Money is there, Contractor you are there finish on time Big up my president 👍🏼 Tumechoka sie wana mwanza kukaa kivukoni masaa 2 . I wish siku nikuone Live Mzee Wangu JPM
Aisee safi sana, huku kuna kingereza cha kisukuma na kule kuna kingereza cha kichina basi mambo supa kabisa. Ila nimejifunza jambo kubwa sana, kumbe mtu unaweza kuwa mtaalamu mkubwa kabisa na usijue kingereza. Wakati ni huu sasa shule zetu zisomeshe masomo ya sayansi kwa lugha ya Kiswahili.🙏🙏🙏
Wachape kazi 2024 ni mbali kusubiria mradi ambao resources zote zipo.. Wananchi wa Mwanza, Geita, Kagera, Kigoma na nchi jirani watanufaika sana na ujenzi wa Daraja hili... Big Up Mr. President.
Mzee Rais wetu ulipotoa ile historia ya mtumbwi au ulikua upande na moyo akakusita na hujaupanda ule mtumbwi na ule mtumbwi ulizama na watu kupoteza maisha....Nipo Italy Hadi machozi yananitoka kusikia hiyo stori uliyo itoa ya ule mtumbwi.. M/Mungu Yuko nawe atakulinda na atawalinda watanzania wenzangu...
Wakati wakihamasiswa kumaliza kabla ya muda wakumbushwe kufanya kazi kwa umakini na ubora wa hali ya juu pia, wasije wakamaliza mapema huku wamelipua kaz ikatugharim maisha watz.
Yaaani huyu Mkorea huyo wa kwanza unamchekea Simba angejua watumishi wake tukimuona tunatamani hata vyooo vifungwe kwenye viti maana Mhhhhhhhh cjui amepata wapi ujasiri wa kumchekea huyo Mzee MUNGU amrehemu Mkorea.
Ujuzi wajambo Na utendaji kazi wa mtu Tusiuhusishe na kuongea kingereza ona aowataalam kutoka kolea na china wanavyo ongea kingereza chao..utawafananisha na JPM.
Usiku na mchana Ni kawaida sio kwamba daraja litakuwa chini ya kiwango, daraja la mfugare limejengwa hivyo na mengineyo hapo kikubwa Ni vibalua wachina waache ubahili waajili watu wapige kazi usiku na mchana. hakuna kinachoshindikana kikubwa Ni vifaaa kujenga usiku hiyo sio shida Ni kawaida hata wenzetu huko kazi za usiku wanafanya Sana na ndio wanazipenda na haiwezi kutengua ufanisi wao wa kazi mbona madktari wetu wanafanya upasuaji usiku na kazi zinafanyika vizuli tu au malubani wanalusha ndege usiku na mambo yanaenda bambam tu
Kushindwa kwako kuutekenya ung'eng'e isiwe nongwa! Hivi kwa nini mtu akimudu lugha za kigeni hususani kiingereza mnakereheka? Ni wivu usio na tija!, Acheni chuki binafsi badala yake kuweni na wivu wa kinaendelea, shule zipo kajifunzeni nanyi mtamudu!
@@japhetdaudmaneno8440 Hapo unawapsha waafrika ( umeandika Africa) umechanganya lugha ya Kiswahili na kiingereza (don't be slave for worship white people) pamoja na kwamba grammar haijakawa sawa haidhuru lakini swali unachokataa ni nini, anachopinga ni nini? Sijakuelewa!
Inawezekana kuisha mapema.. it's not about time it's about work schedule scope restructuring. Mr president is right but ili hili jambo ili liwezekane inabidi wakae na mkandarasi na kulijadili. Na watendaji waangaliwe upya maana kwa huyo engineer mbongo anavyojibu.. mh!
Hawa watu uwezo wao..kama pesa zipo na vifaa vipo wanashindwaje ? ILe stendi ya Mbezi rais alikuwa mkali na matokeo yake Stendi imeisha haraka..Ukiwa na vifaa na watu...There is no any excuse
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Magufuli...mkataba ni miezi mingapi Contractor...ni miezi 48 sawa na miaka 4 Magufuli...hawawezi kufanya miaka mitatu? 😁😁😁😁 hapo ndio ananifulahisha mzee
Wakilazimishwa kufinish before time wanaweza wakalipua kazi,,, don't force them to finish earlier. Ni Bora kuzingatia Muda wao waliopanga kumaliza,, kwa ubora zaidi.
Safi sana Rais lazima wambie wamalize mapema pesa watanzania tunayo sio mchezo mchezo sio mkopo wa bank za kodi zedi ubarikiwe yaani in five year tz inatkuwa singepool wazidi kutuchukia lakini tunasomga mbele Mungu ibariki Tanzania na Rais wake tunakupenda kweli kweli wewe jembe
Mkorea ameshangaaa. Mkataba ni wa miaka 4 kulingana na ujuzi wake. Sasa mki harakisha ije ivunjike atalaumiwa Nani. Magu anataka afanye vitu vingi ila mda ni mchache Sana ukweli. Na Hakuna atakae weza kuendeleza atakapo ishia miradi yake. I swear.
I love this Guy..(He is a prophet ) Atatufikisha sehemu nzuri kimaendeleo...
My President GOD Bless You
SAFI SANA mkuu nakukubali Sana kiongozi wangu JPM hapa Kazi tu
Money is there, Contractor you are there finish on time Big up my president 👍🏼 Tumechoka sie wana mwanza kukaa kivukoni masaa 2 . I wish siku nikuone Live Mzee Wangu JPM
Allah akupe maisha marefu Rais wetu Insha Allah
Hongera sana mkuu, kazi yako ni njema sana, Rais wetu
Magu uko vzr English haikupi shida hahaaaaaa proud of u my president Mungu akubariki sana
A good leader... For people Tanzania will always remember his leadership... From Burundi 🇧🇮🇧🇮
Mwenyezi Mungu Muumba wetu tunakushukuru sana kwa kutujaria kiongozi bora nchini kwetu.
Rais wetu wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli na kimombo mbele kwa Mbele....Nchi hii Umeiwezea sana Mkuu..... Sihami Tanzania
Kweli kabisa
True
Thank you JPM Shoga Lissu analia sasa
The English of JPM is so sweet when comparing to these Chinees guys🇨🇳🇨🇳&🇹🇿🇹🇿
When compared.
Love mwambaaaa akili nyingi sana jpm
Raisi kama huyu hatokei milele dah kwel chema hakidumu kazi ya mungu haina makosa mungu akupe kila la her uko ulipo amin
Kumbe mzee yupo vzr kizungu.
Big up my President🙏🙏💪
Aisee safi sana, huku kuna kingereza cha kisukuma na kule kuna kingereza cha kichina basi mambo supa kabisa.
Ila nimejifunza jambo kubwa sana, kumbe mtu unaweza kuwa mtaalamu mkubwa kabisa na usijue kingereza.
Wakati ni huu sasa shule zetu zisomeshe masomo ya sayansi kwa lugha ya Kiswahili.🙏🙏🙏
Dharau siyo nzuri ,rais anapiga ngeli vizuri kabisa ,hongera umewaumbua Leo wenye dharau
Ufahamu ya kuwa ajue asijue sio lugha dio inajenga inchi ni uzalendo
Jamani wewe mtu amesoma amekuwa waziri takribani uongozi wote Mwinyi , Mkapa, Kikwete , leo
Rais asijue english wanachekesha
Mungu akutunze rais wetu jpm
Big up my President.God bless.
Everything is there dude get it done.
Nakukubali sana RAISI wangu KIPENZI
God bless magufuli and tanzania
Mara ooooh Magufuli hajui kiingereza. Na hao wakorea vepeee.
Safi sana JPM nakukubali sana
Safi sana Mkuu.
Hongera JPM
Saaaaafiiiiiiii JPM.umeonyesha hitaji la kuona mradi unakamilika haraka sana.hongera mtetezi wa sisi walala hoi.
It good to be patient Mr President
Wachape kazi 2024 ni mbali kusubiria mradi ambao resources zote zipo.. Wananchi wa Mwanza, Geita, Kagera, Kigoma na nchi jirani watanufaika sana na ujenzi wa Daraja hili... Big Up Mr. President.
Wallahy Tanzania Raha
Good communication skills
Working day and night yes president 😁😁😁😂😂......
Mkorea hajui kingereza mchina hajui kingereza sasa mlitaka MAGUFULI ajue kingereza Kwan yy ni muingereza? Cc tunataka kazi
Ni kweli sio kingeraza kinajenga nchi bali ufahamu na kua mzalendo ndio unaofanya haya.
@@aganolamotoeliya2027 kabisa
Imeisha iyo
ubarikiwe mkuu we pray for you .
Mzee Rais wetu ulipotoa ile historia ya mtumbwi au ulikua upande na moyo akakusita na hujaupanda ule mtumbwi na ule mtumbwi ulizama na watu kupoteza maisha....Nipo Italy Hadi machozi yananitoka kusikia hiyo stori uliyo itoa ya ule mtumbwi.. M/Mungu Yuko nawe atakulinda na atawalinda watanzania wenzangu...
JPM hataki kurudishana nyuma kupitoa muda Wa kazi Ktk miradi
yaonekana Tanzania ukiongea kimombo unaonekana msomi Sana 😂
Please ambia Dr. Magufuli akuje kwetu kenya afanye hivi ....
Rais umeongea kistaarabu na umehoji kiungwana sana hapo nakupa hongera sana
Kaz kazi
That's my President he's a good man
Safi sana JPM
Mimi sio mtanzania ila watanzania mna bahati sana kuwa na rais Ka huu
Ongera mkuu
Asante baba hiyo inglishi balaa kabisa Afrika nzima
Wakati wakihamasiswa kumaliza kabla ya muda wakumbushwe kufanya kazi kwa umakini na ubora wa hali ya juu pia, wasije wakamaliza mapema huku wamelipua kaz ikatugharim maisha watz.
Usiamini.kila linalosemwa kumbe mkuu anapiga ngeli vizuri kabisa.
Kanifundisha namna ya kiwajibu wapumbavu kw vitendo
Wale ni wehu tu, PHD holder unategemea nini?
@@liliansamson674 h
yaani hiyo ndio english level za excutive🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nenda st marrys school ukaoneee mtua aibuuu
@@barnabasmafuru6930 🙄🙄🙄 at.marrys there is nothing
My.yupo vizuri
Billion 700??😳😳aiseeh Hao n kuwakazia tu
HONGERA KIONGOZI
Duh!...
Jpm ni 💥💥💥
Hapa ndio naelewa kiswahili ni krioli, pijini, kiarabu. Jadili😂
😄😄😄🤣
hhhhhhhhhhhhhhh upo sawa
😀😀😀😀😝
😀😀😀 kiswahili ni kibantu
Hatari lakini wanelewana
Kweli kingereza nyoko yani prezdaa hadi mishipa ya kichwa inasimama 😄
Amemuonea huruma jamaa anaona mshuwa ataki ujinga but mzee baba yupo njema
Mm wasije wakakoronga mara 2kaja kuongele wote. Ni bora taratibu
Yaaani huyu Mkorea huyo wa kwanza unamchekea Simba angejua watumishi wake tukimuona tunatamani hata vyooo vifungwe kwenye viti maana Mhhhhhhhh cjui amepata wapi ujasiri wa kumchekea huyo Mzee MUNGU amrehemu Mkorea.
🤣🤣🤣
Ni kwenu sio kwao.
🤣🤣🤣🤣😝 Korean white people haijawahi kumuogopa Black at siku moja🙄🙏
😁😁😁😁😁
Ujuzi wajambo
Na utendaji kazi wa mtu
Tusiuhusishe na kuongea kingereza ona aowataalam kutoka kolea na china wanavyo ongea kingereza chao..utawafananisha na JPM.
Ngoja nicheke kwanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂piga kelele kwa anko magu wetu wewe we wewe wewe wewe wewe wewe wewe wewe wewe 😂😂😂
Mchina ana ongea kuhusu mda wake. Na mzee anataka umalizike kabla
How is the Job
Hii kali
Korea na China, hawafundishi kingereza, hicho unnachokisikia wanaongea wameiokota kwenye kazi zao za project😁
Acha wewe kingereza ni lugha ya kibiashara ya dunia hivyo hata kama hawatumii kufundishia wanakijifunza kingereza kama somo
JPM👊👊
LAKINI sometime ujenzi wa daraja unahitaji umakini Sana wapeni time ya jamaniiii
Hamna hilo daraja fupi sana,waongeze mitambo na nguvu kazi.
Usiku na mchana Ni kawaida sio kwamba daraja litakuwa chini ya kiwango, daraja la mfugare limejengwa hivyo na mengineyo hapo kikubwa Ni vibalua wachina waache ubahili waajili watu wapige kazi usiku na mchana.
hakuna kinachoshindikana kikubwa Ni vifaaa kujenga usiku hiyo sio shida Ni kawaida hata wenzetu huko kazi za usiku wanafanya Sana na ndio wanazipenda na haiwezi kutengua ufanisi wao wa kazi mbona madktari wetu wanafanya upasuaji usiku na kazi zinafanyika vizuli tu au malubani wanalusha ndege usiku na mambo yanaenda bambam tu
Ona wachina wenu,hata hawajui kingereza,wabongo ndo mnashadadia lugha za wageni,huo ni utumwa,pigeni kazi
Acha ujinga. Kwani ukijua lugha ya kigeni utaumwa na kichwa?
@@Nedjadist Waafrica mtakuwa watumwa wa kubudu weupe hadi lini,jitambue wewe," Don't be a slave for worship white people 😬😬,"
Kushindwa kwako kuutekenya ung'eng'e isiwe nongwa! Hivi kwa nini mtu akimudu lugha za kigeni hususani kiingereza mnakereheka? Ni wivu usio na tija!, Acheni chuki binafsi badala yake kuweni na wivu wa kinaendelea, shule zipo kajifunzeni nanyi mtamudu!
@@japhetdaudmaneno8440 Hapo unawapsha waafrika ( umeandika Africa) umechanganya lugha ya Kiswahili na kiingereza (don't be slave for worship white people) pamoja na kwamba grammar haijakawa sawa haidhuru lakini swali unachokataa ni nini, anachopinga ni nini? Sijakuelewa!
Hii kiingereza gani 😂😂😂😂
kwann tunawatesa hawa wana na kingereza😂😂😂😂😂😂😂
Rais yupo makini sana
Alhaji kammaindi mkandarasi 😂😂😂
Kuna raia wanasema mjomba hajui kingereza asa mmeona hao wakorea wanavyohangaika kuongea🤣🤣
Mwajipa moyo
@@judytabby2777 Basi Mchina ndo anajua 😂😂 umefurahi sasa
@@judytabby2777 natamani nione sura yako nijue wewe ni mwingereza wa jimbo gani😀😀
@@judytabby2777 acha ufala judy mjomba kauwa hii 🤣
@@onesmojustice2348 jimbo la🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unaona lisu kazi inayofanyika hahaha utajiju na mabwanazako mungu yupo na jpm
Hahahahahaha hehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehehe kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwi. Wamesemaje eti. Naombeni mnao jua kimombo 😂
😂😂😂
Kumbe anajua kingeleza 😂
Magu awe muelewa,ujenzi ukienda kiaraka unakua audum
But he still the best African président since he became président
Hao jamaa wanaweza kujenga kwa miezi 36 tu,tatizo wasimamizi kama unavyowasikia wakijiumauma.
Ni kweli kabisa kaka tatizo wa simamizi ndo shd
Magufuli anataka kazi imalizike kabla hajaondoka madarakani maana inaweza ikaishia njian kama akiondoka haijaisha ndio maana anataka wamalize mapemaa
Inawezekana kuisha mapema.. it's not about time it's about work schedule scope restructuring. Mr president is right but ili hili jambo ili liwezekane inabidi wakae na mkandarasi na kulijadili. Na watendaji waangaliwe upya maana kwa huyo engineer mbongo anavyojibu.. mh!
Hawa watu uwezo wao..kama pesa zipo na vifaa vipo wanashindwaje ? ILe stendi ya Mbezi rais alikuwa mkali na matokeo yake Stendi imeisha haraka..Ukiwa na vifaa na watu...There is no any excuse
Kazi inaendelea.
KAKA MAGU ANALONGA KIZUNGU DUH!!!😝 NIMEKUKUBALI MAGU ULIFAULU ENGLISH COZ😝🤣🤣
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Sasa hapa si ndo Mchina Atatulipuria hiyo project maana wachina du !
RIP JPM😰
kingereza si hiko hapo watanzania tunataka kingereza gani tena raisi aongee halafu leo nimeona yakuwa kumbe ule ulikuwa ni uvumi wa uwongo huo.
Magufuli...mkataba ni miezi mingapi
Contractor...ni miezi 48 sawa na miaka 4
Magufuli...hawawezi kufanya miaka mitatu? 😁😁😁😁 hapo ndio ananifulahisha mzee
Pesa yote ipo,ata wakitaka leo 😂😂
Kasema miezi 36. Nae jamaa yuko makini anamwambia ni miezi 48 sawa na miaka 4. Imebidi aongee vizuri na mkorea vizuri
Kasema kama kuna uwezekano siyo amri.
@@bernardoleonard7331 Inawezekana tatizo ni wasimamizi wetu wengi wao wanapenda kukaa site muda mrefu ili waibe.
@@uledimtumwa2406 kabisa
Wakilazimishwa kufinish before time wanaweza wakalipua kazi,,, don't force them to finish earlier. Ni Bora kuzingatia Muda wao waliopanga kumaliza,, kwa ubora zaidi.
Fundi yeyote bila kumforce huchelewa kumaliza mzee,, forcement is good
Safi sana Rais lazima wambie wamalize mapema pesa watanzania tunayo sio mchezo mchezo sio mkopo wa bank za kodi zedi ubarikiwe yaani in five year tz inatkuwa singepool wazidi kutuchukia lakini tunasomga mbele Mungu ibariki Tanzania na Rais wake tunakupenda kweli kweli wewe jembe
Good promise
👍👍👍👍🛣️🛣️🛣️🛣️🛣️
My President ume improved lugha ya kibepari.
Naona leo amepiga kibeberu kidogo
Bgp rais kipezi magufuri walio sema hujui ngeli wawo ndio wanajifunza kwa mabeberu zao huko uberigiji lisu!!
Mnashobokea kingereza sijui kwa nini
Kaz
😭😭😭😭😭
Cases study is Thika Road we see cracks on Bridges after the Contractor did a job under high pressure.
😂😂🤣🤣🤣🤣 mkamuita tena ajenge sio
Wale watimwa wa ludha mbona amuumcheki mchina ajui kirezeza apo angekua mwafrika mwenzenu mngesema kwel kwel Pumbafu
Wabongo hatuna akili za kutosha
Mkorea ameshangaaa. Mkataba ni wa miaka 4 kulingana na ujuzi wake. Sasa mki harakisha ije ivunjike atalaumiwa Nani. Magu anataka afanye vitu vingi ila mda ni mchache Sana ukweli. Na Hakuna atakae weza kuendeleza atakapo ishia miradi yake. I swear.
💪🙌🙌kabisa naliona Hilo.
Tatizo sio muda ni pesa,project ya miaka 4 inaweza kuwa done within 2 years,Magufulu yupo sahihi kabisa
Mbona magu anajua kuongea ngeli vizuri tu
Maneno ya watuu ,na watu hawakubali waoo kupingaaa tu
Nawe uliaminishwa kuwa hajui?
Ukweli ujenzi wa daraja unaitaji muda wakutocha inatakiwa wawape muda wakutosha ili wasije kuharibu
Muda huo unatosha saana ,, waongeze vifaa na wafanyakaz ili kumaliza haraka
Muda huo unatosha saana ,, waongeze vifaa na wafanyakaz ili kumaliza haraka
Wa Kwanza leo
There
There
Yes there are there.
Mki waharakisha jamani wanaweza waka haribu
Kingereza
Kimombo🤣🤣🤣🤣🤣
Msukuma na mchina wamekutana.
Lugha Ya Mayai.
Hao jamaa ni kuwapelekesha tu waliwatesa sana babu zetu enzi za ukoloni..
😅😅😅
Kiingereza is their, maji is their why you can finish the construct be for the time nimekuelewa mzee
Utajaza mwenyewe
@@onesmojustice2348 nampenda sanaa
everything is there mkuu....lol