DALILI ZA KURUDI KWA YESU| Rabbi Abshalom Longan| RUNZEWE GEITA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @DoriceMkufya
    @DoriceMkufya Місяць тому +5

    Kwakweli Mungu na atusaidie inaogopesha sana na nihakika mwisho umekaribia maana yaliotabiriwa yote yanaonekana,ahsante Mtu wa Mungu kuyaweka wazi haya

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 7 днів тому

    Haleluya aleluya usifiwe Mngu anaweza yote 🙏🔥 congratulations pastor unafundisha vizuri sana God bless you and your family and all 🙏🔥❤️🎉🌹🌹🌹🌹

  • @MsumariMariana
    @MsumariMariana 2 місяці тому +6

    Hakika huu ni ujumbe wa kuamsha Roho za wakristo zilizolala.,Naam ni mahubiri yenye msisimko kwenye akili za wenye kumtafuta kumcha Mungu."" Muhubiri Mungu akulinde, akutunze ili ujumbe huu uwafikie Ulimwengu wote. Mungu akubariki vya ziada.

    • @EuniceKulindwa
      @EuniceKulindwa Місяць тому

      Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe

  • @BonifaceKyando-f5x
    @BonifaceKyando-f5x 4 місяці тому +4

    Ni hakika BWANA yu karibu kurudi maana ishara zote zimetimia . Ubarikiwe mtumishi Kwa kutukumbusha.

  • @NDAISABASIMONI
    @NDAISABASIMONI 2 місяці тому +2

    Hakika ujumbe huu unanibari na kuniongezea imani na hatua ya kuwa imara kiroho. Natamani ufike kwetu Dar Chanika.

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV Місяць тому

    Mungu akubariki Mtumishi. Umenifunza mengi binafsi na kunijenga imani . Mungu wa Israeli azidi kukutumia kwa utukufu wake . Yesu akija atupate kanisa liliandaliwa lisilo na mawaa. ❤

  • @PhabeyJr
    @PhabeyJr 5 днів тому

    Mungu akubaliki mtumishi wa mungu japo inaogopesha mungu atusaidie jaman😢

  • @hoseazakayo3779
    @hoseazakayo3779 4 місяці тому +18

    Wapendwa ktk Yesu kiristo tukae tayari kwa ajili ya unyakuo Yesu yupo mlangoni kuja kutuchukua tuendelee kuutunza utakatifu kwa maombi na kumtumikia Mungu

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 4 місяці тому +3

    AMEN. Asante Kwa Mafundisho mazuri yanayotufanya tuzidi kujiweka tayari Kwa unyakuo. Na tuzidi kuwaombea Waisrael Maana wokovu watoka kwao.

  • @JacksonMgonja
    @JacksonMgonja 2 місяці тому +1

    ❤,,,,,,Ameni, barikiwa mtumishi.endelea kutuamsha

  • @MeshaelVincent
    @MeshaelVincent 2 місяці тому +2

    kwakweli tunajifunza kwako mambo makubwa sana baba.Mungu akuinue zaid

  • @hidayangoda4724
    @hidayangoda4724 4 місяці тому +2

    Asante sana Baba kwa mafundisho yenye ukweli kabisa kwa maanadalizi ya kurudi kwa YESU❤

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 2 місяці тому

    Asante sana Mchungaji Longan kwa injili hii muhimu sana ambayo haihubiriwi akanisani Wala kwenye redio za Kikristo.

  • @EmanuelEdward-b3d
    @EmanuelEdward-b3d Місяць тому

    Mchungaji na mwalimu..Mungu amekuweka TZ ilituufikie wakati wa unyakuo...maana fundisho hili juu ya ujumbe wakurudi kwa yesu ..huwezi kukupata maeneo mengi ya makanisa..nakupenda Natamani kama unaweza kutoa namba yako nikotayari kusapoti kz yako kwa njia ya sm..Barikiwa Baba

  • @EliyaBahati-l2u
    @EliyaBahati-l2u 2 місяці тому +1

    Asante sana kwa mafundisho yanayohusu siku zs mwisho .Mimi napenda habari kama hizi kuliko habari za miujiza miujiza .ubarikiwe

  • @nyamburanyamwaka6570
    @nyamburanyamwaka6570 3 місяці тому

    Asante mtumishi wa mungu kwa neno lakutuhimiza katika kumungoja bwana wetu yesu kristo; mungu atuwezeshe tunyakuliwe.

  • @DonatSikubwabo
    @DonatSikubwabo 3 місяці тому

    Asante kwa ujumbe unaofaa kwa kanisa la Mungu
    Mimi ni mchungaji anayekufuata akiwa congo drc je unaweza kuja huku kufanya mikutano ya injili n'a semina kwa wachungaji
    Asante

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому +1

    Mwana wa Mungu Glory be to God Mimi niishi uwepo WA Mungu ninapozikiza unapo hubiri kurudi Kwa Yesu utukufu na sifa simurudiye Mungu ❤❤❤ napenda Sana mafundisho mazuri Ya kurudi Kwa Yesu

  • @LazaroAlfred-f5t
    @LazaroAlfred-f5t 4 місяці тому +3

    Amen Amen Bwana utusaidie kujiweka tayari Ili tusiaibike ajapo punde!

  • @neemakusuhibwa347
    @neemakusuhibwa347 3 місяці тому

    Amina mchungaji ubarikiwe ,mafundisho mazuri lazims uwe na sikio la rohoni ndio utaelewa Mungu utusaidie

  • @MwambaDidier-wq4qu
    @MwambaDidier-wq4qu 3 місяці тому +2

    Mutumishi naguswa sana na neno la Mungu ubarikiwe sana kwakuhuburi kuhusu unyakuo wa kanisa

  • @Martine-bd3sy
    @Martine-bd3sy 3 місяці тому +1

    Njoo Bwana Yesu kristo tunakusubiri .barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @AssumpterMshamaAssumpterM
    @AssumpterMshamaAssumpterM Місяць тому

    Mungu akubari sana. Rabbi je mtu akiandaa mkutano na kukukarisha uje kuhubiri anatakiwa kufanyanini? Mimi ni mch. Assumpter nimeanaa mkutano wa ukombozi wa uzao wa mwanamke. Wilaya ya Missenyi mkoa wa Kagera. Baada ya kukusikiliza kwa makini naona unweza kutusaidia. Ubarikiwe sana

  • @ChariteBila
    @ChariteBila 2 місяці тому +1

    Mungu akuzidishie mutumishi wa mungu, charité Mathe kutoka DRC kwenye Park mbuga la wa nyama garamba karibu n'a Soudan.

  • @OmolloTitus
    @OmolloTitus 2 місяці тому

    Njoo kenya mtumishi...wahubiri wa siku hizi..hawahubiri maneno haya...umenitia kiu ya kutafuta uso wa Mungu.

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому +3

    Aminaaaaa barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 3 місяці тому

    Amina Amina bab wawekeni watu tiali watakao elewa waelew watakaopuzia ww umeshanawa pia mungu aendelee kukutia nguvu usonge mbele

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 2 місяці тому

    Mafundisho nadra. Be blessed Mtumishi wa MUNGU

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 3 місяці тому

    Asante kwa mafundisho Mazuri japo ni magumu kwa sisi binadamu kuyapokea kwangu nakukubali Mtumishi tufanye nini babayangu

  • @NancyTemu
    @NancyTemu 2 місяці тому

    Ni kweli,Mungu Tusahidie / nisahidie siku hiyo inikute safiii nisahidie Baba😊

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 2 місяці тому +2

    Mtumishi wa bwana huo ujumbe ni mzuli sana na hakika watumishi wa mungu wapate ufunuo huo ambao wengi wa watumishi hawa hubiri unabii huu kama vile wewe nabii ABSHALLOM LONGANI BWANA AKUJAZE ZAIDI NA ZAIDI AMINA

  • @DaviaLeroi
    @DaviaLeroi 3 дні тому

    Bwana Yesu asifiwe

  • @EvelinWilson-zx6uq
    @EvelinWilson-zx6uq 4 місяці тому +2

    Amen papa mungu akupenguvu. Ubarikiwe sana

  • @ELYNEEMANAMAN
    @ELYNEEMANAMAN 3 місяці тому +1

    Mungu aendelee kukutia nguvu mtumishi wa Mungu napenda Sana mahubiri yako Mungu anisaidie

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 4 місяці тому +2

    Kweli Baba hakika naitazamia siku ile

  • @LornaMwaluko
    @LornaMwaluko 7 днів тому

    Hakika nabarikiwa. Na mafundisho haya. Kwani. Mungu amemtumia. Mtumishi huyu. Kunielumisha Asante. Mungu. Azidi. Kukutumia. Qtu. Whye 11:09

  • @theresiapaulla741
    @theresiapaulla741 2 місяці тому +1

    Mungu azidi kukubariki na kukutunza unatufungua macho. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @HermanKahebwa
    @HermanKahebwa 3 місяці тому +2

    Mungu akusadiye kwakutukumbusha nyakati turiyomo za mwisho.

  • @LeticiaAloyce
    @LeticiaAloyce 3 місяці тому

    Mungu akubariki mchungaji kwakutu kumbusha kuifanya kazi ya Mungu kwani siku zimeisha yesu yukalibu kurudi

  • @frank-xp9cp
    @frank-xp9cp 3 місяці тому +1

    Amen mtumishi hakika matamshi yako yanaleta usikivu wa neno.

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nabarikiwa Sana mutumishi wa Mungu

  • @ajiaally3269
    @ajiaally3269 2 місяці тому +1

    Uyu mtumushi ni myaudi kwa hyo lazima htakandia sehemu nyingine.mbna sh pin yupo vizuri

  • @ndjaba_ushindi
    @ndjaba_ushindi 4 місяці тому +2

    Ubarikiwe zaidi mtumishi wa MUNGU

  • @PelesiMethod
    @PelesiMethod 4 місяці тому +2

    Asante kwa kuendelea kutukumbusha Asante San baba lein longan amen 🙏🏻

  • @SekiMario
    @SekiMario Місяць тому

    Asante kwa mafundisho mazuri twazid elimika

  • @EliahVenance-y2t
    @EliahVenance-y2t 3 місяці тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu tumejifunza mengi hapaa Runzewe

  • @AbelyNtandu
    @AbelyNtandu 4 місяці тому +1

    amen amen
    mtumishi MUNGU akubariki sana usipungukiwe utokapo na uingiapo na akujae hekima,maarifa na moyo wa ushujaa na uhodari ukazidi kuhubiri kweli yote iliyokusudiwa sawasawa na Uongozi wa ROHO MTAKATIFU

  • @MwasongweHosea
    @MwasongweHosea 3 місяці тому +1

    Hakika siku ya Bwana ipo mlangoni,.Mungu atupe ufunuo tusije angamia

  • @hamimuabdallah1337
    @hamimuabdallah1337 2 місяці тому

    Bwana Yesu asifiwe sana. Nakuarika Kigoma EAGT Betheli uje ufanye Semina

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 4 місяці тому +3

    Bwana akubariki sana mtumishi wa Bwana YESU

    • @odethamlyuka2552
      @odethamlyuka2552 3 місяці тому +1

      Amen mpaka nimeogopa Mungu nisaidie kuishi Kwa uaminifu

  • @rytv7339
    @rytv7339 4 місяці тому +3

    Mungu akubariki sana Mwalimu

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 2 місяці тому

    Hakika mtumishi wa Mungu umenigusa sana
    Maombi yangu kwako niombee nimalize mwendo na mwisho mwema

  • @BetramMyula
    @BetramMyula Місяць тому

    Munguakubaliki sana mtumishi hizi ni haha like njema

  • @WitoKonga
    @WitoKonga 3 місяці тому

    Ubarikiwe sana kuiamusha Nia yakristo yesu nda ni yangu

  • @NancyTemu
    @NancyTemu 2 місяці тому

    Mungu wasahidie Hawa ndugu zetu wenye mioyo migumu warejeee kwako Tusahidie

  • @marionntomola1686
    @marionntomola1686 2 місяці тому

    Ahsante kwa kutushibisha Neno. Amen.

  • @MachineTayc-x3e
    @MachineTayc-x3e 2 місяці тому

    Baba Mungu unipatiye mwisho muzuri nipate kuiona sikuya watakatifu

  • @WahelelwaEsube
    @WahelelwaEsube 3 місяці тому

    Tuko pamoja,endelea kutukumbusha ujio yesu kristo,ili tukeshe :soma. Mathayo 24:42.Asante na Mungu akubariki.

  • @Moseswamsema
    @Moseswamsema 2 місяці тому +1

    Mungu azidi kukuhudumia na barikiwa

  • @PastorJacoboBoyo
    @PastorJacoboBoyo 4 місяці тому +2

    Asante sana baba Mungu akubarik

  • @michaeljaphet2778
    @michaeljaphet2778 3 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu Bwana Yesu atubariki nimejifunza amina

  • @RobyGamba-p2x
    @RobyGamba-p2x 3 місяці тому

    Amina mwalimu natokea Congo Butembo Mungu akutie nguvu

  • @ChristopherMabena
    @ChristopherMabena 3 місяці тому +2

    Mungu Akubariki mtumishi WA Mungu

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 3 місяці тому

    Amina amina mungu akubariki mchungaji❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EuniceKulindwa
    @EuniceKulindwa Місяць тому

    Nikweli man sahv yapo matendo meng yaukweri

  • @elirehemamsembe658
    @elirehemamsembe658 3 місяці тому +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu.

  • @RhodaBajuta
    @RhodaBajuta 3 місяці тому

    Mungu akutie nguvu endelea kusema ukweli wa nyakati zenyewe za mwisho

  • @alexndonyemutuku6284
    @alexndonyemutuku6284 3 місяці тому +4

    Hallelujah Amen Ukweli kabisa

  • @MamaNkungi
    @MamaNkungi Місяць тому

    Amen amen mtu wa mungu natamani nipate namba yako maana naona ukuu wa mungu ndani yako NAMI nipate takasika

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 3 місяці тому

    Asante mtumishi wa MUNGU kwa elimu yako

  • @danfordmakingi729
    @danfordmakingi729 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana na barikiwa na ujumbe.

  • @GeorgeIgnatio
    @GeorgeIgnatio 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wa thamani sana

  • @ANDREWKIRUI-vo7wl
    @ANDREWKIRUI-vo7wl 3 дні тому

    Nakubali uko Na wito

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 3 місяці тому +1

    Amen amen amen 🙏 Mungu anisadiye animated nikotayari mimi na family yangu 😭Mungu wagu nisaidiye sana

  • @LazalojonasSinjeni
    @LazalojonasSinjeni 3 місяці тому +3

    Mungu tusaidie watu wako

  • @everkivuyo8596
    @everkivuyo8596 3 місяці тому +4

    Mungu wa Mbinguni Akubarikie Baba nkweli niliota juz tpo sokon ikatokea kama storm nyeus inapanda juu mbinguni gafla kulia nikaona wanyama na ile safina ya nuhu mbele alaf rainbow ikatokea nikaangalia angan kisha nikasikia wat tukiomba sana ...baba ata mpk sasa nawaza ile ndoto ilimaanisha nn

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 3 місяці тому

    Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @lucyngwale4365
    @lucyngwale4365 2 місяці тому

    Nasikia kulia tu Mungu baba nisaidie mimi namaanisha

  • @DanielBalolebwami-d4c
    @DanielBalolebwami-d4c 3 місяці тому

    Bonjour mutu wamungu ubarikiwe sana naku fat ani kiwa congo drc goma aste sana baba kwa kutu amusha kiroho

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 3 місяці тому

    Kunawachungaji nawafatilia lakini huyu hakika anaihubiri kweli ingawaje inawachoma wengi,mungu akubarki.

  • @FelicianFaustine
    @FelicianFaustine 2 місяці тому

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @ZephaniahMuna
    @ZephaniahMuna 3 місяці тому +1

    AMEN AMEN NAOGOPA MAFUNDISHO HAYA

  • @MARTINIOMBAY
    @MARTINIOMBAY 3 місяці тому

    Amen ubarikiwe mtumish

  • @jamesomanga5115
    @jamesomanga5115 2 місяці тому

    Asante kwa ujumbe.

  • @EstherNjambiKaranja
    @EstherNjambiKaranja 3 місяці тому

    How am I happy to get to your channel 🎉🎉🎉,nimesaidika saana,sababu nimeanza kuelewa mandiko matakatifu

  • @NancyNechesa-l8v
    @NancyNechesa-l8v 2 місяці тому

    Hakika huyu ni. nabii wa Mungu

  • @martinemedy
    @martinemedy 3 місяці тому

    Bwana YESU asifiwe baba ,Nifanye je niongee nawewe in box

  • @nawikemwasamboma5510
    @nawikemwasamboma5510 4 місяці тому +2

    ubarikiwe baba

  • @ZephaniahMuna
    @ZephaniahMuna 3 місяці тому +3

    AMEN AMEN KWELI UNABII UPO TAYARI

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому +1

    Ameeeeeen ameeeeeen

  • @JohnAmani-i1d
    @JohnAmani-i1d 2 місяці тому +1

    Tunagutiya moyo mutumishi wamungu Muendelee kutuokowa atakaye kurip ni Mungu mwenyew

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 4 місяці тому +39

    ENDELEA MTUMISHI WA MUNGU KUHUBIRI HABARI HIZI ZA KURUDI KWA YESU KWASABABU KANISA LIMELALA FOFOFO HAKUNA MTU ANAZUNGUMZIA HABARI HIZI

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 3 місяці тому +6

      Yesu hajawahi kutuacha MIMI NIPO MPAKA MWISHO WA DAHARI mat 28:20 SUV

    • @bestidakyewisa5896
      @bestidakyewisa5896 3 місяці тому +3

      Bwana anawajua walio wake, kaza Imani mpendwa.

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 3 місяці тому +2

      Alimaamisha kwawale wanaomwamin ktk roho nakweli kama umemwami ktk roho nakweli nakulishika neno lake hata kuacha mpaka mwisho wa dahari Mungu atupe mwisho mzuri wote

    • @captainmwakio2505
      @captainmwakio2505 3 місяці тому +1

      Kabisa mtumishi wa Mungu.Maana fedha imepewa nafasi,ipotosha wengi.Naambia watu,maisha si magumu hata.Ishi na kiasi chako.Usikimbizo mbio usizoziweza mwenyewe.Maishani ukiomba kwa Imani, MUNGU atakuwezesha.Duniani vitu vinapandishwa bei,karo za shule pia juu.Nikauliza watu,kwani shule za matajiri peke yao?Tamaa tu ya fedha kwa wanojitakia makuu.Mpaka maji ya kunywa yanapanda bei.😂😂

  • @SphiweGasa
    @SphiweGasa 3 місяці тому +1

    Balikiw mutumishi wa mungu❤

  • @melckizedecktemba5373
    @melckizedecktemba5373 2 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu nakuelewa Baba

    • @NDAISABASIMONI
      @NDAISABASIMONI 2 місяці тому

      Barikiwa mtumishi wa Mungu, ujumbe au mahubiri kama haha ya unyakuo na nyakati za mwisho wengi hawayahubiri kabisa, si kwamba hawayaoni, lakini hawayagusi, Mungu atuhurumie.Mimi nabarikiwa naujumbe huu amen.

    • @NDAISABASIMONI
      @NDAISABASIMONI 2 місяці тому

      Barikiwa mtumishi wa Mungu, ujumbe au mahubiri kama haha ya unyakuo na nyakati za mwisho wengi hawayahubiri kabisa, si kwamba hawayaoni, lakini hawayagusi, Mungu atuhurumie.Mimi nabarikiwa naujumbe huu amen.

  • @emmanuelsichula7117
    @emmanuelsichula7117 2 місяці тому

    Asantee mtumishi WA Mungu

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 3 місяці тому

    Umenigusa huu ujumbe.Mungu nisaidie

  • @SamwelAwett
    @SamwelAwett 3 місяці тому +1

    Endelea kutukumbusha kwa ujio wa Yesu

    • @EuniceKulindwa
      @EuniceKulindwa Місяць тому

      Mung ekubariki sana mutumishi unurie juu sana❤❤❤❤

  • @TumpeNdondole
    @TumpeNdondole 3 місяці тому

    ❤❤Amina mtumishi

  • @SevelinaMdeme
    @SevelinaMdeme 3 місяці тому

    Hii ndio sauti ya Mungu kwa wateulu wake

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 3 місяці тому +4

    Eeeee munguuu naomba unisaidie niwe mmoja wa walionyakuliwa coz najaribu kifikir kama nikibak itakuwaje maana siwez nunua wa kuuza bila chappa 666 utakuwa ni wakati mgumu ssaaaaan machoooooooziiiio huuuiii eee MUNGU nikumbuke