NABII APOOZA BAADA YA KUPIGA CHAFYA MASANJATV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • TUAWAOMBEE WATUMISHA WA MUNGU
    SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Updates:
    👇 👇
    / @masanjatvgospel

КОМЕНТАРІ • 15

  • @yasintajoseph7495
    @yasintajoseph7495 Місяць тому +2

    Ni kweli watumishi kutokana na kufanya huduma Muda mrefu Bila kupumzika wanaweza pata changamoto za kiafya lkn sio kwamba Mungu amemwacha...anajua lipo ndani ya uwezo wake ndio maana halijamfanya kumwacha Mungu Bali anasonga mbele ktk Hali Iyo iyo

  • @user-wc6wq7rm7x
    @user-wc6wq7rm7x Місяць тому +1

    Vitu vya kawaida kufanya kazi bira kupumzika kuna mazara makubwa,unashauliwa mda wakupumzika ni lazima upumzike hata kwa saa moja.ukikaidi mazhara yake ndiyo hayo.
    Nukipiga shafya umeinama kupyatuka pingilli za kiuno uaweza kutokea kwa sababu unakuwa umeinama unatumia nguvu sana.Tumuombee Mungu amponye.

  • @papaamishael4115
    @papaamishael4115 Місяць тому +1

    ni kweli

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Місяць тому +1

    Miungu yake imempiga kwakukose masharti😂😂😂

  • @tlotwe.01.
    @tlotwe.01. Місяць тому

    Ushauri wangu......Kwa situation aliyo nayo aende Uganda Kampala Kwa Kakande Ministries atapona very easily! Mungu amrehemu na kumponya ktk jina kuu la YESU KRISTO Aliye Hai.

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 Місяць тому

      Hahahaha MAKAFIRI silimuni msalimike.

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 Місяць тому

    Tushangae nini na yeye ni Mwanadamu ameumbwa kwa damu na nyama!!Mungu amponye!

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Місяць тому +1

    Kwani hakumlipa mganga

  • @drmahwa8166
    @drmahwa8166 Місяць тому

    Hahahaha.makafiri silimuni msalimike.

  • @edwinmanji74
    @edwinmanji74 Місяць тому

    Akili finyu kabisa hizi,kwani nabii yeye sio binadamu kama wewe?mbona hausemi madaktar bingwa wanaokufa kwa magonjwa ya kawaida huku wao wakiwa madaktari bingwa wa magonjwa?au watumishi hao wa Mungu hawafi?Mungu akusaidie wewe mbona akina mtume paulo walikatwa vichwa n.k au Mungu hakuwepo?wako watumishi wengi tu wanaugua maradhi mbalimbali japo Mungu anawatumia kuponya wengine

  • @Joseph-tf8sc
    @Joseph-tf8sc Місяць тому

    Hiyo ni vita ya mapepo na inatokana na uzembe wa maombi, biblia inasema Mtume Yakobo aliuawa baada ya uzembe wa maombi na Petro alipowekwa Gerezani kanisa likaomba kwa bidii ndio akaachiliwa kumbe wasingeomba angeuawa
    Matendo 12:1--

    • @Machinootz
      @Machinootz Місяць тому

      Hili somo nimefundishwa leo tu online

  • @papaamishael4115
    @papaamishael4115 Місяць тому

    ni kweli