Mungu asante kwa mbaraka wa kujenga nyumba , ka kunipa kiwanja kingine naomba nijalie niweze kumaliza nyumba yangu, na kujenha nyumna nyingine kwenye kiwanja changu kingine asante kwa neema hii maana si kwa uwezo wangu isipokuwa ni kwa neema ya Mungu jina lako litukunzwae
Asante sana kwa Mahubiri, Mchungaji nimefikiria hata zile shule zisizo na vifaa, za darasa la kwanza na kitabu hata kimoja na hizi shule tulisoma na sasa tunajiweza ingekuwa bora kuzisponsor shule hizi tulizopitia vifaa. Asante kutukumbusha, wema, ukarimu, maana mara nyingi tunakuwa na vitu vingi vya ziada ila tunafikiria kuwapa watoto au wazazi wetu tu na tunasahau wengi walitushika katika safari yetu ya maisha, ubarikiwe
Jambo moja la maana sana ulilolisema ni kwamba unaeza fuata kanuni za mungu ila baadae ukose kufanikiwa,maana kuna wachungaji waliomutumikia mungu ila wanateseka, hatuezi sema walikosa kuzingatia kanuni za asili,ni mungu aliamua tu Elon musk awe tajiri na mchungaji wetu awe masikini kwa ajili ya utukufu wake. Asilimia mingi ya watu wanaoteseka wanateseka sababu mungu ameruhusu ila sio eti sisi ni wazuri kuwaliko
Mchungaji umeongea kuhusu kusimesha watoto hadi nikatoa machozi juu pia mm nangangana na watoto wangu kufanya kazi uarabuni ili wakasome pia mm kesho yangu iwe safi sifa na utukufu nmurudishie mungu juu amenitoa mbali
Shukuru mungu sana maana nimekutana na wengine ambao hawana hata simu ya kupost issues zao mtandaoni wala chakula na hawana hata connection ya kuenda uraibuni
Niombee jamani kunguni kwangu haziishi,nimejaribu madawa mengi sana ,Usafi no 1 lakini wapi yaani Ni Kama Pepo Fulani zinapotea kwa mda Tena zinarudi since 2020 mpaka waleo nashindwa shida Ni nini

Mchungaji nakuombea kwa Mungu akulinde hadi uzehe wako...wewe ni Baba wa wengi sana wasio wa Sabato.
Na kiwanja changu ,naomba Mungu atie mibaraka mwaka huu nianze ujenzi na kumaliza kabisa
Pr na mimi naomba Mungu anisaidie nifanikiwe kujenga nyumba yangu ,piano nyumba ya Mama yetu
Asante sana Mchungaji kwa huu ujumbe, sijui wewe ni malaika umeona kinachoendelea juu yangu...dash basi Mungu aendelee kukutunza na utufunde ipasavyo
❤❤❤
Ahsante sana kwa somo la leo pia ombi maalum la pastor limenifungua namshukuru sana mungu kwa neema yake leo amina
Amen,mchungaji barikiwa.
Asante saana pastor umefanya nimejifuza mambo makuu mungu akubariki kutoka mbale central church kenya
Eeh Mungu tujalie nyumba yetu iweze kuisha na maduka yetu yaweze kumalizika na mama yangu arudi kufanyia kazi nyumbani
Pr mbaga mungu akubariki sana maana umeniongezea mwendo na nguvu apo kwenye kudhurumiwa 🙏
Amina
Pr mbaga asante kwa .ahubiri mungu wa mbinguni akubariki
Amazing teaching learning a lot from Kenya
Amen mungu akubariki hendelea kuniombea kifua changu
Asante sana kwa ujumbe 🙏
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Asante sana kwa Mahubiri, Mchungaji nimefikiria hata zile shule zisizo na vifaa, za darasa la kwanza na kitabu hata kimoja na hizi shule tulisoma na sasa tunajiweza ingekuwa bora kuzisponsor shule hizi tulizopitia vifaa. Asante kutukumbusha, wema, ukarimu, maana mara nyingi tunakuwa na vitu vingi vya ziada ila tunafikiria kuwapa watoto au wazazi wetu tu na tunasahau wengi walitushika katika safari yetu ya maisha, ubarikiwe
Amen hallelujah ❤❤
Jambo moja la maana sana ulilolisema ni kwamba unaeza fuata kanuni za mungu ila baadae ukose kufanikiwa,maana kuna wachungaji waliomutumikia mungu ila wanateseka, hatuezi sema walikosa kuzingatia kanuni za asili,ni mungu aliamua tu Elon musk awe tajiri na mchungaji wetu awe masikini kwa ajili ya utukufu wake. Asilimia mingi ya watu wanaoteseka wanateseka sababu mungu ameruhusu ila sio eti sisi ni wazuri kuwaliko
SAUTI NDOGO JAMN😮😮😮
Mchungaji umeongea kuhusu kusimesha watoto hadi nikatoa machozi juu pia mm nangangana na watoto wangu kufanya kazi uarabuni ili wakasome pia mm kesho yangu iwe safi sifa na utukufu nmurudishie mungu juu amenitoa mbali
Ubarikiwe sana pastor na Mungu azidi kukutumia, nimebarikiwa kwa mafundisho haya
😅
Ok😅
Shukuru mungu sana maana nimekutana na wengine ambao hawana hata simu ya kupost issues zao mtandaoni wala chakula na hawana hata connection ya kuenda uraibuni
Amen 🙏
Amen
Samahani mpo magomeni sehemu gan nimebarikiwa Sana natamani kuja kanisani
Magomeni Ukifika kituo cha Mwembechai ulizia kanisa la wasabato lipo barabarani kabisa
@lucyfanuel4173 Asante Sana ubarikiwe 🙏🏻
Biashara yangu inasuasua naomba kufunguliwa ili iendelee vizuri
Dawa. Yakunguni. Nimafuta. Yataa. Sabuni. Yaunga. Chuvi. Yaunga
Niombee jamani kunguni kwangu haziishi,nimejaribu madawa mengi sana ,Usafi no 1 lakini wapi yaani Ni Kama Pepo Fulani zinapotea kwa mda Tena zinarudi since 2020 mpaka waleo nashindwa shida Ni nini
Mungu atatuma malaika zake atawafukuza
Kama ni kunguni wa kawaida ninazo dawa nzuri kabisa Kumaliza tatizo hilo, nitafute tu
Pr. Mbaga, ninaumwa kwa miaka 15 sasa. Naomba nipate nafasi kuongea na wewe juu ya hao ndege. Kuna fundi kubwa la ndege sielewi ni nini.
Matangazo ni mengi saana kwa kusubiri somo why?
Tuache lawama ,bila matangazo,channel inaendeshwaje ,maana hata sadaka hatuchangii
Matangazo lazima hakuna online media iso na matangazo mkuu