Balaa la MAKONDA: Maelfu wakimbilia matibabu bure Arusha I Rais Samia amsaidia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 чер 2024
  • Balaa la MAKONDA: Maelfu wakimbilia matibabu bure Arusha I Rais Samia amsaidia.
    Licha ya Mvua kunyesha na baridi kali asubuhi ya leo, bado kumeshuhudiwa maelfu ya wananchi wakijitokeza kwenye Kambi maalum ya Matibabu inayoendelea Mkoani Arusha kwenye Uwanja wa Michezo wa Sheikh Amri Abeid, ikiratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Chistian Makonda na kuhudumiwa na Madaktari bingwa na watoa huduma zaidi ya 500 kutoka kwenye Taasisi za afya na Hospitali mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Arusha.

КОМЕНТАРІ •