Huyu Mama samia suluhu hassan ana roho ya Peke yake na anajua Mungu anaemtumikia imagine, katoa fedha lakin hakutak kujionyesha ni sh ngap tofaut ma wanasiasa weng ambao wao hutaka kujionyesha yy kaweka kwa bahasha, Mungu ampe hekima
Tatizo ubaguzi wao hawataki mtu baki kuigiza akapewa bahasha.wanasema asiekua familia asiigize kama wao wanasahau kujua kwamba yule mwalim nyerere alikua ni familia ya watanzania.kwahiyo hatakina baraka magufri manayake wanakosea hawa siyo watu wazur
Mbunge kazi yake kubwa ni kutunga sheria iko haja kwa upotevu wa fedha billions zinatajwa km fedha kidogo billions mbunge zitunge sheria kali za kuwadhibiti wahujumu uchumi hata km ni kupigwa Risasi hadharani, kwa hali hii Maskini walipa kodi ni ndoto kuinuka kimaisha ,
hongera osika kwakipaji
Hongera rais weth
Hongera sana muigizaji 🎉❤
Samia
Manyand
Daa hongera kijana
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 jamani ni kama yeye mwenyewe ila Mungu aendelee kukulinda zaidi uko binguni na tutakukumbuka siku zote moyoni mwetu mzee Nyerere
😂🎉😂😂
Nyerere kazaliwa upya
Nafatillia sana siasa hongereni sana❤siasa
Osca yupo vizur
actually people like this let them be involved in politics
Mungu akulaze mahalo pema popote ulipo
Huyu Mama samia suluhu hassan ana roho ya Peke yake na anajua Mungu anaemtumikia imagine, katoa fedha lakin hakutak kujionyesha ni sh ngap tofaut ma wanasiasa weng ambao wao hutaka kujionyesha yy kaweka kwa bahasha, Mungu ampe hekima
Chukuw mauw yak mkubwa 🌷🌷🌷🌷🌷🌷
Hongera sana mheshiwa unaweza
Safi sana , Mungu akuinue sana.
Hongera sana Mr Oscar Na Mungu aendelee kukubatikia zaidi
Nakubali xana mwamba
Hongera kaka oska nyerere
samia lov mama
Nampenda bre jamn
⛪nitakutumikia mungu ktika roho na kwer amen ❤
Mungu mbariki RAISI wetu
nyumbaa zilkuwa wananyichii tanzanai sio za taifa la tanzanizznia zilkuwazimechukuliwa na Tanzania utapatabara ukutudisha nyumba Kwa tanzanai
Mwalimu asinge ongea uchawa huuu hata siku Moja
Vizr sana
Bravo bravo ,baraka
Osaka nyerere shukulani sana
Jamaa anatisha sana
Honger mweshiimiwa
Mama mungu akusaidie raisi wangu naku0mbea
Mama tunakipenda unavyo wajari watumishi wa Mungu mungu hakubariki
Huyu mtu anaweza
Manyanda
Umetisha mzee❤❤❤
Anaujua jamaa😮❤❤❤❤❤😅
Nimependa hicho kipaji ❤
Samia 6:19
Ongera sana mdogo wangu umepambana mpaka ufikie apo
Mheshimiwaa Hongeraa kwakaz zuriii sanaaa
Duuuh mama samia sioo. Mbna ana sura ya kutisha sana daaah
Yuko vizur
umetisha
Pw. Kabiss
3:09
3:21
. 1:24 w
Tatizo ubaguzi wao hawataki mtu baki kuigiza akapewa bahasha.wanasema asiekua familia asiigize kama wao wanasahau kujua kwamba yule mwalim nyerere alikua ni familia ya watanzania.kwahiyo hatakina baraka magufri manayake wanakosea hawa siyo watu wazur
Wazanaki popote mlipo gonga like
Vizuri sana.
Ametishaa sanaaaa
Tishaa sana
Umeweza upewe supu
rais samia sielewagi macho yake
❤❤❤
Good
Congratulations 🎉🎉🎉
Hongra sana
Inapendeza sana
🎉
Akika yuko vzr uyoo kijana
Nimekubali
Noma sana
Steve mengere still knows better
Nice broh
Saf san hongera
Tutamkumbuka daima
Ahsante mama Allah akupe umri mrefu
Umetukumbusha mbali sana
Tumependa sana iyo
M❤
Nice
Nice one
Mungu akupe Misha marefu?
Chado masta
Congratulations
Hongera sana dogo unapambana
Huyu kijana apewe saport yuko vizur
Sapoti ya nn hasa .
Anajua
unajua
Bosco4321
Hongera Sana
Mbunge kazi yake kubwa ni kutunga sheria iko haja kwa upotevu wa fedha billions zinatajwa km fedha kidogo billions mbunge zitunge sheria kali za kuwadhibiti wahujumu uchumi hata km ni kupigwa Risasi hadharani, kwa hali hii Maskini walipa kodi ni ndoto kuinuka kimaisha ,
Nyerere hakua na sauti hiyo umefeli mwigizaji kajifunze tena
Roho mbaya yako
Kazi kazi uko vizur
Gd nice
Ok umenikumbusha angekuepo yasingekuepo haya yangekuepo yale
hakika tanzania tuna vipaj vya kipekee
😮
Inapendeza
We are together
Safi sana
Safi Safi sana
nice
Kweli
🎉🎉
Wow
Amebakisha kidg amfikie nyerere wakweli
Aissee ni nyerere copyright kabisa.
Kama baba wa taifa
Hakika kaua sana
Saf sn🇹🇿
Hiki kipaji hatariiiiii
zimekuwa za taifa
Well
Hapo umeupiga mwing