MWL.NDACHA & MWL. DANEL MWANKEMWA MUNGU MMOJA WA BIBLIA NI NANI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • SHARE UJUMBE HUU KWA WENGINE

КОМЕНТАРІ • 82

  • @Datiuspp
    @Datiuspp День тому

    Mungu mmoja ni Bwana Yesu Mungu hajajifunua kwa nafsi tatu maana Mungu ni Roho. Utatu ni utapeli nitajie jina la Mungu baba, jina la Mungu mwana, pia nipe jina la Roho mtakatifu.

  • @mikecollection1159
    @mikecollection1159 2 місяці тому +2

    Hizo zote ni nafsi za Mungu ambazo Mungu anatuma kwa kazi maalum

  • @remakyoni5567
    @remakyoni5567 3 місяці тому +3

    Mwalimu ndacha Mungu wa bwana wetu Yesu. Akubariki na mwangaza kubwa.kwelewa maneno unayosema ni neema.

  • @lenathapatrick388
    @lenathapatrick388 4 дні тому +2

    Mwakemwa kuwa makini na mafundisho yako, ukipostisha roho za watu siku ya mwisho utazitolea hesabu

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 3 місяці тому +2

    Ndacha mungu akubaliki sana amina

  • @imcctv9478
    @imcctv9478 11 днів тому +1

    Mwalimu Daniel hongera Sana Kwa huduma njema. Kwa kweli unaeleweka vizuri Sana, Ila wengine wamejizima data wanajifanya hawataki kuelewa, Mungu akubariki

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 7 днів тому

      Hakika Mwenyez Mungu hakueka kbs ugumu ktk kumtambua yeye wala hakutumia kauli yenye tungo tata kbs ktk kujielezea yy - ktk Ukristo concept ya kumuelezea Mungu ni ngumu sn hata kwa wasomi km hao -
      Quran 18:1 -6
      Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
      Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.
      Wakae humo milele.
      Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
      Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu

  • @basilejuma
    @basilejuma 14 днів тому

    Mungu ni Mmoja ambaye ni Yehova, Yesu kristo mwana wa Mungu, roho mtakatifu wa Mungu

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 7 днів тому

      Hakika Mwenyez Mungu hakueka kbs ugumu ktk kumtambua yeye wala hakutumia kauli yenye tungo tata kbs ktk kujielezea yy - ktk Ukristo concept ya kumuelezea Mungu ni ngumu sn hata kwa wasomi km hao -
      Quran 18:1 -6
      Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
      Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.
      Wakae humo milele.
      Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
      Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu

  • @TumainiKyomo
    @TumainiKyomo День тому

    Mbona yohana 14 ukiisoma Kuna eneo wanafunzi wanauliza huyo Mungu ni yupi. Yesu akasema hadi Sasa mmemwona,anionae mimi amemuona Mungu .

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 12 днів тому +2

    Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa na ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD.
    Uwongo huo ni wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu. UWONGO huu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
    "MAKANISA" ya kibabeli yanayoendesha IBADA kwa Mungu katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Kupitia nabii Ezekiel alituambia ibada hizi za kiwazimu zimeshamfanya Mungu wa Mbinguni kuyakimbia makanisa yao. Soma Ezekiel 8: 4-16

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 7 днів тому

      Hakika Mwenyez Mungu hakueka kbs ugumu ktk kumtambua yeye wala hakutumia kauli yenye tungo tata kbs ktk kujielezea yy - ktk Ukristo concept ya kumuelezea Mungu ni ngumu sn hata kwa wasomi km hao -
      Quran 18:1 -6
      Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
      Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.
      Wakae humo milele.
      Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
      Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 2 місяці тому +1

    Ndacha ubalikiwe Sana

  • @mikecollection1159
    @mikecollection1159 2 місяці тому

    Amemuona Mungu kupitia chapa ya nafsi yake..niya ya roho Mt.. na yesu ni nafsi moja na Mungu

  • @nyansilujoseph-pm8im
    @nyansilujoseph-pm8im 13 днів тому +1

    Ndacha wewe ni mwalimu ,,,,mmmh unanyoosha mawimbi mkuu😂😂

  • @TumainiKyomo
    @TumainiKyomo День тому

    Yaani Mimi namuelewa Danieli,Mungu ni mmoja ndani ya mmoja ndio iyo kuna mgawanyiko. Kila MKRISTO anajua Mungu baba ni akiwa Mbinguni, akija duniani ni Yesu ambae ni Mungu mwana, baada ya kufa aliwaambia wanafunzi,nitakuja kwenu tutakaa pamoja. Na ulimwengu hauta niona Roho Mtakatifu.
    Ila ni mmoja yuleyule. Danieli hasemi Kuna miungu watatu hapana. Mnashindwaje kuelewa

    • @GospelTimeTV-gtv
      @GospelTimeTV-gtv  День тому

      Kwanza husomi biblia ndugu yohana 3:16
      Inasema Mungu alimtoa mwana wake wa pekee sasa swali huyu Mungu aliye mtoa mwanawe ni nani
      Yohana 17:3
      Uzima wa milele ni kumjua Mungu na YESU na YESU aliye tumwa na Mungu swali hili andiko unalipeleka wap
      Ukweli ni kwamba Kuna Mungu mmoja aliye baba na bwana mmoja YESU kristo mwana wa MUNGU na Roho wa Mungu

  • @JeffMwiti-e1f
    @JeffMwiti-e1f 6 днів тому

    Sauti ya keyboard iko juu inatuchanganya uku kusikia mafudisho

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 2 місяці тому

    Mungu yuwachukia watu wanao mfananosha na kitu chochote hapa duniani 😢😢😢😢nyote motoni nyinyi

  • @josephatSteven-mk1iy
    @josephatSteven-mk1iy 8 днів тому

    Roho mtakatifu ni Mungu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 місяці тому +1

    Neno Mungu ni uumbaji ko Mungu ni mmoja ni muumba.mbingu na.nchi

  • @IbrahimKhamisi-z9b
    @IbrahimKhamisi-z9b 3 дні тому

    Karbun ktk uislam aise uko mmepotea ndomana amuelewani njoon kwa muhammad uku hata yesu yupo na utamkuta ila kwetu ni nabii wala cyo mwana wala cyo mungu

  • @danielevangelismtv3795
    @danielevangelismtv3795 7 днів тому

    Ndacha ni wakala wa kuzimu tu

  • @AbelAlsen
    @AbelAlsen 11 днів тому

    Ninakuelewa sana mwalim Daniel na pia najifunza sana kutoka kwako

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 7 днів тому

      Hakika Mwenyez Mungu hakueka kbs ugumu ktk kumtambua yeye wala hakutumia kauli yenye tungo tata kbs ktk kujielezea yy - ktk Ukristo concept ya kumuelezea Mungu ni ngumu sn hata kwa wasomi km hao -
      Quran 18:1 -6
      Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
      Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.
      Wakae humo milele.
      Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
      Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu

    • @AbelAlsen
      @AbelAlsen 7 днів тому

      @@konandawise4550 Kuna maswali mengi sana naweza kukuuliza juu ya Aya hio hio ukakosa majibu yake

    • @AbelAlsen
      @AbelAlsen 7 днів тому

      Ukiwa ktk jukwaa la kujifunza wala usiwe mshabiki unaweza ukajua mengi sana

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 6 днів тому

      @@AbelAlsen hapana uliza kaka - ndio tunajifunza - kila mtu anaomba apate radhi za Mwenyezi Mungu ndio tunajaribu kulinganiana huenda tukafaulu - ila lengo sio kiburi lengo ni kujifunza na kumtukuza Mungu wa pekee Mungu wa Ibrahim

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 6 днів тому

      @@AbelAlsen uko sahihi- ushabiki unatukosesha Mengi - Mungu atutakase na hilo na atupe uongofu sahihi

  • @IbrahimMwakasembe-mu5fv
    @IbrahimMwakasembe-mu5fv 2 дні тому

    Wote mnazungumza kile kile, mnachopingana ni matumiz ya lugha. Kila mmoja anataka aonekane sahihi kwa sentence zake na kwa maneno anayosema yeye. Mungu ni tasisi.(Mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na watendaji na rais mwenyewe ni rais wa nchi licha ya kwamba rais yupo) kwa jina la baba, la mwana na la roho mtakatifu (uo utatu katika kazi za kimungu)

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 12 днів тому +1

    "Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uongo, na kweli mnaificha na hali mnajua?"
    ( Quran 3:71) 🖊 ... 😔 ...

    • @GospelTimeTV-gtv
      @GospelTimeTV-gtv  12 днів тому

      Jibu lako angalia hii challenge
      ua-cam.com/users/shortsHc8JEc7NJjc?si=g1BxPzCNFeuGPAaT

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 12 днів тому

      @@GospelTimeTV-gtv Nimetazama Video .. Haina mahusiano na nilichokihoji hapo.. Yesu kuwa ni Neno na Roho kutoka kwa Mungu (kama tulivyo sote) haipingwi.
      HOJA YA MSINGI; NDACHA & MWANKEMWA Wanajing'ata wote katika maelezo yao. Kwanini isitoshe kusema;
      " .. MUNGU NI MMOJA ASIE NA MSHIRIKA .." 🤔

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV 2 місяці тому +2

    Gospel Time TV kwa kutoweka clips za maswali hamjawatendea haki wasikilizaji.
    Nilimuuliza maswali Mwl Ndacha ambayo hakuyajibu kuhusu Utatu. Na wewe kwa makusudi umeyaacha kwa lengo ovu lisilo la kufundisha bali kupotosha
    Je, uko tayari nije nifafanue ambacho nilikifundisha na wewe umekuacha hapa? Nijibu- Mwalimu Daniel

  • @christophermotonyi2547
    @christophermotonyi2547 2 місяці тому +1

    Sauti ya keyboard iko juu kuliko wanenaji

  • @mikecollection1159
    @mikecollection1159 2 місяці тому

    Daniel Mungu akubariki yohana 1:14 alikuja kwa mfano wa mwili

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 2 місяці тому

      Huo ni upotofu . Soma Waebrania 1:20-25 .

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 10 днів тому

    Daniel umeshindwa kabisa hii mada

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 4 дні тому

    Ndacha ana ajenda fiche sababu anasaport sda kanisa la lusufa shetani

  • @mikecollection1159
    @mikecollection1159 2 місяці тому

    Daniel yuko sawa kabisa achana na ndacha

  • @superzanzibarspiceslimited548
    @superzanzibarspiceslimited548 2 місяці тому

    Yaani hata wakristo wao kwa wao hawaelewi. Sifanyi dhihaka. Mimi mwenyewe siwaaelewi

  • @DimaDaro-ts1kq
    @DimaDaro-ts1kq 2 місяці тому +2

    Danieli kawaida yake haeleweki kabisa

  • @mikecollection1159
    @mikecollection1159 2 місяці тому +1

    Ndacha unable wa vibaya sio Mungu mwenzake ila ni mugawanyisho wa nafsi ya Mungu kwa ability ya kazi maalum...

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 2 місяці тому +2

    Daniel, yupo sawa Yesu ndie huyo huyo Mugu , ndacha analeta mafundisho ya ushetani,

    • @GospelTimeTV-gtv
      @GospelTimeTV-gtv  2 місяці тому

      Angalia vizuri na ueLewe na Mungu akujaarie kuelewa mpendwa

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 місяці тому

      @@GospelTimeTV-gtv Yesu Asipokua kua ndie Mungu basi ukristo wetu sio kitu , nenda kasome injiri ya yohana vizuri na ufunuo ndo utajua kua Yesu ndie Mungu ndomana ukristo uko tofauti na dini nyingine ,Yesu alikua binadam asilimia 💯 na NI Mungu asilimia Mia, hata siku za mwisho Yesu anaporudi duniani lazima awe na mwili hawezi kuja na Roho anakuja kama Mwanakondoo au mwana

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 2 місяці тому

      ​@@francisjoseph1074na wewe unazidi kutuviruga tusielewe kabisa

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 2 місяці тому

      ​@@francisjoseph1074Kama yesu ni Mungu wakati yesu yupo katika tumbo la Mariam. ,mariamu angelikufa uzazi na yesu ymo tumboni jee tungekuwa na mungu?

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 місяці тому

      @@hassanjuma2772 swali zuri Sana Yesu ndie Mungu na ameamua kukaa tumbuni Kwa mariamu na Huyo Huyo Yesu ndo mtoa uhai anawezaje kutoa uhai WA kiumbe ambacho kaamua kukaa ndani yake 🤣🤣🤣 umejiona Ulivyo huna akili ,mfano wewe ni mjenzi WA nyumba na umeamua kukaa kwenye hiyo nyumba anawezaje kuibomoa na wakati umepanga uishi kwenye hiyo nyumba

  • @thomasbussa5301
    @thomasbussa5301 11 днів тому

    Ndacha wewe ni kiboko

  • @WillyAlfred-n4t
    @WillyAlfred-n4t 2 місяці тому +1

    Sasa Mwalimu Daniel, Yesu ambae unasema ndiye yeye yule Baba, yeye yule Mwana, pia Roho mtakatifu, alipo kufa nani aliuongoza ulimwengu kwa siku tatu ?? Wakati nafsi moja ya Mungu wako unae tufundisha ilisha kufa ?? Kwani Roho ina kiti cha enzi nayo ? Sijawahi kusikia kiti cha enzi Roho,, maana ipo ndani ya Mungu Baba na Yesu Kristo. Si mtu mwingine. Tujulishe kwamba Roho anapua kivyake ama

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 7 днів тому

      Hakika Mwenyez Mungu hakueka kbs ugumu ktk kumtambua yeye wala hakutumia kauli yenye tungo tata kbs ktk kujielezea yy - ktk Ukristo concept ya kumuelezea Mungu ni ngumu sn hata kwa wasomi km hao -
      Quran 18:1 -6
      Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
      Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.
      Wakae humo milele.
      Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
      Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 7 днів тому

    Hakika Mwenyez Mungu hakueka kbs ugumu ktk kumtambua yeye wala hakutumia kauli yenye tungo tata kbs ktk kujielezea yy - ktk Ukristo concept ya kumuelezea Mungu ni ngumu sn hata kwa wasomi km hao -
    Quran 18:1 -6
    Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
    Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.
    Wakae humo milele.
    Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
    Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 7 днів тому

      Hii kauli yesu ni mwana wa Mungu inawatesa sana kuitetea - japo jambo hili lina miaka zaidi ya elfu lkn ni jambo lenye ukakasi sn ikiwa unasoma na kuzingatia unachokisoma na kukisema

  • @davidkalamata9040
    @davidkalamata9040 5 днів тому

    Kama Kanisa Katoliki lilianzishwa mwaka 315, je kabla ya hapokanisa liliitwaje

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 місяці тому

    Mwana wa mungu ni nani mbona mm cwaelewi mazwazwa ...? Andiko gani Yesu ni mwana wa mungu ? Mm ninakumbuka andiko linasema " na pepo wachafu kila walipomuona walisema hakika wewe ni mwana wa mungu na yesu akawakataza sana wasimdhihiri "

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 місяці тому +1

    Ndacha unajikanyaga .....

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 14 днів тому

      Mwakemwa ndio mtupu kabisa wa ukweli wa neno la Mungu. Mimi namwona kama ni mpumbavu na mpuuzi tu.

  • @MuhammadWesonga
    @MuhammadWesonga 2 місяці тому +1

    Wacheni kujitia shinikizo ndugu zangu,ukristo sio dini ya haki na biblia sio kitabu cha mwenyezi Mungu,ni kitabu kinachomilikiwa na watu,Paulo akiwa mmiliki mkuu.

  • @ZitoGadwe
    @ZitoGadwe 15 днів тому

    Hata mmi sikubali kama Kuna miungu wa tatu

  • @nyansilujoseph-pm8im
    @nyansilujoseph-pm8im 13 днів тому

    Napitia comments za watu ,,naona wanatoa kwa kufata ushabiki

  • @Boniphac-u4c
    @Boniphac-u4c 8 днів тому

    I think trinity is the final thing that will unite all false christians

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 2 місяці тому

    Daniel wajidanganya

  • @basilejuma
    @basilejuma 14 днів тому

    Huyu danieli hajui lolote

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 3 дні тому

      Twambie wewe mjuzi wa mambo haya

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 3 дні тому

      Kwahiyo ndacha Kwako wewe Yesu sio MUNGU

  • @mikecollection1159
    @mikecollection1159 2 місяці тому

    Hayo mafundisho ya ndacha niyakupotosha watu..ni nafsi inaditegemea katika uungu kama musaidizi na mwalimu...yesu naye Mungu ambaye alidhihirisha kwa hali ya undoleo ya dhambi...ni Mungu ua anatuma yesu kwa kazi maalumu

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 2 місяці тому

      Someni wapumbavu ninyi ...... hakuna aliyesahihi ktk hawa wote . Someni biblia acheni blablah