Hofu yangu ni polisi wetu wa Tanzania na uchawa wa kujikomba kwa kiongozi anaetawala. Si ajabu Mch.Ndacha akazuiliwa kuendelea kufanya anachokifanya kwa kisingizio Cha kuhatalisha amani. Tumuombee sana.
@@MohamedMohamed-u3t1n wewe ni mjinga sana,, bado unaamini kua uislamu ni dini ya mungu? Majini mnayoswali nayo misikitini ndio yamewafanya,, muwe gizani,, kwa imani yenu! Na kukiri kwenu! Kua YESU ndie atakuja kuhukumu kiama, bado mnasema muhamadi ni bora kuliko YESU,,, sasa tuwa elewe vipi? Kama muhamadi ni bora kuliko YESU, kwanini asije yeye siku ya kiama?
Someni vitabu hawa wako Kwa ajili ya sadaqa tuu hawataki wakiristo wajue ukweli watakosa sadaqa ndio maana hawaki musome wasema hamuna roho WA mungu but kuamini na kuabudu ni vitendo viwili tafauti hata Kiswahili hamjui kwani hakuna pahali katika Qur'an imeesema waislam wsimuamini yesu verses zinasema tunawamini manabii wote WA mungu akiwemo yesu na Musa na. Wengine but hatuwabudu tunawamini walikuepo Zama zao na mitume ya mungu but kuabudu tunamuabudu ALLAH mwenyezi mungu pekeake so kma nyinyi mwasema yesu ndio mungu sio mtume BC nyinyi ndio mnampinga yesu coz kwenye quran kasema mm ni metumwa na mwenyezimungu Kwa Wana WA Israel na nimtume kwenu ,kisha Kwa bibilia Napo yesu kasema kumwambia Maryam usinishike maana naenda ukawambia ndugu zangu naenda kwa baba yangu ambae ni Baba yenu na mungu wangu ambae ni mungu wenu na yesu alie mtuma so Kwa mujibu WA Aya hii yesu asema yy nimtumwa maana yake NI mtume wake .
@@SumaAbduly nikweli ukiwa umepotea kwa uisilamu , anakipotosha na kukuleta kwa njia ya kweli ambayo ni ya usima wamilele yesu kristo mwana wa aliye hai
MARKO 12:29 YESU Akamjibu , Ya Kwanza Ndiyo hii Sikia , ISRAELI , BWANA MUNGU Wetu ni BWANA Mmoja ,🙏🙏🙏. LUKA 18:19 YESU Akamwambia , Mbona Unaniita MWEMA ? Hakuna Aliye Mwema ila MMOJA Ndiye MUNGU , 🙏🙏🙏. 🤣🤣🤣😜😜😜 Someni BIBILIA Nyie. YOHANA. 17:3 Na Uzima Wamilele ndio huu , Wakujue wewe ,MUNGU wa Pekee Wa Kweli , na YESU KRISO Uliyemtuma,🙏🙏🙏 ---😄😄😄🤣🤣🤣👏👏👏 , Msikieni MUNGU Wa YESU Anasemaje ??? 8:60 Watu wote Wa ULIMWENGU Wajue ya Kuwa BWANA Ndiye MUNGU ; Hakuna Mwingingine ,🙏🙏🙏 ---🤣🤣🤣😂😂😂 Someni BIBILIA 😜😜😜🤣🤣🤣 WAEWE Mskilize NDACHA Na Ndacha ni Yuko kwenye Kundi hili , ISAYA 30 : 9-10 Kwa Maana Watu hawa Ni WATU Waasi , Watoto Wasemao UONGO , WATOTO Wasiotaka Kusikia SHERIA Ya BWANA ; 10 Wawaambiao Waonaji Waonaji , Msione ; Na MANABII , Msitoe Unabii wa Mambo ya Haki , Tuambieni Maneno Laini , Hubirini MANENO Ya DANGANYAYO ,🤣🤣🤣😀😀😀🤪🤪🤪 Ndio Kina NDACHA ,
Ndacha kaa Vizuri sana usipende saaaaaaaana kuingilia ndini ya kiislamu maana kanisani hamuwafundishi watu mambo ya dini ila mnafundishana mambo yasio kuwa kwenye hiyo biblia Yesu hakusema kuwa mumuabudu yeye aliwambia kuwa muombeni mwenyezi mungu sio yeye.
🤣🤣🤣. MATHAYO 24 : 4-5 YESU Akajibu, Akawaambia , Angalieni , Mtu ASIWADANGANYE , 5 Kwa Sababu Wengi Watakuja kwa Jina Langu , Wakisema , Mimi ni KRISTO ; Nao Watadanganya wengi, 😹😹😹🤣🤣🤣 @helenarhobi1250 Leo Yapo hayaoo ??? MATHAYO 24:24-25 Kwa Maana Watatokea MAKRISTO Wa UONGO , Na Manabii Wa UONGO , Nao Watatoa ISHARA Kubwa na Maajabu ; Wapate kuwapoteza , Kama Yamkini , Hata Walio Wateule , 25 TAZAMA , Nimekwisha Kuwaonya MBELE 😄😄😄🤣🤣🤣. Yesu Amesha Tuonya , Akatokea Mtu Mmoja Anaitwa PAULO Akazingua 1. WAKORINTHO Siyaandiki Hayo Ili Kuwatahayarisha ; Bali Kuwaonya Kama WATOTO niwapendao , 15 kwa kuwa ijapo Mnawaalimu Kumi Elfu katika KRISTO , Walakini Hamna Baba wangi . Maana Mimi ndimi Niliyewazaa katika KRISTO YESU Kwa njia ya INJILI , 🙆♂️🙆♂️🙆♂️. 16 Basi, Nawasihi Mnifuate Mimi ,🤣🤣🤣. @helenarhobi SWALI Kwako Kati ya PAULO na UISLAMU. Dini Gani ya UPAGANI ???😂😂😂🤣🤣🤣
YESU KRISTU NI MWANA WA MUNGU. Amini upate uzima wa milele. Bila DAMU ya YESU hakuna ondoleo la dhambi. Ufunge hata uende hija ni bure. Mungu sikuhizi hapokei damu ya wanyama kama sadaka
Yesu katumwa Kwa Wana wa izlaeli tu Wala ww hakuhusu soma bibilia acha kujazwa Kila mtume katumwa Kwa taifa lake ispokuwa Mtume Muhammad tu Kwa ulimwengu wote yesu SI mwana wa Mungu ni mtume kama mitume wengine
WEWE NA NDACHA WOTE MNAPOTOSHA WATU YESU SIO MTOTO WA MUNGU ILA NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU. NDACHA WEWE NI MUONGO SANA ACHAKUDANGANYA WATU HAKUNA MTU ANAINGIA UKRISTU NA ACHA KUZUNGUMZA PEKEYAKO KUTANA NA WAHADHIR
Hata MUNGU akishuka, na akasimama upande wa KRISTO, waislamu hawata amini kamwe! Kama Israel walikula mana na kwale kutoka peponi na bado hawajamwamini YESU na wakamuuwa,, ije kua hawa walio upande wa muhamadi! Waislamu wamepotea kuliko wayahudi.
Ndacha ingekuwa na Mashiko sana na hoja zako kama ungekuwa Mshiriki wa Kanisa La Kristo lkn Sabato upo kinyume na maandiko ya Mungu, Unapaswa kukubali injili na kubatizwa na kuwa Mkristo. Huo ni ushauri wangu kwako.
@@EmmanuelMoses-pb1zhwewe vip lkn si amekwambia kuwa ndacha haeleweki,amara aseme yesu Mungu mara aseme yesu mwana, Atofautishe Mungu yupi na mtoto ni yupi
@@EmmanuelMoses-pb1zhmwenye kusililiza nakutafakari huwa hadanganyiki,mafundisho ya ndacha nimeyafatilia ni upotoshaji mtupu na kuwapiga vita hata wakristo wenziwe huyu jamaa hafai hasa, Kuna klip yake moja anasema mariamu sio mama wa yesu wakati wakristo walio wengine wanaamini ujaji wa yesu ni kwa mimba ya bikra maria iweje aseme sio mama yake si upotoshaji huu wakati alikua anasomesja wengine katika mtandao?
@@hassanjuma2772hizo ni mada mbili tofauti kaka,, mungu ni mungu hatuna mungu baba na mungu mwana ila tuko na mwana wa mungu...hivo basi yesu anayosifa ya kuitwa mungu bro ..zaidi ya hapo wahitaji elimu sasa kuyajua haya . Maana haya hayatoki akili mwetu bali katika maandiko na uthibitisho upo aminaà
Hofu imewatanda watu wanasilimu wengi,watu wanaoamia katika ukristo ni dizaini mbili tu,walewasioujua uislam vizuri na wenye njaa,kama yule msomaji wa nfacha alie thibitisha hadharani kua njaa ilimpeleka kwenye Ukristo.na wanao amia katika uislamu ni wale walio bainikiwa na ukweli.
@@PasserbyMan-ju8kySiku zote mnawadanganya watu,eti wanasilimu mbona hatuwaoni.Waislam wameshajua Muhammad alikuwa tapeli ndiyo maana wengi wanakimbilia kwa Yesu kule Pakistan mashehe wanalia kuona vijana wao wanauacha uislam live.Kuna jamaa alikuwa mwislam anaitwa CP huyo waislam wakimuona wanatetemeka
@@FridayMwassa hahaha sijui nikuite kipofu,ila usingeona comment yangu ila ni kipofu wa moyo,pole endelea na tapeli Paulo aliona yesu kashakufa yule aliemwita shetani,Sasa akaanza kujipa utume ,yesu kama angekuwepo nafikiri huyu shetani wenu Paulo angekuwa freemason🤣🤣🤣kumpachika uungu yesu ili yeye awe mtume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaona yesu akibaki na utume yeye Hana chake🤣🤣🤣🤣
Ndacha unapotosha kiswahili fasaha,Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.Alichokiumba Mungu alikihukumia kuingilia na mtoto akapatikana, KWA AKILI ya kawaida,Mungu yeye HUUMBA KWA TAMKO jambo kuwa likawa,Hana matamaniyo ya kiumbo naye hana mwili bali sifa kuu 99 alizonazo ndizo baadhi kakupa wewe kama,kuona,kutengeza,kutoa,upole,nk wewe una ukomo,Yeye hana Ukomo huko ndiko kufanana,huweza kuwa atakavyo yeye ktk kiumbo chake na sio mwili,mwili hupatikana KWA kuzaa,Yeye hakuzaliwa ni kiumbo kisichokuwa bali ana sifa zako,hafananishwi na chochote ila sifa za utendaji tu,Zaburi ya Daud naTaurati ya Musa ni kabla ya lnjili ya Yesu je Musa na Daud walikuwa na dini gani usemapo Qur an ni baada ya lnjil
Tunapigana vita za kidini bila sababu, kila mtu asimame na dini yake tumuachie Mungu kuhukumu!!! Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo hana roho ya ukatili ana roho ya huruma. Mungu aturehemu wote WAISLAMU na WAKRISTO wanauamini Mungu na kumuabudu kwa usahihi. Amina!!
Mungu hazai Kwa jinsi tunavyofikiria hata Kwa jinsi ya kawaida Kuna viumbe kama amoeba vikitaka kuzaa vinakatika vinajigawa ndo wanakuja wengi so kuzaa sio Kwa jinsi hiyo unayoidhani nimekupa mfano ufungue akili yako
Naogopa majini sana kumbe ndugu zangu Hawa majini ni ndugu zao kwa kweli hizi ninyakati za mwisho Dr sule kufumbua uji wawaisilamu kuwa muisilamu kamili lazima uwe na jini utakuta mwingine anapinga ilihali qurani yadhibitisha kusilimishwa kwa majini na muhammad
Ndacha hujui kwamba ndani ya bibilia kuna maneno ya Mungu na maneno ya watu. Hebu tuambie hayo maneno yakuwa amuaminie mwana ndie amuaminie YEYE. Je ni yamungu AU ni yanani. Utaingia jahannam
Msidanganyane Kwa kweli hakuna hata mkristo mmoja atakaeingia peponi au atakayeingi uzima wa milele kwa sababu mshakufuri kusema Mungu kazaliwa na wengine wanadai Mungu kazaa anamtoto hiyo ni kufuru kubwa sana
*Quran:2:120* Na hawataridhika nawe, Wayahudi wala Wakristo isipokuwa ikiwa utaacha Dini yako na ukafuata Dini yao. Waambie, “Dini ya Uislamu ndiyo Dinii sahihi”
kwa Mfano Hapo Sasa hivi Kapindisha Anasema QURANI 72:14 Mbona Amefupisha Andiko Linaanza 72:1-28 Mbona yeye Amefupisha ??? 🤣🤣🤣 Akasema MAJINI Yamesesilimu Kwanini Asianze 72:1-28 Tena Anakimbilia kwenye Vitabu vya Khadithi 😄😄😄🤣🤣🤣. katika QURANI Tunaambiwa Kuna Khadithi Zilizo Sahihi na Zisizo Sahihi,
@@shabbymakapane Asante kwa jibu lako ndio tunasema hiyo dini SI sahihi , kakangu ni vizuri unajua Hilo ni wachache sana hawana ufahamu kuwa uisililamu ni hadithi za Muhammad ambazo zi zakweli 🙏🙏🙏
Ndacha, unachanganya buana, após unakubali kuwa Yessu no muana wa mungu, jana na juzi ulikua anabichana na Sulle, kuwa Yessu no mungu, sasa tufuate ipi🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wewe ndacha ni mtu mweusi. Babu wa babu yk ali kua ana abudu Mungu na Mungu anamsikia. Alivo kuja mtu mweupe kawachkueni nyinyi ki zazi kimpya hadi ulaya. Mlivo rudi ulaya mkaja nadini . Mka anza kuwa poteza . Leo dini ya mababu ime potea . Mna sema wali kua wana abudu mizimu. Mchine kasi mama na dini yk. Je ! Ndacha . Mungu hajibu dua za mchina? Rudi kwenye asili yk ndacha . Wewe ni mtu mweusi . Mchina kashikilia tamaduni yk.
😂😂Ngoma imekua nzito Sasa anatafuta msaada ,hata muungane jina la Allah litaendelea kustawi,Kila unapojitahidi kukashifu uislamu ndipo watu wanazinduka na kusilimu😂😂😂😂😂
Hapana mchungaji hapo nakupinga kwa sababu umesema kupata uzima wa milele ni kukiri yesu ni mwana wa mungu lakini bibilia inasema katika Yohana 17:3 "Na uzima wa milele ndio huu wakujuwe wewe mungu wa pekeee na Yesu kristo uliyemtuma". Sasa kupata uzima wa milele unahitajika kukiri yesu kuwa mtumisha wa mungu.
Waislam wawe na akil kwa mana koroan imeikuta biblia,swal langu kwann wachukuwe agano la kale waache agano jipya .jibu ni kwamba:hawamtak yesu kwa kuwa nashetan hakumtaka yesu kwa hio niwashetan hao
Ikiwa Yesu ni mwana wa Mungu, swali langu ni hili, ni Mungu yupi aliyemzaa Yesu? Na alizaa na mke yupi? Ama kweli akili ni nywele Kila mtu ana zake. Hivi Mungu anazaa mwanadamu? Hebu linganisha yafatayo: Yesu. Mungu 1. Anakula. ......... 2. Anakwenda choo. ....... 3. Ana njia haja kubwa ... 4. Ana njia haja ndogo ... 5. Anaonekana. ..... 6. Ametahiriwa. ...
Kwahiyo unajidanganya kwa andiko hilo? Unazani taifa jengine ni madina na muhamadi wake,,, hahahaaaa, pole sana, YESU alisema! Sikuja kuitangua torati, bali nimekuja kuitimiliza,, sasa kama ujio wa YESU ndio kukamilika kwa torati! Muhamadi alikuja kufanya nini? Chuki za warabu na warumi, dhidi ya wayahudi,, ndizo zizopelekea kuandaliwa kwa mtume feki muhamadi,, hivo muhamadi sio mtume alietumwa na MUNGU, kwa kizazi kikahidi chenye kuhitaji ishara na miujiza! Maana Muhamadi hata panzi hajaweza kumfufua, sasa wewe bado unamwamini kwa ujinga wako, pole sana, we, endelea kutuita sisi makafiri, utakiona cha mtema kuni siku ya kiama.
Yaani yeye ana hisi kwamba Kila mtu atajadiliana nae lengo lake apate umaarufu kupitia wahadhiri wakongwe kwenye mijadala, Sasa akipuuzwa ndo hii anaepiga kelele kwamba flani anaogopa Sasa Kenya tu kule Kuna wahadhiri wengi anawakwepa sembuse Tanzania walikojaa wahadhiri wakongwe kwenye midaharo
SUBHANNALLAH WALLAH MUNGU HANA MWANA WALA HAFANANI NA YEYOTE LAANATULLAH WEWE UISLAMU NDIO UTATAWALA ULIMWENGU JIDANGANYE UNATAFUTA HELA HIYO BIASHARA UNAFANYA ILA UNAKWENDA MOTONI
@@timotheothadeomgassa4929 kwani SULE NDIO KALETA UISLAMU UISLAMU NI WA MWENYEZI MUNGU SULE NI MWANADAMU MUOVU WA KUFUGA MAJINI KAMA ALIVYOJISEMA MWENYEWE AMEENDA KINYUME NA UISLAMU SWALI HIVI NA MWAMPOSA NDIO ANAWAKILISHA WAKRISTO WOTE MAANA NAE ANA MASHETANI KUTOKA NIGERIA NA UTUME PIA AMEJIPA NA WAKRISTO WANAMUAMINI VIPI HILO LIMEKAAJE
@@BonfaceWawire-k6p WALAWI 17:7 Wala Hawatatoa tena Sadaka zao Kwa Wale MAJINI , Ambao Huwafuata ili Wafanye. UASHERATI Nao ,🤣🤣🤣😂😂😂😄😄😄 @user -tz8zu2gt6u Umeona hiyo 😄😄😄. Ulikuwa hujui hilo Andiko Mnadanga na MAJINI Ndio Maana Mnayapendaaa 🤣🤣🤣. 1 NYAKATI 21:1 Tena SHETANI Akasimama Juu ya ISRAELI , Akamshawishi. DAUDI Kuwahesabu ISRAELI 🤣🤣🤣😄😄😄. 2 NYAKATI 11:15 Naye Akajiwekea MAKUHANI Wa Mahali Pa Juu , Na Wawale MAJINI , Na Wa Zile NDAMA Alizozifanya ,🤣🤣🤣😄😄😄😂😂😂😹😹😹. ☝️☝️☝️ Wewe wewe wewe 🤪🤪😃🤣🤣🤣
Ndacha acha kupotoa watu utaenda kuchomwa unasem yesu hajawahi kusema kma yeye ni muislam kwani maana ya Uislam hujui si ni unyenyekevu kwaio unataka kusema kuwa yesu hajawahi kusema kwenye bibilia yako kuwa yeye ni myenyekevu soma vizur bibilia yako na unajitahid kupotosha
kwaiyo mtu anakuwa mwislam kwa kusema ni mnyenyekevu ? yesu alibatizwa je kuna mwislamu aliye batizwa akawa mwislam? na wapi yesu alishaadia kuwa mwislam?
Ndacha wee unapinga baada yakuijua haki ndo maana tunawaita makafiri mpaka cku mtaacha kupinga Qur'an mtasalimika na Qur'an haijakuja isipokua kukumbusha na kuhadithia yaliyokuepo katika umma zilizopita na kusema Yale yaliosalia katika asilia Yake na kurekebisha yaliyo haribiwa
Huyo Unaemsikiliza hapa Ndio Bingwa wa kupindisha Maandiko , na kuna klip Aliulizwa Akakubaki na Kusema Siku hizi Ameacha 🤣🤣🤣 Ukitaka Mifano Nitakupa wa Maandiko Anaye pindisha
Eehh ndacha silimu hakuna mungu anokunya Wala kusulubiwa Wala hakuna mungu alozaliwa hemu fikiria Kwa akili timamu ukristo dini ya kweli Kila mtu anakanisa lake tz ukristo sio din
Quran yako yenyewe inasema mungu ni muweza wa kila kitu alafu wewe hapo unasema awezi kufa au kusulubiwa kwaiyo kuna mambo mungu awezi?maana kitabu chako kinasema anaweza kila kitu
Amina mchungaji ndacha Wewe ni mtumishi wa mungu wa israeli kweli.
Mimi namwelewa sana mtumishi wa mungu ubarikiwe sana Hawa watu wanapotosha sana kwa masrahi Yao binafsi sio kwa masrahi ya mungu
Nampenda mwalim kwa fundisho yake Ana Roho wa Mungu ndani mwake abarikiwe milele ombi langu ni tukutane katika ile mlango wa usima wa milele
Iende Mbele Injili Ya YESU iende Mbele Milele Hadi Milele Hakuna Wa Kuizuia❤ Ndacha Wapee Dam Ya YESU Wakombo Lewe❤❤❤
@@AntonyManeno iende mbrle korasi
Hofu yangu ni polisi wetu wa Tanzania na uchawa wa kujikomba kwa kiongozi anaetawala. Si ajabu Mch.Ndacha akazuiliwa kuendelea kufanya anachokifanya kwa kisingizio Cha kuhatalisha amani. Tumuombee sana.
Hujielewi wew
hujielewi hakuna muislam anaweza kukimbia hoja za kipuuzi za kikafiri
hiyo biblia huyo yesu haijui wala hajawahi kuitaja hata sehemu moja
@@MohamedMohamed-u3t1nwe ni mpumbav xan Kam hujui Yesu ni mwana wa Mungu umepotea pole baba
@@MohamedMohamed-u3t1n wewe ni mjinga sana,, bado unaamini kua uislamu ni dini ya mungu? Majini mnayoswali nayo misikitini ndio yamewafanya,, muwe gizani,, kwa imani yenu! Na kukiri kwenu! Kua YESU ndie atakuja kuhukumu kiama, bado mnasema muhamadi ni bora kuliko YESU,,, sasa tuwa elewe vipi? Kama muhamadi ni bora kuliko YESU, kwanini asije yeye siku ya kiama?
Ndacha nakuelewa vizur sana mtumishi wa Mungu piga kazi ya Mungu malaika was Mungu wamekuzunguka pande zote
Kazi nzuri Sana pastor MUNGU akubariki
Mungu akubariki mtumishi wa Baba
Ndacha nimekuelewa upo vizuri na unafuatilia biblia mungu akubariki
Us haiti Wangu kwako SOMA BIBILIA Ili Ujue Ukweli ,
Utumbo mtupu nawe soma mwenyewe uelewe uone kama utamuunga mkono anapotosha huyo uliza wanao jua bibilia wakuonyezhe vifungu kama huto hama mwenyewe
Someni vitabu hawa wako Kwa ajili ya sadaqa tuu hawataki wakiristo wajue ukweli watakosa sadaqa ndio maana hawaki musome wasema hamuna roho WA mungu but kuamini na kuabudu ni vitendo viwili tafauti hata Kiswahili hamjui kwani hakuna pahali katika Qur'an imeesema waislam wsimuamini yesu verses zinasema tunawamini manabii wote WA mungu akiwemo yesu na Musa na. Wengine but hatuwabudu tunawamini walikuepo Zama zao na mitume ya mungu but kuabudu tunamuabudu ALLAH mwenyezi mungu pekeake so kma nyinyi mwasema yesu ndio mungu sio mtume BC nyinyi ndio mnampinga yesu coz kwenye quran kasema mm ni metumwa na mwenyezimungu Kwa Wana WA Israel na nimtume kwenu ,kisha Kwa bibilia Napo yesu kasema kumwambia Maryam usinishike maana naenda ukawambia ndugu zangu naenda kwa baba yangu ambae ni Baba yenu na mungu wangu ambae ni mungu wenu na yesu alie mtuma so Kwa mujibu WA Aya hii yesu asema yy nimtumwa maana yake NI mtume wake .
@@SumaAbduly nikweli ukiwa umepotea kwa uisilamu , anakipotosha na kukuleta kwa njia ya kweli ambayo ni ya usima wamilele yesu kristo mwana wa aliye hai
Mchungaji Ndacha you're the best teacher.
Mtumishi BWANA YESU akubariki sanaaa,Tena mtumishi YESU sio mwana wa mungu tu,YEYE NI MUNGU HALISI KABISA. NA NI MUNGU WA MIUNGU.
MARKO 12:29 YESU Akamjibu , Ya Kwanza Ndiyo hii Sikia , ISRAELI , BWANA MUNGU Wetu ni BWANA Mmoja ,🙏🙏🙏. LUKA 18:19 YESU Akamwambia , Mbona Unaniita MWEMA ? Hakuna Aliye Mwema ila MMOJA Ndiye MUNGU , 🙏🙏🙏. 🤣🤣🤣😜😜😜 Someni BIBILIA Nyie. YOHANA. 17:3 Na Uzima Wamilele ndio huu , Wakujue wewe ,MUNGU wa Pekee Wa Kweli , na YESU KRISO Uliyemtuma,🙏🙏🙏 ---😄😄😄🤣🤣🤣👏👏👏 , Msikieni MUNGU Wa YESU Anasemaje ??? 8:60 Watu wote Wa ULIMWENGU Wajue ya Kuwa BWANA Ndiye MUNGU ; Hakuna Mwingingine ,🙏🙏🙏 ---🤣🤣🤣😂😂😂 Someni BIBILIA 😜😜😜🤣🤣🤣 WAEWE Mskilize NDACHA Na Ndacha ni Yuko kwenye Kundi hili , ISAYA 30 : 9-10 Kwa Maana Watu hawa Ni WATU Waasi , Watoto Wasemao UONGO , WATOTO Wasiotaka Kusikia SHERIA Ya BWANA ; 10 Wawaambiao Waonaji Waonaji , Msione ; Na MANABII , Msitoe Unabii wa Mambo ya Haki , Tuambieni Maneno Laini , Hubirini MANENO Ya DANGANYAYO ,🤣🤣🤣😀😀😀🤪🤪🤪 Ndio Kina NDACHA ,
Yesu ni Mungu ni Mwana wa Mungu apingwe asipingwe atabaki kua Mungu mileeeee barikiwe Mtumishi Ndacha nikweli tupu
YEREMIA 17:5 BWANA Asema Hivi , Amelaaniwa Mtu yule Amtegemeaye MWANADAMU, Amfanyaye MWANADAMU Kuwa Kinga Yake na MOYONI Mwake Amemwacha BWANA,😂😂😂🤣🤣🤣
Ndacha kaa Vizuri sana usipende saaaaaaaana kuingilia ndini ya kiislamu maana kanisani hamuwafundishi watu mambo ya dini ila mnafundishana mambo yasio kuwa kwenye hiyo biblia Yesu hakusema kuwa mumuabudu yeye aliwambia kuwa muombeni mwenyezi mungu sio yeye.
Sifa za Yesu ambaye ni bwana wa wote Waislamu na Wakristo 3:45 na 3:39 . Nitafutie aya ikitaj hizo sifa za mohamad kwenye Qurani
Mungu akupe maisha marefu baba yangu
Mch. Ndacha kongore Sana kwa kutangaza dini ya kweli ya Kikristu wape shule hao wapagani wasiomjua Mungu tunakuombea sana jasiri wa Yesu!
🤣🤣🤣. MATHAYO 24 : 4-5 YESU Akajibu, Akawaambia , Angalieni , Mtu ASIWADANGANYE , 5 Kwa Sababu Wengi Watakuja kwa Jina Langu , Wakisema , Mimi ni KRISTO ; Nao Watadanganya wengi, 😹😹😹🤣🤣🤣 @helenarhobi1250 Leo Yapo hayaoo ??? MATHAYO 24:24-25 Kwa Maana Watatokea MAKRISTO Wa UONGO , Na Manabii Wa UONGO , Nao Watatoa ISHARA Kubwa na Maajabu ; Wapate kuwapoteza , Kama Yamkini , Hata Walio Wateule , 25 TAZAMA , Nimekwisha Kuwaonya MBELE 😄😄😄🤣🤣🤣. Yesu Amesha Tuonya , Akatokea Mtu Mmoja Anaitwa PAULO Akazingua 1. WAKORINTHO Siyaandiki Hayo Ili Kuwatahayarisha ; Bali Kuwaonya Kama WATOTO niwapendao , 15 kwa kuwa ijapo Mnawaalimu Kumi Elfu katika KRISTO , Walakini Hamna Baba wangi . Maana Mimi ndimi Niliyewazaa katika KRISTO YESU Kwa njia ya INJILI , 🙆♂️🙆♂️🙆♂️. 16 Basi, Nawasihi Mnifuate Mimi ,🤣🤣🤣. @helenarhobi SWALI Kwako Kati ya PAULO na UISLAMU. Dini Gani ya UPAGANI ???😂😂😂🤣🤣🤣
Ushindwe kwa jina la mungu
YESU KRISTU NI MWANA WA MUNGU. Amini upate uzima wa milele. Bila DAMU ya YESU hakuna ondoleo la dhambi. Ufunge hata uende hija ni bure. Mungu sikuhizi hapokei damu ya wanyama kama sadaka
Yesu katumwa Kwa Wana wa izlaeli tu Wala ww hakuhusu soma bibilia acha kujazwa Kila mtume katumwa Kwa taifa lake ispokuwa Mtume Muhammad tu Kwa ulimwengu wote yesu SI mwana wa Mungu ni mtume kama mitume wengine
@@SumaAbdulymathew 28:18.. that is jesus all over. Acts 1:8
WEWE NA NDACHA WOTE MNAPOTOSHA WATU YESU SIO MTOTO WA MUNGU ILA NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU. NDACHA WEWE NI MUONGO SANA ACHAKUDANGANYA WATU HAKUNA MTU ANAINGIA UKRISTU NA ACHA KUZUNGUMZA PEKEYAKO KUTANA NA WAHADHIR
Naomba siku moja mungu ashuke tumalize mzizi wa fitina
Hata MUNGU akishuka, na akasimama upande wa KRISTO, waislamu hawata amini kamwe! Kama Israel walikula mana na kwale kutoka peponi na bado hawajamwamini YESU na wakamuuwa,, ije kua hawa walio upande wa muhamadi! Waislamu wamepotea kuliko wayahudi.
@@BenjaNetanyahu😂😂😂😂😂😂msujudien mungu sio kunena yasyo faa ety waislam wamepotea wagepotea wagemsujudia mungu kwel😂😂😂
Tatizo Ndacha ujui Mungu wa kweli Mungu wa kweli haja zaliwa wala hajaa zaa kazi yake ni kuumba tu Mungu akiwa na mtoto kesho atakuwa na mjukuu
Ndacha ingekuwa na Mashiko sana na hoja zako kama ungekuwa Mshiriki wa Kanisa La Kristo lkn Sabato upo kinyume na maandiko ya Mungu, Unapaswa kukubali injili na kubatizwa na kuwa Mkristo. Huo ni ushauri wangu kwako.
Hauweleweki mara useme yesu mungu mara useme yesu ni mwana WA MUNGU
Ambacho huelewi ni nini
Wewe huwezi kumuelew labd ufunguw akili
@@EmmanuelMoses-pb1zhwewe vip lkn si amekwambia kuwa ndacha haeleweki,amara aseme yesu Mungu mara aseme yesu mwana,
Atofautishe Mungu yupi na mtoto ni yupi
@@EmmanuelMoses-pb1zhmwenye kusililiza nakutafakari huwa hadanganyiki,mafundisho ya ndacha nimeyafatilia ni upotoshaji mtupu na kuwapiga vita hata wakristo wenziwe huyu jamaa hafai hasa,
Kuna klip yake moja anasema mariamu sio mama wa yesu wakati wakristo walio wengine wanaamini ujaji wa yesu ni kwa mimba ya bikra maria iweje aseme sio mama yake si upotoshaji huu wakati alikua anasomesja wengine katika mtandao?
@@hassanjuma2772hizo ni mada mbili tofauti kaka,, mungu ni mungu hatuna mungu baba na mungu mwana ila tuko na mwana wa mungu...hivo basi yesu anayosifa ya kuitwa mungu bro ..zaidi ya hapo wahitaji elimu sasa kuyajua haya . Maana haya hayatoki akili mwetu bali katika maandiko na uthibitisho upo aminaà
Wwe ndacha Mungu akubariki,
Unafundisha sana mwalimu wangu ndacha mungu akuweke peponi sana amina
Mungu amtupe motoni kama hatotubia na kuacha kufundisha ukafiri
@user-ks4hh8b6k 😂😂😂
Kwakweli mwalimu ndacha mimi leo hii nimekukubali sana kweli
Makafiri awalali KWA ajili ya kukufurisha WAISLAMUU.laana ya mwenyezi mungu iwachukie wenye kutoa watu katika dini ya akii
Hofu imewatanda watu wanasilimu wengi,watu wanaoamia katika ukristo ni dizaini mbili tu,walewasioujua uislam vizuri na wenye njaa,kama yule msomaji wa nfacha alie thibitisha hadharani kua njaa ilimpeleka kwenye Ukristo.na wanao amia katika uislamu ni wale walio bainikiwa na ukweli.
@@andrewmoi2186 mwisho wa Majin na Hawa ndugu zetu ni jehanam
@@PasserbyMan-ju8kySiku zote mnawadanganya watu,eti wanasilimu mbona hatuwaoni.Waislam wameshajua Muhammad alikuwa tapeli ndiyo maana wengi wanakimbilia kwa Yesu kule Pakistan mashehe wanalia kuona vijana wao wanauacha uislam live.Kuna jamaa alikuwa mwislam anaitwa CP huyo waislam wakimuona wanatetemeka
@@FridayMwassa hahaha sijui nikuite kipofu,ila usingeona comment yangu ila ni kipofu wa moyo,pole endelea na tapeli Paulo aliona yesu kashakufa yule aliemwita shetani,Sasa akaanza kujipa utume ,yesu kama angekuwepo nafikiri huyu shetani wenu Paulo angekuwa freemason🤣🤣🤣kumpachika uungu yesu ili yeye awe mtume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaona yesu akibaki na utume yeye Hana chake🤣🤣🤣🤣
ubarikiwe mjungaji ndaja
Mungu hajazaa wala hajazaliwa kwasababu hanamke kwaiyo achana na ayo mambo
Ndacha unapotosha kiswahili fasaha,Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa.Alichokiumba Mungu alikihukumia kuingilia na mtoto akapatikana, KWA AKILI ya kawaida,Mungu yeye HUUMBA KWA TAMKO jambo kuwa likawa,Hana matamaniyo ya kiumbo naye hana mwili bali sifa kuu 99 alizonazo ndizo baadhi kakupa wewe kama,kuona,kutengeza,kutoa,upole,nk wewe una ukomo,Yeye hana Ukomo huko ndiko kufanana,huweza kuwa atakavyo yeye ktk kiumbo chake na sio mwili,mwili hupatikana KWA kuzaa,Yeye hakuzaliwa ni kiumbo kisichokuwa bali ana sifa zako,hafananishwi na chochote ila sifa za utendaji tu,Zaburi ya Daud naTaurati ya Musa ni kabla ya lnjili ya Yesu je Musa na Daud walikuwa na dini gani usemapo Qur an ni baada ya lnjil
Tunapigana vita za kidini bila sababu, kila mtu asimame na dini yake tumuachie Mungu kuhukumu!!!
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo hana roho ya ukatili ana roho ya huruma. Mungu aturehemu wote WAISLAMU na WAKRISTO wanauamini Mungu na kumuabudu kwa usahihi. Amina!!
Unajua kweli mch ndacha ungana na simbaulanga
Simbaulanga ni mtaalam
Balikiwa mtumishi
Huo niujinga mungu kuzaa mungu Hana mwana Wala hafanani na chochote
Mungu hazai Kwa jinsi tunavyofikiria hata Kwa jinsi ya kawaida Kuna viumbe kama amoeba vikitaka kuzaa vinakatika vinajigawa ndo wanakuja wengi so kuzaa sio Kwa jinsi hiyo unayoidhani nimekupa mfano ufungue akili yako
Huyo mungu yupoje,, kwahiyo mungu ndio yupo pale unapoweka paji lako la uso? Na kama hafananishwi na chochote, kwanini uweke paji lako aridhini?
Acha ubishi ww uislam bila Majini hakuna, mbona huyo shafii hajawahi kupinga maneno ya hamza issa yule shekhe anaongea ukweli mbna hampingi
Naogopa majini sana kumbe ndugu zangu Hawa majini ni ndugu zao kwa kweli hizi ninyakati za mwisho Dr sule kufumbua uji wawaisilamu kuwa muisilamu kamili lazima uwe na jini utakuta mwingine anapinga ilihali qurani yadhibitisha kusilimishwa kwa majini na muhammad
@@samwelingasa1638 nimejifunza kitu kupitia comment yako, kuhusu amoeba🦠.
Ndacha hujui kwamba ndani ya bibilia kuna maneno ya Mungu na maneno ya watu. Hebu tuambie hayo maneno yakuwa amuaminie mwana ndie amuaminie YEYE. Je ni yamungu AU ni yanani. Utaingia jahannam
Isa bin mariam ni mwana wa Mungu aminie na abatizwe na apate uzima wa milele
🙏🙏
Umekubali ameingia kwenye sinagogi sio kanisani ebu tupe maana ya sinagogi
Ni nyumba ya ibada ila sio msikiti kama unavyodangywa
Hi tumatami Ndacha na Dr Soull Bujumbura
Allah akiamua atakuthibitisha kua uislam ndio dini ya haki kwakua mashkekh wengi wamekuelimsha ila bado tu upo kweny ukristo
Yesu ni bwana 3:39 Qurani hiyo. Yesu ni top ata mohamad si chochote 3:39 Qurani
Kwani Allah dini gani??😂
Hii dini ni ya allah au mohamad? Soma 39:14 quran rudi hapa utufundishe sasa pia onhezea 10:104
Karibu malindi, Mimi nataka sana tujadiliane
Hata nami namuhitajia ndacha kwa hiyo elimu alookuwa nayo
Ww sio mfundishaji wa mambo ya mungu ww ni mpotoshaji
Unatatizo wewe kwan ukifungua mlango wa akili unapungua nn
@@MathayoKisend akili gani ila sio kwa nyinyi munaomubudu Nabii wa mungu izo kwel ni akili
Weemnafiki, njaaitamuuwa huyo some vizuri ndooujeukaongee
Msidanganyane Kwa kweli hakuna hata mkristo mmoja atakaeingia peponi au atakayeingi uzima wa milele kwa sababu mshakufuri kusema Mungu kazaliwa na wengine wanadai Mungu kazaa anamtoto hiyo ni kufuru kubwa sana
quran inapinga bibilia iliyotangulia
Wewe ujuwi soma uwisilamu wako 49:6 upate elimu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Ndacha perfect man
Napenda huyu interviewer maswali straight na anaelewa haraka👍
Ndacha huna elimu juu ya yesu
@@Saidfadhil-o3o sida wewe umekalia akili , ukifunguka hiyo akili nakuona ukiwa pasto, na jina la bwana wetu yesu kristo lisifiwe
Mchungaji Ndacha Je,utaweza peleka injili Uarabuni?
Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezimungu mmoja ni Uislam. Mwenyezimungu awaongoze kuujua ukweli.
Tupo pamoja ndugu
*Quran:2:120*
Na hawataridhika nawe, Wayahudi wala Wakristo isipokuwa ikiwa utaacha Dini yako na ukafuata Dini yao. Waambie, “Dini ya Uislamu ndiyo Dinii sahihi”
paulo hakuwa muhubiri alikuwa muuwaji namkurisha watu wa mungu kuwafanya makafiri (wakiristo) hiyo ndio kazi ya kafiri mwenziyo paulo
Karibu kwenye uislamu dini ya haki
Ilianza kukuwa ya haki lini?
Dini ya haki😂 inayofundisha kulipiza KISASI😂😂
hiyo ni DINI. au Kundi la WAHUNI
Uislamu ndiyo dini ya kweli utake usitake
Soma 3:45 na 3:39 utamjua Yesu kwenye Qurani
Hizo ni kufru za kusema yesu ni mwana wa mungu! Ndacha utaingia motoni na watakao kufuata
Mwalimu Ndacha tangu mwaka 2020 sijawahi juta kumfaham maana mafundisho yake yanaeleweka sana
Wanapindisa bibilia, ili asiejua ukweli wampotose Jia ya kweli, yesu anasema wamesimama mlagoni kusuiya wenye kuingia , nao waingi ,
Mungu ni mkuu
ndacha Asante sana kwa mwongozo wako Hawa ndugu zetu huwa wanasoma mstarimmoja badala yakusoma kifungu chote ndio wapate ueleo
Wewe Unaisoma BIBILIA ???😃😃😃
Huyo Ndacha ndio Bingwa Wa Kufupisha Maandiko
Soma hiyo 1 WAKORINTHO 15-19
kwa Mfano Hapo Sasa hivi Kapindisha Anasema QURANI 72:14 Mbona Amefupisha Andiko Linaanza 72:1-28 Mbona yeye Amefupisha ??? 🤣🤣🤣 Akasema MAJINI Yamesesilimu Kwanini Asianze 72:1-28 Tena Anakimbilia kwenye Vitabu vya Khadithi 😄😄😄🤣🤣🤣. katika QURANI Tunaambiwa Kuna Khadithi Zilizo Sahihi na Zisizo Sahihi,
@@shabbymakapane Asante kwa jibu lako ndio tunasema hiyo dini SI sahihi , kakangu ni vizuri unajua Hilo ni wachache sana hawana ufahamu kuwa uisililamu ni hadithi za Muhammad ambazo zi zakweli 🙏🙏🙏
Hata mitume walizuia vivyo hivyo jitie nguvu ndacha we are praying 🙏 for you
Injili ni moto
Ndacha, unachanganya buana, após unakubali kuwa Yessu no muana wa mungu, jana na juzi ulikua anabichana na Sulle, kuwa Yessu no mungu, sasa tufuate ipi🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mtoto wa kuku ni kuku bro, sio kuchanganya
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 umewahi enda shule kweli juu kuelewa kwako nifinyu sana basi tumia elimu yakuzaliwa
Ndacha acha uongo nenda mwanzo 6 , 2, Hadi ,3 usidanganye
Yesu alibatizwa hakusilimu
Kabatizwa na nani alafu unaposema kabatizwa yani mungu wenu yesu anabatizwa na mwanaadam hivi utumii akili wewe
@@idrisatembo4799 ona pimbi hii Yesu alibatizwa na Yohana ,we mtume wako nani alimsilimisha,na majini yake jinga wewe
Unasema hamna kupigana, Israel na Gaza wanapigana na ndio Yesu alizaliwa huko.
Mungu hajaleta kitabu kinachoitwa Biblia hicho ni kitabu cha wagiriki waroma
Siku zote ujibu oja unabaki kutoa maelezo yasio na msingi na oja utabaki kama paulo tu alishindwa kukamilisha ukiristo 😂😂😂😂
Uyu jamaa acha aisome Quran vizur mwisho wasiku utasikia Mr Ndacha kasilimu
naona Yu na mungu huyu ndacha atasilimisha waisilamu wote NAMI nimeamua kumfuata yesu ni bwana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ndacha giving Muslims hard time kama vile wakati wa mitume
@@stephen-S7n 🇰🇪🇰🇪🇰🇪haba kwetu uisilamu umepungua kwa KAZI yesu ndiye ya uzima wamilele
Ndacha unatuchekesha kama hauwezi kiarabu bora ukae kimya
Lakini nchi hii ni ya kikristo inatawaliwa na roma
Hata mimi nilikua mwisilam nikapokea nguvu ya kristo, ubarikiwe sana.
Utatamani uwe mchanga
Barikiwa sana Mungu akutie Nguvu🎉
Wewe ndacha ni mtu mweusi. Babu wa babu yk ali kua ana abudu Mungu na Mungu anamsikia. Alivo kuja mtu mweupe kawachkueni nyinyi ki zazi kimpya hadi ulaya. Mlivo rudi ulaya mkaja nadini . Mka anza kuwa poteza . Leo dini ya mababu ime potea . Mna sema wali kua wana abudu mizimu. Mchine kasi mama na dini yk. Je ! Ndacha . Mungu hajibu dua za mchina? Rudi kwenye asili yk ndacha . Wewe ni mtu mweusi . Mchina kashikilia tamaduni yk.
Usiadandanye hakuna mwiisramu anaekata kua simwanawamungu sikwakumza kwaimani usidanganye bari mnapi pishana kusema yesu nimungu
Upuuzi
😂😂Ngoma imekua nzito Sasa anatafuta msaada ,hata muungane jina la Allah litaendelea kustawi,Kila unapojitahidi kukashifu uislamu ndipo watu wanazinduka na kusilimu😂😂😂😂😂
Kwa hari ya kawaida yesu alitumwa Kwa Wana wa izlaeli sio ulimwenguni,na swala la sili unalosema wewe ni sili Gani iseme
Hapana mchungaji hapo nakupinga kwa sababu umesema kupata uzima wa milele ni kukiri yesu ni mwana wa mungu lakini bibilia inasema katika Yohana 17:3 "Na uzima wa milele ndio huu wakujuwe wewe mungu wa pekeee na Yesu kristo uliyemtuma". Sasa kupata uzima wa milele unahitajika kukiri yesu kuwa mtumisha wa mungu.
Hayo n mafudisho ya mazinge
@@rammeysrambo887 Siyo mafundisho ya mazinge ndugu huoni na quote kutoka kwa bibilia,Labda upinge bibilia.
Waislam wawe na akil kwa mana koroan imeikuta biblia,swal langu kwann wachukuwe agano la kale waache agano jipya .jibu ni kwamba:hawamtak yesu kwa kuwa nashetan hakumtaka yesu kwa hio niwashetan hao
Na biblia imekura kitabu gani ?
Aliye anzisha kazi kwako ataimalizia Yesu Yu pamoja nawe
Ikiwa Yesu ni mwana wa Mungu, swali langu ni hili, ni Mungu yupi aliyemzaa Yesu? Na alizaa na mke yupi? Ama kweli akili ni nywele Kila mtu ana zake. Hivi Mungu anazaa mwanadamu?
Hebu linganisha yafatayo:
Yesu. Mungu
1. Anakula. .........
2. Anakwenda choo. .......
3. Ana njia haja kubwa ...
4. Ana njia haja ndogo ...
5. Anaonekana. .....
6. Ametahiriwa. ...
Unajua sifa za Mungu?
Uelewa wako bado mdogo mambo ya rohon huwezi elewa mana elimu ya roho hamna
Sasa ukiso mstari ambao unasema ufalme wa mungu utatolewa kwenu upewe taifa lengine umepindisha mahandiko?
Kwahiyo unajidanganya kwa andiko hilo? Unazani taifa jengine ni madina na muhamadi wake,,, hahahaaaa, pole sana, YESU alisema! Sikuja kuitangua torati, bali nimekuja kuitimiliza,, sasa kama ujio wa YESU ndio kukamilika kwa torati! Muhamadi alikuja kufanya nini? Chuki za warabu na warumi, dhidi ya wayahudi,, ndizo zizopelekea kuandaliwa kwa mtume feki muhamadi,, hivo muhamadi sio mtume alietumwa na MUNGU, kwa kizazi kikahidi chenye kuhitaji ishara na miujiza! Maana Muhamadi hata panzi hajaweza kumfufua, sasa wewe bado unamwamini kwa ujinga wako, pole sana, we, endelea kutuita sisi makafiri, utakiona cha mtema kuni siku ya kiama.
🤣🤣🤣 Mpe Huyo
Tatizo la waislam ni kufungwa fahamu zao na majini ambayo ni ndugu zao
Hilo Ndio Mnalolijuwa Baasi,🤣🤣🤣😀😀😀 KANISANI Hamfundishwi Kumcha MUNGU Bali UISLAMU na MAJINI 🤣🤣🤣 Poleni Sana,
WALAWI 18:7 MAJINI na WAKRISTO Wanadangishana 😃😃😃🤣🤣🤣
hapana ni WALAWI 17:7 MAJINI. 2 NYAKATI 11:15 WAKRISTO na MAJINI ni NDUGU 🤣🤣🤣
Mchungaji wetu ndacha nikuombe uwe shuja kama wakina shedrak meshak nadanieli gikubwa uwe namaombi mengi
Midahalo yote maranyingi umekua ukishindwa shafii utamuweza kweli?
Yaani yeye ana hisi kwamba Kila mtu atajadiliana nae lengo lake apate umaarufu kupitia wahadhiri wakongwe kwenye mijadala, Sasa akipuuzwa ndo hii anaepiga kelele kwamba flani anaogopa Sasa Kenya tu kule Kuna wahadhiri wengi anawakwepa sembuse Tanzania walikojaa wahadhiri wakongwe kwenye midaharo
MUNGU akutangulie Ndacha
Naamini wazo lako litafanikiwa
Labdaukawafundishe wafu wafu wafu hamnachayesu mwanawamungu mpakakiama kitasimama uislamu upotu
Mnatangaza maria nimama wa mungu kweli ? Unafikiri unaweza kumbadilisha muislam awe mkristo kwamafundisho hayo labda muislam asiye jitambua
Unajitambua kwa ujinga na upumbavu sio kwa kweli ya mungo.ama hoja
SUBHANNALLAH WALLAH MUNGU HANA MWANA WALA HAFANANI NA YEYOTE LAANATULLAH WEWE UISLAMU NDIO UTATAWALA ULIMWENGU JIDANGANYE UNATAFUTA HELA HIYO BIASHARA UNAFANYA ILA UNAKWENDA MOTONI
😂😂😂😂 Moto wa Allah wa Muhammad wa Makka haukuhusu sisi WAKRISTO
Toa aya wewe
Unaamini Torati,zaburi,injili,
Mmeshikwa masikio na Dk sule mfuga majini vilaza nyie
@@timotheothadeomgassa4929 kwani SULE NDIO KALETA UISLAMU UISLAMU NI WA MWENYEZI MUNGU SULE NI MWANADAMU MUOVU WA KUFUGA MAJINI KAMA ALIVYOJISEMA MWENYEWE AMEENDA KINYUME NA UISLAMU SWALI HIVI NA MWAMPOSA NDIO ANAWAKILISHA WAKRISTO WOTE MAANA NAE ANA MASHETANI KUTOKA NIGERIA NA UTUME PIA AMEJIPA NA WAKRISTO WANAMUAMINI VIPI HILO LIMEKAAJE
Hakuna mwiislamu anaita mkristo kafiri ni bibilia yuda 1:4
yap, injili iwafikie waislaamu waache kuabudu shetani hali shetani anawachezea kuwa alla ni mungu na hali allah mwenyewe ndiye shetani.
Subhanallah, hivi Unajuwa Ndiokusema JEHOVA Ndiye SHETANI Mwenyewe ?😂😂😂 Maana Ukisema Allah Jehova God ndio Mwenyezi MUNGU ?
ningekuea muisilamu ningeiasi hiyo dini bila kuchelewa ndugu wamajini
Nipe Sababu (3) Za Kuasi UISLAMU ,🤣🤣🤣
@@BonfaceWawire-k6p WALAWI 17:7 Wala Hawatatoa tena Sadaka zao Kwa Wale MAJINI , Ambao Huwafuata ili Wafanye. UASHERATI Nao ,🤣🤣🤣😂😂😂😄😄😄 @user -tz8zu2gt6u Umeona hiyo 😄😄😄. Ulikuwa hujui hilo Andiko Mnadanga na MAJINI Ndio Maana Mnayapendaaa 🤣🤣🤣. 1 NYAKATI 21:1 Tena SHETANI Akasimama Juu ya ISRAELI , Akamshawishi. DAUDI Kuwahesabu ISRAELI 🤣🤣🤣😄😄😄. 2 NYAKATI 11:15 Naye Akajiwekea MAKUHANI Wa Mahali Pa Juu , Na Wawale MAJINI , Na Wa Zile NDAMA Alizozifanya ,🤣🤣🤣😄😄😄😂😂😂😹😹😹. ☝️☝️☝️ Wewe wewe wewe 🤪🤪😃🤣🤣🤣
@@BonfaceWawire-k6p 🤣🤣🤣 Umedelete eeh 😹😹😹 Unaogopa nini Acha Usifute hayo Maandiko
Ndaca mwoongo kweli.
Mwislam huwezi elewa hayo mpk yakufike hata moo hajua mpk alipoona yamemfike ndo akasema roho yake anaiweka mikononi mwake
Acha kudanganya watu ndacha hauna elimu njaa tuu
Ndacha acha kupotoa watu utaenda kuchomwa unasem yesu hajawahi kusema kma yeye ni muislam kwani maana ya Uislam hujui si ni unyenyekevu kwaio unataka kusema kuwa yesu hajawahi kusema kwenye bibilia yako kuwa yeye ni myenyekevu soma vizur bibilia yako na unajitahid kupotosha
kwaiyo mtu anakuwa mwislam kwa kusema ni mnyenyekevu ? yesu alibatizwa je kuna mwislamu aliye batizwa akawa mwislam? na wapi yesu alishaadia kuwa mwislam?
Sijajuaga nisaidieni makafiri maana yake nini huwanasikia tu lakini sijui nifafanuliwe nijue
Makafiri ni wale wanaompinga Mwenyezi MUNGU,Yupo kinyume na MUNGU ..
Yeyte anayepinga MUNGU ni Kafiri ..
Poteza hao wakanisani ,mungo hajaaza nahatakujazaampakamwisho
Lkn mi sijawai kuona uzima wa milele Leo kuumwa jicho kesho pua uzima wa milele uko wapi
🌷❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ndacha wee unapinga baada yakuijua haki ndo maana tunawaita makafiri mpaka cku mtaacha kupinga Qur'an mtasalimika na Qur'an haijakuja isipokua kukumbusha na kuhadithia yaliyokuepo katika umma zilizopita na kusema Yale yaliosalia katika asilia Yake na kurekebisha yaliyo haribiwa
Amini yesu bana utaenda jehanam Ni iyo Qur'an yenu
Basi fanya kazi iyo ya kuwasomesha waislam wawe wakristo😂
Naomba Nikuulize Swali NDACHA : Wapi Ndani ya BIBILIA MUNGU anasema YESU Mwanangu na Wapi YESU Anasema Yeye ni Mtoto Wa MUNGU???
Soma bibilia majibu utayapata, acha KUKARIRISHWA kiarabu😂😂 ndo mana WAISILAMU Mnakua na VICHWA vigumu HAMUELEWI😂😂
@@elishayohana3589 Mimi Nimeuliza Swali wewe Njibu Wacha Kukimbilia Sijui KIARABU sijui Kukaririshwa🤣🤣🤣 Jibu Swali ,??? Toa ANDIKO
Hiyo aya 36 ya yohana 3 isemayo amuaminie mwana ana uzima wa milele.
Nani alietamka kauli hiyo.
Nyinyi niwaongo sana
Huna andiko af unapinga
Kupindisha biblia ni kawaida ya waislam kupotosha wasio jua maandiko
Huyo Unaemsikiliza hapa Ndio Bingwa wa kupindisha Maandiko , na kuna klip Aliulizwa Akakubaki na Kusema Siku hizi Ameacha 🤣🤣🤣 Ukitaka Mifano Nitakupa wa Maandiko Anaye pindisha
@@shabbymakapane ile ni title kuria Ramadhan alikatiza na kumuekea maneno Kwa mdomo
@@stephen-S7n Hovyo Anamuekeaje Maneno Kwa Mdomo ???🤣🤣🤣
Eehh ndacha silimu hakuna mungu anokunya Wala kusulubiwa Wala hakuna mungu alozaliwa hemu fikiria Kwa akili timamu ukristo dini ya kweli Kila mtu anakanisa lake tz ukristo sio din
Quran yako yenyewe inasema mungu ni muweza wa kila kitu alafu wewe hapo unasema awezi kufa au kusulubiwa kwaiyo kuna mambo mungu awezi?maana kitabu chako kinasema anaweza kila kitu
Msomaji wako njaa zake ndo zilimpeleka huko asievumilia njaa atapelekwa pabaya