Mungu akupe maisha marefu mzee wetu, baba yetu, babu yetu mzee Mwinyi. Wewe ni CHUMA nakukubali sana. Sikuisikiliza hotuba yako hii laivu lakini imenilazimu kuitafuta ili nipate kukusikiliza. Nimefarajika sana kwa busara zako. Kama nawe unamtakia maisha marefu mzee Mwinyi, achia LIKE za kutosha.
Wazee wa busara kama hawa ukifaulu kuwafikia hakikisha unapokea neno la kukufaidi toka kwao Maana wana vitu vingi sana vya kutuachia kama vijana na sio rahisi sana kuwapata walio zeeka na akili timamu much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🙌
Much respect great n funny speech without glasses but nime notice karatasi ya kwanza ameiregelea mara 2 almost to start third reading from the same notes🤣poni na huyu kaka aliekuja muonyesha nxt notes about Mama Samia 🤣so funny
Jamani, that was sweet. Mwenyezi mungu akulinde. You are such a blessing Baba Mzee Alhassan Mwinyi. Thank you very much for bringing laughter on such a somber day.🙏🏾🇹🇿💚
Lipo kusudi la MUNGU kwa kulala huyu Kijana wetu, watanzania tuwe na amani! Maana hata walionia mabaya juu ya taifa letu hawawezi kwa jina la Yesu kwa sababu MUNGU wetu yupo juu ya maadui zetu! Na MUNGU wetu atatupigania........maono ya kweli hayafi!
Aisee kuna Watu MUNGU kawajaalia udongo mzuri’ miaka 96 bado angali anafanya baadhi ya mambo kwa ufasaha...!...Ahsante Mzee Mwinyi Kwa kuwafariji wafiwa ..!
Hii ndiyo hotuba pendwa toka kwa mzee Rukhsa 😂 mpk watu walisahau km wamefiwa, nilitamani ufikishe miaka 100 tukufanyie birthday ya Taifa lakini Mungu amekuhitaji kabla.. Nakuliliaa mzee Mwinyi. Allaahumma ghfirlahu wa Arhamahu wa Maskanahu fil JANNATUL FIRDAOUS... Innaa lillaah wainnaa ilayhi raajioun 🙏🙏🙏
Mimi binafsi nakupenda Mh. Rais mstaa babu yangu Mwinyi ni utukufu kwa Mungu kukupa maisha marefu na akujaalie zaid na zaid ili atukuzwe sana Mungu wetu 😁😀😊
MI NI FUNDI MIWANI MARA NYING SANA WATU WAKIFIKA MIAKA 40 Wanaanza kuvaa miwani za kusomea LAKINI MZEE MWINYI BADO YUPO NGANGARI HAIJALISH MIAKA GANI YUPO ILA BADO ANASOMA BILA YA MIWANI , NA UJASIRI WA KUONGEA UPO VILE VILE NIMEPENDA SANA
Nimejikuta nacheka alivyo sema inatosha eeenh 😂😂😂 dah allah akupe qauli thaabit na kaburi lako liwe viwanja miongon mwa viwanja vya peponi nakukumbuka ulikuja shulen kwetu azam kufungua msikit pale azam complex kwa sheykh twalibu
President Mwinyi is God sent to heal us in this time of need and the loss of loved one Dr JPM. He made Baba and his Angels smile in Heaven 🙏🙏🙏😀😀😀just like he made us smile . He lightened up our spirit and soul. Long life and God Bless President Mwinyi and be strong Tanzania. Love and Best wishes from the USA 🇺🇸🙏🙏🙏🙏🙏
Ha ha ha 🤣Nimejishtukizia tu nacheka automatically 🤣Hawa ndo wahenga wetu, na sikweli ka nxt generation tutapata tena wazee wenye busara na matamshi ya ucheshi ka hawa
Kiukweli Nimesahau Kama Hapo yupo Msibani Maana Watyu Wame Enjoy Kwa Furaha Maana Kawafariji Wafiwa yaani Huyu Mzee Sijui Urais Wake Ulikuaje Maana Anaonekana Alikua Nimtu wa Watu na Alikua Mcheshi Kwenye Huzuni
😢😢😢😢leo tr.29 nmerudi tena hapa baada ya kufariki mzee wetu mzee wa Ruksa. R.I.P mzee wetu
Jamani nimerudia sana kumsikiliza huyu Mzee Wetu. Hasa yale maeneo aliyotuvunja mbavu......kama nawe umerudia achia like please
Yule mwanetu aitwa nani vile mungu akulinde babu
@@tausially1377 😂😂
Kwa kweli nampenda
Namsikilizia mpk saiv jamani anaongea kweli
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu, baba yetu, babu yetu mzee Mwinyi. Wewe ni CHUMA nakukubali sana. Sikuisikiliza hotuba yako hii laivu lakini imenilazimu kuitafuta ili nipate kukusikiliza. Nimefarajika sana kwa busara zako. Kama nawe unamtakia maisha marefu mzee Mwinyi, achia LIKE za kutosha.
Nani anasikiliza hii hotuba baada ya mzee wetu Ali Hassan Mwinyi kufariki ni nani? Inna lilah Wainna ilayhi Raajiuun.
ndio naisikiza hapa, mungu ampokee mwinyi katika waja wema
Kunajambo la kujifunza
Nakata vitunguu hapa😢😢😢
Inna LILLAH wainna ilayh raajiuun.
Ameenda Mzee mwinyi kwa mila wake.Allah akusamehe makosa yako na akujaalie qaul thaabit
Wazee wa busara kama hawa ukifaulu kuwafikia hakikisha unapokea neno la kukufaidi toka kwao Maana wana vitu vingi sana vya kutuachia kama vijana na sio rahisi sana kuwapata walio zeeka na akili timamu much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🙌
I just love former President Mwinyi. Ingawa tuko kwenye huzuni lakini katufariji sana na vichekesho vyake
Reading without glasses at 95!wow, much respect, President Mwinyi, thank you for making the widow smile 🙂
Much respect great n funny speech without glasses but nime notice karatasi ya kwanza ameiregelea mara 2 almost to start third reading from the same notes🤣poni na huyu kaka aliekuja muonyesha nxt notes about Mama Samia 🤣so funny
96
mamaangu ni mtu mzima na havai glasses , ameekewa glass ndani ya macho yake .inawezekana naye yuko hivyo.
hizi lenses wanazovaa warembo kuweka na kuondoa ni km zile zakuonea ila hiyo inaeka chini ya ugamba wa jicho kwenye duara nyeusi .
Yaani ni neema
Nimependa zaidi pale alipomuadress mwanae wa kumzaa, "Mheshimiwa Dr. Hussein Mwinyi". Kubwa sana hili
Mwinyi mungu akujaalie afya na nguv pamoja na uhai mreefu baba wewe ni mshauri
Mungu akulinde baba binafsi nakupenda 2. Nikiulizwa. Kwanii nakupendasijuwi
@@neemajoseph7146 wajina 🤣🤣🤣
@@neemakaluwa2146 nambie wajina
Jamani, that was sweet. Mwenyezi mungu akulinde. You are such a blessing Baba Mzee Alhassan Mwinyi. Thank you very much for bringing laughter on such a somber day.🙏🏾🇹🇿💚
💖💖
Kweli Kabisa Lysa
P😊
Umeongea katika ukweli kutoka moyoni Nimependa risala yako kwa Watanzania wote na Mwwnyezi Mungu atakulinda
Lipo kusudi la MUNGU kwa kulala huyu Kijana wetu, watanzania tuwe na amani! Maana hata walionia mabaya juu ya taifa letu hawawezi kwa jina la Yesu kwa sababu MUNGU wetu yupo juu ya maadui zetu! Na MUNGU wetu atatupigania........maono ya kweli hayafi!
Amina
Magufuli ameenda lakn. Bado yupo Mungu aliyetuleteaga
Ameen 🙏
Amen
Eti kwa jina la yesu ni nani huyo yesu?
Nampenda sana huyu raisi kwa unyenyekevu na heshima yake,hana kiburi ya kustaafu ,mungu akupee maisha marefu babu
Mzee wetu Huyu amemfurahisha mjane wetu angalau amecheka nasi tumefarijika sana
Oh wow..may God bless President Mwinyi..such a humorous soul..iv laughed so hard even though I was sad. RIP Mangufuli.
Mwinyi yuko vizur anasoma bila miwani God bless you grand papaa
mashaAllah Tabarakah Allah
Allah amjaalie kaul thabit
Nafarajika sana kumuona raisi ambaye hakuniongoza yaan nilikua bado sijazaliwa leo namskia nimefarijika sana ubarikiwe sana
Aisee kuna Watu MUNGU kawajaalia udongo mzuri’ miaka 96 bado angali anafanya baadhi ya mambo kwa ufasaha...!...Ahsante Mzee Mwinyi Kwa kuwafariji wafiwa ..!
Anasoma bila hata kuwa na miwan lakin vijana wa miaka 12 tu saizi hawezi kukaa bila miwani
What a great tribute ! RIP our dear Presidents, Magufuli and Mzee Mwinyi 🙏🏿🤲🏼🫶🏾
Mungu akupe maisha marefu baba hakika unafurahisha
Nakuunga mkono mzee Mwinyi, kweli JPM kafanya mengi mno, mno, makubwa na mazuri ya maana.
RIP JPM baba!!!!!!!!
Hii ndiyo hotuba pendwa toka kwa mzee Rukhsa 😂 mpk watu walisahau km wamefiwa, nilitamani ufikishe miaka 100 tukufanyie birthday ya Taifa lakini Mungu amekuhitaji kabla.. Nakuliliaa mzee Mwinyi. Allaahumma ghfirlahu wa Arhamahu wa Maskanahu fil JANNATUL FIRDAOUS... Innaa lillaah wainnaa ilayhi raajioun 🙏🙏🙏
Amina mzee Mwinyi maneno mazuri RIP John Magufuli
RIP mzee mwinyii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nilikupenda Sana hii siku ulitufurahisha but now haupo nas .. pumzika kwa Aman😭😭😭😭😭😭😭
Babu hassan mwinyi long life bi idhni Llahah, you made my day
Masha Allah , yaani mpaka raha mzee Mwinyi
Baba mung akuwek meno ujang, oa hat moj namuach mazim mungu azid kukuwek akup uwah mref san
Jamanii ukiona kitu hukijui we nenda ukamuulize mama siti ,daaaahhh mzee Allah akupe umri mrefu zaidiiii
Umeongea mambo mengi sana ya msingi japo umetufurahisha sana umefanyi kamfaraja
Mimi binafsi nakupenda Mh. Rais mstaa babu yangu Mwinyi ni utukufu kwa Mungu kukupa maisha marefu na akujaalie zaid na zaid ili atukuzwe sana Mungu wetu 😁😀😊
Ishi miaka mingi mh mstaafu Ally Hassan Mwinyi.
MZee mwinyi. umli umeenda unatuchekesha bana.Asante kwakuleta tabasam kwa wafiwa
Kweli kulia kupo na kucheka kupo asante mzee wetu mwinyi umefanya tutabasam haliyakuwa tunamajonzi makubwa
Rara salama mzee
umeondoka leo nakuckilza tenah mzee wetu 😢
Moyo mweupe msafi wa kidhahabu alioumiliki huyu mzee mungu amrehemu na amuweke mahala pema peponi
Innallillah rajiun,nimeirudia hii hotuba ya Mzee wetu hakika Mungu amechukua jembe lake ,Allah akupe kauli thabiti babu yetu
Dah!! Innalillah wainna ilayh rajiun Mzee Ruksa 😭😭😭
Ulikuwa huna baya maskini baba wa watu.
95 but still going strong. Much respect 🙏 Rest in peace JPM🙏
wooow is 95,I can't believe it because he doesn't look that age
And he can read without glasses 👓
Mzee wa ruska 😍😍😍😍 my mum told me alot of goods abt him
Me too yani
Goods si ni bidhaa hizo au mi ndo sielewi
Goods umezingua na wewe Goods ni bidhaa.
@@thomasgogomoka6404 mambo
@@lightrich6436 hii
Uliwahi ona waombolezaji wakipiga makofi? Marachache sana. Mzee wa busara huyo RIP Mzee Mwinyi.
Mungu akujalie maisha marefu,yenye afya na nguvu..through this anointing of life,I tap the same in Jesus name.Amen,Amen.
Asante mzee wetu kwa kutufaliji mungu akupe umri mrefu
Ulijua kutupotezea stress kwa muda Baba😂😂😂
I love this man man shaa Allah love from 🇷🇼
Unapendwa sana mwinyi ______ saw a
Unastahiki pongezi mzee wetu mwinyi kwakumpongeza ayati mpedwa wetu ayati joni magufuli.❤
MI NI FUNDI MIWANI MARA NYING SANA WATU WAKIFIKA MIAKA 40 Wanaanza kuvaa miwani za kusomea LAKINI MZEE MWINYI BADO YUPO NGANGARI HAIJALISH MIAKA GANI YUPO ILA BADO ANASOMA BILA YA MIWANI , NA UJASIRI WA KUONGEA UPO VILE VILE NIMEPENDA SANA
Kweli kabisa mzee Mwinyi yeye wa kipekee
Thank you for making Janet smile at least. You are aging with your charm and wisdom grandpa
Mwinyi yupo leo na kaona maendeleo mengi sana ya nchi
At 1:13-20. Kwa mara ya kwanza ndo naona bodydguard wa rais anacheka. I've never seen that b4
Huyo siyo bodyguard ni ADC
Ni ADC
Mungu ampe afya njema Sana mzee wangu
Former president I wished you more life and healthy to be able to get a good feel for your family and your friends amen
Mzee wa ruksa umli ime kwenda, baba mungu akulinde
Mzee uishi Miaka mingi zaidi
Babu bado uko. Vizuri. Endelea kutuasa yaliyo mema. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu afya njema pmj na Bibi. Siti.
Upo vizuri mzee wetu
Nimejikuta nacheka alivyo sema inatosha eeenh 😂😂😂 dah allah akupe qauli thaabit na kaburi lako liwe viwanja miongon mwa viwanja vya peponi nakukumbuka ulikuja shulen kwetu azam kufungua msikit pale azam complex kwa sheykh twalibu
Kweli kabis🎉a wewe BABA MWEMA SANA. MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHERI. RIP BABA
President Mwinyi is God sent to heal us in this time of need and the loss of loved one Dr JPM. He made Baba and his Angels smile in Heaven 🙏🙏🙏😀😀😀just like he made us smile . He lightened up our spirit and soul.
Long life and God Bless President Mwinyi and be strong Tanzania.
Love and Best wishes from the USA 🇺🇸🙏🙏🙏🙏🙏
Nice 1 mzee mwinyi😀👏👏
Samah😂♥️
Leo nimerudi kuzitazama hii hotuba ya Raisi wangu Mwinyi upunike kwa kwa Amani
Mimi pia nimerudi tena kuitazama Rest in peace Mwinyi
Be blessed Mr.Mwinyi
R I P wazee wetu mwinyi na magufuli😭😭😭
Mzee mwinyi ishi miaka mingi amiin.
Nae kaenda jamqn 😢😢daaaa wazeee wa busara wanaondoka 😮😮😢
Allah akupe umri mrefu mzee mwinyi
Mpambe ameshindwa kujizuia ,,imemlazimu acheke tu maana mzee Mwinyi ameamua kuwatoa kwenye huzuni
Mzee Mwinyi alitumia sana muda kuwatoa watu kwenye msiba kuwasahulisha kama wapo kwenye majonzi kwa muda molla mpe kauli thabiti Mzee Mwinyi
Sasa na mwanao hussen ajipange na yy nae ni rais ayafanye kama hayo
Kuswali lakaa 5 kila cku na kufanya ibada kwa mda mrefu na kufata alotuelekeza mwnyezi mungu na kutenda mema ni tiba tosha kwa kila binadam
I m very sad for losing our best president John Pombe Joseph Magufuli RIP so please all Tanzanian don't ever loose hope let's fight against corruption
Mung akupe maisha maref rais wetu mstaaf mchesh
Mwinyi kazaliwa 1925 daaah naomba mmngu nizeeka ivyo
Ameen
Ameen
Amen
Kuna mzee anaitwa Gwassa kazaliwa 1922 kasoma na Nyerere, kamfundisha adi mkapa Kaigo
#Blacks are true Jews
Inalillah waina illah rajiun tutakukumbuka kwaucheshi mzee wetu msalimie jpm😢😢😢😢
Ha ha ha 🤣Nimejishtukizia tu nacheka automatically 🤣Hawa ndo wahenga wetu, na sikweli ka nxt generation tutapata tena wazee wenye busara na matamshi ya ucheshi ka hawa
Raha sana kuwa na mzee kama wewe
Nimegundua hakuwa mnafiki huyu baba!
Hanaga unafiki huyu baba
Kabisa he was such a good soul 😢
Rest in power Babu yangu..yn umeenda hata miwani hujavaa?
M/mungu akujaalie Pepo njema
Aisee mzima huyu hadi umri huu havai miwani ila watoto wake wote hawaoni hadi kwa miwan pumzika salama
Mungu akulaze mahali pema peponi ulikuwa mwema sana kama mwanao Hussein Mwinyi
Nlicheka sanah though was in pain of loosing a my president.. much love to all the Tanzaniaz presidents..
Pole baba alla akubalimsamaha wako. Amina
❤️😍angekua babu yangu ni kusmile tu
Allah akupe furaha na ulipo yarabb
Nimejikuta narudia kufuatilia tukio hili kwa heshima ya Hayati JPM anapoelekea kutimiza miaka miwili toka kifo chake.
Wangapi tupo hapaa baada ya mzee wetu kututoka🥲
Kweli Jungu Kuuu halikosi Ukoko. Watu wamelia Week Nzima ila siku Ya Maziko wamecheka. Heko Mwinyi.
Great 👍
Mwinyi Uishi miaka Zaid. God bless u.
Babu wetu wa nchi jaman lazima babu awe mchezi
Mzee alikuwa na hotuba tamu sana juu ya JPM vile tu kusoma kwa haraka haraka inampiga chenga juu ya umri.
Nampenda sana mzee wetu mwinyi
Pumzika kwa amani mzee mwinyi😢
Wazee wetu na baba zetu walipata wake bora sana
Balaaa tunalo sie tuliozaliwa miaka ya 90 mpaka 2021 tunajuta kuijua hii dunia
Kwann tena😂😂
kumbe sio mm tu ww umo
Na Mimi huwa najuta sana
@@tegezdomin8363 dah lkn sijuii wengi wao hajawamliza ujana wao
Aiseeh mzee Wetu Umeenda. R.I.P mzee Mwinyi
❤❤❤❤mwinyi jmn😢😢
Allah akulipe kher
Kiukweli Nimesahau Kama Hapo yupo Msibani Maana Watyu Wame Enjoy Kwa Furaha Maana Kawafariji Wafiwa yaani Huyu Mzee Sijui Urais Wake Ulikuaje Maana Anaonekana Alikua Nimtu wa Watu na Alikua Mcheshi Kwenye Huzuni
MUNGU AKUBARIKI SANA BABA YETU