AFISA ELIMU ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSIMAMISHWA KAZI RC MWANRI "KUZIMIA SIO ISHU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 774

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 5 років тому +3

    Safii sana kuu wa mkoa na upo vizuri ,nahuwa nakufatiria taarifa zako zote nakutatakia kazi njema

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 років тому +278

    Eng usiniangalie kwa huruma ,dirisha umekunywa km umesikia hiyo gonga like

  • @maulidkabogota5922
    @maulidkabogota5922 5 років тому +1

    Nitafurahi sana Mh Mwanri akipanda cheo kuwa Waziri.Anatufaa sana katika kujenga nchi yetu,hakuna masihara hapa nyoosha tu watu.Safi sana Eeeh.

  • @anthonynhongokemalekela7707
    @anthonynhongokemalekela7707 5 років тому +1

    Asante mungu kwa kumuona mkuu wangu wa sekondari 2015 ziba sekondari pendo ndaki naombeni like zenu jamani

  • @japhetmasunga9980
    @japhetmasunga9980 5 років тому +333

    😆😆😆😆😆😆Engineer ww usiniangalie kwa huruma dah kama unamkubali mkuu wa mkoa wa tabora gonga like apa twende saw

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 5 років тому +2

    Amezimia akianguka sawa tu huyu jamaaa ni hatarii gonga like

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 5 років тому +3

    Kama unamkubali mwanri mpeni likes zake

  • @elizakileo9125
    @elizakileo9125 5 років тому +63

    Kuzimia lazima 😁😁😁😁na ukizinduka ukaskia tena sauti ya Mwanri unazimia ..

  • @chibedechemical2111
    @chibedechemical2111 5 років тому

    Kama umeskia apsa elim gonga like tujuane

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 років тому +44

    Waliomchukua na kumkimbiza kituo Cha afya wamefanya kitu Cha maana, na watu hawa wana akiri sana.

    • @danielluka6353
      @danielluka6353 5 років тому

      m'bunge wangu kageuka mbogo njoo uku siha mkuu waache hao hawakujui

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 5 років тому +45

    Kwa waliosoma ipuli sec Tabora kama umemuona sir sichone gonga like

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 років тому +31

    HUYU JAMAA AHAMISHIWE MTWARA AKAPAMBANAE NA KOROSHOW.. Maana Huyu ni Master

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 років тому +1

      Abed nego watuachie mwanry wetu ainyooshe Tabora watoto sasa wanasoma

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 років тому +13

    Safi sana huu ndiyo mpango bora kuondoa wavunja sheria sehemu zote

  • @efelimwambije708
    @efelimwambije708 5 років тому +8

    njoo mbeya mheshimiwa, nimekubali kazi yako tena mungu akubariki.

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 5 років тому +2

    Hahahahahaha kama. Umesikia. Ety. Ili jengo kuisha mpka. YESU aludi yen gonga like twende

  • @barakastephano6144
    @barakastephano6144 5 років тому

    Huyu mtu hunifurahisha sana, yaani huwatetemesha watumishi kama mzee magufuli tu. Big up kwako mh. Mwanri

  • @msofelighitrider5748
    @msofelighitrider5748 5 років тому +121

    Kwakweli nimshukuru mungu sipo serekalini mana ninavyo jijua ningesukumwa ndani 😂😂😂

    • @mudhakirudauda7933
      @mudhakirudauda7933 5 років тому

      😂😂😂😂

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 5 років тому +1

      Yaani mie ningemskizaaaaaa kisha namuuliza umemaliza muheshimiwa?halafu namwambia nihivi baba mkundu wako wewe naaliokuleta hapa nyaga nyie yaani nitaongea haraka maana najua watanivamia

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 5 років тому +1

      Hongela umegunduwa udhaifu wako.

    • @joankunambi9992
      @joankunambi9992 5 років тому

      Msofe Lighitrider hahahaaa

    • @kuchenavhe0028
      @kuchenavhe0028 5 років тому

      Haaahaaa

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 5 років тому

    Mh.Salute
    Hio nafasi sio staili yako unatakiwa mh.Rais akupandishe cheo zaidi Hili kuwatete watanzania wote .
    Nilicho kipenda hapo huchunguzi hufanyike hasie na kosa ataenderea na majukumu yake kama kawaida bila kumuonea mtu.
    Halafu hawa wanao taka kula kwa nini wanataka kula wenyewe bila kukushirikisha?
    Wakumbushe kazi haendi hivyo hata wewe unaitaji kula.

  • @abelsabibi6192
    @abelsabibi6192 5 років тому

    Safi sana mzee Mwanri,unamsaidia vzr mh.Rais ili taifa letu lisonge mbele,hawa watu wameaminiwa na kupewa dhamana lakini hawatekelezi ipasavyo as a result wananch wanaichukia serikali yao.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +5

    Duuh Hongera sana Mkuu Maana huruma zaregesha nyuma,Poleni sana.

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 5 років тому

    Mh mwary anachekesha sana kwa maneno yake.na anapiga kazi baraa.MIMI mtu akianguka its okey,mzee njoo hapa hii haihitaji elimu ya chuo kikuuu.Usiniangalie kwa huruma dirisha umekunywa

  • @josej9888
    @josej9888 5 років тому +31

    Hapo kusimamishwa ni uongo, ndo kishaota nyasi hivo! Kama matani vile kumbe kweli!!

  • @peterkyese4516
    @peterkyese4516 5 років тому

    Eng usimwangalie mkuu wa mkoa kwa huruma kweli weee baba just love you from mbeya city

  • @fratebongole1827
    @fratebongole1827 5 років тому

    Mungu amlinde jaman rc mwanri ni jembe

  • @iamtimothyjackson5338
    @iamtimothyjackson5338 5 років тому

    Daaaah engineer ww ucnianglie kwa huruma apa

  • @eunicemishel2562
    @eunicemishel2562 5 років тому +3

    Eti Yesu atakaporudi.Hivi unajua siku atakayo rudi

  • @simonringo4701
    @simonringo4701 5 років тому +5

    Super Mwanry! Tofauti sana na hao vijana wanaoongoza kwa mihemko badala ya kutumia busara!

  • @ngaksthegreat732
    @ngaksthegreat732 5 років тому +15

    Engineer:🙄😌
    Mwanri: usinitazame kwa jicho LA huruma hapa..!!
    ......................😂😂😂

  • @halfanrashid4977
    @halfanrashid4977 5 років тому

    waliosikia neno hiki ni kioja gonga like hapa

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 років тому +2

    Hapo ndipo utajua kwamba kuitendea haki kazi yako nimuhum au la!! Ambao bado wapo kwenye kiti waitumie nafasi yao vizuri maana mambo hayatabaki kuwa mazuri kilasiku, dah!! pole ako

  • @wisemankitwana213
    @wisemankitwana213 5 років тому

    Mwanri Mungu anakuona kwakweli

  • @histonezekiel8054
    @histonezekiel8054 5 років тому +9

    Hizi kazi bora niangaike mwenyewe au mnasemaje wadau

    • @rosemshanga746
      @rosemshanga746 5 років тому

      Histon Ezekiel umeonaee

    • @histonezekiel8054
      @histonezekiel8054 5 років тому +1

      @@rosemshanga746 nimeona maana sasa utakufa bure na visivyo kuusu unaweza ukawa aujui chchct lkn likawa upande wako

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 5 років тому +1

      Histon Ezekiel apo lazima niangahike mitahani kwamaneno ayo na kwahizi asira ninazo bora niangaike

  • @edisonkayaman8851
    @edisonkayaman8851 5 років тому +1

    Nakukubali piga kaz mungu atakuongoza

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 5 років тому

    Super nwanry ww ni zawadi Kwa wanatabora.piga kazi nakuelewa Sana mkuu

  • @derricdeuc3628
    @derricdeuc3628 5 років тому +94

    Hilo dirisha amekunywaa 😂😂

    • @denismrutu9655
      @denismrutu9655 5 років тому

      Derric Deuc 😂😂😂😂😂

    • @mboga7
      @mboga7 4 роки тому

      Nimekubali iyo

  • @fabianjulius5274
    @fabianjulius5274 5 років тому

    Very smart ...

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 років тому +17

    Punda haeindi mpaka mijeredi. safi sana. mkoa wangu umepata mtu. sahihi.

  • @frankmosses1004
    @frankmosses1004 5 років тому

    Mimi kuzimia is not an issue hahahaha kazi nzuri

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 років тому

    Alhamdulilah ,pesa fitina

  • @BoscoMaboga-s7s
    @BoscoMaboga-s7s 4 місяці тому

    2:00 dah nimecheka sana

  • @mako331
    @mako331 5 років тому

    Watu wengi hawajaelewa hii serikali si ya miaka ile, unabembelezwa unakoroga hapa unahamishwa badilikeni fanya kazi yako kwa weledi

  • @2116-n
    @2116-n 5 років тому +33

    Daaah Shule yangu kabsaaa huko Igunga, mliosomea Ziba sec. Niwafahamu

    • @mwanju3981
      @mwanju3981 5 років тому

      mimi kongwa

    • @2116-n
      @2116-n 5 років тому

      @@mwanju3981 Michael Kongwa!?

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 2 роки тому

    Kila la kheri muheshimiwa InshaaAllah

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 років тому +12

    Naomba CV ya Aggrey Mwanri

    • @marthapius5361
      @marthapius5361 5 років тому

      Robert Junior LUGE alikataa kuangalia CV

  • @alicebahadia5529
    @alicebahadia5529 5 років тому +1

    I was missing this man😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому

    NAKUPENDA SANA *RC MWANRY*

  • @hihoonlinetvchannel1575
    @hihoonlinetvchannel1575 5 років тому +27

    Namkubali sana mzeyeee..mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine

    • @stellakashebo5052
      @stellakashebo5052 5 років тому

      Du Sawa amekosea anazimia MTU amjali maisha ya MTU hayalingani na hill jengo duuu mungu tuhurumie

  • @wakavengaog9016
    @wakavengaog9016 5 років тому +8

    Huyu Km Ni Babaako Aseeeeee............Utajuta Kuzaliwa Nae🤣

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 5 років тому +8

    Ndo maana sina mpango na ajira zao kufanya kazi kiroho juu juu duuu maisha yenyewe hayaaa

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 років тому

    Uko vizuri mzee

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 років тому

    pole sn mama ndo majukumu ya kazi

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 5 років тому +10

    Kama umesikia mtu akianguka akizimia mie sijali gonga like hapa😂😂😂

  • @annachuma247
    @annachuma247 5 років тому +7

    Pole patricia

  • @salumseif5838
    @salumseif5838 5 років тому +6

    Wabheeja sana bhabha..bhagololage kooi

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 5 років тому +1

    Nakukubali kwa kuwa u muwazi japo majuzi hapa uliboronga kwa kumtaka Mungu amshukuru Magufuli ila tulikusamehe kwa kuwa tulijua kutokana na mtu akizidisha umaridadi au mgema anaposifiwa💪💉

  • @kyambarungwe4453
    @kyambarungwe4453 5 років тому

    njoo mbeya mzee wa kazi maana humu hakuna kitu wamerara tuu

  • @eliamwalukisa4173
    @eliamwalukisa4173 5 років тому +2

    Tukimpa nchi Huyu mzee tumekwishaaaa aisee

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 років тому +3

    😂🤣😂😂😂yaani huyu baba ananifurahisha sura yake tu hapo hajatumbua 🤣🤣wakomeshe wamezoea kuchakachua kila kitu wamesahau ni uzao wa magu upo kazini.magu hoyeeeeeeee💪💪👊

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 5 років тому +107

    Mwanri wewe jembe Rais akupe cheo cha juu ukuu wa mkoa haukutoshi wewe ndio unaendana na kasi ya Rais.

    • @ezekielevarest6254
      @ezekielevarest6254 5 років тому +1

      Mkuuu anapiga sana kazi asee

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 5 років тому +1

      JPM mwenyewe Hatumuwezi itakuwa Huyu.. Si ndo watu watalia kabisa

    • @adamchamoma5227
      @adamchamoma5227 5 років тому

      Mzee hatar huyu.

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 5 років тому +1

      Rashid Malilo Tusipate kumsifia mtu akiwa anafanya maamuzi ya paniki tujiongeze kidogo wa ndugu

    • @boniphacenyamhanga9395
      @boniphacenyamhanga9395 5 років тому

      Piga kazi mwaniri , i like from Italian

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 5 років тому

    Mkuu wa mkoa uko vizuri mno baba

  • @jovinemnzava5972
    @jovinemnzava5972 5 років тому

    Ninavyopenda dili ningefungwa mm

  • @joelkidunye7270
    @joelkidunye7270 5 років тому +8

    Ujue ukiachana na maswala ya kuwa wameajiriwa na serikali,lakin kwa Tanzania watumishi wa uma wanaongoza kua na stress,mi nahisi icho ndo kitu kinachowafanya washindwe kutimiza majukumu yao,hawana furaha na hawana confidence pia dooh

    • @janestauffer111
      @janestauffer111 5 років тому

      Sio kweli ukifatwa maelekezo na sheria za kazi stress zitatoka wapi

    • @joelkidunye7270
      @joelkidunye7270 5 років тому

      @@janestauffer111 Jane moja kati ya sifa za mfanyakazi bora ni,,,anatakiwa awe anafanya kazi without any pressure, sasa sku izi kila public servant yupo under pressure

    • @janestauffer111
      @janestauffer111 5 років тому

      @@joelkidunye7270 why wanakuwa na pressure what's a reason behind...... Hivi ukifuata majukumu yako kuna mtu atakuingilia I think who a are not faithful in such ndio wanakuwa under pressure sana take this example ww ni mtoto unakaa na wazazi wako ukikosea na unamjua baba yako vile alivyo ukisikuia baba Huyo anarudi nahis unaweza kuzimia all the time unawaza baba akija nn kitatokea but kama hauna kosi wala unakuwa comfortable

    • @joelkidunye7270
      @joelkidunye7270 5 років тому

      @@janestauffer111 a goo example but let me make it to be more relevant,,, there are different processes and procedures before terminating or demoting a public servant try to search them,but I gues I need to explain it more to you

  • @mussahamissimba6889
    @mussahamissimba6889 5 років тому +1

    Maamuz mugumu siku zote yana positive impact

  • @barakamarmo8104
    @barakamarmo8104 5 років тому +1

    Maafisa Elimu ni wababe sana wanapokuwa maofisini,hawana huruma na walimu utadhani wao hawakuwahii kuwa walimu!!!sukuma ndani wote!!!

  • @boniphacenyamhanga9395
    @boniphacenyamhanga9395 5 років тому +3

    Piga kazi baba wewe na Magufuri nawakubali sana kuliko viongozi wote nchini Tanzania Nyamhanga from Italian

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 Рік тому

    Financial freedom is only hope...

  • @ezekiellugali305
    @ezekiellugali305 5 років тому

    Uko sawa mzeee

  • @abou2607
    @abou2607 5 років тому +1

    Huyu jamaa tuletewe Dar as salaaam ... Bashite apumzishe majukumu yake kupisha uchunguzi 😂🤣🤣

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 років тому +51

    Bila hivi nchi haiendi

    • @aminasaleh6134
      @aminasaleh6134 5 років тому

      huy mkuu wa mkowa angekuw rais wet wa zanzibar mwaka 2020 yaan zanzibar ingekuw nchi imara sana

  • @faridaothman
    @faridaothman 5 років тому +2

    JAMANI ILA HIZI KAZI HIZI BINAFSI NAOGOPA KUAJIRIWA NAEZA KUFA KWA PRESHA JAMAN NIKIMUONA BOSS TUMBO LINAUMAGA GHAFLA😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 5 років тому

    Duh kama utani vile unasimamishwa kazi kuweni makini jamn serikali ya saivi sio ili ya zaman polen sana

  • @godlistentv9576
    @godlistentv9576 5 років тому

    Mim mtu akianguka akidondoka hahaha Kma umeisikia hyo gonga like

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 5 років тому +1

    🤣🤣😅😅😅😂😂 daaah!!!...mkuu hatari sana,anamchukua ustaadhi na swaumu njoo usigope haya mambo hayahitaji chuo kikuu

  • @pendotitu7754
    @pendotitu7754 5 років тому

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁hata ukianguka ukazimia mm siangalii hicho

  • @yasiniibrahim3335
    @yasiniibrahim3335 5 років тому

    We engineer njoooooo hukuuu

  • @nassoromangi3597
    @nassoromangi3597 5 років тому

    jamani watu bado wanachakachua ktk hii awamu ya 5 ilivyo kuwa makini,mkuu wa mkoa anaongea kimasihara lkn kitu kipo siriazi,fanya kazi mkuu

  • @jamesndinda4270
    @jamesndinda4270 4 роки тому +1

    Kwanza tangu nianze kuona krip zake sijaona anamuonea mtu ila anafuata sheria Mungu amsaidie mpaka aje kuwa raisi wa Tanzania

  • @JOSHUAERASTO-ch8ky
    @JOSHUAERASTO-ch8ky 3 місяці тому

    Kuzimia sio ishuu🤣🤣🤣nimecheka sanaa an

  • @dawillygene
    @dawillygene 5 років тому +9

    Maguu hoyeeeee, kweli umechagua jembe. Walishazoea ujanja ujanja tu.

  • @andrewmhagama1042
    @andrewmhagama1042 5 років тому

    RC wotewakifikia standard anayo set mzee huyu tutakaa vizuri.Hasa wale RC vijana walioota mapembe na mikia.

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 5 років тому

    😃😃😃etii hata mtu akizimia azimie😃😃

  • @medadimwendesha1788
    @medadimwendesha1788 5 років тому

    Uko sawa mkuu

  • @razaloedward8608
    @razaloedward8608 5 років тому

    Hahahaha poleni sana namkubali sana huyu mwamr

  • @tambajordan5595
    @tambajordan5595 2 роки тому

    Jamaaa nikuwa namkubali sanaa

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 5 років тому

    Mama Afisa elimu kazingua unapoingia kazin unatakiwa uanze kazi immediately. Ndo JPM aliwambia kama huwez kwenda na kasi yangu jiuzulu. Miezi miwili hujaomba hata ramani ya shule

  • @ezekielmbazi.8687
    @ezekielmbazi.8687 5 років тому +22

    bora kujiajiri tuuu

  • @matildamalinganya3284
    @matildamalinganya3284 5 років тому

    Hapa kazi tuu 💪💪

  • @issaabdullah7480
    @issaabdullah7480 5 років тому

    Good Mwanli

  • @solomonimkwere498
    @solomonimkwere498 5 років тому

    Nimekupenda bule

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 5 років тому +83

    INJINIA USINIANGALIE KWA HURUMAA 😂😂😂

  • @aliciusalistides6748
    @aliciusalistides6748 5 років тому +8

    Kazi za kuajiriwa na serikari hatari bora uajiriwe na kampuni maana unakuwepo ujijui utang'olewa link ase Mimi napiga MOBISOL safi

    • @J4UPro
      @J4UPro 5 років тому

      Hajang'olewa kasimamishwa kupisha uchunguzi.

  • @happiedonald5574
    @happiedonald5574 5 років тому

    Hawa wote itabidi watupishe kwanza kazi iende

  • @dannyedward5446
    @dannyedward5446 5 років тому

    Big up

  • @lincolnmaleko4847
    @lincolnmaleko4847 5 років тому +2

    Mama wa watu pressure imepanda dah...hii speed ya awamu ya 5 mtakondaa tuuu😄😄😄😄

  • @princekassim4089
    @princekassim4089 5 років тому

    Engineer bwana 😂😂
    Gonga like 🔙

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 5 років тому

    Angekua babaangu ningeama nyumbani mana uyu mzee noma

  • @kajjd40
    @kajjd40 5 років тому

    Mkuwamkoa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏😀😀😀😀😀😀

  • @mathiasmalimi4555
    @mathiasmalimi4555 5 років тому

    Jamani Hahahahahahahaha mmmmmmm napenda kusikiliza sehemu ya kioja

  • @mwinyimwinyi9171
    @mwinyimwinyi9171 5 років тому

    From 254 for sure this guy is a good leader to follow

  • @aloycemwambwiga2318
    @aloycemwambwiga2318 5 років тому

    Mungu wangu!