndio zetu sad story.

  • @rasheedkanush9012
    @rasheedkanush9012 3 роки тому

    Pole kaka achana naye hakufai huyo

  • @theclaalban1905
    @theclaalban1905 3 роки тому +3

    Gea mshauli uyo kaka aendelee na maisha yake tu

    • @khadijahomankweliyamjahaya7421
      @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 роки тому +1

      Umeona bora angalie yake sio mke huyo atalost kila siku duuuu!!

    • @theclaalban1905
      @theclaalban1905 3 роки тому

      @@khadijahomankweliyamjahaya7421 🤔 kama hawa mbona huku awapo alafu anapoteza bahati ya upendo .....pumzika tu panga maisha yako ndugu

  • @mariamika2834
    @mariamika2834 3 роки тому

    Jamani mahaba haya looooo kweli pele nililimuota asiyena kuchaaa.

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 роки тому +4

    Yaaan kaka japo mkeo ila hapo achana naeee huyo atakusumbua hata akirudi , tafuta mke mwingine watu wapo wanaotaka kustilika ,acha kupoteza muda

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 роки тому

    Pole kaka huyo mke hakufai , pia tambua hakupendi kwanini anafanya ujasiri wa kuishi na mume mwingin wakati we upo?? Achana nae atakuuwa hyo.

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 3 роки тому +6

    Pole bro yote kheri yako hiyo Allah atakupa mwengine mwenye kheri na wewe

  • @zuwenaofficially3551
    @zuwenaofficially3551 3 роки тому

    Bora tu ampe talaka yani duhuuu atali ampe tu talaka yaishe

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 3 роки тому +3

    Tatizo ninaloliona hapa, huyu kaka kapenda sana,mwanaume akipenda sana na wewe humpendi,anakuwa anaongea sana mchana usiku,ila huuo Salama iko siku atamkumbuka kwanza ukiwa na mume ndani kisha ukazini,utajibu kwa Allah,bora angechukua talaka ndiyo akaenda kufanya uchafu wake.

  • @theclaalban1905
    @theclaalban1905 3 роки тому +1

    Pole kwa yaliyokusibu ila usimlazimishe kuludi anza maisha yako mapya

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 3 роки тому +1

      Nikweli ila km mganga amempenda bc kageuzwa akili yamganga

    • @theclaalban1905
      @theclaalban1905 3 роки тому

      Akili itakapomludi ndio ataisoma namba

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +27

    Mimi nikipat mwanaume mume atakaye nipenda nitamganda Kwa mahaba yote mapenz ukipenda wew hupendwi

    • @binthawa2973
      @binthawa2973 3 роки тому +2

      acha yani watu wanachezea bahati

    • @Amina-bq2xe
      @Amina-bq2xe 3 роки тому +3

      Huwezi jua siri ya ndani ndugu

    • @fabylyimo300
      @fabylyimo300 3 роки тому

      @@Amina-bq2xe mimi Namtaka (mtita girl

    • @salmangassu1011
      @salmangassu1011 3 роки тому +3

      Kila kizuri hakikosi Kasoro. Huwenda ukikaa nae humuwezi. Kuomba mungu tuwapate wenye upendo nas tuwapende

  • @josephpaul4986
    @josephpaul4986 3 роки тому

    Huyo jamaa atakuwa aliwekewq limbwata na hyo mwanamke wke haiwezekan mke akukimbie aende akaishi n mwanaume mwngn alafu bdo useme unamtaka arudi kwko muendelez maisha kwn mwanamke ypo mmoja we mpe taraka angalia maisha yako bn

  • @jamilanasir6833
    @jamilanasir6833 3 роки тому +4

    Yaani mm ndo maana sipendi kwenda kwa waganga maana ukienda na mambo mengine unakutana na mengine kama mganga amekupenda hatakupa dawa sio ili hakuvuruge hakiri kwanini mnapenda ushirikina msimuamini mungu

  • @aishanatamaniningekuepoktk5062
    @aishanatamaniningekuepoktk5062 3 роки тому

    Pole sana njoo mm nakutaka

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 3 роки тому +9

    Huyu jamaa Yani ata sielewi Ana n,maana eti waenda police kisa mke hakutaki siumuache wanawake tele wanaotaka ndoa

    • @hamisihassan2620
      @hamisihassan2620 3 роки тому

      Rahma nipe number yako plz

    • @abdullahrashid6297
      @abdullahrashid6297 3 роки тому +3

      Kwenda police ni nzuri kikimkuta kitu kibaya au Mauti lazima atajibu yeye Mume si bado hajatoa talaka
      Atafutwe huyo mwanamke kama kumuacha amuache kwa wema aende zake
      Asije akamuuwa na Maradhi noma sana
      Wa mama wengi sana wanaharibu ndoa za watoto wao eti mama hajui mwanae alipo she's Snitch huyo Mama Amuache tuu aende zake

    • @casmiraugust6853
      @casmiraugust6853 3 роки тому

      We vipi Sasa si anapenda mwanamke wake unadhani Ni mbuzi huyu atataka kila anayemuona

  • @mariamjuma5123
    @mariamjuma5123 3 роки тому +1

    Umerogwa vibaya muache uoe mwngne mbn wanawake weng

  • @nancyandrew9273
    @nancyandrew9273 3 роки тому +6

    Wanaume wapemba wanajua kupenda bana x wangu nilimuacha mpka leo najuta alikuwa ananihonga balaa sijui nimtafute😭☹️🤔

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 3 роки тому

    Jomni watu wanachzea bahati Wenxie tunajifnyia mikazi Omani tunachoka sabbu kutfta rizki ht ndoa moja hatuijui jmn mama anampotosha Mtoto subhanallah
    Hkufai atakuja kukuua kakaangu dai gharama zako tu
    Na ww mama hujielewi kweli mwanao unajua miezi sita hayupo kwann usingewaita Watoto jmni mtihani mkubwa apo
    Kaka epusha Shari mm kakaangu yalimkta Ivo sassivi mwanamke kaathrika

  • @memisaphusseni7190
    @memisaphusseni7190 3 роки тому +4

    Naaje aniowe mm ...pole ndugu

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 роки тому

    Dageya hongera kwa kazi mzuri

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 3 роки тому +3

    Penye miti hapana wajenzi

  • @sofiagao6396
    @sofiagao6396 Рік тому

    Duh.pole.kakangu

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 3 роки тому +14

    Ww kaka umerogwaa sio bure😁 ila acha mkomeshwe mmezidi kutuonea sisi wanawake..!

    • @sharonchristian3711
      @sharonchristian3711 3 роки тому

      🤣🤣

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 3 роки тому

      yaani kabisa mie nataka haswa wakomeshwe nawashangaa wanawake wengine wanaongea pumba hapa ila wanaume wamezidi manyanyaso

    • @frankbrown6400
      @frankbrown6400 3 роки тому +3

      mtafilwa sana kwa tamaa wanawake kama nyinyi huyu jamaa yupo sahihi nyie malaya mnaongea nini

    • @minamina8024
      @minamina8024 3 роки тому

      😀😀😀😀😀😀😀😀jmni nimecheka jmni

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 3 роки тому +1

      @@frankbrown6400 km imekuuma chomoa pyeee😂😂😂😂

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 Рік тому

    doh si mungu unipe mie huyu mwanaume. Mashallah.

  • @زينابوو
    @زينابوو 3 роки тому +4

    Dada gea mwambie aje anioe mimi hyu kaka yko vizur kimjali mke

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому

      Umeonae dah

    • @زينابوو
      @زينابوو 3 роки тому

      @@محمدالقايد-د6ب watu tunatafut wanaume walio tulia wao wanangaik na dunia

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 3 роки тому

      hamjielewi na nyie mabest zng huyu gubu sikilizeni maelezo yake nyie Sisi wanawake ata mtu akikwambia uende kwao umuowe mwanamke ana mapenzi lkn kuna wanaume ukiingia ndani mtihani huyu hana siri mkeo ata km kaiba elfu 20 huwezi kuenda kuhadica rafki zako

    • @زينابوو
      @زينابوو 3 роки тому +2

      @@zuleikhakhamis3303 ujuwe muda mwingine sisi wanawake tunapenda wenyew kiwakela wanaume zetu mume anakuvumilia siku zote mwisho wa siku mume anachoka na yy anajikuta anatoa mambo yanayo msibu yeye na mkew nje kwayo hyu kaka alishaibiwa sana pesa ndani akiuliza chumaulete sasa siku za mwizi ni arobaini ndo kajakujua kuwa mkewe ndo anaemchukulia pesa ...sasa hii sio vizri na aipendezi kiukweli...mwanaume anakuudumia mwanzo mwisho alafu unamuibia pesa ili iweje si umuombe kama unashida ya pesa....mambo mengin tunajitakia sisi wenyew

  • @mamumiyaskitchenvlogs5858
    @mamumiyaskitchenvlogs5858 3 роки тому

    Muache akayaone,hawara hukupenda ukiwa kwako mana kila kitu wapata,muachie na yeye akaanze majukumu amhudumie sio mke wa bure,mke mvivu hata kupika hataki subhanallah

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 3 роки тому +6

    Naaje anioe nije nimpikie hizo kunde na njugu mawe nitamshaliki mpaka ashangae🤣🤣🤣

  • @mtoomaz4954
    @mtoomaz4954 3 роки тому

    Geya mm.namtaka uyo kaka mwabiye sawa

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 роки тому +4

    Masikini huyu kaka anampenda mkewe ila hapa kuna nguvu inatumika kama siyo pesa basi ni ushilikina hapo😇

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 11 місяців тому

      Ni nani anayeitumia hiyo nguvu sasa ?

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 3 роки тому

    Pole jamani mitihani ya dunia utapata mwingine

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 3 роки тому +5

    Kuna watu wanajuwa kupenda mashalla mke ashaenda kwa mtu nabado wampenda mashalla jamani mungu anipe na mm nshallah

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    Gea umeenda pemba au wapi hapo?

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 3 роки тому +5

    Wamama wengi wasio na akili ndio wanaovuruga ndoa zawatu hyu mama nimnafiki anajua kila kitu huyu mama anatakiwa apelekwe kwenye vyombo husika

    • @daliaabdullah5756
      @daliaabdullah5756 3 роки тому

      Pole sana .kaka..oa mke mwingine huyo si mwanamke ni changudoa .mchawi .amekuroga huyo mpe talaka na huyo mama. Sio

  • @arafacute7250
    @arafacute7250 3 роки тому

    Jamani kupendwa raha Lakin tujinfunze wanawake

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 3 роки тому +9

    Heri tu umpe thalaka yake...umuachie dunia...Na Insha Allah atakutafuta...mwenyewe...kwa sababu Mume pia ana Rashi zake...

  • @bibieabdalla672
    @bibieabdalla672 3 роки тому

    Mungu atakufanyia wepes ishaalla

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому +4

    USWAHILI SIO KITU KIZURI, HAO WASWAHILI BRO ACHANANAO SIO WATU WAZURI

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Atb300
    @Atb300 3 роки тому +2

    MH mwanaume WA hivi uyo Dada akirud awe makini Sana uyu kaka ana kitu rohoni

  • @strongwoman9730
    @strongwoman9730 3 роки тому +8

    Kaka njoo uniowe mimi jamani😭😭

  • @RahmaRahma-xp9jr
    @RahmaRahma-xp9jr 3 роки тому +11

    Tuache kuwapa wanaume rimbwata mwisho WA siku umtaki anakunganda 😂😂😂

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 3 роки тому +3

      Hakuna limbwata huyo mwanamme anapenda kweli

    • @happylife349
      @happylife349 3 роки тому

      Hahhaha yan ww😅😅😅

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 3 роки тому +1

      Pole sana kwa yaliyokuta ila umependa usipopendwa. Ila umtangulize Mungu utampata mwenye upendo wa dhati na utpata faraja hayo yote utayasahau

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому +1

      Sio limbwata aisee ndugu yangu kapenda kweli kweli aisee ila Mungu ata mfanyia wepesi aisee

    • @mohemmedmabsal9549
      @mohemmedmabsal9549 3 роки тому

      jaman mm nataman niwe na mwanaume kama huyo.mm nk tayali kwa shida na laha.joo uniowe?

  • @halimamohamed5410
    @halimamohamed5410 3 роки тому

    Tunaotaka ndoa hatupati wasiotaka ndo wanapat jamn mungu nijalie nipate mume bora nistirik mie

  • @mialibakari6002
    @mialibakari6002 3 роки тому +13

    Eeeeh mungu wangu njalie mume km uyu 🙏🙏😂😂

    • @robertdickson3373
      @robertdickson3373 3 роки тому

      Kabisa

    • @azamajid9530
      @azamajid9530 3 роки тому

      Masikini maisha haya wengine tunatafuta waume wengine hawataki waume

    • @omanatr8729
      @omanatr8729 2 роки тому +1

      @@azamajid9530 niuzuni kwakwer

  • @loveahmed7892
    @loveahmed7892 Рік тому

    Naomba namba zake nime kupenda huyo kk jaman geh plz naomba namba za simu ya huyo kk nime mupenda tutaendana

  • @Project1986p
    @Project1986p 3 роки тому +15

    Dah huyo sio mke bali msanii 🤣😂

  • @alfonsiabruno2310
    @alfonsiabruno2310 3 роки тому +1

    Ila Dada Geah mitihani katika maisha ipo mingi duuh

  • @fatmaalwy4853
    @fatmaalwy4853 3 роки тому +3

    Tunakuomba dagea tupe muendelezo

  • @suleimanmohamed3650
    @suleimanmohamed3650 3 роки тому

    acha ubwege ww ushakuwa fala hebu achana naye bana angalia maisha yako bana

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 роки тому +6

    da geah nime cheka hapo ulivyo muambia mama kua mama una amkiwa uko vijana wana kuamkia😀😀😀😀😀😃😃😃😃😃😃😃😀😀😀😀

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 3 роки тому

      Duh pole kaka Kuna wanawake wengine wanacheza bahati jamani pole kaka

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 3 роки тому +1

    huyu kesha fanywa zumbukuku ndugu zake wamuokoe kabla ajageuzwa msukule

  • @bintysele6999
    @bintysele6999 3 роки тому +10

    Jmn kweli wabawake tunavunja ndoa kwamikono ye2 wenyew 😭😭😭

  • @samiamohammed2102
    @samiamohammed2102 2 роки тому

    Mm nakushaur msame two Ata kuletea maradhi mm mpemba mwenzio njoo uowe kwenu pemba

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +20

    Kamjazia nafaka ndani ila wadada sie mungu atusaidie wa mama wasikuizi 😆😆😆😆

  • @isamony58
    @isamony58 3 роки тому

    Uyoo dd ajielewii cijuwi kabilagani uyoo

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 3 роки тому +3

    Mbona mimi mke wangu anitoloki jamani mbona bahati kama hii mi nahi lilia mwenzenu 😆😆😆😆😆

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 3 роки тому

    Pole sna bwana mpemba huyo mke hakufai.kila likuepukalo unaheri nalo.ishaallah allah atakupa mke mwema mwenye upendo na wewe.

  • @mariajojoshoo4465
    @mariajojoshoo4465 3 роки тому +8

    Ss tunatafuta mwanaume.
    Wengine wanacheza na ndoa zao

  • @hamissahajji51
    @hamissahajji51 3 роки тому

    Mh mambo ya ndoa hayoo atajuta atatafuta mume kwa tochi

  • @du8284
    @du8284 3 роки тому +25

    KAKA WANA WAKE TUPO WENGI,
    ACHANA NAE MALAYA MBOVU
    HUYO, ACHANA NAE ASIJE AKAKUPA IKIMWI,
    MWENYEZ MUNGU KUNAKITU
    ANAKUEPUSHA HAPO...

  • @zuhurasalim4926
    @zuhurasalim4926 3 роки тому +1

    Ah masha Allah tabarakallah kakangu wala usihuzunike Allah atakupa wa kheri nawe huyo malaya thu hakuthaki

  • @husnaothuman1609
    @husnaothuman1609 3 роки тому +3

    Ndio Mana Wanawake Wake Wengi Tupo Motoni Allah Atunusuru Kwa Moto Uwo..Yn Mapenz Nayo Shikamoo..

  • @jimjam6403
    @jimjam6403 3 роки тому

    Ama kweli kunguru afugiki.

  • @zamdamasondole8272
    @zamdamasondole8272 3 роки тому +4

    Hapo kwenye namuhitaji na Nampenda🤣🤣.

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 3 роки тому +1

    Alioa malaya

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому +12

    Likuepukalo lina kher na wewe utapata anaekupenda na kukujali dhahir familia awakutk mkwe wako ndo huyo akutk utapata mwengine madhali bado wapumua

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому +1

      Kweli

    • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
      @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 роки тому +1

      Bwege huyo maraha mnapenda kuangalia wadada warembo bila kajua tabia badiliken sana bora upete mtu mwenye tabia nzur... mnafataga sura sasa kaz kwako taft mke mwingine oaa

    • @jhjjdvjhhs6898
      @jhjjdvjhhs6898 3 роки тому

      Watu Kama hao wakipata wanawake wenye mapenzi ya kweli huwa hawwataki wanataka hao kuitwa kujiremba na kukata nyumban Bila shughuli ya kufanya

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 3 роки тому

    Naona unalazimisha ukimwi,achana naye

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣bro usimtafute hyo..kashapata ngungwa nyingine..sasa komaa eti unampenda..utapata unachokitaka..Mapenzi hayarazimishwi kaka

    • @winniemushy4478
      @winniemushy4478 3 роки тому

      Kaka.mganga.wabaya.sana.akikataaa.achana.nae

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 роки тому

    Wanawake Mungu anawaona, cjui wanahitajigi nini kwenye maisha

  • @lilylilian8729
    @lilylilian8729 3 роки тому +3

    Wengine twasali tukiililia ndoa wengine hao wanaikimbia lol!
    Makubwa

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 3 роки тому +2

    Kaka Achana Na Uyo Mtu Toa Taraka Kwani Mwanamke Yuko Peke yake Tanzania....we Muachie Mungu Utapata Mke Mzuri Kushinda Uyo Mwizi

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 3 роки тому

      Na atakuja kumpigia magoti kumuomba msamaha waludiane

  • @azaizamajaliwa916
    @azaizamajaliwa916 3 роки тому +8

    Nimekuwa wakwanza like zenu wapendwa