MAKONDA ATINGA NGORONGORO kwa WAMASAI, UKAGUZI MRADI wa MAJI, ni MSAADA KUTOKA UARABUNI,.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Місяць тому +4

    Hongera sana Mh Makonda piga kazi Mungu akusimamie

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 Місяць тому +6

    Kumbe kweli Ngorongoro kuna waDubai😭😭😭😭😭

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому +6

    Kuweni makini Wana ngorongoro uchaguzi ukipita mtashughulikiwa kama ilivyopangwa shauri zenu

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 Місяць тому +4

    Mh sijui kilicho ndani ausili yawatu wa ngorongoro selikali hii Yani Hawa walabu wanataka nini kwani hio miladi yamaji selikalin umeshindwa kupeleka hayo maji mpaka mpigie makofi walabu Yani selikali ichimbiwe visima niajabu tanzaniayetu nitajili hatuwezi kuchimbiwa visima Yani Kuna kitu nyuma yapanzia Yani hapo ndo wameanza kutambulishwa bila wanangorongoro kujua ,mungu ilaze loho ya jpm mahali pazuli

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 29 днів тому

    Kumbe wamasai siku hizi hawavai tena lubega na mashuka mekundu, bali kanzu nyeupe na vilemba. Hongera sana wamasai wa Ngorongoro, mmependeza sana!

  • @user-jf1sq7lk4g
    @user-jf1sq7lk4g Місяць тому +2

    Hongera sana mh. Makonda

  • @wilfredmaimu1958
    @wilfredmaimu1958 Місяць тому +3

    Hongera sana mkuu

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 Місяць тому +1

    Tatizo waarabu ila wazungu na wachina si tatizo,kazi kweli kwwli

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Місяць тому +4

    Ngoja nisiongee

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t Місяць тому +1

    Sijuwi tumerogwa na nani nchi imeshindwa kupatia maji wanachi mpaka tusaidiwe na wawekezaji hakuna msaada usiokuwa na malengo

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Місяць тому

    Waarabu ni wakorofi sana wamewafukuza masai wetu ngorogoro

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 Місяць тому +1

    Hata kama wanafanya uwekezaji ,waache kuwaondoa wenyeji. Waarabu ni wanafiki sanaa,kuja kwao kunajambo.mama samia naomba uwaachoe wnyeji wa ngorongoro mji wao.zipo sehem nyingi hasa za serikali zilizopo wazi. Msisumbue wananchi

  • @DanielNdaluboneye-wc5st
    @DanielNdaluboneye-wc5st Місяць тому +3

    Ndo nimeamini Ngorongoro imeuzwa.

    • @nahlaaasidee1848
      @nahlaaasidee1848 Місяць тому +1

      Angekuwa mzungu usingesema...
      Ni maeneo mangapi yapo maeneo potential hpa Tz. Acha chuki.

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Місяць тому

    Duh! Waarabu wa dubai kumbe wapo ngorongoro!

  • @rahplenyengerahplenyenge722
    @rahplenyengerahplenyenge722 Місяць тому

    Nadhani wasiojua Ngorongoro imeuzwa na Mama mmejionea wenyewe wasrabu hao hapi ccm wanatafuta Kura maana Ngorongoro ishachukuliwa Mwarabu

  • @FunnyHikingWaterfall-wv7dc
    @FunnyHikingWaterfall-wv7dc Місяць тому +2

    Nilijua umepumuzika kupika sipana kumbe Bado zinaenderea sipana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Місяць тому

    Kumbe kweli inchi imee......Leo ndio ni eamini

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc Місяць тому

    Makonda leo kunakitu ndani yako kinakuumiza hapo lakin dah? Ndioivyo tena ila kiukweli inaumiza saana

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Місяць тому

    Haya yote wa tz tunaweza kuyafanya bila msaada wa mataifa mengine

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Місяць тому

    Hawa wanaocheza sio kwa mapenzi yao wame....... Uwiiiiiii arabun ndani nchi

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 Місяць тому +1

    Wamechukua port wamehamia Ngorongoro

  • @MaxmillianNdyamkama-nl3dg
    @MaxmillianNdyamkama-nl3dg Місяць тому

    Miaka sitini mnaagaika namaji tena kwa misaada, wezenu wanaagaika natecknologia

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x Місяць тому +1

    Nchi ya kirabu 😂😂

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Місяць тому

    Duh! Tumekwisha!, ngorongoro imeuzwa!

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 Місяць тому

    Waarabu ndiyo wamefilisi tembo wetu wakati wa Biashara ya Utumwa, waliua tembo wetu wakachukua na mababu zetu wakiwabebesha meno ya tembo wakiwa wamefungwa minyororo, Je wamekuja tena kumalizia hata kidogo kilichobaki?

  • @BoisDonkoil-rk8lr
    @BoisDonkoil-rk8lr Місяць тому

    Hapa akili kichwani kwa wote sio wananchi sio waarabu sio mweshimiwa Paul Makonda,kila mtu anajiuliza nijinsi gani ______????

  • @melkiorykweka438
    @melkiorykweka438 Місяць тому

    Hawa waarabu wanafanya nini humo ngorongoro???? au ndio wameshauziwa kweli?

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op Місяць тому

    Masai wa kiarabu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Kwani. Mafisiyemu yanapeleka wapi kodi zetu mpk. Yalete waarabu kuchimba kisima utumwa wa pili umeingia tanganyika masai wanarukaruka tu kama swala hawajitambui

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Місяць тому

    REST IN PEACE 😮😢 NGORONGORO umeuzwa kwa wageni wenyeji wanagukuzwa kwama vakimbizi katika nchi yao TUTAKUKUMBUKA JPm 😢

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Місяць тому

    Mhhhh!!!!

  • @masoudsalum
    @masoudsalum Місяць тому

    Ngorongoro kwa wamasai au kwa waarabu wamasai wapo msomera

  • @user-wr3jp6tg4p
    @user-wr3jp6tg4p Місяць тому

    Shida ya watu wanaishikimazoeya lini mtabalika
    Na vipi mtapata maendeleo Bila kubadilika

  • @user-pv2jh5wb1o
    @user-pv2jh5wb1o Місяць тому

    Sasa maji ya Nini wakat watu wamehamishwa

  • @MaxmillianNdyamkama-nl3dg
    @MaxmillianNdyamkama-nl3dg Місяць тому

    Wanawalagai hao

  • @salama1113
    @salama1113 Місяць тому

    Siamini kama hawa wamasai

  • @user-tx6dh6ii3m
    @user-tx6dh6ii3m Місяць тому

    Hao waarabu jamani mtakuja kujuta hapo staki

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 Місяць тому +2

    Hao waarabu wanafanya nn nchini kwetu wamasai wameteseka ajili yao watoke nchini kwetu

    • @froma3732
      @froma3732 Місяць тому +2

      Wazungu pia wapo nchi nzima mpaka kwenye Hoteli ya Ramada hebu fatilia tuwandoshe hao wa Ramada bila Shaka utanielewa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому

      ​@@froma3732tena wanawaletea na ushoga lakini hawasemi wamekaa kimya

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Місяць тому

      ​@@froma3732
      HIYO RAMADA HOTEL YA WAZUNGU SI ILE HOTEL YA MASHOGA ?!!

    • @froma3732
      @froma3732 Місяць тому

      @@ayububakari9942 Ndio hiyo hiyo lkn wao huwa hawaoni Wazungu Wakiharibu nchii ni kasumba wameekewa na Mkaburu kuwa Waarabu wabaya

  • @samwellenasi7817
    @samwellenasi7817 Місяць тому

    Warabu niwamasai au

  • @YangaNews
    @YangaNews Місяць тому

    Sasa hao waarabu wanafanya nn huko

  • @nabukyeKanefu
    @nabukyeKanefu Місяць тому

    Ishudogo serikali inashidwa kufafa hamunakitu hapo

  • @abednego3876
    @abednego3876 Місяць тому

    Eeh utumwa mtupu

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Місяць тому +2

    Waarabu ni hatari

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Місяць тому

      Wazungu Ni wazuri sio?

    • @modyworldmody4297
      @modyworldmody4297 Місяць тому

      Wazungu Wana leta ushoga

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 Місяць тому

      @@modyworldmody4297 wote wanahusika scandal ya Loliondo itafute
      Wazungu hawakututoboa miguu

  • @carolthomas9243
    @carolthomas9243 Місяць тому

    Unajua watu hawajuwi huwa wanakurupuka kutoa taarifa ambazo sio sawa ngorongoro wanapoamishwa ni kreta tu sehemu ya bonde la ufa sehemu nyingine wamasai wapo na kazi inaendelea sababu ya kuwahamisha ni ongezeko na shughuli za kibinadamu kreta inasababisha huoto wa asili kupotea na kusabaisha hualibifu mkubwa wa mazingila ya hifadhi hiyo

  • @user-ce3eo4lu1k
    @user-ce3eo4lu1k Місяць тому

    Ina maana viongozi waserikali hawapo ngorongoro isipokua wapo waarab

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 Місяць тому +3

    hakiamungu masai mnaruka nini badala yakulia jaman mmepigwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому

    Waarabu wamingia tanganyika tumerudi utumwani chadema waliambiwa ngorongoro hakuna usalama makonda katia timu na waarabu

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb Місяць тому

    Ngorongoro pamekua uwarabuni

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Місяць тому +1

    Waarabu kwani wanatofauti gani na wazungu au waafrika wanaopewa uwezekezaji karika kutuletea maendeleo

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Місяць тому

      Wazungu wanaleta ushoga

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому

      Tena wazungu hivyo visima wasingetoa bure bure... wangeleta na ushoga juu

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 Місяць тому +7

    Waarabu sio wabaya Kama marekani naulaya marekani nimashetani

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Місяць тому +1

      😂😂😂 wazungu hivyo visima wasingewachimbia bure bure wangewatilia na ushoga juu... mammaee 😂😂😂😂 majamaa mashenzi sana yale 😂😂😂

    • @user-ym6hd7xh3g
      @user-ym6hd7xh3g Місяць тому +1

      Tangu mwanzo wa dunia haijawa hivyo
      Waliotia maksai wazee wetu si waarabu
      Tangu wamekaa nchi hii walifanya nini? Afadhali wazungu walijenga shule kujenga barabara,reli hayo ya kuvaa ngata kichwani si yalitesa ndugu zetu tuu au unaongea vile huna kitu kichwani.Unafikiri tumesahau tabia zso za kikatili.
      Usitufanye mazuzu

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm Місяць тому

    Wamarekani mbona amuwasemi

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 Місяць тому

    Jamaa mpambanaji alipoa kidogo

  • @MonayLai
    @MonayLai Місяць тому

    Hiyo ni kuwafumba macho tuu wanangorongoro hizo hela ni zenu wenyewe wanawapoza tuu muone wamewasaidia

  • @MonayLai
    @MonayLai Місяць тому

    hawa wamechukua mali zetu nyingi sana wanajichotea tuu

  • @modyworldmody4297
    @modyworldmody4297 Місяць тому

    Wazungu wanateta ushoga

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 Місяць тому +1

    Ngorongoro ya wapi hiyo. Mbona sielewi kitu. Tumeambiwa hakuna miradi yeyote inayoendelezwa na serikali. Sio shule , sio maji , na miradi yote mingine ya maendeleo imesitishwa. Sasa hii ni Ngorongoro ya wapi?

    • @Veni584
      @Veni584 Місяць тому

      Ya uarabuni

  • @leylasaid9641
    @leylasaid9641 Місяць тому

    WALA SIO MAMA WAPO TANGIA UTAWALA WA AWALI KABLA YA MAMA

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 Місяць тому +1

    Waarabu wanawapenda sana wanangorongoro

  • @leylasaid9641
    @leylasaid9641 Місяць тому

    WAZUNGU WAPO WANGAPI NA WANAMILIKI VINGAPI MBONA HAMUONI MNAWAONA WAARABU?WAZUNGU WAJANJA WALIPANDIKIZIA CHUKI KWA WAARABU NDO KINACHOENDELEA.

  • @user-vv4wo5fu9t
    @user-vv4wo5fu9t Місяць тому

    Ndio makonda lakini hao warabu sio kabisa hawawezi kutuletea tena ukoloni uku wakitawala nchi kama yao hiyo hawezekani wananchi tunatabika warabu wanatutawala na kuchukuwa aridh zetu uku watanzania tunatabika wanatuibia na kupeleka kwao hii awezekani...tena acha kumpamba wewe makonda hao ni wezi tuu kama wezi wengine yasikutishe hayo mavazi ya ushoga hao wezi tuu ndugu yangu makonda kivipi wapewe aridh ktk mbunga zetu hapa kuna nini nyuma ya Pazia?

  • @user-us5xl4zu3r
    @user-us5xl4zu3r Місяць тому +1

    Hivi kumbe Waraabu ni kweli wapo Ngorongoro.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Місяць тому

    Nilikuwa najuwa ni utani kumbe mama kaleta waarabu ngorongoro dah😢😢

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 Місяць тому

      Wapo na wataendelea kuwepo kamahutaki kufaaaaaaaaaa

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 Місяць тому

    Waarabu oyeee hawataki ushoga Wala usenge misaada Yao Haina masharti ushoga isipokua Kuna chuki tu binafsi tu dhidi Yao lkn huo ndio ukweli mtake msitake

  • @MaxmillianNdyamkama-nl3dg
    @MaxmillianNdyamkama-nl3dg Місяць тому

    Ngorgr ni inchi ya waarabu,

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Місяць тому +1

    Hawa waarabu mbona wako wengi nchi hii, hivi sisi watanzania ni maskini?

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 Місяць тому

      MIE NASHANGAA HATA WAZUNGU NA WACHINA WAMEKUWA WENGI..

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Місяць тому

    Wamesaidia kidogo sana wanachokuwa Tanganyika hao waarabu ni kikubwa sana mmh