makabidhiano ya ofisi kati ya Rais Magufuli na JK Novemba 12,2015

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лис 2015
  • makabidhiano ya ofisi kati ya Rais Magufuli na JK Novemba 12,2015

КОМЕНТАРІ • 38

  • @joxevictus3720
    @joxevictus3720 4 роки тому +9

    Yaani sura za kifisadi zinaonekana tu cheki iyo misura yao JPM oyooooo ❤️🇹🇿🙏

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому +18

    Hakuna aijuae Kesho, ona Mama Samia kakaa zake hapo hajui kama ndio atakuja kuwa Rais

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 4 місяці тому +3

    Eh mungu maisha yana maswali magumu sana

  • @metrom8009
    @metrom8009 Рік тому +3

    Ma afisa wa uhamiaji mji funze kuaongelesha vizuri wageni wa afrika Kama nyinyi kwa upendo. Utu ni Jambo muhimu

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому +5

    Mama Samia.😍😍😍

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому +5

    Asante studios

  • @onesmoasenga266
    @onesmoasenga266 2 роки тому +6

    Rip jpm

  • @BBCFintl
    @BBCFintl 8 років тому +6

    Peaceful, void of pomp...down to earth!

  • @amanikazinja4855
    @amanikazinja4855 5 років тому +9

    "dhana ya hapa kazi tu inakamilika haraka" maono yako yalianza mapema na sasa tunashuhudia yakikamilika kupita ata haraka yenyewe. Mwenyezi mungu azidi kukusimamia,Wana wa Nchi tu nyuma yako

  • @pastorrusagarajosephsolo8692
    @pastorrusagarajosephsolo8692 2 роки тому +4

    Yesu alisema, "Niliwachagua ninyi Thenashara na mmoja wenu ni shetani..."
    Wenye akili ya kupambanua wamenielewa!

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому +4

    Yajayo yanafurahisha,,,,,!

  • @johnsebastian4868
    @johnsebastian4868 Місяць тому

    JK mbona alikuwa anacheka kinafiki sana

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 2 роки тому +2

    Dah

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Місяць тому

    Mwamba tutakukumbuka mbunifu

  • @farajastudioandstationery5798
    @farajastudioandstationery5798 2 роки тому +4

    KIKWETE hafai kabisa kwenye hii Nchi

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 5 років тому +3

    Naomba tafsiri ya kicheko iki jamani plz🙏

  • @sultanjunior8910
    @sultanjunior8910 2 роки тому +2

    Hilo limama halifai na mungu amzidishie misukosuko ktk utawala wake

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 роки тому +1

      Wewe unafaa acha kutumia majina ya kiislamu hivi mkitumia majina yenu Kuna ubaya gn au ukitumia hili jina linakuoa nn ktk ushawishi wako wa kijinga .!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 роки тому +1

      Namkumbuka Antony Diallo Sana kila nikimuangalia sipati picha..!

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 Рік тому

      Kwa hiyo wewe ndiyo unafaa,uandishi wako waonekana wewe ni chokoraa na mkora maana huna nidhamu.

    • @BilaliNuhu
      @BilaliNuhu Місяць тому

      Kumbe wewe ni fisadi na husda. Mama anafanya kazi wewe unamuombea misukosuko

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 5 років тому +2

    unacheka chekann?