Amen . Mchungaji anaongea kwa mamlaka hata vibwengo lazma viufyante... Barikiwa mtumishi wa Mungu , chapa kazi ya Mungu ulimwengu uokoke ktk Jina la Yesu
Yan TAG Mungu awafungue. Yan uyu mzee wameamua kumpoteza kwny dini yao. Ngoja tumchukue sisi wenye hamu ya kwenda mbinguni. Nyie mnaofanya biashara yakushusha walio hangaika Mungu awasaidie
Nimeanza kufuatilia mahubiri ya huyu mzee wa imani baada ya kujitoa TAG nimetambua hakika Mungu anamtumia kwa viwango vya hali ya juu sana.. Mungu azidi kukuinua
TAG mmekosea sana kwa MUNGU na kwa wanadamu kwa kuteleza na kufarakana na Magembe TAG poleni sana kumpoteza Magembe nuru/taa ya YESU iliyokuwa ing'aayo gizani
Nafuta naandika ubarikiwe sana mzee wangu kilichopo ndani Yako ni Cha Mungu wa kweli kabisa nakupenda sana mzee nakipenda kilichopo ndani Yako niombee baba ukisoma comment yangu nakupenda😭😭
Baba yangu na Mungu wangu utusaidie tuweze kuelewa maneno haya mazito kutoka kwa baba yetu wa imani mchungaji Moses Magembe. Naomba tusaidie kuelewa eee Bwana wetu hili neno ambalo Roho Mtakatifu asema na kanisa lake.
Mtumishi wa mungu alie hai umenipa wivu mwingi sana wa mungu naomba niruhusu nikujie ulipo uniombee kama wale watumishi walivombewa na bibi nikautumikie huu wivu plz
Tafiti kama hizi inatakiwa afanye askofu mkuu ili ajue pakuanzia, maana yule bibi anasema aliyeingia amevaa hereni, mikufu, shanga na bangili alikutana na Roho Mt na hawakuvaa tena, kanisa la leo hivyo vitu tumehalalisha na wachungaji hawaoni kama ni uovu. Watu wasuka, wanajikilimu, wanavaa mawigi na kujinakisha. Ninachomshukuru Bwana Yesu amemsaza ili ashuhudie japo wachungaji wetu hawana mpango naye bali wanaiamini thiolojia Sana.
Kwa upako wa MUNGU ambao Magembe anao alistahili ndiye awe askofu mkuu TAG badala ya TAG kufarakana naye oooooh poleni sana TAG mmepoteza dhahabu ya MUNGU
Mchungaji Magembe Mungu akubariki sana hii nchi ingekuwa na hawa watu 33 tu pangechimbika
Yn 33 weng sana was tu wangetosha
Mungu akubariki Baba kwa umishi mwema akuzidishe 31:09
Bwana Yesu asifiwe Mchungaji.fanya ziala uje kigoma maeneo ya Mnanila tunabarikiwa na huduma yako.uje baba tutapendezwa sana
Amen . Mchungaji anaongea kwa mamlaka hata vibwengo lazma viufyante... Barikiwa mtumishi wa Mungu , chapa kazi ya Mungu ulimwengu uokoke ktk Jina la Yesu
Magembe mimi nakukubali mungu akupake mafuta mabichi kila kukicha tena wewe baba upo kiroho sana
Amen..nimepokea kwa neno la mtumishi wa Mungu
Hallelujah Mungu nisaidie niyashinde majaribu ya duniani
Amina amina mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Yan TAG Mungu awafungue. Yan uyu mzee wameamua kumpoteza kwny dini yao. Ngoja tumchukue sisi wenye hamu ya kwenda mbinguni. Nyie mnaofanya biashara yakushusha walio hangaika Mungu awasaidie
Daaah Yesu wetu tusaidie nyakati hizi ngumu za mwisho
Mungu akubariki sana baba yetu kwa injili na neno lenye nguvu za Mungu.
Mungu akupe afya na siku tele ili kusudi la Mungu lifike kila mahali.
Hallelujah,haka ka bibi Yesu akatunze kwa ajili ya ushuhuda
Nimeanza kufuatilia mahubiri ya huyu mzee wa imani baada ya kujitoa TAG nimetambua hakika Mungu anamtumia kwa viwango vya hali ya juu sana.. Mungu azidi kukuinua
Eee mungu wangu niponye na mimi moyo wangu ni rehem na unisamehe,najifunza kupitia mtumishi wako
Ahsante YESU Kwa zawadi hiii katika kuujenga mwili wa krsto
Karibu sana MWANZA mchungaji Magembe baraka kubwa sana kwa kizazi hiki
Amina mtumishi wa mungu magembe mungu akutunze uziponye dini
ubarikiwe sana baba mchungaji natamani sana nijuwe unapatikana wapi ili nije uniwekee mikono juu ya kichwa changu nahisi kuokoka
Njoo ndg yangu heri wamutumainio bwana
TAG mmekosea sana kwa MUNGU na kwa wanadamu kwa kuteleza na kufarakana na Magembe TAG poleni sana kumpoteza Magembe nuru/taa ya YESU iliyokuwa ing'aayo gizani
MUNGU AKUTUNZE UPAKO HUU UWE MPYA KILA SIKU NDANI YA MIOYO YETU
Mungu atusaidie hii injili Moto kweli kweli turudi kwenye viwango
Amina mtumishi magembe Mungu akupe siku nyingi za kuishi
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana Mungu aongeze viwango zaidi na zaidi
Mama kashindwa kukaba upako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 amen
Hii sio tu kwa TAG hii ni UAMSHO kwa Mwili wa Kristo Tanzania nzima
Nafuta naandika ubarikiwe sana mzee wangu kilichopo ndani Yako ni Cha Mungu wa kweli kabisa nakupenda sana mzee nakipenda kilichopo ndani Yako niombee baba ukisoma comment yangu nakupenda😭😭
Amen
Ameen
Wa makanisa mengine tunakuungq mkono baba
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
Mungu wa mbingu atusaidie mm na familia yangu mume na watoto wangu tudirudi nyuma
Mchunganji tunahitaji hilo neno la kweli tufunguliwe na neno la Mungu
Tafathali njo kwetu Kenya,Nakuru city
Halleluya! Ninaomba mtusaidie kuya-share mafundisho kamili! Shalom
Pst Magembe is a real man of God.
Barikiwa sana man of God Pastor Maghembe🙌
Injili isiyogushiwa ni tamu sanaaa.Amen Siogopi sirudi nyuma nakaza mwendo niifikie ile mede
Naguswa sana na neno lake Mungu nisaidie niokoke kwerikweri
Amina Sana barikiwa Sana Sana mtumishi Mungu akutunze Baba
Barikiwa baba yangu uishi miaka mingi yenye afya, baraka na amani
Baba yangu na Mungu wangu utusaidie tuweze kuelewa maneno haya mazito kutoka kwa baba yetu wa imani mchungaji Moses Magembe.
Naomba tusaidie kuelewa eee Bwana wetu hili neno ambalo Roho Mtakatifu asema na kanisa lake.
Asante baba kwa mafundisho yenye nguvu za Roho
Amina baba hakika ijili ya kiwango sana hadi inaogopesha Mungu akubariki sana mchungaji turudi igale
Nabarikiwa sana na mafundisho
Oooh my Load nisaidie mimi niwe hodari na moyo wa ushujaa 😢😢
Mtumishi wa mungu alie hai umenipa wivu mwingi sana wa mungu naomba niruhusu nikujie ulipo uniombee kama wale watumishi walivombewa na bibi nikautumikie huu wivu plz
❤❤❤ Yôoooooo MUNGU MUUMBAJI AWE NAWE past MAGEMBE TUNAKUSHUKURU
Amina Amina napokea baraka kwa jina la yesu kupitia mahibiri haya in the mighty of the Jesus name
Barikiwa baba Yesu wako nimemwelewa Aminaàaaaaaa
Ee Mungu nisaidie niwe muijilist nifanye watu wanafunzi wake.huu ujumbe umenitisha. Ee Mungu nifundishe.
Amen, Mubarikiwe sana. Tume barikiwa kweli
Ubarikiwe mchungaji kiongozi wetu YESU KRISTO azidi kkuinua
TAG mmekosea sana mlipaswa mjifunze maombi ya YESU yasemayo "Baba naomba wawe na umoja kama sisi tulivyo na umoja" badala ya kufarakana na Magembe
Acha uchochezi t a g tunampenda Sana mzee waimani mosses magembe
Mungu akutunze Pastor, unasaidia wengi.
You have been a blessing to me Pastor! I'm in Kenya and would wish to join your Bible School.Advice on how to please
Ubarikiwe sana Baba nakuelewa msukuma mwezangu
Mungu nisaidie
Ameeen pastor magembe ww ni jembe la yesu
Absolutely you Yes man of God 💯%
Amina Amina Amina Amina MUNGU akubariki
amina mtumishi wa Mungu ni kweli ndio maana makanisa yamekufa
Yesu tusaidie
🎉mungu akuongezee siku za kuishi uhubiri zaidi injili ya kweli nabarikiwa sana amen
Eee Mungu naomba nipo ujasiri na moyo wa ushujaa sawasawa na neno la mtumishi wako napokea kwa Jina la Yesu aliye Hai
Amina ubarikiwe sana
Magembe baba yesu akutumie zaidi na sku moja tukutane mbinguni
Mungu na akubariki sana baba Magembe sema tupone
Nimebarikiwa na kuinuiwa kwa maneno yako ,Mungu atujalie kuinuka tena na kuihubiri injiri yenye nguvu
Amina Amina Amina, Mungu yuko hapa
Napokea baba amina
Baba ubarikiwe sana makanisa yamekufa ,karibu dodoma kanisa la msamaria mwema angilikana tunasali huku maaskari wanaturinda uko wap uliponye kanisa
My pastor nakuelewa sana
Barikiwa baba
Mungu akubariki sana Baba Amina kubwaababa
Mtumishi wa kweli kabisa
Napokeya kwajina la yesu
Naomba Namba ya Rev: Moss
hongera baba kwakukumbusha njia ipaswayo kufuatwa
HIZI NDO INJILI THABITI,BARIKIWA SN
Umeona eee
Ubarikiwe sana baba yetu
Amina sana❤
Mungu akubariki sana
Amina Mungu atusadie tunamuomba
Barikiwa mtumishi
Amina pastor.
Amen 🙏 Pastor 🙏
Amen, kumkabiri shetani hakuna kudekadeka!!,
Sahihi kbsa nimefika igale na mazingira nineyaona na history hii nimeipata Barbara!
Ee Mungu nisaidie nikupokee rohoni mwangu 😢😢😢
ubarikiwe baba
Oh this type of Gosepel is so blessed. Different from what Lovy Logomba is propagating
Mungu atusaidie kutoipenda Dunia Wala kuifuatisha Ili Roho Mtakatifu adumu ndani yetu Halleluya!
Barikiwa Saaana Magembe Rafiki yangu acha TAG wa kudharau sisi wa madhehebu mengine tunachukua mafundisho yako na tuna jaza makanisa TAG acheni uoga
Mbona hapo ni kama yupo TAG au sijaona vizuri
Tafiti kama hizi inatakiwa afanye askofu mkuu ili ajue pakuanzia, maana yule bibi anasema aliyeingia amevaa hereni, mikufu, shanga na bangili alikutana na Roho Mt na hawakuvaa tena, kanisa la leo hivyo vitu tumehalalisha na wachungaji hawaoni kama ni uovu. Watu wasuka, wanajikilimu, wanavaa mawigi na kujinakisha. Ninachomshukuru Bwana Yesu amemsaza ili ashuhudie japo wachungaji wetu hawana mpango naye bali wanaiamini thiolojia Sana.
Mkuu mbona kama una muhemko hapo anafanya kazi ya TAG sasa wamemdharau vpi na yuko kamati kuu
@@samuelErnest-s9q hii kauli ya kudharauliwa kailudia mwenyewe mala nyingi tu hatumuwekei maneno mdomoni
Unatukosea
Mungu tusaidie
🎉jamani wachungaji chukueni maamui ya kubadilika msiki huyu mzee acheni kutumika kistaarbu rudini pentekostekoste
HAPO KWA KUMULETA WAKALA NIMEGoNGA ukiokoka na mchungaji akiwa na Nguvu za Mungu wakala wa shetani atakimbia,
Mungu akutunze
Yeeeesuuu njooo nisaidie
Bwana akutunze pastor nimeinuliwa upya
God bless you Amen
Ehee Mungu nibadilishe na mimi
Balikiwe sana mtumishi wamungu hakika injili hii itatafutwa sana mama ulimwengu nakanisa limehalibika lakin huyu Baba hakika anamjua Mungu
Hakika Ubarikiwe zaidi
amina Mchungaji Magembe nakuelewa sana baba.
Kwa upako wa MUNGU ambao Magembe anao alistahili ndiye awe askofu mkuu TAG badala ya TAG kufarakana naye oooooh poleni sana TAG mmepoteza dhahabu ya MUNGU
❤Hili ni Jembe kwa upako wa namna hii shetani hewezi kubaki salama piga au garagaza
utukufu ni kwa Mungu