Mama Ipyana Kibona amuasa na kumuombea mtoto wake Dr.Ipyana - FULL VIDEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 чер 2024
  • #dripyana
    Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Mtumishi wake Mama Kibona aliyetumika kwenye Ibada ya The Tabernacle kutufafanulia nini haswa inamaanisha kuwa MASKANI ya Mungu.
    Mama alitoa darasa lilitofunza kuhusu unyeyekevu kama kigezo cha msingi sana ili Mungu aishi ndani yetu. Imetupasa tupungue, ili Yesu aongezeke ndani yetu.
    #TheTabernacle sio Ibada tu, ni maisha ya kila siku
    #DrIpyana
    #TheTabernacle

КОМЕНТАРІ • 168

  • @sarahluvai6580
    @sarahluvai6580 2 дні тому +2

    Uhimidiwe MUNGU wewe wa ajabuuu matendo yako makuuu sanaa , nipe na nguvu naujasiri wakuwalea wanangu kwa njia inayokupendeza Mungu wanguuu,, Ipyana you're blessed 🙌 such a mom a wonderful mom 😢laiti wazazi wote wangalikuwa namna hii ooh God ,, nipe nguvu nikawe kielelezo kwa wanangu.....baraka tele

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 4 дні тому +17

    Wazazi wote wangekua hivi kwa kweli tusingeteseka sana katika laana.😭😭Mungu nisaidie nitamkie wanangu baraka nakuwalea vyema

  • @francis0510
    @francis0510 4 дні тому +17

    Nilikuwepo iyo siku ila nimerudi kuangalia tena kuna mambo mengi yananigusa sana nimekuja kujua bila mama Ipyana asingekuwa kwenye wito wake

  • @maedencohen9000
    @maedencohen9000 4 дні тому +17

    I have cried, what a wonderful mum she is his intercessor. May God bless her she is bold and full of wisdom.

  • @DatiusDeodatus-lm2gn
    @DatiusDeodatus-lm2gn 3 дні тому +8

    God is still raising the dead, doctors know, mothers know. My siter lied dead in front of our eyes, my dad gave up, my mom prayed up after a five hours straight of no any sign of breath, she coughed and the rest is history! Mungu ni kweli!

  • @janethmwansasu5847
    @janethmwansasu5847 3 дні тому +4

    Asante Mungu kuniwezesha kumsikiliza mama ipyana nimekumbuka ninavyomwambia mwanangu amtangulie Mungu kwa kila Jambo mtoto akimjua Mungu ktk roho na kweli ni Raha Sana Mungu naomba unisaidie wanangu wakujue na kutambua kuwa wewe ni mwokozi wa maisha yao na akatawale ndani yao

  • @evasinkamba8303
    @evasinkamba8303 10 годин тому +1

    Asante Mama kwa ushuhuda mzuri nimejifunza kitu.Mungu aendelee kukuongoza mtumishi wa Mungu

  • @mambandahandofcompassion9727
    @mambandahandofcompassion9727 3 дні тому +4

    Sina mengi ya kusema, Dr Ipyana ndo mwimbaji wa gospel nampenda, namba mbili kutoka kwa mke wangu muimbaji pia. From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @marryjames-wl7be
    @marryjames-wl7be 2 дні тому +2

    Huyu mama ana roho wa MUNGU na ana nguvu za MUNGU sio kawaida na ndo amemuambukiza na mwanae kuwa hivi YESU awatunze 🙏🙏🙏

  • @sikitunathing9429
    @sikitunathing9429 2 години тому

    Twaitaji huu ujumbe kwenye tiktok tukasambaze tafadhali ❤

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 4 дні тому +8

    The joy of a mother is to see her children doing well.
    I salute you mother.
    Dr Ipyana ..nyimbo yakoya ya umefa hili umefanya Lile umenipa jina Baba Nina kushukuru..
    Baraka zako zako hasiesabiki...neema Yako haizoeleki...😭😭😭😭😭
    Machozi yanitoka.
    Barikiwa sana.🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🙏

  • @aminaluoga4578
    @aminaluoga4578 4 дні тому +11

    Mama mwenye uhafamu wa kiMungu natamani na mm Mungu anipe ufahamu wake niishi maisha ya kumtumaini kristo na watoto wangu kuwalea katika maisha yakumjua kristo wawe na upendo kwa watu wote na wamuheshimu Mungu na watu rika zote pasipo kuangalia uwezo wao
    Kingine nimejifunza nikiwa kama mama naweza kutengeneza kesho ya wanangu kwa maombi nakuwatamkia baraka katika kila jambo lililo jema.
    Nimelia sana nikafika mbali nikamuogopa Mungu kupitia clip hii
    Itoshe kusema asante Mungu kwa yote

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 3 дні тому +1

      Unavyoramani hivyo na Mungu atakupa kadri ya matamanio yake

  • @estherelius9148
    @estherelius9148 3 дні тому +6

    Touching and loving words
    Mungu nijalie kuwa mama mzuri kwa watoto wangu wakujue wewe Mungu wa kweli na kushika njia zako

  • @matparakalenga1065
    @matparakalenga1065 2 дні тому

    I came across the song : Bwana minakushukuru first week of June 2024 and it has lifted up my soul and am grateful to God. Though i don't understand much Tanzanian Swahili am watching this testimony from Zambia 🇿🇲 am a single mother of four and am learning something from our mom🙏🙏 i believe the first prophet of a child is the mother 🙌🙌🙏

  • @ntakirutimananaomi7593
    @ntakirutimananaomi7593 3 дні тому +2

    Dr Ipyana is really blessed ,much love from Burundi ❤

  • @obeyngorima4588
    @obeyngorima4588 3 дні тому +2

    Kwamaombi kama hayo
    Mutumishi haataweza kuogopa chochote hata kama nisimba ama mlima gani mbele yake kwasababu amebalikia namama ake 😢
    Oooh Jehovah God it touched my soul

  • @michaelulisaja
    @michaelulisaja 4 дні тому +21

    BEING A PARENT IT'S A CALL

  • @faithnasira3061
    @faithnasira3061 4 дні тому +7

    Kenyan love ipyana🎉
    You are a Blessing mum

    • @lilyabel2320
      @lilyabel2320 4 дні тому

      We love you too Kenyan people❤

  • @DorcasTemba
    @DorcasTemba 4 дні тому +7

    Mama ameongea mambo ambayo yamenifunza sana
    Mungu akutunze mtumi shi wa Mungu amtumze na Mama nimetamani sana Mama yangu angekuwa hai alikiwa anapenda kunipa maneno ambyo Leo yamekuwa msaada kwangu

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official 3 дні тому +2

    Wooooow😭😭😭😭😭😭😭😭.
    What a Testimony❤❤❤❤❤❤❤.
    Man of God Dr Ipyana,you're God's Seed.....Thank you Mama Ipyana for your GREAT FAITH Since his Childhood!!!

  • @harriethkinjoli5459
    @harriethkinjoli5459 День тому

    Najiungamanisha na hii neema ya maombi ya mama Ipyana kwa jina la Yeau.❤❤

  • @norwickwmandu7062
    @norwickwmandu7062 4 дні тому +7

    Wow, Najifunza kutoka kwa MAMA. Mafunzo mazito, Mungu akuhifadhi mama Ipyana. Uishi miaka mingi na uzidi kuzungumza kwa hekima za Mungu.

  • @salomemkeni6052
    @salomemkeni6052 7 годин тому

    Asante Mama umenipa nguvu ya kusonga mbele kama Mama wa familia😢😢😢

  • @belinderoluoch4039
    @belinderoluoch4039 5 годин тому

    aaaaawwww...my heart is full. They are both lucky to have each other. I came to know Daktari through his song "kama sio mkono wako". May God continue using you to bless us

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 дні тому

    Nimelia!!upendo wa mama hauna kifani!!Mungu baba naomba Nitunzie mama yangu!Mungu uwatunze wa mama wote na waliokuja kwako uwapokee!

  • @user-ri1by1ij4o
    @user-ri1by1ij4o 21 годину тому

    Mama Mungu akubariki sana Kwa upendo wako,umenibariki sana Mungu akuongezee maisha marefu

  • @edithakimario3430
    @edithakimario3430 2 дні тому

    Mungu aendelee kumlinda mtumishi Dr Ipyana .Mama Mungu akuongezee Miaka mingi

  • @tulibakokyoma1132
    @tulibakokyoma1132 2 дні тому +2

    Ipyana alinishuhudia huku Marekani kuwa aliungua vibaya sana..karibu are akiwa na miaka miwili..Kweli Mungu ni wa ajabu alimponya.

  • @sayunilyego
    @sayunilyego 4 дні тому +3

    nimelia sana 😢😢😢😢 Mungu akubariki sana mama ipyana R.I.P mama yangu Mungu akupe pumziko zuri🙏🙏🙏🙏

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 3 дні тому +2

    Mungu Ni mkuu Sana - Mama Mungu AKUBARIKI na atunze hii neema kwa Dr

  • @faithmangesho2081
    @faithmangesho2081 11 годин тому

    Barikiwa mno Mtumishi wa Mungu! Una Imani kubwa sana

  • @victoryrogers9887
    @victoryrogers9887 4 дні тому +4

    Nimetokwa na machozi nimejifunza kitu kikubwa sana na nimebarikiwa .Mungu akutunze mama Ipyana.Dr Ipyan Umebarikiwa sana sana Mungu akutunze na akuinue zaidi na zaidi kwaajili ya Utukufu wa Mungu.

  • @devithabenedict4448
    @devithabenedict4448 4 дні тому +3

    Aiseee nami nimelia sana...namimi mwanangu aliungua wakati baba yake hayupo.....Amina lakini Mungu alinishindia pia

  • @isaacmwichande253
    @isaacmwichande253 4 дні тому +4

    I just see God in this testimony🥺

  • @majestymaurice3239
    @majestymaurice3239 4 дні тому +5

    My humble request is to consider translating kiseahili for the international audience 🙏😢

  • @obedjillo3948
    @obedjillo3948 4 дні тому +4

    mum your surely annointed..,i love you mama..

  • @EssieBlessedkid-u3z
    @EssieBlessedkid-u3z 8 годин тому

    More love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @mariawandiba6736
    @mariawandiba6736 3 дні тому +2

    Asante sana Mama Ipyana kwa maneno ya hekima na maarifa. Dr Ipyana ukawe baraka daima uwe mnyenyekevu

  • @irenekisasembe6015
    @irenekisasembe6015 15 годин тому

    Kama mama nimejifunza jambo Zuri sana barikiwa mama ipyana

  • @amosmandi2303
    @amosmandi2303 3 дні тому +2

    What an inheritance from the mum To Dr Ipyana, this is the greatest of all.. Jesus Christ the hope of Glory

  • @gladnesstemu6131
    @gladnesstemu6131 3 дні тому +1

    Ee BWANA YESU nijalie niwe kama mama huyu kwa watoto wangu🙌🙌🙌🙏

  • @robertsimiyu6952
    @robertsimiyu6952 4 дні тому +5

    Mama wa busara , powerful

  • @beatricenyiro5913
    @beatricenyiro5913 3 дні тому +2

    Ubarikiwe mama Mungu amekupa hekma ya hali ya juu .Let God protect you 🙏 watching from USA

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 4 дні тому +2

    Mama asante sana .
    MUNGU akubariki mama yangu❤❤❤

  • @fidelisernest3523
    @fidelisernest3523 3 дні тому +1

    This day was amazing aisee ,Mungu aliniudumia mapema Sana,Glory and Honour belong to God Almighty

  • @user-sr4rn1uj2n
    @user-sr4rn1uj2n 2 години тому

    Ikawe kwangu na mmi nikajazwe roho mtakatifu 😢❤

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 дні тому +2

    Like mother like son, be blessed man of God

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 День тому

    Hallelujah 😭😭😭😭, Mama ana madini mengi.

  • @deboradaniel5285
    @deboradaniel5285 3 дні тому +1

    Hallelujah. Proud of you mom. Mungu awabariki family ya Mzee Kibona

  • @sikitunathing9429
    @sikitunathing9429 2 години тому

    Mama nzuri sana, Mungu akubariki mama

  • @mirriammusilaofficial
    @mirriammusilaofficial 3 дні тому +1

    So touching! Mungu akubariki mama Ipyana kwa hizi shuhuda.❤
    Dr Ipyana umebarikiwa sana. Mungu aendelee kukutumia

  • @sarahm316
    @sarahm316 7 годин тому

    Wow wow may God receive all the glory watching from Seattle

  • @maryminja1668
    @maryminja1668 3 дні тому +1

    I pray this grace to be upon my Son in JESUS Name!

  • @hopezawadida
    @hopezawadida 2 дні тому

    Nimependa❤
    Tafuta kuwa na amani na watu wote.Tuitazame msalaba.
    Nimejifunza mambo mengi kutoka kwa mama huyu mwenye busara.
    Mungu akubariki Dr Ipyana.
    Wakenya twapenda injili unayoeneza kupitia nyimbo zako.

  • @sharonkotut8080
    @sharonkotut8080 2 дні тому

    This got me. Thank you, Mama, for teaching us today. Honouring God brings peace.

  • @elidachaula6903
    @elidachaula6903 День тому

    Kama mama WA watoto nimejifunza kitu hapo Tunashukuru mtumish WA Mungu.
    Nimejikuta nabubujika mno na kulia mbele za Mungu hakika Yesu ni mwaminifu.

  • @SusanaNkoma-db3bg
    @SusanaNkoma-db3bg 2 дні тому

    Mambo ya nguvu yakuandame mama ❤❤❤❤❤, Mungu akutunze

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 3 дні тому +5

    Dah nimelia na sijui kwa nini nimelia Mungu mponye mama yangu na saratani ya koo

  • @royalusala8527
    @royalusala8527 4 дні тому +2

    Powerful indeed.. Such testimony and blessing from parents really helps

  • @rinakibona
    @rinakibona 2 дні тому

    Mungu akubariki ushuhuda mkubwa sana mama umenifundisha mengi

  • @sarahyaro4753
    @sarahyaro4753 2 дні тому

    Dr ipyana n mnyenyekevu mno, na inaonekana
    Mama Mungu akupe umri mrefu
    Dr ipyana roho azidi kukutumia kwa ajili ya taifa na ulimwengu

  • @eliayunga7766
    @eliayunga7766 3 дні тому +2

    Kiukweli Mama ipyana ni mama wa kuingwa katika jamii

  • @witnesssamwely8812
    @witnesssamwely8812 2 дні тому

    Nimebalikiwa sana mungu akubaliki sana mama

  • @EdwinNsyani
    @EdwinNsyani 4 дні тому +1

    ❤❤❤TANGIBLE MANIFESTATION OF GOD'S GLORY.
    THIS WILL REMAIN POWERFUL FOREVER AND EVER.

  • @cristamelahashimu3679
    @cristamelahashimu3679 2 дні тому +1

    Nimeliaaaa. Mungu nisaidie niwe kama huyu mama na nizidi kukujua wewe Mungu.

  • @SusanaNkoma-db3bg
    @SusanaNkoma-db3bg 2 дні тому

    Mum mzuri sana 🎉🎉🎉❤ nakupenda sanaaaaa

  • @ObediAmbukuge
    @ObediAmbukuge День тому

    Familia Yao wote walikuwa watumishi Mzee kibona babake ipyana tuliimba nae sana ibada za hasubuh

  • @annatoliraphael1686
    @annatoliraphael1686 День тому

    Amen Mama Mungu akutumze.

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 2 дні тому +2

    Kwa maombi haya ya huyu mama, Ipyana siyo wakumgusa kabisa unaweza kauka bila moto...

  • @BernadetaMartin
    @BernadetaMartin 2 дні тому

    Mungu akubariki sana mama

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 дні тому +1

    Amen, maombi ya mama ni very powerful

  • @EbenezerSafari
    @EbenezerSafari 4 дні тому +3

    I can't wait for this

  • @user-tf9ws7gd9g
    @user-tf9ws7gd9g 3 дні тому

    Amina Mungu aendelee kukutumiau mtumishi wa Mungu usiende kusho kulia uangalie msalaba utakusaidia ipo neema ya msalaba

  • @lovenessmtaita1879
    @lovenessmtaita1879 2 дні тому

    Mama mungu akubariki sana

  • @jovitaulomi8752
    @jovitaulomi8752 6 годин тому

    Natamani wazazi wote wangekuwa kama mama Dr ipyana

  • @merie8265
    @merie8265 4 дні тому +2

    My spirit was mothered intercessory.wise for a minute

  • @germainebindu1097
    @germainebindu1097 День тому

    Wow j'adore ce moment Dieu soit loué

  • @irenesimalike3962
    @irenesimalike3962 4 дні тому +1

    That was very powerful and emotional

  • @pstdee7462
    @pstdee7462 16 годин тому

    So powerful and emotional.

  • @monicacoombes8299
    @monicacoombes8299 4 дні тому +2

    Mama asante sana

  • @cathrine565
    @cathrine565 4 дні тому

    Amen. What a blessing! 😊

  • @user-qy2ui7mn8q
    @user-qy2ui7mn8q 2 дні тому

    Asante mama kwa malezi bola

  • @shadyaomary
    @shadyaomary 3 дні тому

    Bro ipyana mungu azidi kukuinua, mama amejawa na nguvu

  • @careenevans
    @careenevans 4 дні тому +1

    Mungu akubariki mama Ipyana❤

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 дні тому

    very powerful message, God bless you so Much MAMA.

  • @hurumakibona3687
    @hurumakibona3687 4 дні тому

    Ubarikiwe mama mzuri.

  • @zipporahkyeni7754
    @zipporahkyeni7754 3 дні тому +3

    Who's cutting onions 😢❤this is uplifting ❤barikiwa sana mum ipyana kwa kutufunza njia

  • @MwagalaJr
    @MwagalaJr 3 дні тому

    Yesu Asante kwa Maisha Ya Mama Ipyana 😭🙏🏾

  • @user-ut5yp3ug9m
    @user-ut5yp3ug9m 4 дні тому

    What a powerful woman of God 💥

  • @shekinahshammahblessed
    @shekinahshammahblessed 4 дні тому +2

    Oooh YESU 😭🙌

  • @DanielVictor-ej4lp
    @DanielVictor-ej4lp 3 дні тому

    Namuona kama mama angu .... daaaaah RIP mama angu pumzika kwa amani

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 4 дні тому

    Mungu akubariki saaana Mtumishi wa Mungu

  • @irenemulu6655
    @irenemulu6655 4 дні тому

    Nimeguswa sana na Shuhuda za mama na jinsi alivyo tamka baraka kwa mwanawe.Jina la Bwana Litukuzwe

  • @user-wv8bl6mh1o
    @user-wv8bl6mh1o 2 дні тому

    Yesu ahsante

  • @julushossa4088
    @julushossa4088 4 дні тому

    God I bless you 🤲🧎🙏😭😭😭My you keep well Mon and Dr Ipyana, your servant. Amen 🙏.

  • @kalulutv3638
    @kalulutv3638 3 дні тому +1

    Huyu Mama yangu mdogo mtupu na Mama

  • @SarahieTeddy-tu2rl
    @SarahieTeddy-tu2rl 4 дні тому

    This woman ❤❤❤❤ aiseee

  • @EbenezerSafari
    @EbenezerSafari 4 дні тому

    It's so Powerful wow

  • @petermkare2790
    @petermkare2790 4 дні тому +1

    God bless u Mama

  • @user-ox1dk3rv5v
    @user-ox1dk3rv5v 3 дні тому

    😢😘stay blessed mom