Kupitia hii channel na huyu pastor D Mbaga hakika huu mwaka nimeanza vizuri na nimekua Karibu na Mungu. Eh shetani NAKUKEMEA KATIKA JINA LA YESU USIRUDI TENA KWENYE MAISHA YANGU. EH BWANA NAOMBA UENDELEE KUNISHIKA MKONO NAOMBA UWE NURU NA MWANGAZA WA MAISHA YANGU 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Yaani Pastor Mmbaga, yaani siku hizi huko Tanzania huwa ninawasikia wahubiri wanasema vitu vya ajabu. Juzi nilisikia mchungaji anawatangazia waumini siku ya kukanyaga chumvi ya moto.
Kwa kweli pasipo kufunuliwa unaweza kuteseka sana na pengine kufa kibudu, ila Asante Mungu kwa kutufunulia maarifa na kufungua macho yetu yaliyotiwa giza.
Zaman nilikuwa sijui nguvu ya damu ya yesu..ila kupitia chanel hii nakiri kuwa nmejua nguvu ya damu ya yesu..nyie ni raha san san yaan kunamuda nasema nilichelewa wap najiamin mpka najionea wivu😅😅😅🙌DAMU YA YESU INA NGUVU MNO🙌 UKIAMIN TU KILA KITU SHWARIII
hi please pastor the last part of closing prayer is missing please let the video editor include it.......i need it because it means alot..................am soo much blessed
Ubarikiwe sana mchungaji. Am a victim wa mifuko iliyotoboka nina hitaji ushauri zaidi kutoka kwako mchungaji. Jee naweza kupata direct line au maybe your WhatsApp number?

Usipende baraka, kama humpendi mtoa baraka🙏
Pastor mmbaga Bwana yesu asifiwe ,maombi apple mbna haifunguki nililipia lakin haionyesh Kwa ss, mfano wa kitabu Siri ya maombi yaliyo jibiwa.
God give you long life so as to save us from our sin
Barikiwa sana Mmbaga. Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi.
Hii unaitaji imakini wa Hali ya juuu lazima uwe na muda kusikiliza na kufanya maamuzi yakinifu.... PR Bwana akubariki saaàna😊
Pastor you have always been a blessing to me may God bless you abundantly.
Hata nikiwa na mawazo, nikikusikiliza tu, amani inarejea upya, Mungu akubariki sana
Hata Mimi mara mingi nikiwa najiskia Niko chini alafu nisikilize mahubiri ya Pastor, moyo wangu unainuliwa. Mungu atukuzwe
Ubarikiwe mtumishi nilishadhrumika
Paster Mmbaga ubarikiwe sana nimekuwa nikikusikiliza sana ktk mahubiri yako.Natamani nikuone live MUNGU akijalia ila niko mbali2 huku Zanzibar.
Ninabarikiwa sana mafundisho yako Dr mbaga
Barikiwa pasta Bwana awalinde
Ubarikiwe kwa somo zuli nasi tutabadil mwenendo wa maisha yet kuanzia Leo amen
Kalibu yesu utufundishe kupitia huyu pasta
Tunabarikiw pastor tukiwa Tunduma ameeee 🤝🤝🤝🤝
Amen🙏 hakika uwa mahubiri yako yananijenga sana Mungu akubariki sn Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Nimebarikiwa sana Pr, Mungu azidi kukuinua
Pastor Mbaga unazidi nirudisha kundini, ubarikiwe sana
Amina
Mungu akubariki sana pastor 🙏
Thank you LORD for you're always my protector in my life. Be blessed so much Pastor Mmbaga.
AMINA wana wa Mungu. Kumjua Mungu kuna faida.
Amina baraka tele
Yaani Pastor Mmbaga, yaani siku hizi huko Tanzania huwa ninawasikia wahubiri wanasema vitu vya ajabu. Juzi nilisikia mchungaji anawatangazia waumini siku ya kukanyaga chumvi ya moto.
Amen be blessed pastor ❤
Amina Uzidi kubarikiwa Zaidi Mtumishi wa MUNGU aliye hai David Mmbaga 🙏
Amen God bless you 🙏🙏
Amen Amen …. Thank Jesus!!
Ubarikiwe pasta
Ubarikiwe
Haleluyaaaa! Sifa kwa Bwana Yesu.
Ubarikiwe sana mchungaji wetu David Mmbaga
uyu mchungj daah asant mungu🙏
Bwana asifiweee
Amen,pastar
Kwa kweli pasipo kufunuliwa unaweza kuteseka sana na pengine kufa kibudu, ila Asante Mungu kwa kutufunulia maarifa na kufungua macho yetu yaliyotiwa giza.
Asante Yesu Amen Amen
Asanteni pastor nimejipata ubarikiwe
Uzidi kutenda kazi njema sana🎉
Ubarikiwe sana pastor David...neno hili limenibariki sana
Mungu akubariki sana
Pastor.barikiwa.sana
May God bless your
Amen hii mAfundizo ni ya kwangu,hiyo hali ndio Niko nayo nifanyeje nichitoe😭😭😭😭
Nabarikiwa sana mtumishi wa Mungu
Nimebarikiwa sana sana 🙏
Amen 🙏🏽 amen 🙏🏽 mungu wambinguni akubariki❤
Amen
❤❤❤ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🤔
Amina Pastor
Ameen mtumishi wa mungu
Ameeeeen
Haleluya
Amen pastor
Pastor ninaomba utuombee mimi na mme wangu tupate kazi nimekua addicted na mafundisho yako naitwa Anna na mme wangu ni costantino masanja
Ame Amen.
Zaman nilikuwa sijui nguvu ya damu ya yesu..ila kupitia chanel hii nakiri kuwa nmejua nguvu ya damu ya yesu..nyie ni raha san san yaan kunamuda nasema nilichelewa wap najiamin mpka najionea wivu😅😅😅🙌DAMU YA YESU INA NGUVU MNO🙌 UKIAMIN TU KILA KITU SHWARIII
Aise
Andika Yesu kwa herufi kubwa dear
O
Nimejemusha niombee jamani pastor
🙏🙏🙏
Pia mm nmeanza juzi juzi lakini Kila siku uwa nakufuatilia mafundisho yako ubarikiwe pia uniombee
Amen
Mchungaji niombee nimekuwa MTU WA made I Lydia
hi please pastor the last part of closing prayer is missing please let the video editor include it.......i need it because it means alot..................am soo much blessed
Mimi nikifunga aki napata nguvu ya maombi sana
Pr ninashida na ww sana naomba namba yako
Tuache ibada ya mwingu migine, ikiwemo trinity 😳
Editor mbona umekata sehemu muhimu ya maombi??
Pastor unachokisema nikweli kabisa
Is this happening now?
Ubarikiwe sana mchungaji. Am a victim wa mifuko iliyotoboka nina hitaji ushauri zaidi kutoka kwako mchungaji. Jee naweza kupata direct line au maybe your WhatsApp number?
From kenya
Amina pastor
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
amen
Amen