Hao Mayahudi wa Jerusalem unaodhani ni ndugu zako wenzio wanaamini Yesu ni Mtoto wa Zinaa - Dr Sule

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @SavelyTsuma
    @SavelyTsuma 3 місяці тому +6

    Mimi sitaki kujua,tunachokijua kwa jina lake mapepo wanatoroka,wagonjwa wanapona,viwete watembea,Kwa Imani ya bwana wetu Yesu kristo Nimepona na nimekombolewa na dhambi

  • @PatelArhan-sy4vq
    @PatelArhan-sy4vq 11 місяців тому +10

    Swadata nimekupata shekhe kutoka Lusaka zambia 🇿🇲

  • @jacobkihanga5455
    @jacobkihanga5455 Рік тому +30

    Naelewa sn uislamu ee mwenyezi mungu nijarie roho yakuingia ktk uislamu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +3

      Yaani ukiziainisha sifa za Mudi na Yesu Kristo wallah ni wazi kuwa Yesu ni Bwana.
      Mfano mdogo tu;
      > Mudi alioa mtoto wa miaka 6 (Bi. Aisha) na alijamiiana nae akiwa na miaka 9.
      > Mudi aliuwa watu zaidi ya 3,000 katika vita zake za Jihad.
      > Mudi alielekezwa Waislamu waoe wake wanne (4) ila yeye alikuwa na wake zaidi ya kumi na tatu (13).
      > Mudi alikuwa anamiliki watumwa na alikuwa akifanya nao ngono kila anapojisikia.
      > Mudi aliruhusu waislamu kutumia uongo (taqiyya) pasipo kujali kuwa ni dhambi.
      > Mudi aliruhusu maswahaba wake kuwabaka na kuwachukuwa utumwa wanawake waliowapata mara baada ya kupiga vita za Jihad.
      KWA HAYA MACHACHE TU WAWEZA KUONA MUDI ALIKUWA NI MTU WA AINA GANI😂

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n Рік тому +3

      ​@@NgengeMkeni-uo5hqmoyo wako umejaa chuki za ukafiri huwezi kuzuia nuru ya uislam hata ukiangalia wanaosilimu duniani ni wengi na huyo yesu unaemuita mungu wako sisi ni ndugu yetu muislam mwenzetu nabii wa mungu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 11 місяців тому

      @@MohamedMohamed-u3t1n Kwanini Mtume Muhammad alimwingilia mtoto wa miaka 9 kama sio ubakaji?? Jibu swali acha blah blah.. yaani kweli kwa akili zako timamu unaweza kumuozesha mtoto mdogo kama huyo?
      Nuru ipi hiyo unazungumzia? Ya kubaka watoto au?

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 11 місяців тому +1

      @@NgengeMkeni-uo5hqadam alimuingilia mtoto wa siku moja kuzaliwa hawa alizaliwa siku hiyo hiyo akamuingilia siku hiyo hiyo akapata mimba siku hiyo hiyo mambo ya nabii unataka yawe kama wewe tatizo lako

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 11 місяців тому

      @@NgengeMkeni-uo5hq ukijibu kwa nini adam alimpa mimba mtoto wa siku moja utapata jibu kama utaacha jazba

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 місяців тому +1

    mashallah mashallah mashallah doctor sule umelimisha vizur sana wanao taka kufata dini ya kislam wafate wasio taka kazi kwao ukweli ndo huo mmeisha alimishwa

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 10 місяців тому +4

    Ishallah Allah akujaalie kuwaelimisha wasojuwa

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      @@AbdulIssa-o7e Inshallah inshallah mnasahau uisilamu na kialabu chenu kilivyosababisha bibi na babu zenu kuteseke kikatili wakat kinaingizwa hicho kiarabu chenu.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 місяці тому

      @@YohanaPaul-b3v ww ni kafiri hujui ukiongeacho na ninyi dunia ndo pepo yenu pia hivyo waleta vihoja visivyo eleweeka

  • @MussaWazili-bv6vx
    @MussaWazili-bv6vx Місяць тому

    Alhamdulillah nimeyajuwa nisio ya juwa mashallah Allah akulinde kwa mabaya chekh

  • @akiliiddtuliza418
    @akiliiddtuliza418 Рік тому +18

    Ma Sha Allah umeelezea vizuri Dr. Sulle. Allahu Musta'an

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 Рік тому +1

    Shekh wetu huyu khakika anajuwa njia iliyonyoka atakuja kwa Yesu miaka siyo mingi❤

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 Рік тому +4

    Tunashukuru sana suleshi kwa kuutangaza ukristo asante akubless Mungu maana 😂😂😂

    • @JumaSalehe-kg6uq
      @JumaSalehe-kg6uq 2 місяці тому

      Hujaelewa wewe wapi kasema ukristo 😂 huna akili kawapiga na nyundo chukua elimu hiyo huwezi ipata kwa askofu pole

  • @shabanikipundile8357
    @shabanikipundile8357 Рік тому +2

    Ukisoma vizuri utagundua kuna tofauti kati ya wayahudi na waisraeli aliowateua mungu. Kuweni makini ondoeni jazma na murudi mezani musome mtagundua hilo.

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu Рік тому

      Wayahudi ni maanake ni Waisrael waliokuwa katika Ufalme wa Yuda (Soma kitabu cha Wafalme). Ufalme wa Yuda ni Makabila mawili ya Yuda na Benjamin na ndio Wayahudi. Kumbuka baada ya Mfalme Suleimani kufariki Ufalme wa Israel chini ya mwanae Rehoboamu uligawanyika katika sehemu mbili ambazo ni Ufalme wa Yuda (Uliokuwa kusini na makao makuu Yerusalem) na Ufalme wa Israel ulikuwa Kaskazini (Makabila 10) ambao Makao Makuu yao yalikuwa ni Samaria.

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Рік тому

      Hahaha myahudi na muisraeli ni sawa na kusema Kuna malapa na kandambili, hakuna tofauti ndugu sijui umesoma kwa kitabu Gani hiyo ? Jaribu kua makini Sana .

  • @MaryMuigai-zj8fz
    @MaryMuigai-zj8fz Рік тому +16

    Yesu ni Bwana Tena sana waliumba viote viliyomo mbiguni na nduniani pamonja na Bake so Kaa ukinjua ni viote Tena vyote.Amen God Almighty bless you.Jina la Bwana limbarikiwe milele Amina

    • @AnyimikeKajeti-fl3os
      @AnyimikeKajeti-fl3os Рік тому +2

      Wewe ni mongol tu hunalolote

    • @stevensosipita
      @stevensosipita Рік тому +4

      Ndugu yangu unakosea mungu aliumba ulimwengu na vitu vyote vilivyomo kisha akaumba Adam na eva wakati huyo yesu bado hajazaliwa mungu hana mshirika yoyote walieshirikiana kuumba nchi yesu ni mwana wa mungu na si mungu someni bibliothèque.

    • @kbmsouth
      @kbmsouth Рік тому +2

      We 𝐌𝐂𝐎𝐍𝐆𝐎 kajifunze kuandika vizur alafu uje tuongee..

    • @J4UPro
      @J4UPro Рік тому +2

      Jifunze kwanza Kiswahili

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Рік тому +1

      Acha uongo bana Marry

  • @Kassimmbawala
    @Kassimmbawala 9 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu

  • @AnnaSanga-bs7pl
    @AnnaSanga-bs7pl Рік тому +12

    Ubarikiwe kwa kufundisha ukristo

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 3 місяці тому

    Ukifikiaga hapa UTAMPENDA DR. SULE,,, ni kama alikuwepo vile. Safi sn

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 Рік тому +18

    Anawahadisia maamuma hawa ndio wanaopotosha kweli ya mungu wanajalibu kupambana na mungu wakiwa hapa duniani

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 Рік тому +4

      Google sensa ya Israel ya 2021(religion structure) uone wakristo ni 1.9%; na Judaism ni 78%. Sasa sijui huwa mnabariki Israel yupi asiyemkubali yesu,ewe usiye maamuma

    • @J4UPro
      @J4UPro Рік тому


      Huyu hajui chochote

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +2

      Hawa ndio wapinga Kristo wenyewe

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Рік тому +2

      ​Mungu amesema abarikiwe anaembariki Israel na alaaniwe anaemlani Israel

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 Рік тому

      @@frankjohn8706 : ndipo nami nikauliza ni yupi haswa?hawa kina netanyahu? Maana 78% ya wayahudi hawamuamini Yesu na wanapinga Imani ya kikristo. Je ndo hao mnaotakiwa kuwabariki ama kuna wengine?

  • @gracefilipo5728
    @gracefilipo5728 Рік тому +1

    Ahsante kwa kutufafanulia hili hwa ndugu. wanatakiwa.kupatana.wenyewe.

  • @Superwoman-n5j
    @Superwoman-n5j Рік тому +6

    Napenda darsa zako doctor sile

  • @EliasyNgitoriacheupe
    @EliasyNgitoriacheupe 7 місяців тому

    Gaza ni taifa ambalo halikuhesabiwa walimuhasi Mungu.na maandiko yanatimia kuwa atamalizwa siku za mwishon.mungu n moja.tuwasomeshe watto wetu maandiko waelewe wasiidanganywe

  • @DevidsLema
    @DevidsLema Рік тому +15

    katika jina la yesu kristo mwogopeni mungu acheni uongo

    • @teamallyracing1780
      @teamallyracing1780 Рік тому +2

      Sasa uongo ni upi na hii hata kwenye biblia ipo waulize mapadri zenu wanaolewa

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 Рік тому +1

      DevidsLema: hujuwi kama hawa wafuasi wa mudi kusema uongo kwa ajili ya dini ni halali kwao?? Afazali adanganye kwa kujionesha kuwa anaweza na anajuwa kila kitu kumbe uongo mtupu😂😂😂😂😂😂

    • @jobmwakipesile9903
      @jobmwakipesile9903 Рік тому

      Hii ni Miongo hatari

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 Рік тому

      Devidslema ,jifunze kwanza kuandika majina ya Mungu au MUNGU herufi kubwa, Yesu au YESU , Mungu au MUNGU

    • @pendosharif-kw4gl
      @pendosharif-kw4gl Рік тому +4

      Hakuna kiongo hapo. Mimi ni mkristo na naamini yote haya

  • @KazunguSayd-i7y
    @KazunguSayd-i7y 5 місяців тому

    Sulle allah akuzidishie imani good teacher.

  • @emmanuelben3374
    @emmanuelben3374 Рік тому +6

    Acha kulalama piga kazi mungu anabariki. Wivu husuda hazisaidii.

  • @jannffer
    @jannffer 7 місяців тому

    I love the way you teach

  • @samwelmbonea7335
    @samwelmbonea7335 Рік тому +7

    Bibilia neno la mungu. Lazima ukubali tu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Рік тому +2

      TORATI , ZABURI , INJILI , Ndio Neno La MUNGU Sio BIBILIA 😜😜😜

    • @Ronkiroo
      @Ronkiroo Рік тому +2

      na bibilia ni nini? wajua maana yake?😁😁😁😁😁@@shabbymakapane

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Рік тому +1

      @@Ronkiroo mh 🤷‍♂️ Cjui Mie Naona Ugalagala Tu , 😜😜😜 Labda Uwaulize Wale MATAIFA 10 Waliokaa Mezani Na Kutunga Hilo Neno BIBILIA ,😂😂😂. MUNGU wala YESU Hwajjui BIBILIA ,😜😜😜 ,

    • @Ronkiroo
      @Ronkiroo Рік тому

      unajielewa kweli ama ni mafunzo potofu ya mohammad imekudanganya🤣🤣 aliye waambia dunia ni flat🤣mnayaamini hayo?🤣🤣poleni sana
      @@shabbymakapane

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      ​@@shabbymakapaneSasa hivyo vitabu vinatoka wapi🤣🤣🤣.. juha kalulu mkubwa wewe

  • @Barakamchumia
    @Barakamchumia 6 місяців тому

    Mashaallah dr sule🙏🏻🙏🏻

  • @samuelmbisu3569
    @samuelmbisu3569 Рік тому +4

    What do say he is yourself? He i the prince of life and peace. he holds your life in his fingers. Good thing he fights for himself

  • @UshindiKaherwavolo
    @UshindiKaherwavolo 9 місяців тому +1

    Jina nimojatuu,yesu kristo

  • @elizabethdamas-zp9xl
    @elizabethdamas-zp9xl 8 місяців тому +3

    ifike mahali kila mtu aongelee din yke na kila mtu aishi kwa kadri ya imani yake sababu dini haimpeleki mtu mbinguni bali ni matendo yetu 🙌

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 7 місяців тому

      Toa andiko linalo sema Dini aimpeleki mtu mbinguni acheni kuropoka wakristo

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 7 місяців тому

      Wakristo wenyewe awaiamini dini yao

    • @KalamboRashidi
      @KalamboRashidi 3 місяці тому

      Dini njia yakwenda mbinguni ukifata njia isiyo sahihi itakupoteza njia yakweli nimoja tu

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      Bro jua shetani yuko mzigoni shusha pumzi tulia hawa watu waendelee kupoteza muda kutuwaza wakati huo si tumetulia tunawatizama kwa mbaliiiiiiii.......😁

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 8 місяців тому

    Amen ubarikiwe shehe

  • @SultanCorosso
    @SultanCorosso Рік тому +5

    Pure truth. Articulate and explicitly narrated.

  • @AbdilahHasam
    @AbdilahHasam 3 місяці тому

    Mungu ampeshekhe mishamaref

  • @musapfute6608
    @musapfute6608 Рік тому +8

    Mara 100000000000, nibadili iman niwe myaud kuliko kua iman fln imejaa ubinafsi na chuki iliyopindukia

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz Рік тому +1

      Kawaida ya watoto wa kijakazi, Wala hata usije maaana huku hakuna kufuga maruhani, Wala kuchoma ubani kuwaita mashetwani kuongea. . Huku ni free from GOD

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz Рік тому +1

      Chuki mnazo nyinyi mnaochinjana chinjana na kujilipua lipua eti thawabu.

    • @mkude
      @mkude 11 місяців тому

      ​​@@faithfaith-zr6gzwewe unachuki sanaa na muongo sanaa kwanza dini ya muislamu Haina sifa hizo unazosema wewe,je ningetoa sifa ya dini yenu na vituko vya viongozi wenu patakuwa hapatoshi hapa,halafu huyo unaemjibu ni mkiristo kama wewe sio muislamu

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz 11 місяців тому

      @@mkude Jiteteeee Mtukuze MUNGU JUA,, Mambo gani ya kufuga maruhani na kufusha fusha miudi,ubani, Mara Pete,chano, maoepo mnautwa malaika wazuri,, hivyo vinavyopandaga kichwani mnavipa ubani au zafalani Ni vitu gani!?? Wewe tushatoka Huko sisi,, Kama unaona kwako Kuna faida na kuzuri Kaa kimya, usijihesabie haki eti upo salama, Mbinguni atuendi kwa dini yoyote ni matendo yako,, Dini ni taasisi tu za kutuweka ktk kujua kanuni za MUNGU, Wote tuna haki mbele ya MUNGU... Angalia moyo wako Na Imani yako c dini.

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz 11 місяців тому

      @@mkude Mimi sitishwi na mtu kujiita mkristo, Anaiweza kuwa mkristo jina na hana kanuni za UKRISTO.

  • @ArkamBakar
    @ArkamBakar 3 місяці тому

    Mashaallah Dr Sule Allah akulipe kila la heritage Amiin Amiin Amiin

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      Hahahahahaah Me nachekaga2 ndo maana Waislaeli huwa Wanawatwanga sana mana mnamaneno mno waislamu, mnajikuta wa Mungu sana 😂

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 8 місяців тому +3

    Kumbuka mwenyezi Mungu ndiye alimbari Jacob na akambadilisha jina kutoka Jacob akawa Israel . Usisaha vita ya hapa duniani ni vita vyia kiroho kamwe hakuna inch atakae futa Israel kwenye uso wa dunia 👏

  • @jannffer
    @jannffer 7 місяців тому

    Mungu akupe miaka mingi uhubili ukweli wote

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      Labda miaka ya kukaa kuzimu si duniani, afuu Akili ya Mungu haichunguziki na mawazo yake si ya binadamu
      Sasa endeleeni kujidanganya.

  • @estermgoma7451
    @estermgoma7451 Рік тому +8

    Nyie lumbaneni tuu ila yale mengine tunayo jiuliza majibu anyone Mungu cha msingi tuu Mungu atusaidie twende hapoo anapo hitaji tufike

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 Рік тому

      Nimependa hiyo ...anapotaka tufike

    • @mussamssuya3051
      @mussamssuya3051 10 місяців тому +1

      Hamjielew nyie

    • @sadri_khan9319
      @sadri_khan9319 10 місяців тому

      Hata na wewe pia unayo majibu maana umefanywa kua ni kiumbe bora na ukapewa akili utakosaje majibu

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 9 місяців тому

      Kila mtu anayo akili na maarifa lakini ufahamu unatofautiana kila mtu anajifunza kwa mtu anaemuona anamzidi maarifa!

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v 8 місяців тому

    Wayahudi ni watumishi wa kweli wa Mungu

  • @FordStavanga
    @FordStavanga Рік тому +3

    Wenye imani za chuki nyinyi someni biblia na mutafahamu neno la kweli la mwenyezi Mungu
    Israel litabaki daima kuwa taifa la mwenyezi Mungu

  • @jannffer
    @jannffer 7 місяців тому

    May God take control of everything

  • @ramadhanshee1275
    @ramadhanshee1275 Рік тому +3

    Innalillahi waina lillahi rajhuni,
    Subuhanallah
    Astakhafiruallah

  • @user-rl1vr1fd1r
    @user-rl1vr1fd1r 9 місяців тому

    Kwendraaaaa Yesu ni myahudi na hao ni ndugu zake full stop

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 Рік тому +8

    hajiri hakua wa agano shehe alie wa agano ni sarai shehe utaratibu unaokwenda nao sio sahihi shehe . nasikitika sana mkiwa mmefungwa ufahamu aise una tetea dini kwa namna unayoijua shehe

    • @nehemiaayo9527
      @nehemiaayo9527 Рік тому +1

      Nashagaa iyo anayo yasema akuna katika icho kitabu chawo uyu kasoma Bible tu

    • @stevensosipita
      @stevensosipita Рік тому +1

      Uko sahihi muda umekaribia waendelee kumponda yesu KRISTO

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      Hawa ni wapotoshaji ndugu. Ndio wapinga Kristo waliotabiriwa hata kwenye Biblia. Yaani wanapindisha mpango wa Mungu tokea kwenye chimbuko la imani (Abrahamu) mpaka kwa Yesu mwenyewe. Ndio maana wanapinga hata kufa na kufufuka kwa Yesu.

    • @hassanisaidi5422
      @hassanisaidi5422 Рік тому +1

      Ahadi alipewa Ibrahim siyo Sara Wala hajiri, Ibrahim aliambiwa kizazi chake,Sasa ISMAIL ni kizazi Cha nani..

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      @@hassanisaidi5422 Umeelezea kwa mtazamo wa imani yako. Imani yetu sisi Wakristo inatueleza Agano la Mungu kwa Ibrahimu lilipitia kwa uzao wa Isaka na sio Ishmaeli.
      Hii imeelezwa vizuri katika kitabu cha Mwanzo 25:19-34 ambapo tunaona uzao wa Ufalme wa Daudi ukipitia kwa Isaka.

  • @SaidAhmed-rc6hm
    @SaidAhmed-rc6hm Рік тому

    Na waambie mungu anamrueisha yesu kwa mara ya pili Ile awanyooshe vizuri

  • @peterrevocatus199
    @peterrevocatus199 Рік тому +8

    Yesu christu mwana wa mungu wa kweli akubariki uendelee kutafuta uchochezi wa kidini wewe vita inakuhusu

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Рік тому

      Mbona hamueleweki..
      Yesu ni Mwana au Mungu ..!??

    • @neemamajana3078
      @neemamajana3078 Рік тому +1

      Haya maislamu muda wote yanawaza vita, sasa huyu Sure sijui anapigana na nini? Walimtukana Yesu akina na ni na Imeandikwa wapi?

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Рік тому

      @@neemamajana3078
      Hueleweki ulichokiandika ..

    • @agneslozi867
      @agneslozi867 Рік тому

      ​@@swafiirbulbul819yesu mwana wa mungu sio mungu nani alikwambia ni mungu Jamani

    • @agneslozi867
      @agneslozi867 Рік тому

      ​@@neemamajana3078yani hawa wangekua mungu cjui watu wangekua vipi yani wanajitia kujua dini sanaa

  • @jannffer
    @jannffer 7 місяців тому

    Kuna mungu binguni mwenye uwezo na mamulaka

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx Рік тому +4

    Tena Yesu anawapenda wayahudi sana

    • @mwaisamwaisa7619
      @mwaisamwaisa7619 Рік тому

      Huyu nae muongomuongo sana

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Рік тому +1

      Lakini MAYAHUDI Hawajawahi KumpendacYESU ,😁😁😁 ndio Maana Mnaamini WALIMUUA ,

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      ​​@@shabbymakapaneYesu alituelekeza tuwapende mpaka maadui zetu❤.. nenda kasome Injil tena utaelewa dogo Shabani madobe😂

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Рік тому

      @@NgengeMkeni-uo5hq Alikuelekeza Weqe Au Aliwaeleza WAYAHUDI ???😜😜😜 Kwanza WAKRISTO MUELEWE KITU KIMOJA , YESU Hawajueni Nyinyi Wala UKRISTO Haujui ,😀😀😀 Yesu Anasema SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YAAA ISRAELI 😅😅😅 Bisha Nikupe Andiko , 😬😬😬😜😜😜 Nyie UKRISTO Mmeletewa Na PAULO Mzungu Kutoka ITALY 😁😁😁 Soma hiyo MATENDO YA MITUME 11:25-26 😀😀😀 Halafu 1 WAKORINTHO 4:14-17 😅😅😅😜😜😜 Haleluya 👏👏👏 .

  • @samuelmbisu3569
    @samuelmbisu3569 Рік тому +2

    Continue and we shall watch this space

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa5454 Рік тому +6

    Mungu mwenyewe ndiye aliyewatambulisha kwamba ni taifa teule la Mungu

    • @Microsoftznz-eq8vf
      @Microsoftznz-eq8vf Рік тому

      Mungu yupi au yule yesu wa wakristu wanadai kuwa aliuliwa na wayahudi

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 Рік тому

      Tanzania ni taifa la Nani?

    • @Forexfunnyground
      @Forexfunnyground 9 місяців тому +1

      Israel nitaifa la MUNGU ukipigana nalo unapigana na MUNGU kama utak kajaribu kama hamasi walivyo jaribu

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      ​@@sammarley1413La baba ako! Naona mnakosa point

  • @LonaActary
    @LonaActary Рік тому

    Mungu awa Rehemu na atusaidie kuijua kweli ya Mungu wa kweli

  • @Titusdickson1
    @Titusdickson1 Рік тому +6

    Siku si nyingi YESU ANARUDI,mtakuja kumuelewa tu

    • @singanoatanasi1994
      @singanoatanasi1994 Рік тому +3

      kweli watamuelewa ndugu maana ufahamu wao mdogo kihistoria mpaka kidini na kiroho

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Рік тому +2

      barikiwa sana mpendwa umenena vyema!

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Рік тому +7

      Sote tunaamini kuwa Yesu anarudi.. WAISLAMU na WAKRISTO.
      Tumsubiri arudi 😂😂 .. Aje atueleweshe YEYE ni Mungu, Mwana au Nabii ... 🖊 ... Atueleweshe pia, Je alikufa na kukufuka .. (Nani alimuuwa na kumfufua) ... 🎉 Bila Shaka majibu atakuwa nayo..

    • @SelestinaHamisi-ju8rx
      @SelestinaHamisi-ju8rx Рік тому +1

      Waache kudadeki iyo siku naitamani wamezidi kumsimaga YESU

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Рік тому

      @@SelestinaHamisi-ju8rx Siku unayoitamani, ni hiyo Siku ambayo Yesu atakukana kwa nguvu zote kuwa hajui utokako.. Msitie aibu vijana Born again Christians, Waislamu wanataka kujibiwa hoja zao zenye mashiko.. Huwez kusema: "Ngoja tu, Yesu anarudi, ngoja tu" Hii ni kuonyesha udhaifu wa hoja, ufahamu na Maarifa..
      KAENI MSOME, MUMJUE MNAEMUABUDU.. (Yesu au Baba yake ..??!!) Au wote wawili or 2 in 1..🖊

  • @jannffer
    @jannffer 7 місяців тому

    May the holy spirit take control of everything

  • @paulosamwel9853
    @paulosamwel9853 Рік тому +4

    Anachokiongea kipo sahihi ndio agano la kale katika kitabu Cha Musa kiitwacho Musa. Yupo sahihi

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 8 місяців тому

    Allah atujaalie kauli thabiti

  • @GeorgeByalugaba
    @GeorgeByalugaba Рік тому +4

    Sio kweli Salah ndie aliemwambia iburahimu mfukuze mjakazi maana moto wa mjakazi hatarisi pamoja na mwanangu

    • @usaynmakumbo7394
      @usaynmakumbo7394 Рік тому +3

      Kajifunze kwanza kiswahili ukishajua ndio uje kwenye mjadala

    • @mkude
      @mkude 11 місяців тому

      ​@@usaynmakumbo7394😂😂😂

    • @abduawesu9165
      @abduawesu9165 10 місяців тому

      Nynyi wa kristo mutajuwa wapi dini wakati vitabu vyenu v imejaa propa ganda

  • @saidumuru5232
    @saidumuru5232 Рік тому

    Mungu ni mukumbwa

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 Рік тому +5

    Tatizo ni kuwa Mungu aliwaambia waisrael waangamize wote wasibakize hata mmoja.na kama watabakiza basi watakuwa miiba kwao nayo hiyo miba itawachoma.

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Рік тому +2

      Dah ndio kitabu icho kina amrisha kuuliwa watu wasio na hatia eety wauliwe wte, sjawah kuona watu wajinga kwma nyie dah

    • @frankdanford8245
      @frankdanford8245 Рік тому

      @@MohamedAhmada-ie7keukisema hivyo je historia ya lusifa kwenye Quran inasemaje? Jibrii si alimuonea huruma lusifa akamchukua na kumpeleka mbinguni akiwa mdogo Mbona amekuwa ni mwiba wa ulimwengu huu?
      Au Quran haisemi hivyo???

    • @benjaminmunyao4301
      @benjaminmunyao4301 Рік тому

      ​@@MohamedAhmada-ie7kewe do mjinga zaidi

  • @RugajuananiasMsomali
    @RugajuananiasMsomali Рік тому

    Mtumishi mzuri wa mungu atawafundisha watu kutubu na kuacha dhambi na dini ya kweli niya moyo wa huruma na kupendana acheni kutafuta kiki Bora mwimbe nyimbo mtoke kimuzik ya mungu amuyajui

  • @Mponzi22
    @Mponzi22 Рік тому +4

    Muda mingine fundisha watu kuhusu imani maana wewe umekazana kuhubiri dini kuna mambo mengine nikazi ya Mungu mwenyewe

  • @bibisalim8666
    @bibisalim8666 Рік тому +1

    Shukrani shehe uko sawa

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому +3

    Shekh Sule napenda mafundisho yake. Ni sawa na ya Bibilia.

  • @AnithaMuvurwaneza
    @AnithaMuvurwaneza 7 місяців тому +1

    Shee ayo ni maubiri ambiya waislamu Kama ni masmdiko kwenye Bibliya ukifundisha sema mahi coroani....,Mwanzo... Njo mtumishi Yesu anakutaka karibu

  • @singanoatanasi1994
    @singanoatanasi1994 Рік тому +9

    hebu waelezee vizuri wenzako hao waebusi wahiti na wakanaani kiundani zaidi shehe usijione unajua sana unafahamu hao waliondolewa kwanini? mara nyingi una wadanganya waislamu wenzio shehe

  • @hilfigermnungu1689
    @hilfigermnungu1689 Рік тому

    Swadakta 😊 Baarakallahu fiika 🤲

  • @Aishamrembo-pk7tl
    @Aishamrembo-pk7tl Рік тому +3

    Allahu Akbar

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      Yaani ukiziainisha sifa za Mudi na Yesu Kristo wallah ni wazi kuwa Yesu ni Bwana.
      Mfano mdogo tu;
      > Mudi alioa mtoto wa miaka 6 (Bi. Aisha) na alijamiiana nae akiwa na miaka 9.
      > Mudi aliuwa watu zaidi ya 3,000 katika vita zake za Jihad.
      > Mudi alielekezwa Waislamu waoe wake wanne (4) ila yeye alikuwa na wake zaidi ya kumi na tatu (13).
      > Mudi alikuwa anamiliki watumwa na alikuwa akifanya nao ngono kila anapojisikia.
      > Mudi aliruhusu waislamu kutumia uongo (taqiyya) pasipo kujali kuwa ni dhambi.
      > Mudi aliruhusu maswahaba wake kuwabaka na kuwachukuwa utumwa wanawake waliowapata mara baada ya kupiga vita za Jihad.
      KWA HAYA MACHACHE TU WAWEZA KUONA MUDI ALIKUWA NI MTU WA AINA GANI😂

  • @jrgongo6348
    @jrgongo6348 Рік тому +2

    Zungumzeni Sifa za Mungu wenu kwenye uislam wenu Acheni Kuwapotosha Wakristo

    • @Microsoftznz-eq8vf
      @Microsoftznz-eq8vf Рік тому

      Wakristu wanadai kuwa mungu wao yesu aliuliwa na wayahudi, wayahudi waliwauwa mitume, nk sishangai kuona wanaendelea kuwaua wakristu na waislam. Kinachonisangaza kuona wakristu kuwafanya ni marafiki zao.

    • @nemeskulaya3962
      @nemeskulaya3962 Рік тому

      ​@@Microsoftznz-eq8vf aliyekwambia sisi marafiki wa wayahudi nani? Rafiki yetu ni yeyote anayemkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mokozi wetu. Awe myahudi au la. Ht muislam atakayemkiri Yesu ni rafiki yetu. Na ukristo ni matendo sio maneno ndo mana huwezi kuta Askofu au mchungaji anahubiri akaongelea uislam. Lkn hotuba 10 za waislam 8 lazima ziongelee ukristo. Ukweli ni kwamba wanaupinga lkn wanauogopa. Wakilinganisha matendo wanaona dhahiri wakristu ndo wanayaishi mapenzi ya Mungu na ndo wanaobarikiwa. Shekhe hapo anashangaa kwann waislam ndo wanamiliki mali nyingi lkn stil wao ndo maskini wa kutupwa. Jibu ni kuwa hakuna baraka ktk matendo yenu maovu lkn pia ni ahadi ya Yesu kumuweka juu yeyote atakayemfuata na kumshusha chini yule atakayempinga. Acha wakristu tuendelee kula bata kwa kumkiri Yesu kuwa ni Mwana wa Mungu na ni Mungu kweli kweli!

    • @npiperito19
      @npiperito19 Рік тому

      Wakristo awapotochui, ila wanatolewa kwenye opotovu

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +9

    Hamuwezi kutupandikizia chuki kama mlizo nazo nyie dhidi ya Waisraeli. Sisi tunaongozwa kwa upendo❤ wa Yesu Kristo🙏🏿. Mtapambana sana lakini hamtashinda

    • @Erik-kj5no
      @Erik-kj5no Рік тому +1

      Wewe funguka tumedanganywa sana kama kweli Israel ni taifa la mungu lile la makabila 12 kwa Nini wanaushirika na marekani wakati marekani inasapoti ushoga pia Israel Kuna kitu kinaitwa guy palled Yani sherehe za mashoga

    • @RamadhaniMtoro-jb5kb
      @RamadhaniMtoro-jb5kb Рік тому

      Waisrael wenyewe wameshalaaniwa

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      @@RamadhaniMtoro-jb5kb Mmelaaniwa Watanzania kwa *UJINGA*, *UMASKINI* na *MARADHI*

    • @yahayaannu3663
      @yahayaannu3663 Рік тому

      Toka gizani huko ulikojifungia 😅

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      @@yahayaannu3663 Gizani yupo Mtume wenu Mudi ndio maana akawaachia msala wa kumuombea mara tano kwa siku😂... madhambi aliyotenda mpaka anaogopa mwisho wake mwenyewe Shaytan mkubwa yule

  • @BeatriceBahati-op6gl
    @BeatriceBahati-op6gl Рік тому +1

    Muche mungu mwenyewe atapeganiya taifalake yéyé anilijuwa hakuna wakati yakujeteteya

  • @deogratiasrugangila3100
    @deogratiasrugangila3100 Рік тому +7

    Mi nashangaa wanaopigana ni ndugu wao wanajua wanapogania nini tatizo mnaingiza dini zenu ambazo hazina mahusiano .Kwa kuwa hawa ni watoto wa Ibrahim na Mungu ndiye aliwateua tumwachie atafanya maamuz kujua nani ana kosa na atamuadhibu

    • @singanoatanasi1994
      @singanoatanasi1994 Рік тому

      nikweli kabisa

    • @happysamwel3880
      @happysamwel3880 Рік тому +1

      Watapata taabu sana,walikua wapi siku zotee? Badala ya kuwaombea wenzao ,wanaingia kwenye udini !?

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Рік тому

      Deo usidanganyike Wala Israel na palestina sio ndugu ,kwani waarabu hawapo kwenye Torati kwa maelezo ya uchaji wa Mungu Bali wamezungumzwa kama maadui na ndio maana Mungu alimwambia Musa na Yoshua awaangamize kwasababu wanaabudu miungu na walimpinga Mungu wa kweli kitu ambacho wameendelea Hadi Leo , ,Ndugu wa Ibrahimu ni Lutu na sii zaidi ya hapo kwa mujibu wa Neno ,na ishmail sio baba wa waarabu kwani waarabu walikuwepo hata kabla ya Ismail na ndio maana mama yake alikua mwarabu wa misri inamaana nchi nyingine zilikua na waarabu pia mbali ya Misri ,na kanuni ya uzao na ukoo Ishmael hawezi kua mwarabu kwasababu baba yake ni muebrania Au Myahudi ,kisa Cha ishmail ni watu kujipakazia tuu Ili kuhalalisha dini ya uongo kua niya kweli , Sule anasoma Biblia kwani kwenye Quran haipo hiyo japo anakosea kosea kueleza uhalisia ,

    • @samuelochieng8784
      @samuelochieng8784 Рік тому

      Kweli nakubaliana na we we.....

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      Kaka WAJINGA HAWAELEWI

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 8 місяців тому

    Kweli histolia yamana mungu akuongezee

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 Рік тому +8

    This is like studying the book of CIVICS while preparing to do the exam of PHYSICS! 🤣

  • @IbuGang
    @IbuGang 3 місяці тому +1

    Asili Yako ni uongo humjui kusema kweli

  • @newgarden8036
    @newgarden8036 Рік тому +6

    Shekh nikusaidie. Waliotumwa kupeleleza nchi ni 12 siyo 24

    • @MaryWuantet
      @MaryWuantet Рік тому

      Thank you for the point of correction

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      Tatizo anatumia Biblia asiyo hata ijua😂.. yaani ukweli ni kwamba Uislamu bila Biblia na Hadith za mtume za kutungwa hautoboiii

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 3 місяці тому

    Dr,sulle akiri kubwakaka

  • @keardadam8126
    @keardadam8126 Рік тому +9

    Hakuna hiyo hata wayahudi wenyewe wanasema yesu ni mwana wa mungu

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi Рік тому

      Mungu ana mtoto mungu anaumba watoto sisi binadam ndio tunatumia jina la mwanangu Ila mungu anaumba wote tumeumbwa na mungu

    • @tonyjames6658
      @tonyjames6658 Рік тому +1

      Kaka inaonekana mwisho wako wa kufatilia mambo ni kwenye biblia tu .....uko Islael wayahudi wakijua ww ni Mkristo wanakutemea mate chini

    • @yahayaannu3663
      @yahayaannu3663 Рік тому

      Wayahudi wanamtambua Yesu km mtoto wa zinaa km hujui hilo 😊😊😊 tatizo hata hyi Bible yenu huisomi yote mnaifunua vipengele pengele

    • @keardadam8126
      @keardadam8126 Рік тому

      Na wewe nenda kafunue vipengele vya Quran, huwezi kunibadilisha msimamo wangu,

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 7 місяців тому

    USITUDANGANYEEE WAYAHUDI WAPO WKRISTO PALE JERUSALEMU MAREKANI ULAYA YOTE NA DUNIANI. NA WAUMINI WAKWANZA WA UKRISTO NI WAYAHUDI WAARABU WAAJEMI WAZUNGU NA KISHA SISI WEUSI. SASA HAKUNA MKRISTO ANAEAMINI HUO UJINGA

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 Рік тому +13

    Hayo unayo ongea , ni sawa na kusimulia habari au historia za wavamizi.
    Kanaani aikuhusiana na historia za kuchonga, historia ya kanaani ni ahadi ya mungu kwa wana israel tangu nyakati za Musa.
    Leo hii watu wanakaa kutoa hadithi za uongo wanasahau kuwa , Mungu ni mkuu kuliko maagano ya kibinaadamu.
    Kufulu kubwa ni akili ya mwanadamu kutaka kuwa juu ya ukuu wa mungu, kutaka kupindua Maagano ya mungu wa kweli na kufuata technologia ya Ulimwengu.
    Wansdamu tumepewa utashi, ambao haupo mbali naapenzi ya Mungu, ila kwasababu ya dhambi watu hutawanya uhakika wa Mungu

    • @wanguwangu34
      @wanguwangu34 Рік тому +2

      Huyo mtu kalewa maharage na hajui hata ahadi za Mungu, vyovyote vile hata wafanyeje hawawezi kubadili alichosema Mungu, bora mnyamaze kumjibu mtu asiyejua kitu.

    • @mohammedimpeme
      @mohammedimpeme Рік тому

      Hiyo historia unaijua wewe Tu? Acha ujinga

    • @sportsreviews9552
      @sportsreviews9552 Рік тому +2

      Umeongea Kwa hekima na busara.

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 Рік тому +1

      Mungu yupi alietoa ahadi maana nyie mnamiungu mitatu..mungu baba mungu mwana na mungu roho mungu yupi huyo ndugu...

    • @fredrickjohnson2692
      @fredrickjohnson2692 Рік тому +3

      @@joharifarahani2739 sawa, huyo allah wenu kipofu anawasaidia nini?
      Tunajua allah ni neno la kiarabu maana yake mungu, lakini , mtume wenu aliwalisha mkenge.
      Sioni faida hata moja ktk wislamu , labda , kwa wale wanao penda ushirikina, au ngono zembe basi wataingia huko

  • @DavidMusonda-o5v
    @DavidMusonda-o5v 8 місяців тому

    Mungu yupo

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 Рік тому +3

    Waislam wanapotoshana sana mpaka wanawachanganya waimini wao kila shehe anakuja na uongo wake na hadidhi zake tatizo si kwamba hawajui ukweli bali hawautaki kwa sababu ya imani yao israel itasimama kama taifa milele

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 Рік тому

      Shekhe Kwa taarifa yako hakitasimama kama mpaka mpigane na mayahudi na mtawashinda kwahivyo ndugu taifa la izraeli litaangamia tu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      ​@@hajiameir8688Mmerithi chuki toka kwa Hagar (kijakazi wa Sarah) mpaka leo mnapambana kuangamiza kizazi cha mteule wa Mungu Isaka.
      Sasa kwa taarifa yenu, mtapambana sana ila hawatashinda. Walishindwa tawala za Babylon, Persia, Pharao na kina Hitler sembuse nyie😂

    • @AnnaSanga-bs7pl
      @AnnaSanga-bs7pl Рік тому

      Mbona hamfundishi kutengeneza majii makata na jini maimuna

    • @jumamgwami-px7ls
      @jumamgwami-px7ls Рік тому

      Muda utaongea tu na ukweli utajulikana zaidi.

    • @jumamgwami-px7ls
      @jumamgwami-px7ls Рік тому

      @@NgengeMkeni-uo5hq usilazimishe uongo uwe ukweli.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 місяці тому

    Yesu Kristo ni yeye yule jana leo na hata milele ndg zangu waislam karibuni ktk Kristo mpate kuokoka.

    • @saidkinjogoya
      @saidkinjogoya Місяць тому

      Kuokoka na nini kuokoka ni mema yako2 bc akuna chengne

  • @luckymwakyoma2746
    @luckymwakyoma2746 Рік тому +3

    Kwanini watu mwapoteza muda kwa kutaka kujua dini ipi tunastahili kuiamni ili tuwe na mwisho mwema,badala ya kufundishana watu kumwamini MUNGU na kutubu,ndiyo maana hakuna kitabu cha dini kinachosema dini hii itakupeleka ahela,ama mbinguni,cha msingi ndugu zangu tumwamini MUNGU kepee na tuishi ktk kweli hiyo tutende yampendezayo MUNGU,kisha kila siku tusiache kutubu,hizi dini zote unazo zijua na usizo zijua ,zilizo anzishwa na ambazo hazijaanzishwa hazita tupeleka popote, Sababu dini hizi hizi zimekuwa ni Sababu kubwa za watu kutenda mabaya,dini hizi hizi hazina upendo hata kidogo

    • @adadiissa8510
      @adadiissa8510 Рік тому

      We dini huna soma ujue ipi dini ya haki

    • @isakajunior7139
      @isakajunior7139 10 місяців тому

      Unasema hakuna kitabu kinachosema dini hii itakupeleka akhera au motoni? Umesoma vitabu vingapi? Au unatumia akili yako kuandika unachowaza,Rudi darasani ukasome upya dini huijui

  • @jacquesedgardJES
    @jacquesedgardJES 8 місяців тому

    Mimi ni mkeistu asante kwa ujuzi

    • @jacquesedgardJES
      @jacquesedgardJES 8 місяців тому

      Sasa utuelezee chanzo cha ukristo na ueslam

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +6

    mimi mayahudi ni ndugu zangu kuriko waarabu ni magaidi wapigwe wote mpaka kufaa magaidi waarabu mayahudi kwangu oyee wapigwe parestina ameni

  • @Moon-146
    @Moon-146 Рік тому +1

    Pole kweli hatuko sawa

  • @kevinMwiva
    @kevinMwiva Рік тому +3

    Kizuri chajiuza kimbaya chajitembeza

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Рік тому +2

    Yaan mnaandika yesu ni.mtoto wa zinaa kizazi cha nyoka Wana wa manyoka hata angekuja leo akaanza Moja kukataa dhambi mtaungana mumuuwe tena mmetia.aibu na mwandishi.wako mm kama mwandishi siwezi kubali kuandika daa.dunia imelaaniwa

  • @mariamrajabu7458
    @mariamrajabu7458 Рік тому +3

    We Salma mwang umesikia wakristo au wayahud usikilize vizur

  • @VailethBugali-sr8gx
    @VailethBugali-sr8gx Рік тому +2

    Pole sanaa

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому

      Wamerithi chuki toka kwa Hagar (kijakazi wa Sarah) mpaka leo wanapambana kuangamiza kizazi cha mteule wa Mungu Isaka.
      Watapambana sana ila hawatashinda.

  • @emilemukolo
    @emilemukolo Рік тому +3

    Kweri itadjulikana kwa wote n'a Jérusalem ni ya wana wa yakub kwa mujibu wa cheikh

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +1

      Wnalielewa hilo sana tu. Jerusalem ni ya Bani Israel hata Quran yao inasema

  • @fadhilkhalid-e7l
    @fadhilkhalid-e7l Рік тому +1

    msilolijua ni sawa na usiku wa giza

  • @SelestinaHamisi-ju8rx
    @SelestinaHamisi-ju8rx Рік тому +14

    Waislam sjuh mpoje shobo tu na YESU wetu hao wayahudi wanaamini masihi ambaye ndo YESU bado hajaja na ndomana walimuuua wakizani huyu sio YESU acheni ushetani wenu na kama mnataka kuamni YESU no mungu nendeni mkawaroge watumishi was ukweli kama Adam Aston mbaya ,au mtume meshack muone moto wake sasa

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor Рік тому +1

      Unachokiongea unkijua🙄

    • @porthealth4838
      @porthealth4838 Рік тому +3

      WANA SHIDA SANA HAWA WATU KAZI KUPAMBANA NA WAKRISTO HATA SIKU MOJA HUWEZ SIKIA WAKRISTO WANAWAZUNGUMZIA UISILAMU..

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore Рік тому

      hadi leo hakuna ushahidi wa kifo cha Yesu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +2

      Yaani ukiziainisha sifa za Mudi na Yesu Kristo wallah ni wazi kuwa Yesu ni Bwana.
      Mfano mdogo tu;
      > Mudi alioa mtoto wa miaka 6 (Bi. Aisha) na alijamiiana nae akiwa na miaka 9.
      > Mudi aliuwa watu zaidi ya 3,000 katika vita zake za Jihad.
      > Mudi alielekezwa Waislamu waoe wake wanne (4) ila yeye alikuwa na wake zaidi ya kumi na tatu (13).
      > Mudi alikuwa anamiliki watumwa na alikuwa akifanya nao ngono kila anapojisikia.
      > Mudi aliruhusu waislamu kutumia uongo (taqiyya) pasipo kujali kuwa ni dhambi.
      > Mudi aliruhusu maswahaba wake kuwabaka na kuwachukuwa utumwa wanawake waliowapata mara baada ya kupiga vita za Jihad.
      KWA HAYA MACHACHE TU WAWEZA KUONA MUDI ALIKUWA NI MTU WA AINA GANI.

    • @mbatemgingamwita5944
      @mbatemgingamwita5944 Рік тому +2

      Ni kweli Yesu ndiye Masihi, na alishakuja na anatarajiwa kuja mara ya pili kutwaa wateule na kisha atarudi Tena mara ya tatu kuhukumu, na ni kweli kuwa wayahudi na viongozi wao waandishi walimu wa Sheria n. K hata mafarisayo walimtega Kwa mambo mengi lakini elimu ya Yesu iliwaacha vinywa wazi lakini hawakumwamini na hata Yohana alituma wanafunzi wake kumuuliza Yesu kuwa Yeye ndiye Masihi au watarajie mwingine Yesu akawajibu wakamwambie viwete wanatembea na vipofu wanaona hii Inamaanisha yeye Ndiye, sasa hoja yangu unge comenti kuwahabarisha kuwa Yesu Ni Mungu Tena ni katika yeye ulimwengu na mbingu na vingine vyote viliumbwa akiwamo Nabii Mohamed na wao waislamu wote, lakini kauli ya uchawi uliyoitumie mpendwa si kauli rafiki, waelimishe wakiamini waokolewe.

  • @asina9hkewxahyakubog713
    @asina9hkewxahyakubog713 10 місяців тому

    Masha Allah

  • @kingcole60
    @kingcole60 Рік тому +5

    Wawe ndugu zangu wasiwe ndugu zangu ila siwezi kuwa upande wa waarabu kamwe

    • @ceciliahharon268
      @ceciliahharon268 Рік тому

      Pia Mimi siwezi

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 Рік тому +2

      Warabu hawana shida yamtu kama ww nenda kwao uone wanavotumikiwa na dunia muzima mungu wako katika bibilia yako kaisha mtukiza Ishmael atazaa ( masayedi12 ) unawajua maseyidi niwatu gani ? nami nitawabariki sana .
      sasa boya kama. Ww utabakia tu kubwabwaja basi

    • @kingcole60
      @kingcole60 Рік тому +1

      @@sammarley1413 we kweli takataka aliyezungumzia mambo ya biblia nani hapa yaani umejifunza awakbar basi unajiona muarabu mimi nimesema siwezi kuwa upande wa waarabu kamwe hakuna sehemu niliyotaja sababu na tatizo mnatumia nguvu kubwa tuwachukie Wayahudi haya mambo kama wewe umechagua kuwa kwa waarabu mimi nimeamua kuwa upande wa Wayahudi that's it.

    • @ALLYZAHOLO-gr9py
      @ALLYZAHOLO-gr9py 9 місяців тому

      Jiulize nan aliyekufikisha apo ?mwarabu ajakuksea wa ayuko kalibu nawe lakini unamchukia uko tayari afe bila sababu...alafu na ww unatalajia kuingia peponi.. mungu anasema akitaingia peponi kilicho dhaifu..

    • @bingwaidrisa6680
      @bingwaidrisa6680 9 місяців тому

      Okay

  • @moshe669
    @moshe669 Рік тому

    Hao maaarabu mnaodhani ni ndugu zenu "waisramu " mtajua hamjuii ni mabwana zenu ninyi weusi wa afrika yaaani ninyi watumwaaaa waooooo! Hamna undugu hapo!

    • @mkude
      @mkude 11 місяців тому

      Na hao wazungu mnaowafuata na kuwapenda sasa hivi wanawafundisha ushoga na usagaji wanawaaribu nyinyi,wanataka kuja kuwaoa nyinyi wanaume

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 Рік тому +11

    Matoto ya kijakazi ndivyo yalivyo, yanajaribu kuitafuta haki kwa nguvu isiyowezekana.

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +1

      Wamerithi chuki toka kwa Hagar mpaka leo wanapambana kuangamiza kizazi cha mteule wa Mungu Isaka.
      Watapambana sana ila hawatashinda.

    • @jumamgwami-px7ls
      @jumamgwami-px7ls Рік тому +1

      Mkiambiwa ukweli mnasimamia ujinga wenu, yesu angekuwa anathaminiwa na wayahud wangemuua kama mnavyoamini, eleweni kuwa wakristo pale Israel ni asilimia tatu tu.

    • @frankdanford8245
      @frankdanford8245 Рік тому

      @@jumamgwami-px7lskwani tunagombea au wanagombea dini au aridhi wewe uislamu wako mpaka saahizi umekunufaisha nini?
      Umerithi nini wewe kwenye uislamu mpaka sasa?

    • @pilotclassic4468
      @pilotclassic4468 Рік тому

      @neemamajana3078 wewe ni mpotevu wa fikra, unaakili ndogo kama za mabinti wa Lutu.

    • @pilotclassic4468
      @pilotclassic4468 Рік тому

      @@frankdanford8245 unaongelea manufaa yapi? Manufaa ya uislam yapo ahera tu wala sio fahari za dunia. Sipo kwaajili ya kubishana ila nataka nikueleweshe zaidi alichomaanisha huyo ndugu hapo juu.
      Wakristo wengi wanahisi kuwa waisraeli wanaambatana kiimani pamoja na wao kitu ambacho si kweli, wengi wa waisraeli ni wayahudi, imani za wayahudi na wakristo juu ya Yesu ziko mbali saana ila imani ya waislam na wakristo juu ya Yesu zinashabiiana kwa mambo mengi ya msingi. Muislam anaamini kuwa Yesu alikuwa ni masihi mteule wa Mungu na alizaliwa kwa muujiza na mama yake, mwanamke bikira Mariamu. Muislam anaamini kristo alizaliwa kwa muujiza na aliweza kuponya wakoma viwete viziwi na kufufua hata wafu kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu. Myahudi aliamini kuwa kristo aliyafanya yote haya kwa msaada wa beelzebuli, hakuwa mtoto wa muujiza isipokuwa zinaa, hakuwa nabii wala mwana wa Mungu isipokuwa jambazi, ndio maana walimshusha thamani walipomthaminisha na baraba (mhalifu). Sasa hii ndio taswira halisi ya hawa waisraeli. Israeli ya leo asilimia chache ni wakristo na waislam.
      takriban asilimia 73.8 ya wakazi ni Wayahudi, asilimia 18 Waislamu, asilimia 1.9 Wakristo, na asilimia 1.6 druze.
      Sasa wewe unahisi kuwa waisraeli ni ndugu zako wa Damu unaleta chuki ya kidini mpka unauliza manufaa ya uislam. Manufaa ni matunda ya ahera ya kile ulichokipanda hapa duniani. Kwangu kuwa muislam ni zawadi tosha, sihitaji muujiza kuamini Mungu yupo kwani Qur'an tukufu ni muujiza tosha kwangu.

  • @KelvinKarisa-ov4xl
    @KelvinKarisa-ov4xl Рік тому

    Mungu anatambua ndoa ya kwanza ukiongeza bibi mungu haijui kwa hivyo watoto wa bibi wa pili wamelaniwa

  • @IbrahimGwaya
    @IbrahimGwaya Рік тому +4

    Acheni upuuz na hisia za upotovu somen,mjue ukweli wamambo,she yupo sahih

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu Рік тому

      Usahihi wake ni upi kwanza kila kitu anachukua kwenye Biblia maana habari hizo Koran haina. Anajaribu kuchanganya Story kijanja kijanja hana jipya.

    • @HassanLimbwenda
      @HassanLimbwenda 3 місяці тому

      Kwahiyo bibilia inasema uongo​@@MishoAdeMahanyu

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 3 місяці тому

      Nilitaka nikwambie kwamba na wewe kasome ila nikakumbuka kuwa HATA UKISOMA ILIYO KWELI HUTAAMINI, OKAY endeleeni kuamini mnachokiamin 😂😂

  • @husnamrema8995
    @husnamrema8995 6 місяців тому

    Nakubali

  • @experiusmrefu1003
    @experiusmrefu1003 Рік тому +18

    Hata wayahudi ndio waliomsulubu YESU na Bado Sisi wakristo tunawapenda Wayahudi na Wala Hatuwezi kuwachukia coz ni taifa teule la MUNGU licha ya kuwa wakaidi na wabishi na Wala Hadithi zenu haziwezi kutubadilisha Chochote.

    • @jacksonyesu6480
      @jacksonyesu6480 Рік тому +2

      Angalia kusudi lilikua nini Yesu asingesulubiwa wewe usingeokolewa kua kiroho ndg

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Рік тому

      Yan hata akiwepo muyahudi mmoja anaemkiri YESUKRISTO inatosha

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Рік тому

      @nassiriabdallah9017 ilibd iwe hvo

    • @sameerbaksh98
      @sameerbaksh98 11 місяців тому

      Tatizo elimu ndogo sana fatilia chanel ya middle east zionist wanamtukana mpaka yesu na wanalipua mpaka makanissa

    • @healthandscience1996
      @healthandscience1996 11 місяців тому

      Ndo maana zinaitwa hadithi walitoa jina abunuasi aidha si Neno la Mungu

  • @hassangalgallo8496
    @hassangalgallo8496 Рік тому +2

    Genesis 16:1-9 Hajiri ni mjakazi wa Sarah,hakuwa bibi mwenza

    • @salumsodangu1372
      @salumsodangu1372 Рік тому

      Elewa we kijana hajakataa kwamba Hajira si mjakazi.Alikua Mjakazi lakin Sara alimuamulu Nabii Ibrahimu Amchukue awe mkewe ili mzalie mtoto

    • @hassangalgallo8496
      @hassangalgallo8496 Рік тому

      @@salumsodangu1372 wewe ndio uelewi soma MWANZO 21:8-21, inasema Abraham alimfukuza hajiri naye akapotea katika janga la Ber-sheba

    • @absm8084
      @absm8084 3 місяці тому

      Wamelaaniwa ndo maana wanaishi kwa chuki

  • @ProsMurshd
    @ProsMurshd Рік тому +3

    Wayahudi Hawana Din???

    • @mariammanyama7290
      @mariammanyama7290 Рік тому

      Swali lako nimelipenda ....anaejua aje ajibu tuelewe

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb Рік тому

      @@mariammanyama7290 wayahudi ndio dini Yao Wana wa Israeli yaani Hilo neno uyahudi ndio dini Yao kama vile useme ukristo au uislamu wao wanaita wayahudi au dini yakiyahudi

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq Рік тому +1

      Sheikh Ubwabwa huyo hajui kitu😂.. anawapanga mazwazwa wenzake

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 9 місяців тому

    Alhamdulillah rabol,alamina