UJUMBE MZITO WA MWENYEKITI WA CPCT KWA WACHUNGAJI NI HUU...MSIGOMBANIE WASHIRIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Ujumbe mzito wa Askofu Mkuu wa Kanisa la TAG na Mwenyekiti wa Cpct ni huu.. Msigombanie washirika

КОМЕНТАРІ • 21

  • @nuhumhagama2132
    @nuhumhagama2132 25 днів тому +1

    Ahsante baba umenigusa sana kwa Habari ya mchungaji kuwahi ibada wakati wa sifa🙏🙏 maana wengine huingia ibadani wakati wa neno pia hata wake za maaskofu na wachungaji huchelewa kuingia ibadani kana kwamba ibada ya kumuabudu Mungu kwa nyimbo za kuabuadu kusifu na kwaya si sehemu yao

  • @akianambwilo7733
    @akianambwilo7733 12 днів тому

    Be blessed man of God

  • @StanslausDonatus
    @StanslausDonatus 20 днів тому

    Amen, Baba

  • @RajabuKiedu
    @RajabuKiedu 17 днів тому

    Amina baba ila izo seminar ziwe mala kwa mala maana adui yupo kuaribu kazi ya mungu

  • @JohanesJester
    @JohanesJester Місяць тому +1

    Kweri baba

  • @juliussimwinga8435
    @juliussimwinga8435 Місяць тому

    Hongera sana Baba kwa utumishi mwema uliotukuka.

  • @elirehemaringo188
    @elirehemaringo188 Місяць тому

    Maneno mazito sana yakujenga na kumrejea Mungu kwa upya japo kaongea kwa upole na kwa utulivu lakini yana uvuvio wa nguvu za Mungu tukiyaishi aliyoyaongea tutamuona Mungu kwa ukubwa zaidi katika maisha yetu kila eneo, na hayo hayakuwa tu kwa wachungaji hapana hayo ni kwajili ya kanisa la Kristo mimi na wewe

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 17 днів тому

    Wapentekoste wa zamani hawakuwa na mapambo,Hata kusuka nywele Walikuwa hawasuki,Askofu wetu tusaidie Kwa hiyo roho ya Yezebel ilio livamia kanisa la Sasa,Uzinzi na mapambo ya mwilini

  • @ericaerasto2192
    @ericaerasto2192 Місяць тому

    Amina.usiguse mpakwa mafuta wa Bwana.

  • @GraceNicolas-tr8sk
    @GraceNicolas-tr8sk Місяць тому

    Dah umeongea mambo mazito baba,Mungu akutunze baba yetu

  • @hemedshalua2002
    @hemedshalua2002 Місяць тому

    Umeongea mambo mazito na ya kweli Bishop.

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 Місяць тому

    Ni kweli tunatakiwa kuwa wa kwanza.
    Kusifu na kuabudu kunajenga mahusiano yangu na Mungu.

  • @williammlimakifi3458
    @williammlimakifi3458 Місяць тому

    blessed

  • @hosannakamwela9286
    @hosannakamwela9286 Місяць тому

    Imeenda hiyo. BARIKIWA

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE Місяць тому

    Yaaan umesema kweli baba

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee Місяць тому

    Ukweli utatuweka huru.

  • @emanuelsanga6456
    @emanuelsanga6456 Місяць тому

    Baba hio ungonja upo kwa watumishi wengi

  • @WinifridaDuma-ld1yn
    @WinifridaDuma-ld1yn Місяць тому

    Hahaaaaa

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Місяць тому

    WACHUNGAJI WA DESIGN HIYO SIWAELEWAG AMBAO WANAKUJA SIFA ZIMEISHA, WANAKUJA KUHUBIRI TU.

  • @WinifridaDuma-ld1yn
    @WinifridaDuma-ld1yn Місяць тому

    Hahaaaaa