MACHO YAKIFUNGULIWA | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 56

  • @user-rp4db3pl7z
    @user-rp4db3pl7z 8 місяців тому +5

    Wow jamn. Mungu ni mwaminifu yang nilipata kazi Katika sehemu ambayo niliambiwa kuna uchawi na nguvu za giza na hiyo kazi ikafika hatua mkataba ilikuwa urudishwe. Lakini sasa tupo kazini mwezi wa tatu Mungu ni mwema

  • @etridaelias853
    @etridaelias853 Рік тому +11

    Niko maeneo ambayo hakuna kusali hakuna makanisa yeyote jaman mnaoishi ktk nchi ambazo kuna Uhuru wa kuabudu, Mshukuruni Mungu Sana kwaajili ya hilo

    • @mborawakiche7564
      @mborawakiche7564 Рік тому +3

      Endelea kusali kupitia online Mahubiri mbalimbali plz usimwache Mungu, hata hivyo ninani ajuae kama hukupelekwa huko kwa makusudi maalum! Bwana akutumie Sawa na Mapenzi yake 🎉

    • @etridaelias853
      @etridaelias853 Рік тому

      @@mborawakiche7564 🙏🏽🙏🏽

    • @user-tx6nz4up5h
      @user-tx6nz4up5h 8 місяців тому

      Kusanyika na familia yako nyumbani chukua vupindi hivi weka kwenye tv inatosha kabisa sadaka tuma

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 3 місяці тому

      Kanisa ni kuabudu kwako na Imani na kuwa na Utulivu WA Nafsi na kutenda mema . Hiyo ni ibada Tisha🙏

    • @mariamwalongo
      @mariamwalongo 2 місяці тому

      Polenisana ndugu zanguwote mlioko hukombali uzuli Munguwetu anajua hajazenu namaombienu yakimoyomoyo yeye nimkuu mno kuliko kitu chochote Munguawasaidie

  • @reallyworshipers1515
    @reallyworshipers1515 Рік тому +8

    Sina cha kusema zaidi ya kumshukuru Mola❤❤ mbarikiwe na Bwana Mch

  • @josephinesanita4904
    @josephinesanita4904 3 місяці тому

    Mm nashukuru mungu, kwa wema wake, anayo nitendea niyaajabu sana,

  • @patoostarman
    @patoostarman Рік тому +4

    Thanks pastor yu changed my life

  • @user-kx6ss2vc8p
    @user-kx6ss2vc8p Рік тому +2

    Pastor mmbaga nimeanza kukufatilia muda ni mungu amenikutanisha na mahubiri yako hakika nimeokolewa na ninazidi kuwa jasiri siku zote naimalika asnte BWANA kwa mtumishi wako ulompka mafuta mtie nguvu zaidi amina

  • @edinahmasea1603
    @edinahmasea1603 Рік тому +2

    Pastor thank you ❤may God open our eyes in the Name of Jesus Christ. Amen Amen Amen Lord

  • @user-fm8tz7or3b
    @user-fm8tz7or3b 9 місяців тому

    Very good preaching

  • @junessalama9129
    @junessalama9129 Рік тому +2

    Kpita mahubiri Yako postor najifunza mengi ambayo sikuyajua

  • @mariammussa7654
    @mariammussa7654 7 днів тому

    Ninabarikiwa sana ❤

  • @maombijofre2302
    @maombijofre2302 11 місяців тому

    God bless you pastor ,Hakika wewe umeteuliwa na 𝗠𝗨𝗡𝗚𝗨 na Barikiwa Sana Nitazamapo na kusikiliza Mahubiri yako

  • @user-kv4dx1hr7t
    @user-kv4dx1hr7t Рік тому +1

    Mungu ni mwema sana

  • @cyrusmuthee9191
    @cyrusmuthee9191 Рік тому

    Pastor nilikuwa Kwa vita kali ya kiroho na umetumiwa na Mungu sana kunisaidia kupigana mpka matokeo nimeyaona Mungu akuzidishie sana Pastor.

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 Рік тому

    Asante Bwana wetu Yesu Kristo Kwa kunivuta karibu Yako.
    Nabarikiwa sana.Mungu akubariki sana Pastor.🙏🙏

  • @NsajigwaMwakalebela-nl5mn
    @NsajigwaMwakalebela-nl5mn Рік тому

    Ubarikiwe sana pr Mmbaga kwa ufundishaji wenye uwezo wa Roho Mtakatifu.

  • @vicknessngenzi6146
    @vicknessngenzi6146 Рік тому

    My pastor of all times Mungu aendelee kukubariki kwa utukufu wake.

  • @elienew3788
    @elienew3788 Рік тому

    Natarajia Muujiza wangu pia mimi naamini siku moja itafika Mungu atantendea na mimi

  • @etridaelias853
    @etridaelias853 Рік тому

    Asante mahubiri TV, nimefurahi sijawapata hewani muda naomba msiache kirusha mahubiri ya Makambi

  • @etridaelias853
    @etridaelias853 Рік тому

    Mungu awabariki Sana Mahubiri TV mana mnanifanya nisali nipate neno kila wkt. Mungu ashukuriwe na atukuzwe kwa ajili yenu

  • @user-np4wv2ss8j
    @user-np4wv2ss8j 11 місяців тому

    Asante
    SoMo zuri

  • @MaryKerubo-xt1ci
    @MaryKerubo-xt1ci 9 місяців тому

    Palikiwa sana muhubili nami naomba mungu anifungue macho ya ndani

  • @gideonviper7901
    @gideonviper7901 Рік тому +1

    Tunabarikiwa sanaaaaa

  • @CatherineLugela
    @CatherineLugela 10 місяців тому +1

    Bwana na Atukuzwe sana

  • @definitelykoechy8726
    @definitelykoechy8726 Рік тому +2

    Ahsante Sana kwa mafundisho mema ❤❤❤❤

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 Рік тому

    Amen Pastor Mungu akubariki

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 Рік тому

    Amen 🙏

  • @beverlyseko965
    @beverlyseko965 Рік тому +1

    Amina

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 Рік тому

    Mchungaji umefanya mie nikapadirisha mtazamo wangu ahsante kwa mafundisho Yako,be blessed abundantly my spiritual father ❤

  • @user-lm2cn1ym3r
    @user-lm2cn1ym3r Рік тому +1

    Aminaa

  • @EverineMasoka-ld4du
    @EverineMasoka-ld4du Рік тому

    Asante Mungu kwa huwai ulionipa.

  • @etridaelias853
    @etridaelias853 Рік тому

    Barikiwa Pr.Mbaga mana unanibariki

  • @mussakolle3952
    @mussakolle3952 Рік тому

    AMINA

  • @josephinelusambo4593
    @josephinelusambo4593 Рік тому

    Amen umbarikiwe

  • @MARY_COMPASSIONATEHOME
    @MARY_COMPASSIONATEHOME Рік тому

    Kilioooooooooooo😭😭😭😭😭Tafadhali hili somo fanyeni tulidownload mana halidownlodiki,

  • @josephinesanita4904
    @josephinesanita4904 3 місяці тому

    Mm kuna siku nikiwa kazin, wakati watu wameondoka nikapiga magoti, nikaandza kuomba, wakati, kila kitu kimetilia, nikahisi kama mtu ako nyuma yangu, kidogo nikasikia kama mfuko umeshikwa, wakati mfuko wenyewe uko kwa kabati, na niliweka toka juzi na hakuna upepo wowote

  • @janethjoel5965
    @janethjoel5965 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtu wa Baba nipo kitandani nimelala nilikuwa siwezi ila kadili ninavyosikiliza mafundisho yako toka kambi la nyakanazi nasikia kuna nguvu inaendelea kunifungua na ninajisikia huru sasa na nguvu nyingi

  • @gelardjames2595
    @gelardjames2595 Рік тому

    Amen..

  • @user-tx6nz4up5h
    @user-tx6nz4up5h 8 місяців тому

    Naomba muweke namba tutume sadaka zetu tinao hitaji kufanya hivyo

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467

    Amen.

  • @toshalulinda1493
    @toshalulinda1493 Рік тому

    Amen

  • @kwandundaki8568
    @kwandundaki8568 Рік тому

    Pastor umenifanya nicheke eti tunategemea kichwa kimoja na kweli ni safari ndefu kweli mpaka unasema eee muda wote huu niko angani

  • @user-ou6ls5ws9j
    @user-ou6ls5ws9j 28 днів тому

    Harimucungaji mafundisho yako.yamenisaindiya san

  • @messagerkambale5830
    @messagerkambale5830 11 місяців тому

    Jambo pasta, hajiri alifukuzwa pamoja na mamaye akiwa na myaka ngapi?

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 Рік тому

    Muchungaji naomba unijibi, naomba kuongea na wewe.

  • @DanielJames-of7yr
    @DanielJames-of7yr Рік тому

    Pr mafundisho yako ni mazuri, lakini kuhusu kutumia dawa za asili bila masharti ya kishirikina nadhani hakuna kosa, kilicho safi hata kama taaarifa zinatoka kwa shetani kitaendelea kuwa safi tu, Mungu anasema vitu vyote ni mali ya Bwana, kwahiyo hata kama mti fulani kama dawa atauelekeza shetani kwamba ni dawa mti huo hauto badilika kuwa najisi kwasababu muumbaji wa mti huo ni Mungu na wala si shetani,

  • @silvesterryaga7365
    @silvesterryaga7365 Рік тому +1

    Amina

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 Рік тому

    Amen