Alhamdulillah tunakushukuru Mola wetu kwa kutuletea shekh huyu Shekh Walid tunakuomba umpe umri mrefu wenye manufaa ili tuendelee kupata elimu aliyonayo itunufaishe hadi vizazi vyetu. Inshaallah
Mashallah shekhe tunatamani tukupe watoto wetu uwalee kielimu wallah tunakupenda kwaajili yallah Mungu akupe umri yenye kheri nawewe nasisi waislam wenzio tunao elimika kwa elimu aliyo kujaalia allah
Allah ampe muri mrefu shekh Walidi wenye hekma baraka uchamungu ukweli katika dini yetu kutusimamia na kutuongoza amzidishie elimu ampe nguvu katika nchi yetu na Dunia asimamue vizuri na afundishe vizuri Mambo ya dini hii ya uisilamu amiin amiin amiin.
Maaa Shaa Lwah!! Allwah akuhifadhi duniani na Akhera Nakupenda Shekh kwa ajili ya Allwah!! una mawaidha mazuri najifunza mengi kutoka kwako.Allwah akupe Umri mrefu wenye Afya tele
Alhamdulillah kwa darsa zuri na Elimu njema, Mwenyezi mungu atuzindue na kutuongoza vyema na vizazi vyetu nawe aendelee kukulinda na kukuongezea weledi, walasr innalinsana lafi usri ilalaladhina aamanu waamiluswalihat, watawaswawbilhaki watawaswaubisubr Aamin aamina Allahu akbar
Alhamdulilah Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera Allah akuzidishie afya njema umbri mrefu wenye rehma na neema Allah akuzidishie imaan imaan na' elimu ameen ya rabil
Shukran Wajazaukum llah khayra Sheikh Walid Alhadi❤❤❤❤❤❤❤ Sheikh Ukipata Nafasi Angalia coment Wengine wameuliza masuali Uwasaidie Kupata Majibu Ya Masuali Yao Shukran Allah Akuhifadhi Daimaa Ili Sisi Tunufaike Juu yako sheikh
Mashekhe wengine wanajiona kama wanasiasa WAKUBWA hawaonekani mpaka umfuate kwake shekhe Walid ALLAH AKUZIDISHIE najifunza mengi sana kutoka kwako hekma YAKO adhwim kabasa
Alhamdulillah tunakushukuru Mola wetu kwa kutuletea shekh huyu Shekh Walid tunakuomba umpe umri mrefu wenye manufaa ili tuendelee kupata elimu aliyonayo itunufaishe hadi vizazi vyetu. Inshaallah
Mashallah shekhe tunatamani tukupe watoto wetu uwalee kielimu wallah tunakupenda kwaajili yallah Mungu akupe umri yenye kheri nawewe nasisi waislam wenzio tunao elimika kwa elimu aliyo kujaalia allah
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤aaaaqaww111111q111q11q🎉q1qqq11🎉1🎉11🎉qqqq1🎉qqqqq1🎉a@a¹¹11¹¹¹¹111¹1111¹❤❤11111¹¹1111¹¹¹111aa11¹11¹111¹1❤❤111111111❤❤❤❤❤❤❤❤😂11❤1❤❤❤❤111❤1❤111❤❤❤1❤111❤❤❤❤❤❤❤11❤❤¹¹¹❤❤❤❤❤1❤¹❤❤❤1❤❤❤¹❤¹❤❤¹❤111¹111111111111¹11¹1111111111❤❤❤❤❤❤11❤1❤111❤❤❤1❤❤❤❤1❤❤1❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤¹❤❤❤❤❤¹¹❤❤11❤❤❤❤❤❤11¹111¹1¹1111¹¹1¹❤❤❤111❤❤❤❤111¹¹111¹¹111111111¹1¹111¹¹111¹¹1¹¹11111¹1
Mashallah sheikh waladi upo vizuri naelimika na darasa zako nikiwa kenya 🇰🇪 Allah abarik inshallah
Allah ampe muri mrefu shekh Walidi wenye hekma baraka uchamungu ukweli katika dini yetu kutusimamia na kutuongoza amzidishie elimu ampe nguvu katika nchi yetu na Dunia asimamue vizuri na afundishe vizuri Mambo ya dini hii ya uisilamu amiin amiin amiin.
amin
Mashallah sheikh Walid, Naomba nikuone shekh nahitaji kukuona kwa kher Kuna jambo unipe muongozo inshallah .
Allah akujaalie kila lenye kheri nawe na akuepushe na hasad, husda, na shari zote. Akujaalie maisha mema na marefu hapa duniani na akupe mwema
Mashaallah shekh wallidd Allah akupe umrry tawill natamani nikuletee wanangu uwafunze illa tuko Kenya we TZD insha'Allah one day
Maa Shaa Allah Sheikh
Ni kweli suratul ASR ina maajabu makubwa sana
Maaa Shaa Lwah!! Allwah akuhifadhi duniani na Akhera Nakupenda Shekh kwa ajili ya Allwah!! una mawaidha mazuri najifunza mengi kutoka kwako.Allwah akupe Umri mrefu wenye Afya tele
Ni mashaallah badala ya maaa shaallwah na Allah badala ya Allwah habibt 😊
Allah SW akulipe kheri Ustadh Alhad. Unatuelimisha elimu nzuri. Azidi kukubariki na kukupa kheri subira na uadilifu
Mwenyezi mungu atufanyie wepesi mimi na tuliofatilia mada hii tuhusiane katika haki na katika kusubiri tuwe na imani iliyoambatana na vitendo
Alhamdulillah kwa darsa zuri na Elimu njema, Mwenyezi mungu atuzindue na kutuongoza vyema na vizazi vyetu nawe aendelee kukulinda na kukuongezea weledi, walasr innalinsana lafi usri ilalaladhina aamanu waamiluswalihat, watawaswawbilhaki watawaswaubisubr
Aamin aamina Allahu akbar
Maashaallah,sheikh wa viwango adimu saana,elimu yake inaifaisha jamii na ulimwengu wote hakika!
Alhamdulilah
Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera Allah akuzidishie afya njema umbri mrefu wenye rehma na neema Allah akuzidishie imaan imaan na' elimu ameen ya rabil
❤❤
Mashaa Allah shekh mungu akuhifadhi kwa kila jicho baya
Mashallah . Mmungu akubarik
Elimu ya maana siri yenye Zilizojificha.. Unatupanuwa vichwa Skh . Tuyapokee haya tufaidike..
Mwenyezimungu akujalie shehe nafurahi kusikia maneno safi
ما شاء الله مبروك يا شيخنا
حفظك الله ورعاك 🥰🥰shukraan saana 🫡🫡
Huyu sheikh napanga kumpelekea mwanangu akamfundishe. Elimu yake ni elimu niliokuwa nikimsikia mzazi wangu. Elimu ya zaman sana
Nashukuru shekh kwa mawaidha mazuri sana. Nimejifunza.
Allah akuzidishie Umri Sheikh Wangu tupata kufaidi mazuri katika elmu aliyokujaalia Allah
AlhamduliLlah MashaAllah simu yangu imejaa khutuba warid tokea Zaman sana nakupenda kwa ajili ya Allah
Mashallah Shukran Sheikh Jazzakallah kheir Allah akuzidishie elimu yenye manufaa.
Ma Shaa Allah kwa darsa zuri sheikh wangu mungu akulinde na kwa sote
Shekhe nakupenda sana tena nakufatilia sana darasa zako allah akuzidishie hekima na busara na elimu zaidi
Mashaallah tabarakaah
Shukran Sheikh
😂😂😂nakupenda kwajili ya ❤ALLAH ❤
Mashaallah ninajifunza mengi kutoka kwako Shekhe walidi Allah akuongoze
Shukran Wajazaukum llah khayra Sheikh Walid Alhadi❤❤❤❤❤❤❤
Sheikh Ukipata Nafasi Angalia coment Wengine wameuliza masuali Uwasaidie Kupata Majibu Ya Masuali Yao Shukran Allah Akuhifadhi Daimaa Ili Sisi Tunufaike Juu yako sheikh
Nakuamini sheikh wangu walid.
Elimu unayo M.mungu akubariki uzidi kutuelimisha nduguzo
M mungu akuzidishie umri mrefu wenye afya yaraab atuongoze na sisi na vizazi vyetu yaraab🙌
Mashallah mashallah mashallah shekhe shukran kwa elim Allah akuzidishie inshallah
Katika faidakubwa nipatayo ktk Simu yangu nikukusikiliza wewe sheikh Walid ,Alhamdulillah
Wewe kama Mimi mashaallah!!❤
Sheikh Walid mashaalah umenichekesha maswala ya usiku,mtu ataenda kusema Nini?maana ndio muda mgumu kwa wengi.Allah akulipe kwa weledi wako inshallah.
Jazakallah khaira shehk wetu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaa Allah Allah akuzidishie elmu na akupe ufasaha zaidi inshaa Allah. Nakukubali sana mwanachuoni wangu
Ma Shaa Allah sheikh wangu..Jazakhallah khairain
Alhamdulillah kwa elmu unayotupa
Jazakallahu kheir
Shekh insha'Allah ukitaka kuongeza mke thulatha au arrbbaa m Niko insha'Allah ntajuwa mathnaa unae,shukran
Mashaallah mimi sheikh napenda darsa zako na hikma
Allah Ampe Umri Mrefu Wenye Manufaa Nawe
Mashallah mashallah shukran sana shekhe Alhamdulilah nimepata ya kujifunza.
Shukran jaziilan ya Sheikh.
Wakati nasoma shule ya Kunduchi girls hii surah ilikua tunaisoma kila siku assembly. Maa shaa Allah kumbe ni ilikua muhimu sana. Alhamdulillah.
Asante, shekh kwa mafundisho, mazur, mungu hakubariki
Assalam alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh,Allah akuzidishiye umri wenye kheri na bArakat
Asante shkh walidi allah akutulindie
Allah amuhifadhi. Aamiin
Sheikh you are the best
Hii ndio kwanza nasikia wa allahi WA rasuli, asante sana
Jazaakallahu Khairan,hakika nimewaidhika mno na nimepata somo na darsa kubwa khasaa.Allah akulipe kheri
Asalamu alaykum WA rahamatullahi WA baraktu, sheikh aihad.mi na penda Sana Ku sikiliza mawaidha ya kislamu.!
Maashaallah sura kubwa
Subrah ina malipo mema daima.
Jazaaka llahu kheir
Masha Allah
MwenyeziMungu atakulipa STAHIL YAKO Shekhe Walid, InshaaAllah ❤❤❤ hakika unaitumia vema nafac yako kwa JAMII.
Mungu akulipe Kila lilo jema Shekhe Inshallah 🙏🙏
Mashallah shekhe unaongea mawaiza mazr saaana
Masha Allah Akuridhie Akutoshee kila sekta
Ma Shaa Allah Tabarakallah. Jazaka Allahu khayra. Allah akulipe duniani na akhera, amiiina Rabbil 'A'alamiin..
Inshallah allah akulipe leo na kesho yaumul kiyama
ALLAHU AKBAR ☝️
Yani uyu sheghe anastaili kbisa kuwa sheghe w mkoa 7bu anaelimu ykutosha n anahekima sana ykuongea hkulupuki
Kaka Aly,,unapomsifu mtu kwa matendo mema au kwa kuongea maneno yenye muongozo mzuri,mwambie MASHAALLAH ili MwenyeziMungu amzidishie zaidi na zaidi
ماشا ءالله تبارك الله
wenda amapitiwa mansha allah Allah amzidishi ye
Alhamdulilah Allah akupeumriwenyefaida akhera na duniya
@@athumanikhamisi3377by ok oo
Maa Shaa Allah Sheikh, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu,,,Allah akuzidishie sheikh
Bismillahi Masha Allah sheikh wetu
Allah ampe umri mrefu.baraka tele Sheikh wetu Amiiin
Mashallah tabarakallahu fiikii ndo masheikh Tz inahitaji so watu wajaziba
ماشاءالله
Masha allah allah akulipe khery sheikhe
Mashaallah..Allah akuzidishie elim
shukuran sana mashaAllah nimepanda sana maneno yako yanamaana sana
Allahumma bariklahu Sheikh❤❤❤❤
Maa Shaa Allah sheikh
Maasha Allah barakallah ❤❤❤ nimefaidika sheikh
Shukran sana sheikh wetu
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
Maa shaa Allaah Allaah akuhifadhi
I've subscribe kwa ajili nampenda mawaidha ya huyu sheikh.🇬🇧❤️
Alhamdulilah Mmungu amwihifadhi
Na sisi pia wacomoro tupo hapo tunafaidika alhadulillah Allah aendelee kumlinda shekh wetu na kumzidishia na sisi waislam wote kwaujmla amiine,
Aamin
Allah akukinge na hasadi
Jazzakallah kheir
Maashaallah tabarakallah
Maashaallah sheikh
Rahmakallah mashallah mashallah
Allah akupe umri mrefu Insha Allah,
Marshaallah
Allah akbar, Maa shaa Allah
Mashekhe wengine wanajiona kama wanasiasa WAKUBWA hawaonekani mpaka umfuate kwake shekhe Walid ALLAH AKUZIDISHIE najifunza mengi sana kutoka kwako hekma YAKO adhwim kabasa
Mashaallah shekh umekamilisha vitu vinavyotakiwa katika usilamu mungu akulipe kila kwenye kheri
Alhamdulillaah nataka duaa Ile ya kwaza anayofungulia mawaidha shekh wetu
Mashaallah kwa darasa nzur
Baraka Allahu fiik
Mashaallah❤❤
Sheikh mungu akujalie neema za akhera na dunia umenifundisha vitu vikubwa sana nitavizingatia sana na kuvitumia inshallah
Allah akuhifadhi inshaallah
Mashaalaah
Manshalaah Allahu Ackbaru
In Sha Allah🙏🎉🎉
Allahuma Amiina
Kuna wanawake wamepata waume jaman subhannahllah eeeh mola wangu nione na mm