"SIWEZI KUMKANA MAGUFULI HATA NIWEKEWE BASTOLA, HAWAWEZI KUSEMA MAZURI YAKE" MAKONDA AFUNGUKA CHATO
Вставка
- Опубліковано 9 лис 2023
- "SIWEZI KUMKANA MAGUFULI HATA NIWEKEWE BASTOLA, HAWAWEZI KUSEMA MAZURI YAKE" MAKONDA AFUNGUKA CHATO
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Huyu mtu ndo wale watu wa Yesu big up brother siyo Hawa machawa wanamkana mara tatu baada ya kufariki
Safi safi safi sana Paul makonda kwa kuwa mkweli
Wewe ni mtu na nusu
HATIMAE KAJA MTU ANAYEWEZA KUSEMA UKWELI KUHUSU SHUJAA WETU MAGUFULI,,,, AIBU KWA WANAFIKI WALIOBAKI.
Komando magufuri umetuachia jembe😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏mankonda nilikua nakuerewa toka magu yupo kweli wengi wamemsaliti magu
Haswaa!💚💛💚💛🎉👏🙌🇹🇿
Safi Sanaa mwanangu mungu akubariki leo Nimesikia furaha kubwa moyoni
Kweli maana amekubeba sana Ila wengi waliumia kuliko ungejua
CCM haijakutuma hayo ni ya kwako
@@Ngorisaolekahumawee baki na roho YAKO mbaya
HATA MIMI AISEEE
Hapo Hata mimi nakuunga mkono. Good job. Bro
makonda kaka ❤❤❤❤❤❤❤ mtoto wa baba etu magu tunakupenda sana baba ulinzi wa Mungu uwe kwako na familia yako nakupenda sana ❤❤❤❤❤
Leo nmekuelewa Sana Baba Keegan
Hii hotuba imenikosha moyo sana kaka makonda piga kazi
Makonda kama utaendelea kuona mchango wa magufuli Kwa jamii kukuamin ww na mama Samia basi you have got it all .. Mzee wetu alifanya mema yaendelezeni najua alikuachia mengi you can do it all on your own and all the best❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa hili nimekuelewa sana. Hapa hamna unafiki
Safi sana , Makonda
hongera sana umelusha jiwe gizani limempata Samia nakushukulu kua mkweli mungu atakubaliki
kabsa ❤❤
Acha kugombanisha watu na akili zako za kipuuz
@@gadyetheboss8738 Nita wagombanisha kinani ao mbona unamawazo ya hovyo sana ww kwani mtu akitaja jina Samia unajua ninani kama kuna watu wanagombana kwasababu ya comment bx ujue wanafkila mbonavu kama zako
Tumeongea ukweli na pia nafurahi na kuona hakika ni kiongozi mwenye msimamo safi sana.
Hongera Kwa kusema ukweli🙏🙏🙏
Safi Sana makonda 🔥🔥 nakukubali
Free man ! Wewe ni mtu huru hufungwi mdomo Kwa sababu ya kukinga nafasi uliyoaminiwa! You are my really roll model!
Hongera Makonda kwakuongea ukweli,Magufuli alikuwa mtu.
yaani Leo umenikoshaaa paul,,,, dah! rest in power JPM mwamba 1.
Kweli kabisaa kwenye hiliii nimejikuta nakupenda sana makonda magufuli uko uliko ulale pema maana yupo makonda kahaidi kuto kukukana hata akiwekewa bastolaaaaa
Sawa my role model wangu!! MUNGU AWE NAWE DAIMA PAUL MAKONDA.
Makonda anafirwa mwizi
@@Gamba177anafirwa na babako mbwa wewe una laana
John pombe Magufuli alikuwa mtu na robo tatu
Ndio raisi bora wa wakati wote
Kweli kabisa makonda yupo wengi
Kanda ya ziwa huwa hatuna longolongo ni kazi ukweli na haki.
Wanazitaka kura zenu😂😂😂 wamejua mliumia wamewaletia mtu wenu wa Kanda ya Ziwa mjione hamjasahaulika na amapewa mamlaka ya kuwapa maelekezo viongozi wa Serikali mpaka waziri mkuu ili muone Chama kiko serious uchaguzi ukipita anapewa kazi nyingine mambo yanarudi kama Zamani😅 unawajua CCM au unawasikia
Tuliofurahia kusikia hivyo like ziwe nyingi❤❤❤❤
You're very right about it brother. May God bless you richly.
Safi sana brother Paul makonda msema kweli ni mpenzi wa mungu magufuri ni mwamba wa Africa.
Nimekupenda zaidi hapo kwa Mhshmw Magufuli, kuna wale ambao akiwa hai walijifanya wako nae lkn alivyoondoka😭😭nimejikuta machozi yananitoka, nilimkubali sana hayati Magufuli
Unaakiri nyingi sawa sana
Mungu akubariki Sana Mweshimiwa Paul Makonda Umenigusa sana Moyo wangu na nimekubuka mbali sana enzi ya Rais wetu Marehemu Mpendwa Mhe John Pombe Mgufuri Mungu aendelee kumueka Mahali pema peponi Amen 🙏❤️
WAMEMKANA MPAKA WANASEMA WENYE ROHO MBAYA NDO WANAO KUFA......😭😭😭😭MPAKA TUNAWAZA PENGINE WANAMKATABA NA MUNGU.....HAYA BANA,ILA NAJUA WOTE TUTAKUFAAAAAA.
Umeona eee
Kwa Leo umeongea vzur sana paul
Great man indeed..
Role model jpm
We n kamanda usikubali, Wala usisubutu, usijalibu hata sikuu moja kugeuzwa msimamo wako katika maisha yako nimekuelewa Sana kwauwazi 🙏🏻
MUNGU akubaliki Sana na akuinue viwango vya juuu👆
Leo kwa mara ya kwanza umenifurahisha sana hakika ww ni jembe la mzee watu kipenzi uncle magu
Kiharaka haraka unaweza kusema Makonda ndobraisibwa Tanzania
Huyu mwamba kabeba uwezo wa viongozi wote huyu kamanda wa kweli ukitoa rais samia anafuata katibu mwenezi poul makonda makonda mungu akuongoze mpaka mwisho wako
Mmmhhh na bora udhani tu,unadhani yupo Chatto anazungumza nn ili watu wakusikilize hiyo ndo siasa.
Safii makondaa!
Very nice makonda.
Daah JPM ❤
Mm sina la kusema kwa hili🎉❤🎉❤
Safi sana tupo wengi sana
Now we NEED POLEPOLE
Kabisa amrudishe polepole.Mama anaona mwenyewe vijana wa Magu walivyonyooka.
akimrudisha huyo mwambaa aaaah mama atapeta sanaa
safi
Makonda umetisha gombea urais twakupenda sana
Duh 😭😭😭 heli kulelewa na baba wa kambo kuliko mama wa kambo, Asante Mungu umemteua Tena baba mlezi
Mimi Bryson mayunga nimekupa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania❤❤❤ makonda the great😊😊
Kuongoza nchi Sio maneno ni akili
Safi mak
Safi sana
Makonda ubalikiwe Sana mungu akutunze broo mm nipo mbeya mjini nakukubali Sana piga kazi usiogope hao wanafiki
Mungu Akusimamie kiongozi.
Viva sanaa Kwako kaka i real appreciate , that is why i appreciate you Bro
Safi sana Makonda ukweli na uwazi'
Kazi nzuri makonda kwa heshima yako kwa jpm.ila dar ilala jiji wanatuangusha huku banguro, kifuru ulongoni pugu station hakuna lami Magufuli aliahidi kujenga bahati mbaya kaondoka .Duu Jpm mungu akubariki sana.
Mungu akutunze baba
MUNGU akubariki sana
Safi sana❤
Imani yangu siku moja makonda utakuwa kiongozi mkubwa sana ktk Taifa hili
Anasafiria nyota ya maiti ama kweli kaishawa😊😊😊
Makonda unafaaa sana sana sana sana we bradha ni MTU wawatu aiseee chapa kazi
Asanteeeeeeee!!!🎉
Hongera mheshimiwa
🎉🎉🎉🎉 mungu akupe maisha mlf lakini
Indeed
Bigup brother maneno kuntu ayo
Mungu atakubariki uongo unafki ni mwiko.Na ukweli unamuweka mtu kua huru mungu akubariki na akulinde insha Allah
Makonda. Asantee kwa neno la mungu na kuwapa ukweli waroho wa madaraka🙏 asante
Ubarikiwe makonda
Magufuli alikua kiongozi jasiri mchapakazi mkweli na mzalendo...Apumzike kwa amani😭🙏🙏
Ukweli wake uko wapi hapa bado watu wanakumbuka dhulma ya korosho zao Mali zao benki
Safi sana mkuu 😢😢😢😢 Mungu akubariki sana
😭😭😭😭😭😭😭😭Baba Magufuli tunakumis Sana Asante Sana Makonda umeongea Leo tofauti na machawa
Aiseeeee.
Asee nimekupenda sana sana makonda kwaili twende tusirudi nyuma makonda simamia haki usiongope makoda. Turudishieni na aliapi ni ruru kwa Taifa aliaapi alejeshwe kwekweli mrudisheni aliapi
Safi sana nimekubali
Asantee kwa neno la kututia moyoo tulio umizwaga na kuondoka kwa jpm,, rest in internal peace my president jpm❤ huwez amin hadi chozi limenitoka cjuw ata kwasababu gan
Yani brother nimekukubali sana Kwa hio kauli inamhusu Mzee baba magufuli. Huyo mtu waache wazungumze wanachojisijua ila magu c taki niongee sana like jembe.
Pamoja sana
Daaa kweli utamsaidia mama naamini atapita kwa kishindo asante mama samia asante makonda mungu mpe pumziko jema magufuli
😊😊❤❤❤❤
Big up
Nakubali sana
Da nimefulahi
😊😊
Kweli makonda
Amina Barikiwa Sana Makonda piga kazi Baba
Safi Sanaa
Jamaa Ni jasiri maana wengine wansogopa wasije wakaonekana Ni team Jpm
Umetisha kinoma Boss
Umenikumbusha mbali Makonda, Mungu akutangulie kwa sababu watu wanaosema kweli na kukutetea haki hawatakiwi hapa Tanzania
Kweli mama ni safi sana
I really miss you papa
Vzr
👏
Shamsalit Bandari hapo vipi?
Ckuzote ukisikia mtu anaitwa Paul sio mtu wa kupindisha kabisa na zaidi akiwa anamjua Mungu wa kweli 🔥🔥🔥🛫
Ndiyo ndiyo ni kweli kabisa, MUNGU atusaidie sisi kina Paul tuzidi kumheshimisha MUNGU kwa kazi njema alizotuagiza MUNGU. Nimeipenda hii comment MUNGU akubariki sana
Safi Sana kaka apo tupo pamoja,tena tupo wengi tunaye mpenda Magu
🙏🙏
Nimesikiriza kwa umakini Sana Mungu akubarik makonda hakika umesema ukwer Magufuri ariacha jembe
Tupo wengi sana
Asante Makonda
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Ubarikiwe sana Makonda na Mungu yuko nawe
Nyerere na Maghufuli, Dr Salim A. Salim ni wanasiasa wanaokumbukwa kitaifa na kimataifa