EXCLUSIVE: BABA LEVO AKUTANA NA RAFIKI YAKE MWANAJESHI WA MAREKANI MTANZANIA MCHAGA KUTOKEA MOSHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • #7MEDIA #SUBSCRIBE

КОМЕНТАРІ • 110

  • @collinsnyoro1450
    @collinsnyoro1450 50 хвилин тому +4

    Baba levo naomba ukirudi upitie Kenya+254. Kazi yako safi sana tunaipenda

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 7 хвилин тому

    Baba Levo umetisha kinoma

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 3 години тому +13

    Baba levo fursa ya marekani uko ki professional kama mwana habari katika jamii kuongea na watanzania ambao sio kiudaku na ushamba ushamba wa kelele kama mwijaku.umetulia ukichekesha watu yaani interview za watu wako ni burudani kusikia.mwijaku ni majungu na kujisifia huku akiponda watu.big up Mwijaku

    • @SevenMediatz
      @SevenMediatz  3 години тому +3

      Nashukuru sana

    • @SevenMediatz
      @SevenMediatz  3 години тому +3

      Usisahau kusubscribe na kushare

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 3 години тому +2

      Sasa umemponda Mwijaku alafu tena unampa big up mbona hauleweki😮

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 2 години тому

      Mimi mwenyewe nimeshangaa au kakosea kuandika alitaka kuandika bblevo akateleza😂😂😂😂​@@IbniAbbas-yz3kt

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 години тому +1

      Kaka hana hta majivuno ma sha Allah Mungu ampe uhai mrefu

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j Годину тому +4

    Elimu yadarasani aliyenayo mwijaku kama angeipata Baba Levo , angekua mtu mwingine sana, bigup bmajumba

  • @ReaganHaule-c8e
    @ReaganHaule-c8e 13 хвилин тому

    Hapa ndiyo unapojua tofauti ya baba levo na mwijako

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 22 хвилини тому

    Baba levo nakupenda niletee zawadi

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 3 години тому +12

    We baba levo kaa na huyu jamaa umfanyie interview kuna mambo mengi tutajifunza huku tz 🇹🇿🇹🇿

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 12 хвилин тому

    Nimependa

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 24 хвилини тому +1

    Mwijaku alidhani marekani amtaweza yeye peke yake akamnanga baba levo eti oo awezi kwenda marekani mbona kaenda sasa na rafiki anao

  • @johnmwaisunga2339
    @johnmwaisunga2339 10 хвилин тому

    Kimsikiliza Mlay Na kama una ndugu ulaya unaweza kulia Watanzania Ni watu Wa ajabu Sana wapo tayari kukutumia Hela Na Sio kukuvuta na uwende, pili mley kama angempata MTU Wa kumuuliza maswali ya udadisi angeongea mengi ya kutusaidia, changamoto Baba levo anauliza swali alafu anabishana Na majibu ya Mlay. Thanks hata hivyo

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 47 хвилин тому +1

    Asante sana baba levo kutuletea uyuu jamaaa wetuu

  • @isacktemba551
    @isacktemba551 Годину тому +3

    Io ndio tofauti ya baba levo na mwijaku,baba levo anajua nn kimempeleka usa kua n silent ocean na kuitangaza kwa wana sio matuc

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 години тому +5

    Mlay safi kaka🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 2 години тому +12

    Mtu anaisha marekan miaka kibao lakin kiswahil kinapigwa kma hajui kizungu😂😂 /kutana na hizi mbuz sasa za kibongo... zikienda siku moja wiki mbil tu/ngoja warud😂😂 you knw you kno izo zinajaa bus zima kina konde😂😂😂😂yan ad kichefu chefu

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 години тому

      Wengine wanasoma kwa ras simba tu lkn hatupumui😂😂😂

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 41 хвилина тому +1

      Akikuona mtu anajifanya kasahau asili yake huyo anakuwa km samaki wa maji ya chumvi ukimuweka maji ya kawaida mara anakufa

  • @Kevworx
    @Kevworx 2 години тому +3

    Mwamba yuko safi sana, Babalevo akili nyingi sana

  • @VenancyMorice
    @VenancyMorice 3 години тому +10

    Mwamba Yuko vizur sana havimbi kama wengine

    • @hamiduOmar-o8r
      @hamiduOmar-o8r 3 години тому

      Sna ameongea pwent wanajesh wetu wao wapo chini ya sheria kz yaoo kupiga raia

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 3 години тому +7

    Ukweli hatupendani as watanzania ndo shida

  • @boniphacejohn2981
    @boniphacejohn2981 3 години тому +13

    Baba levo uwa anaakili kuliko mwijaku

  • @tasukutechnologies2573
    @tasukutechnologies2573 Годину тому +1

    Hiyo night kweli Mlay, lakini watanzania haina kupeana opportunities

  • @bustabruce480
    @bustabruce480 2 години тому +1

    I like it❤

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Годину тому +1

    Ukweli ndo huo watanzania tunaroho mbaya sana wabinafsi san kwenye swala la rizq na ukipambana ukafanikiwa pia wanataka kukurudisha nyuma

  • @MohamedHassan-k6m6g
    @MohamedHassan-k6m6g 52 хвилини тому +1

    duuuh wa tz wote wangekua kama huyu mwamba tungesha fika mbali sana

  • @elitorokaa4858
    @elitorokaa4858 3 години тому +5

    Baba levo muda mwingine anakuwa mtu wa maana kabisa😂😂😂

    • @Saidi-x4h
      @Saidi-x4h 22 хвилини тому

      Hakuna mtu hasiekua wa maana alafu akawa maarufu, sema tu wabongo tunazalau sana

  • @abuubakary4848
    @abuubakary4848 3 години тому +13

    mwamba ana nyodo kabisa mwanangu like kama umemkubali mwamba

    • @McBaraka-tz
      @McBaraka-tz 2 години тому +1

      Sio kwamba mwamba ana nyodo ila hana nyodo kabisa sio kwamba ana nyodo

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 години тому +1

      ​@@McBaraka-tz😂😂😂alimaanisha hivyo

    • @McBaraka-tz
      @McBaraka-tz 2 години тому +1

      @ndukulusudikucho_ 😄🙌🏽 Ooh sasa shida kuna maneno ukishalitolea herufi hata moja tu linabadilisha maana ya kile ulichokusudia, yeye kasema "ana nyodo" badala ya kutumia "hana nyodo" ila kumbe alimaanisha HANA NYODO... Duuuh 🤣🤣

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 2 години тому +1

      Nyodo gani sasa

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 години тому +1

      Watu waswahili lkn hawajui kiswahili chao

  • @startwithginegine1891
    @startwithginegine1891 2 години тому +2

    Jamaa nimemkubali sana

  • @enezacleopa6272
    @enezacleopa6272 Годину тому

    Nakubalii Sana 🫡🫡minimwitemwamba CHUMA✊

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g Годину тому +2

    Angekua ni mmarekani kapata kazi tanzania ungewasikia wabaguzi wa kiswahili

  • @providencekusinza7122
    @providencekusinza7122 2 години тому +2

    Mtu wa camera wa ovyo sana

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 години тому +4

    Mwamba kabisa play USAarmy

  • @josephchuwa1206
    @josephchuwa1206 Годину тому

    Mlay mimi ndugu yako kabisa nitafutie connection😂😂

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 3 години тому +2

    Weee baba levo unatetea uhuni wanaoufanya wanajeshi wa bongo

  • @kasongombuyu3407
    @kasongombuyu3407 2 години тому +1

    Mwambie babalevo kama yupo Pennsylvania Pittsburgh ha nitatafute ninamuzigo wango wakutuma hafrican frenk

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 Годину тому +1

    Mlay nimekuelewa kuhusu wanajesh

  • @HarunaHamisi-d5l
    @HarunaHamisi-d5l 59 хвилин тому

    Siri zikifichuka kwakuliwa ndogo mnajifanya ilikuwa siri 😊

  • @MohamedHassan-k6m6g
    @MohamedHassan-k6m6g 49 хвилин тому

    sito sahau kuna met wangu mpoja alitoka depo ile kaniona kwa mbali ananambie dogo apo apo ulipo shuka chini njoo kwa kichula na sijamkosea kitu ili tu nijue kasha kua soja tayali

  • @FILAMUMEDIATZ
    @FILAMUMEDIATZ 2 години тому

    Habari naitwa Sadr promoter naomba namba yababa levo kwa ajili promotion

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 2 години тому +1

    tatizo mchukua camera ni wa hovyo hachukui video panapohitajika pachukuliwe kasemama kama moja hashushi shini hapandijuu yeye uso uso kama mtu uliemuambie nipige paspot size

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 2 години тому

    Hapa kwenye jambo la watanzania kuto kupendana nikweli Yani hatupendani VIBAYA sana tuna roho mbaya hatupendi kuona mtanzania mwenzie anafanikiwa

  • @AlksvJshd
    @AlksvJshd 3 години тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @paschalsasagu5610
    @paschalsasagu5610 4 години тому +1

    Babaake na levo

  • @g-makangarealitymbunge9290
    @g-makangarealitymbunge9290 Годину тому

    Babalevo matko kabisa jeshi la Tz ili linalo mtafuta nay na roma kika kukicha?

  • @Wazir-y5k
    @Wazir-y5k 2 години тому +1

    Angalia tu asiku pididi huyo jamaa😂😂

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j Годину тому

      Una mawazo yakindezi ile mbaya mwanangu wenziyo tunavitu tunapata hapo tena vamaana sana

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 Годину тому

    Levo unakili nyingi sanaa

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 2 години тому

    Amazing

  • @providencekusinza7122
    @providencekusinza7122 2 години тому

    Nime penda tu ana vyo ongeya luga yake safi sana

  • @AlexKakilanya
    @AlexKakilanya 3 години тому

    Sana mwamba

  • @EspoirBudade-on9ef
    @EspoirBudade-on9ef 3 години тому

    Mwaambiye Akulete Lancaster pa Wana tunakuitaji angalao pictures nawewe tu?

  • @PatrickPazza-kr3vm
    @PatrickPazza-kr3vm 2 години тому

    Interview ya babalevo n huwaga n madini matupu dadek sio wengine n udaku tu na kujisifu juuu

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 3 години тому

    Kweli hatupendani

  • @danfordkyando7863
    @danfordkyando7863 Годину тому

    Sasa hapa kati ya baba levo na mwijaku nani hajasoma

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 години тому

    Kweli watanzania unamuliza mtu duka tu hakujibu

  • @omanhh2875
    @omanhh2875 Годину тому

    Afrka bado washamb tu

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline Годину тому

    Kila mwanajeshi Marekani nmtu wa Arusha. mda mwingine tuache uongo

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 Годину тому

      tofautisha Moshi na Arusha. Moshi ipo mkoa wa Kilimanjaro Arusha ni mkoa wa Arusha kwa wameru na Wamasai. Kilimanjaro ni kwa wachaga na wapare. Wachaga wapo wa Machame , Marangu, Kibosho, Old Moshi, Uru, Siha, Rombo na wapare wapo Same na Mwanga. Actually watu wa knjaro wapo mbele sana kwa mambo mengi japo mimi ni mgogo

  • @slimpirate6020
    @slimpirate6020 2 години тому

    Ama mwijaku alikuwa Uganda😂🤔🤔

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 2 години тому +1

    Nanikweli kenya wanaumoja sana

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 2 години тому

      Halafu huku tunapigwa propaganda eti hawapendani

    • @EliudiJastini
      @EliudiJastini 2 години тому

      Kenya wanabebana sana fatilia wakenya wengi walio nje ya nchi ya kwao wanabebana sana ila sisi watanzania majungu tuuu ndotunaweza​@@kazikazini1042

    • @EliudiJastini
      @EliudiJastini 36 хвилин тому

      Kenya 🇰🇪wanaumoja fatilia wakenya wengi walioko ulaya uwone wanavobebana tofauti na wabongo wako fasta hata kwenye matukio

  • @MtiliCharles
    @MtiliCharles 44 хвилини тому

    Pdidy

  • @kasongombuyu3407
    @kasongombuyu3407 2 години тому

    Mwembie baba kama yopo peannslvania pittsbugh hanitafute

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 години тому

    Ulaya hawana choyo njoo kwetu uchawi wivu choyo

  • @aud548
    @aud548 Годину тому

    Unamuhoji juu juu...kama kichaa ...unacheka cheka sana

    • @babalaujamaa7131
      @babalaujamaa7131 8 хвилин тому

      Umeeelewa maana ya maswali mafupi lakini au hujaelewa 😂😂

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 3 години тому

    Kaka mwanao Levo ana umri gani?

  • @erickjosephat863
    @erickjosephat863 2 години тому

    Nilidhani naieshimu ISRAEL pekeangu

  • @ramadhanimpapalika7131
    @ramadhanimpapalika7131 2 години тому

    Baba Levo anaogopa kuponda kwa sababu anajua atarudi bongo

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 53 хвилини тому

      Kwa sisi wenye mentality za kikoloni ndo hvyo tena.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 години тому

    Tumerogwa na nyerere

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 3 години тому +1

    PhD

  • @Jumalokole2-rt8cd
    @Jumalokole2-rt8cd 2 години тому +1

    ❤❤😂❤😂

  • @godfreydaniel6818
    @godfreydaniel6818 50 хвилин тому

    😂😂😂😂

  • @EdwardSancho-dq4lp
    @EdwardSancho-dq4lp 3 години тому

    Mwamba halingi kabisaa

  • @SaidMwendabwillah-v3z
    @SaidMwendabwillah-v3z 2 години тому

    Respect

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 3 години тому

    Jeshi wetu tunawaogopa hasa

    • @SufoWazir-s4q
      @SufoWazir-s4q 2 години тому

      Sio uko tu kwenu adi uku kwetu wanaogopesha sio kitu raisi kupiga nae story 🇲🇿

  • @ashrafunangay201
    @ashrafunangay201 Годину тому

    hivi marekani kuna nzi kumbe

    • @dab8859
      @dab8859 56 хвилин тому

      😂😂😂😂

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 55 хвилин тому +1

      Yule ni nyuki

  • @shedrackshaibu1986
    @shedrackshaibu1986 Годину тому

    Shem kama Shem haaaaaaaaaa

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 2 години тому

    We baba levo tafuta rangi nyingine kwenye media yako una fanana sana na Max tv online

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 години тому

    😂

  • @SaidTsuma-je8dv
    @SaidTsuma-je8dv 2 години тому

    baba levo uko ft

  • @angeldecute6694
    @angeldecute6694 2 години тому

    Kuna vitu vingingi vya kumuhoji huyu mtu Watanzania tupate ufahamu na faida ila Baba levo hana hiyo taaruma.

    • @svt3
      @svt3 Годину тому

      Baba Levo anayo taaluma ila taaruma haana kabisa