Hatimaye Rais Magufuli Afuta Machozi ya Wastara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2018
  • Hatimaye Rais Magufuli Afuta Machozi ya Wastara
    Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma ambazo ziliwazilishwa na Katibu wa Rais, Ngusa Samike nyumbani kwa msanii huyo.
    Pia aliwasilisha mchango wa Sh. milioni moja na laki tisa kutoka kwa wasaidizi wa Rais.
    Subscribe muda huu / uwazi1
    Install #GlobalPublishersApp
    Android: bit.ly/2AAQe1d
    iOS: apple.co/2Assf4M
    Subscribe / uwazi
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 322

  • @peninahnjuguna2818
    @peninahnjuguna2818 6 років тому +4

    Hakika tunaye Rais wa nchi Mungu akubariki

  • @maryakinyi6672
    @maryakinyi6672 6 років тому +5

    Nimelia wastara rais wenu ni mtu wa ajabu I cant believe this his realy a good president may Allah keep him for u all tanzania people

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 6 років тому +1

      Mary Akinyi ameen my dear stay blessed with your entire family

  • @danielwilliam9758
    @danielwilliam9758 6 років тому +6

    I love my president

  • @florac5239
    @florac5239 6 років тому +2

    Big up Mr president I salute you for your good job. ..God be with you

  • @angelajohn7984
    @angelajohn7984 6 років тому +3

    pongezi sana kwako Mheshimiwa Mungu akubariki sana

    • @angelajohn7984
      @angelajohn7984 6 років тому

      pole sana kiukweli unateseka kama alivyoteseka marehemu mume wako

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 6 років тому +6

    Sasa mmemuwekea na ulinzi jamani maanake siku hizi wenye bunduki wengi TZ.. kuonyesha michuzi namna hii on TV ni hatari..

  • @agenmwakipesile2350
    @agenmwakipesile2350 6 років тому +4

    mweshimiwa rais mungu akulinde

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +1

    MashaAllah nice, Nimefurahi sana kwa kusaidiwa kwako, Allah Kareem, umeniliza dadaangu WASTARA, pole sana mpenzi inauma sana

  • @meshakjules9119
    @meshakjules9119 6 років тому +3

    Rais makufuli mungu akubariki sana kwa kujalisana raiya wako mungu akuzidishie maisha marefu

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 6 років тому +3

    Mashaallah. Mungu anatupenda kutupa rais kama huyu. Alhamdulillah. Wastara mungu akupe khatua wende matibabu upone urudi salama.

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 років тому +3

    Nimeria saana love you Tanzania

  • @zenasaid1752
    @zenasaid1752 6 років тому +4

    yaani ashukuriwe mungu kwa kweli kupata rais anayeguswa na Shida zetu watanzania mungu akubariki Sana baba Pole da wastara mungu yu pamoja nawe anasikia kilio chako

  • @annen3923
    @annen3923 6 років тому +1

    AMEN AMEN. God good. Finally Dada Wastara umepata hela za matibabu. MUNGU ambariki Sana Rais Magufuli na wadogo zake. BWANA YESU akuponye na urudie Hali Yako ya kawaida.

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 6 років тому +2

    Mubarikiwe watanzania mnaupendo sana kuliko wakenya .pongeza sana

  • @kilianamapunda5105
    @kilianamapunda5105 6 років тому +2

    mungu awabariki Sana na azidi kuwaweka na awazudishie xaidi kwa maana mumetii agizo lamungu

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 років тому +4

    Mungu nisamehe nilikuwa simpendi magufuli kumbe nilikosea leo amenikosha 😢😢😢 mpaka natowa machozi

  • @salmahussein5337
    @salmahussein5337 6 років тому +2

    Allah akusimamie Wastara upone, Mungu utulindie Rais wetu na azid kuwa na Moyo huohuo

  • @elizabethmafuru3192
    @elizabethmafuru3192 6 років тому +2

    Ubarikiwe sana mheshimiwa

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 6 років тому +5

    haya ninavyokuwa nasema kuwa rais magu ni mtanzania namba moja mweny huruma na watu wake na nchi yake weng mnaniona kichaa mbowe lema nyarandu zito msigwa halima mnyika au nyie sio viongoz pole sana wastara mm ni masikin ila nakuombea sana upone mm kwako spajuh ila nko Dar nielekeze nitaleta elf kumi

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 6 років тому +2

    dah,, hongereni sana kwa kuguswa ,pole sana dada mungu ni mwema utapona

  • @ayshamahariq8126
    @ayshamahariq8126 6 років тому +3

    Inshallah mungu Awasaidie wanao kusaidia daaa

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 6 років тому +3

    Najiuliza sana!!!!!
    Wasanii hawapendani!!??????
    Mbona sijaona mchango wao wa kwanza kwa mwenzao? Huyu?
    Kama nilivyoona wakitoa kwenye harusi ya Shilole??? Au kuna nini??????

  • @ramadhanikayoza3592
    @ramadhanikayoza3592 6 років тому +2

    safi sana mr. maguri

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 6 років тому +2

    Km binaadam kimekua kwa kweli pole wast ar mshukuru mungu , nampongeza sana muheshimiwa rais kwa nia yake na dhamira iko wazi shana mungu azidi kukutia ngumu JPM wetu kwa kazi zilikuwa nzuri zisizo kifani tuna rais wakijivunia

    • @stellawambura9124
      @stellawambura9124 6 років тому

      asante Rais wetu,umetimiza maandiko " Nilikuwa Mgonjwa ukaja kunitazama"

  • @mirriam.mwangangi4614
    @mirriam.mwangangi4614 6 років тому +1

    Hogera rais I salute ea frm kenya.gd hearted prezo.big up

  • @ndzmah47ali6
    @ndzmah47ali6 6 років тому +1

    MashaAllah mungu akuzidishie imani nyingi sana raisi wa Tanzania

  • @halimalwayo1073
    @halimalwayo1073 6 років тому +2

    mungu mbariki raisi wetu inshaallah JPM

  • @linasenyagwa7539
    @linasenyagwa7539 6 років тому +2

    😰😰😰😰Wastara najua unapita tu..... imeniuma ila Mungu anakuona ,anasikia na lzm ajibu tu
    Asante rais wetu john pombe magufuli Mungu akuzidishie kwa pale ulipopunguza kwa ajiri ya mtanzania mwenzetu wastara.

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 6 років тому +2

    hakika mungu nimwema hongera rais wetu pole Dada wastara usilie mungu atakusaidia kila hatua unayopiga usikate tamaa utapona kuumwa nimoja wapo yaibada

  • @donathabikonya1833
    @donathabikonya1833 6 років тому +1

    Ubarikiwe mheshimiwa. Asante

  • @nuurinkluge8239
    @nuurinkluge8239 6 років тому +1

    Good presdent,,Good bless you

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 6 років тому +2

    Asante mungu asante saaaaaaaaaaaaaaaaanaaa mungu awabariki saaaaaaaana.

  • @alexanderkapinga6060
    @alexanderkapinga6060 6 років тому +2

    Mungu ni mkuu siku zote, binadam maisha yetu yako mikononi mwa Mungu Baba, tupatapo nafasi ya kutenda Mema Mungu atusaidie kutenda mema kama vile hatutapata nafasi tena. Mungu akubariki sana mheshimiwa Rais na wasaidizi wengine mlio guswa na swala la dada yetu na kumsaidia.!!!!

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 6 років тому +3

    Maashallah

  • @youngsaiyoh2308
    @youngsaiyoh2308 6 років тому +3

    Asante sana Rais wetu una huruma sana

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 років тому +3

    Asante rais wangu rais bora rais rais wa watu zawadi toka kwa mungu ubarikiwe na familia yako Yote JPM,pole dada angu utapona

    • @tulizojonson8255
      @tulizojonson8255 6 років тому

      ubarikiwe Sana mweshimiwa rais mungu akuzidishie mara dufu, wastara milango inafungwa ,mungu hupanga mbinu zake za kufungua kama alivyomtuma magufuri kufungua, kila lakheri mungu akusaidie ktk matibabu yako amen

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 років тому +2

    Allah kareem wastara MUNGU anakupenda Rudi kwa MUNGU na ufanye kazi ya MUNGU

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 6 років тому +2

    Pole sana dada endelea kumtegemea mungu kwa kila jambo kwa uwezo wa mwenyezi mungu ipo siku ya takwisha, anyway kwa mapishi na mambo mengi njooni kwa channel yangu

  • @prinsecdayana2143
    @prinsecdayana2143 6 років тому +1

    Dah mpk nimelia mungu akusaidie wastara

  • @graciouskazimoto5721
    @graciouskazimoto5721 6 років тому +1

    Mungu ambariki Rais wetu na mke wake

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 6 років тому +2

    Mashallaha mungu abariki raisi watazania

  • @dismastemele8953
    @dismastemele8953 6 років тому +2

    Magu baba mungu akuzidishie mema wastara dada ang usjal utapona mungu yu pamoja nawe

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 6 років тому +3

    Magufuli kafanya jambo zuri! Pole wastara

  • @swabulamagabali6076
    @swabulamagabali6076 6 років тому +2

    ongera raisi wetu hakika mungu akulipe wastara mungu hamtupi mja wake Pole Sana naomba uwe na moyo wakusamehe

  • @ashurafabby7200
    @ashurafabby7200 6 років тому +3

    mungu hamtupi mja wake mungu akuwek miak 10000000 rais wetu

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 років тому +1

    Ubarikiwe sana mheshimiwa Rais

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 6 років тому +2

    Asante baba

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 6 років тому +3

    Thx on this? But wasanii wako wapi, wanaonekana kumwaga fedha kwenye sherehe tu! OK fine bt UA next

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 6 років тому +2

    Shukran ya Allah wacha mungu aitwe mungu Alihamdhulih hatimae mafanikio ya kujitibu mungu ana yaleta....dada wastara mungu akufanyie wepesi upone inshaallah.....mungu akubarik Sana raisi wa tz from +254

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 6 років тому +2

    Mungu Ni mwema 🤗

  • @maryamlyimo6492
    @maryamlyimo6492 6 років тому +2

    Nimeshindwa kujizuia jamani machozi yanadondoka kwenye kioo cha simu yangu! pole wastara na hongera kwa mh rais kweli hujafa hujaumbika mungu atakupa ahueni dada yangu yote ni mapito tu😭😭😭

  • @mammyyassie7322
    @mammyyassie7322 6 років тому +3

    Kweli mficha Uch* hazai. Wastara MMungu amekutangulia sababu hukujikatia tamaa. MMungu awazidishie wote waliotoa. MMungu amzidishie Mhs Raisi na mkewe Mama wa Taifa.

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 6 років тому +1

    Kwakweli Mungu amzidishie huyu baba na wote waliotoa lakini pia kwa sisi ambao tumeguswa ila kwa uwezo wetu kuwa mdogo Mungu aweze kutusaidia tuweze kukumbuka wengine asante bwana hushindwi na umuongoze pia dada yetu wastara aweze kuzitumia vizuri maana nikiongozi mbaya sana pesa. Mungu bariki Tanzania wabariki pia viongozi wote kwa ujumla Amina.

  • @shaibungoda9647
    @shaibungoda9647 6 років тому +2

    mheshimiwa hongera sana raisi wetu

  • @mindalisaleh3250
    @mindalisaleh3250 6 років тому +2

    Yaani sijawahi kuona rais kama wewe una moyo wa huruma sana sana sana mungu akuweke miaka 500000000 ubarikiwe sana rais wetu kwani unajali wananchi wako

  • @dastanpantaleo147
    @dastanpantaleo147 6 років тому +1

    Mungu awabariki kw hiki kilichofanyika kwa Dada yetu wastara!!!!

  • @saida.muhsin2187
    @saida.muhsin2187 6 років тому +1

    Hongera sana mh.Rais na wote waliomshika mkono wastara

  • @esthermbilinyi9417
    @esthermbilinyi9417 6 років тому +1

    asante RAisi wetu MUNGU akubariki,,wastara dada nami umeniliza MUNGU akutangulie ktk matibabu urudi salama kwa uwezo wa MUNGU

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 6 років тому +1

    Hongore watara na rais wetu ni mtu wa watu nampenda sana

  • @sheluizonola7782
    @sheluizonola7782 6 років тому +4

    haki ya mungu anaye mchukia rais magufuli atakuwa shetani na bora aonde motoni

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 років тому +4

    Kwa hli mh magufuli ebu tufute katiba ya miaka kumi ukae madarakani mpaka kufa kwako

  • @shabanikitogo6613
    @shabanikitogo6613 6 років тому +1

    Ongera sana Dada Wastara kwa kupata msaada huo na pia pongezi kwa mW: Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania JPM.

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 років тому +2

    Aisha roho zao nikumwaga pesa kwenye masherehe2 ila wakumbuke Leo kwamwenzao kesho kwao .Mungu amponye wastara

  • @alinaim5453
    @alinaim5453 6 років тому +1

    Ma sha Allah Allah akupe subra dadangu

  • @florarhobi9482
    @florarhobi9482 6 років тому +2

    nacho mpendea magufuli ana huruma sana,mungu akupe miaka mia baba

  • @johnkapesula122
    @johnkapesula122 6 років тому +1

    Mh. Rais hakika Mungu akubariki.

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 6 років тому +1

    asante sana rais wetu wanyonge, Mungu azid kukutunza wastara wetu upone haraka

  • @chazdenis7820
    @chazdenis7820 6 років тому

    hongera mr & mrs jpm

  • @happyanania8101
    @happyanania8101 6 років тому +1

    mungu akupiganie dada mungu ambariki raisi

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 років тому +1

    Asante rais wetu mpendwa "wastara mungu akufanyie wepesi kwenye matibabu yako usisahau kuomba duwa endelevu nasi tunakuombea Dada yetu

  • @momobakari1225
    @momobakari1225 6 років тому +1

    Mungu akubariki Muheshimiwa rais magufuli

  • @iddatysupergirl6581
    @iddatysupergirl6581 6 років тому +1

    Asante sana mh Rais kwakumsaidia dada yetu kipenz!

  • @mamarey4350
    @mamarey4350 6 років тому +1

    asante

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 років тому

    Mungu ambariki sana Rais wetu mpendwa ahsnte Mungu mjaalie afya njema na uzima na baraka umshushie hongera sana mheshimiwa Rais na watendaji wako

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 6 років тому +2

    RAISI WETU MPENDWA, NILIKUPENDA KABLA HUJAWA RAISI NA SASA NAKUPENDA EVEN MORE! UBARIKIWE SANA

  • @joellumala3206
    @joellumala3206 6 років тому

    Your the President aisee! Proudly been here

  • @hamidajuma7804
    @hamidajuma7804 6 років тому +4

    Hakika Mungu Nimwema Sana. Mwenyezi Mungu akuzidishie Rais wetu

  • @petermsafiri3077
    @petermsafiri3077 6 років тому +2

    rais j p m mungu anakuona sasa hatutaki rais mwingine ni wewe tu mpaka akuitaji penda sana rais wangu mungu akupe miaka 100000

  • @amafelician1769
    @amafelician1769 6 років тому +1

    Mbarikiwe wote mlio changia

  • @gabrielinakaheya4971
    @gabrielinakaheya4971 6 років тому +2

    tunakushukuru raisi wetu kwa kuwajali wagonjwa na wote wenye shida mbalimbali tunaomba mungu azidi kukujalia afya njema Siku zote za maish Yako mungu akutie nguvu Dd wastara kwa matatizo uliyonayo

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 6 років тому +1

    amen! JPM na Wote walioguswa na kutoa chochote Mungu awabarikini!

  • @dianamsasa6030
    @dianamsasa6030 6 років тому +1

    mungu akubariki muheshimiwa rais magufuli

  • @zenasaid1752
    @zenasaid1752 6 років тому +4

    hadi nimelia mwenzenu

  • @danielymlelwa5520
    @danielymlelwa5520 6 років тому +4

    Kumbe kura yangu sikuipoteza kumpa magufuri

  • @nyanchokachacha6975
    @nyanchokachacha6975 6 років тому

    God bless you my president it will reach a time when all Tanzanians will understand you properly.

  • @batuliibrahim5217
    @batuliibrahim5217 6 років тому +2

    Allah akuzidishie Raisi magufuli na uongozi wako

    • @sebastiansalamba8236
      @sebastiansalamba8236 6 років тому

      Batuli Ibrahim utakonda bure ndg yangu huyo ni rais na ataendelea kuwa hivyo maana ndivyo alivyo,lakini kwa kuwa roho kama yako zipo na zimeumbwa wala hatushangai lakini endelea kupoteza muda kwa kumchukia MTU asiye na hatia

    • @batuliibrahim5217
      @batuliibrahim5217 6 років тому

      +Sebastian Salamba aaah sebastian vp tena aisee sijakuelewa m mbona cjaponda hapo soma vizuri text uelewe jamani nimemaanisha Mwenyezi Mungu azidi kumuongezea Rais Magufuli na uongozi wake awe na moyo huo siku zote
      ebu soma tena uelewe then unitake radhi😃😃

    • @sebastiansalamba8236
      @sebastiansalamba8236 6 років тому

      Batuli Ibrahim oiooo samahani nilikuelewa vibaya ndg yangu,kuna jamaa wanakera sana hawana shukrani

    • @batuliibrahim5217
      @batuliibrahim5217 6 років тому

      +Sebastian Salamba kawaidah ndugu angu siku zote mshamba haelewi we waache hivyo hivyo😄😄😄

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому +1

    Asante rais wa wanyonge mungu akutangulie

  • @nasrayahya2885
    @nasrayahya2885 6 років тому +1

    Mweshimiwa rais naamini mwenyezi mungu atakulipa kesho yamlikiama kwani hapa nimapito tu jitengezee njia baba japo tunajifanya kutoyaona uyafanyayo laniki tunajidanganya nakuita ndoto za mchana.Wastala mama kwakipindi hiki umeweza kujua rafiki mwema ni yupi kwako namuomba allah akujalie safari njema wende urudi salama mama nasi tulokuwa hatuna msaada wowote kwako tukopamoja nawe ktk maombi yetu mungu akusimamie zaidi wende urudi salama

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 6 років тому +1

    Duuuuuh mpaka nimelia Pole sana wastara ongera sana Rais wetu

    • @fatimasaid6002
      @fatimasaid6002 6 років тому

      fatima said asante sana muheshimiwa RAS MAGUFULI mungu akuweke miaka 10000 pia pole sana mdgo wangu wastara juma

  • @rayahassan2862
    @rayahassan2862 6 років тому +1

    Duhu mweshimiwa asant sana nakupendaga rais wng

  • @hidrvenlulu7327
    @hidrvenlulu7327 6 років тому +1

    thnx my president

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 років тому +1

    Pole da wactara yani umetowa machonzi mungu akupe nafuu ya haraka dda ongera kwa viongozi wenu

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 6 років тому +4

    Allah akujalie heri Raisi wetu, na kwa hakika wewe ni mtu wa kuigwa. Watu wengi wanatumia zaidi ya mamilioni kutoa zawadi za Birthday, leo hii kumsaidia mwenzetu wameshindwa. Wasanii wetu mbadirike.!!
    Allah akufanyie wepesi dada yetu upone Inshallah.

  • @rogojr712
    @rogojr712 6 років тому +1

    Allah amuongoze magu katika njia ya haki. Uislamu In shaa Allah

  • @sakinaomary8874
    @sakinaomary8874 6 років тому +1

    Allah akulepe mema mr: president

  • @sunnamickdady5383
    @sunnamickdady5383 6 років тому +1

    mungu akubaliki sana baba magufuri

  • @shaninyalusi8451
    @shaninyalusi8451 6 років тому +2

    Mungu anamakusudi kumuweka rais magufuri madarakani

  • @halimkepa7766
    @halimkepa7766 6 років тому +1

    Hadi nimelia namiy jmn mung akufanyie wepes da wastar Amiin ampe umri mref rais wet na mke wake Amiin.

  • @monicafrank3812
    @monicafrank3812 6 років тому +1

    barikiwa xanaa rais

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 6 років тому +1

    Alhamdulillah